Tanzania: Wakimbizi kutoka Msumbiji warudishwa kwa nguvu walikotoka

Tanzania: Wakimbizi kutoka Msumbiji warudishwa kwa nguvu walikotoka

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
8,870
Reaction score
14,258
Kuna taarifa kuwa wakimbizi kutoka Msumbiji wanaokimbia kile kinachoitwa wanamgambo wa Alshabaab wamerudishwa walikotoka ili wasiingie nchini. Tayari umoja wa maataifa umeilaumu Tanzania kwa hatua yake hiyo.

Ukiachia lawama kutoka UN uamuzi wa Tanzania kuwarudisha wakimbizi hao ni jambo la maana na hekima sana.Mzozo wa Msumbiji ambao unaonekana kuwa na mikono mingi kutoka nje kugombea maliasili usiruhusiwe kuambukiza taifa jirani yake. Kuwaruhusu wakimbizi hao kutaleta mambo mengi yaliyokuwa hayakutarajiwa.

Inaweza yakatokea mashambulizi ndani ya Tanzania ikatajwa wanamgambo hao tayari wamefungua kambi Tanzania na mataifa hayo ya kibeberu yakajipenyeza nchini kwa visingizio vya kutoa msaada kuwatokomeza.

Muhimu katika kuwarudisha ni kwamba wasidhuriwe na kama wana njaa kila anayejaribu kuvuka mpaka apewe kifurushi chake cha chakula na arudi alikotoka.Huko kwao watajua wenyewe kama watapambana na ubeberu au wataamua kuwaachia wawatawale kwa mara nyengine.

1617684128713.png

The United Nations raised the alarm on Monday over reports that Tanzania forcibly returned hundreds of Mozambicans fleeing jihadist raids last month.

Thousands of people fled into surrounding forest when Islamic State-linked militants launched attacks on the northeastern town of Palma on March 24, ransacking buildings and beheading civilians.

Stranded in the bush with little access to food or water, some of the escapees headed south but others walked north to the Tanzanian border.

The UN Refugee Agency (UNHCR) said it had received reports that "around 600 Mozambican asylum seekers" who crossed into Tanzania had been pushed back across the border.

"UNHCR is concerned with reports of families prevented from seeking asylum and/or being forcibly returned from Tanzania," the agency said in a statement.

The Tanzanian government did not immediately respond to AFP requests for comment. Insurgents have been battering Mozambique's gas-rich Cabo Delgado province since 2017.

March's attack on Palma forced close to 10,000 people to flee, according to the UNHCR. Dozens were killed, including at least two foreigners, although officials have yet to announce a final death toll.

Growing security concerns in the aftermath of the attack eventually prompted French oil giant Total to abandon the site of a multi-billion-dollar gas project on the Afungi peninsula, just a few kilometres from Palma.

The UN has also been forced to suspend civilian evacuation flights from Afungi, leaving thousands stranded.

Mozambique's National Institute for Disaster Management on Monday said that around 30,000 people remained in the area and required humanitarian assistance.

Aid workers and missionaries are meanwhile managing hundreds of displaced families streaming into the provincial capital Pemba and surrounding districts by land and sea.

Most are hosted by relatives and friends, said the UNHCR.

Known locally as Al-Shabaab -- but with no relation to the Somali group of the same name -- Cabo Delgado's jihadists have launched a series of brazen raids on towns and villages in an apparent bid to establish an Islamic caliphate.

The violence has killed over 2,600 people, at least half of them civilians, and uprooted close to 700,000.

sch-str-burs/jxb
 
Mnakumbuka miaka ya nyuma watanzania walivyouliwa Msumbiji? Nina jaama yangu mmoja naye alikumbwa na kadhia hiyo; alifia huko. Ifike mahali ile huruma ya kuwapokea wageni tuseme basi; toka enzi za ukombozi wakivurugana wanakimbilia Tanzania; tuseme basi.

Ya kwetu wenyewe yanatushinda, kila mtu abaki kwao kama ni exchange ziwe biashara sio watu.
 
Mnakumbuka miaka ya nyuma watanzania walivyouliwa Msumbiji? Nina jaama yangu mmoja naye alikumbwa na kadhia hiyo; alifia huko. Ifike mahali ile huruma ya kuwapokea wageni tuseme basi; toka enzi za ukombozi wakivurugana wanakimbilia Tanzania; tuseme basi. Ya kwetu wenyewe yanatushinda, kila mtu abaki kwao kama ni exchange ziwe biashara sio watu.
Yaan nilikua nataka andika hii nakuta umeshawakumbushia. Niliumia sana aisee kwa ule ukatili. Wabaki kwao

Wabinafsi wakubwa. Walisahau kuna kesho wakashindwa kuweka akiba.
 
Africa kuna shida kubwa sn, kwanini Al-Shabaab hawaendi Ulaya na Marekani?
Jibu liko hapo hapo, kwamba Afrika kuna shida. Hatuna ulinzi wa kujilinda, Ulaya wameendelea hakuna kutia pua kirahisi.
 
Kwanini tusiwaige?
Tuna upungufu wa rasilimali, hasa kichwani. Kumbuka, hata kuigizia mtihani kwa mwenzio lazima uwe na kaakili kadogo ka kuweza kusoma na kukariri fasta.
 
Tuna upungufu wa rasilimali, hasa kichwani. Kumbuka, hata kuigizia mtihani kwa mwenzio lazima uwe na kaakili kadogo ka kuweza kusoma na kukariri fasta
Sijawahi kusikia Al-shabab S.A ambayo imepata uhuru 1994, why other African countries?
 
Hawa waasi kabla ya kuanzisha shambulio hili la juzi walifika wiki kadhaa nyuma wakafikia kwenye nyumba za wenyeji wakahifadhiwa humo na silaha zao siku walipoanzisha mashambulizi walianzisha pemben ya mji na katikati ya mji ikawa vigumu kwa askari wa msumbiji kuwacontain waasi.

Jambo fikirishi; tunapopokea hawa wakimbizi tujue pia tunapokea washirika wa waasi kwenye mwamvuli wa ukimbizi.
 
Back
Top Bottom