The hitman
JF-Expert Member
- Nov 30, 2017
- 3,673
- 2,288
Hawa wapuuzi warudi kwao... mnakumbuka miaka ya nyuma watanzania walivyouliwa Msumbiji? Nina jaama yangu mmoja naye alikumbwa na kadhia hiyo; alifia huko. Ifike mahali ile huruma ya kuwapokea wageni tuseme basi; toka enzi za ukombozi wakivurugana wanakimbilia Tanzania; tuseme basi. Ya kwetu wenyewe yanatushinda, kila mtu abaki kwao kama ni exchange ziwe biashara sio watu.