Tanzania: Wagonjwa wapya 53 wa COVID-19 wathibitika, idadi yafikia 147 (Aprili 17, 2020)

Tanzania: Wagonjwa wapya 53 wa COVID-19 wathibitika, idadi yafikia 147 (Aprili 17, 2020)

LICHADI,
Mzee Mekl kajichimbia zake Chato anaandika twitter tu za kuwaomba watu waombe Mungu ili Corona iondoke Tanzania.

Mzee Meko ni muoga kuliko kunguru.
 
Unajua mtu wanaweza kuwa anamlaumu rais kwa kutofunga mipaka, pengine hajui maana ya mipaka na pengine anadhani mipakani kuna ngome, au nchi yetu imezungukwa na ngome so mipaka ikifungwa tutakuwa ndani hakuna kutoka wala kuingia, nadhani na wewe ni miongoni mwa hao. LICHADI,

Sent using Jamii Forums mobile app
Acheni kutetea upumbavu wajinga nyie.
 
I am optimistic the number of covid 19 cases is higher than what we are told.
 
Nairejea sala yangu kwa mola wetu:

"Haikuwa rahisi kumfanya Farao kusikia.

Eeh mola wetu, tuna ma Farao hapa kwetu (wanajiita majiwe) hebu sema nao katika ile lugha iliyomfanya Farao akaweza kusikia na kuwaachia waja wako kuondoka utumwani.

Ni hilo tu eeh mola wetu."
 
Yaani mpaka sasa matumaini yangu yamepungua kwa kasi juu ya kusurvive hili dude yaanI sielewi kasi yake kabisa.
Mkuu, jitahidi kuvuta pumzi harakaharaka na Kwa nguvu zaidi ili usikate aisee,

Mungu bado ni tumaini la wengi, hata kama kunawingu la mauti limetanda nchi nzima, Bado ni Mungu wa kusminiwa kuliko wanadamu, tuendelee kumwamini yeye
 
Sawa mkuu ila religious belief zina wakati wake sio wakati huu, let us be serious .....tena hii Tanzania ni republican state sio theological state kama Saud arabi serikali haina Dini......sema tu JPM hujitambui wala hajui masuala ya dini mwisho wake ni upi? Is a right person in the wrong place

Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhani kama utaeleweka mkuu ndani ya taifa hili ambalo illiteracy level ni asilimia 82.
people ought to understand that the clogged matter inside their heads is what God gave them for their survival! God created us for sure but He has nothing to do with what is happening in this god's forsaken hole we call earth.
 
Acha wenye mamlaka waendelee kuzungukazunguka kwenye utoaji wa maamuzi.

Corona,Time and tides wait for nobody!!
 
Bado mashindano ya kutanganza waathirika yanaendelea sijui yana tija gani. Wangapi wamepona? Bado nasimamia pale pale dunia nzima ime overeact na huu ugonjwa.
Nadhani wajua wanachokifanya hawa! Marekani na China Mungu anawaona.

Leo Iran wanasema Marekani anawachokoza, Marekani nao wanasema Iran amesogelea meli zake.

Trump anaweka vikwazo kwa mkurugenzi wa WHO katikati ya mapambano

Kusali sana sawa, kunawa sana sawa, lakini pamoja na hayo yote wanasayanzi wanachakuiambia dunia

NB: Pamoja na juhudi nyingi, pamoja na kwamba tuhisi dsm inamaambukizi mengi kwasababu waliopimwa ni wengi pia (sidhani kama mikoani idadi kubwa ya watu imepimwa), Dsm iwekwe lockdown kwa usalama wa nchi nzima! Kusiwe na watu wanaoingia wala wanaotoka Dsm kwenda popote angalau kwa hizo siku 14

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee naona kama serikali inaleta utani hivi maana nko huku mkoani naona mabasi toka dar yanakuja na abiria hilo jiji inatakiwa lipigwe lock down angalau kucontol uongezekaji hasa mikoa ambayo bdo haijasambaa..THIS ADVICE MUST TAKEN SERIOUSLY

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom