Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kigogo anasema Yuko hoi bin taabani sijui Kama ni kweliMwana efu ei yuko wapi jamani? Alisema haka kaugonjwa hakafui dafu kwa Maleria
Hata kama unaleta dhihaka kipindi hiki. Kikombe hiki usikiepuke ili uendelee kusifu na kuabudu.
Acheni kutetea upumbavu wajinga nyie.Unajua mtu wanaweza kuwa anamlaumu rais kwa kutofunga mipaka, pengine hajui maana ya mipaka na pengine anadhani mipakani kuna ngome, au nchi yetu imezungukwa na ngome so mipaka ikifungwa tutakuwa ndani hakuna kutoka wala kuingia, nadhani na wewe ni miongoni mwa hao. LICHADI,
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuna ongozwa na washambaStay home usisuibiri amri ya serikali kwenye afya yako
Mtu aitwe Bia utegemee ana akili?Namtafuta Bia yetu aseme jinsi jamaa alivyotuvusha
Mkuu, jitahidi kuvuta pumzi harakaharaka na Kwa nguvu zaidi ili usikate aisee,Yaani mpaka sasa matumaini yangu yamepungua kwa kasi juu ya kusurvive hili dude yaanI sielewi kasi yake kabisa.
Sidhani kama utaeleweka mkuu ndani ya taifa hili ambalo illiteracy level ni asilimia 82.Sawa mkuu ila religious belief zina wakati wake sio wakati huu, let us be serious .....tena hii Tanzania ni republican state sio theological state kama Saud arabi serikali haina Dini......sema tu JPM hujitambui wala hajui masuala ya dini mwisho wake ni upi? Is a right person in the wrong place
Sent using Jamii Forums mobile app
Nahs bado....kkwan climax ni ngapHivi zile week tatu ambazo wazungu walitupa Africa kwamba tutakua na hali mbaya sana Zimefika?
Nadhani wajua wanachokifanya hawa! Marekani na China Mungu anawaona.Bado mashindano ya kutanganza waathirika yanaendelea sijui yana tija gani. Wangapi wamepona? Bado nasimamia pale pale dunia nzima ime overeact na huu ugonjwa.