Tanzania: Wakimbizi kutoka Msumbiji warudishwa kwa nguvu walikotoka

Tanzania: Wakimbizi kutoka Msumbiji warudishwa kwa nguvu walikotoka

Ami Sasa kama wakimbizi huwa wanakuja na magaidi kwa nini Tanzania ilisaini hiyo mikataba ya kutunza wakimbizi?Si ingekataa kusaini ili ijulikane officially kuwa Tanzania huwa haijihusishi na mambo ya wakimbizi?
 
... mnakumbuka miaka ya nyuma watanzania walivyouliwa Msumbiji? Nina jaama yangu mmoja naye alikumbwa na kadhia hiyo; alifia huko. Ifike mahali ile huruma ya kuwapokea wageni tuseme basi; toka enzi za ukombozi wakivurugana wanakimbilia Tanzania; tuseme basi. Ya kwetu wenyewe yanatushinda, kila mtu abaki kwao kama ni exchange ziwe biashara sio watu.
Kwako moto ukiwaka utajificha uvunguni uteketee au utakimbia kwa jiraji kujisitiri??
 
Roho imeniuma nilipoiona hiyo picha huyo dada kainama yani inatia simanzi sana!

Mungu tusaidie sana.

Hawa wanaojiita wanamgambo ngoja nsiendelee tu
 
Roho imeniuma nilipoiona hiyo picha huyo dada kainama yani inatia simanzi sana!

Mungu tusaidie sana.

Hawa wanaojiita wanamgambo ngoja nsiendelee tu
Hapo ndio tujifunze!

Tuache kushabikia OOOOH Viongozi wa Uamsho watolewe Segerea, waachiliwe Huru, hawa Jihadist sio watu, Utaona kakata Kisuruari nusu miguuu na Kichwani kavaa Mzura wa Arafat Style.

Halafu eti aaachiwe. Kwanza ili kutokomeza huuu ujinga lwa sasa wakikamatwa wawe wanaenda kumwaga pale Mto Rufiji kulisha mamba wetu. Hata hao walioko Jella tupa mtoni mamba wale kwisha na ni fundissho tosha.
 
Sisi kila siku wanakamatwa waethiopia, je wanashindwa kuingia?
Tanzania ni moja ya Nchi iliyowekeza ulinzi wa kutosha maporini huko siku ukizunguka mpakani maporini utakutana nao...
 
Back
Top Bottom