Tanzania: Wakimbizi kutoka Msumbiji warudishwa kwa nguvu walikotoka

Ami Sasa kama wakimbizi huwa wanakuja na magaidi kwa nini Tanzania ilisaini hiyo mikataba ya kutunza wakimbizi?Si ingekataa kusaini ili ijulikane officially kuwa Tanzania huwa haijihusishi na mambo ya wakimbizi?
 
Kwako moto ukiwaka utajificha uvunguni uteketee au utakimbia kwa jiraji kujisitiri??
 
Roho imeniuma nilipoiona hiyo picha huyo dada kainama yani inatia simanzi sana!

Mungu tusaidie sana.

Hawa wanaojiita wanamgambo ngoja nsiendelee tu
 
Na msumbiji ilivyo na mapori ya kutosha inatakiwa nguvu ya ziada mno na cha ajabu walivyokua wanaanza Nchi zilikua kimya wamekuwa strong ndio kila Nchi wanastuka ...
Sisi kila siku wanakamatwa waethiopia, je wanashindwa kuingia?
 
Tanzania tunao ulazima kusaidia amani na utulivu kwa jirani vinakuwepo. Siioni Tanzania salama kama genge hilo litaota mizizi pale Mozambique.
Kama waethiopia wanakamatwa karibu na Dar basi sioni usalama wetu
 
Roho imeniuma nilipoiona hiyo picha huyo dada kainama yani inatia simanzi sana!

Mungu tusaidie sana.

Hawa wanaojiita wanamgambo ngoja nsiendelee tu
Hapo ndio tujifunze!

Tuache kushabikia OOOOH Viongozi wa Uamsho watolewe Segerea, waachiliwe Huru, hawa Jihadist sio watu, Utaona kakata Kisuruari nusu miguuu na Kichwani kavaa Mzura wa Arafat Style.

Halafu eti aaachiwe. Kwanza ili kutokomeza huuu ujinga lwa sasa wakikamatwa wawe wanaenda kumwaga pale Mto Rufiji kulisha mamba wetu. Hata hao walioko Jella tupa mtoni mamba wale kwisha na ni fundissho tosha.
 
Sisi kila siku wanakamatwa waethiopia, je wanashindwa kuingia?
Tanzania ni moja ya Nchi iliyowekeza ulinzi wa kutosha maporini huko siku ukizunguka mpakani maporini utakutana nao...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…