The hitman
JF-Expert Member
- Nov 30, 2017
- 3,673
- 2,288
Hawa wapuuzi warudi kwao... mnakumbuka miaka ya nyuma watanzania walivyouliwa Msumbiji? Nina jaama yangu mmoja naye alikumbwa na kadhia hiyo; alifia huko. Ifike mahali ile huruma ya kuwapokea wageni tuseme basi; toka enzi za ukombozi wakivurugana wanakimbilia Tanzania; tuseme basi. Ya kwetu wenyewe yanatushinda, kila mtu abaki kwao kama ni exchange ziwe biashara sio watu.
... ka hilo Nyerere aliona mbali sana! Dar yenyewe kambi ziko za kutosha; almost kila koda ya mji.Tanzania ni moja ya Nchi iliyowekeza ulinzi wa kutosha maporini huko siku ukizunguka mpakani maporini utakutana nao...
Kila kitu kina mipaka yake na pia kuna mapitio ya mikataba.Ikionekana mkataba hauna maslahi nasi tunaweza kujitoa. Kwa mfano mkataba kama huu unaolazimisha kuruhusu wakimbizi wanaotoka nchi inayoelezwa kuna magaidi wa kiislamu au Alshabaab ni bora kujitoa.Ami Sasa kama wakimbizi huwa wanakuja na magaidi kwa nini Tanzania ilisaini hiyo mikataba ya kutunza wakimbizi?Si ingekataa kusaini ili ijulikane officially kuwa Tanzania huwa haijihusishi na mambo ya wakimbizi?
Unazungumzia dar mimi nazungumzia maporini huko mipakani kama ileje na kwingineko watu wanashinda kila siku maporini ndio ofisi zao..... ka hilo Nyerere aliona mbali sana! Dar yenyewe kambi ziko za kutosha; almost kila koda ya mji.
... hiyo gia ya ukimbizi magaidi wanaitumia kujichanganya! Serikali ya Msumbiji iwatafutie hao wakimbizi sehemu salama huko huko ndani ya nchi yao; maeneo ya kati, magharibi na kusini mwa Msumbiji kuko shwari wapelekwe huko.Hawa wapuuzi warudi kwao
... nimeku-support and in addition sio maporini tu na mijini pia.Unazungumzia dar mimi nazungumzia maporini huko mipakani kama ileje na kwingineko watu wanashinda kila siku maporini ndio ofisi zao..
Very true... hiyo gia ya ukimbizi magaidi wanaitumia kujichanganya! Serikali ya Msumbiji iwatafutie hao wakimbizi sehemu salama huko huko ndani ya nchi yao; maeneo ya kati, magharibi na kusini mwa Msumbiji kuko shwari wapelekwe huko.
Siyo kweli mkuuHeeeh unaishi wapi mzee!!?? Mizozo na mapigano ya waarabu huko huisikii!!.?
Okeykwa sababu wakienda huko watakua ni kama wanajipiga wenyewe. huwezi jivamia mwenyewe
PoaWaende Saudia wakanyongwe kwa mujibu wa Sheria?
SawaNimeona Wareno na Wafaransa wants a wanatuma Askari.
Sasa mkuu hiyo ni sheria ya kimataifa, kwamba mkimbizi akimbilie nchi jilani kwanza, inawezekaje mkimbizi wa msumbiji akakimbilia KENYA?, sio suala la huruma hapo,... mnakumbuka miaka ya nyuma watanzania walivyouliwa Msumbiji? Nina jaama yangu mmoja naye alikumbwa na kadhia hiyo; alifia huko. Ifike mahali ile huruma ya kuwapokea wageni tuseme basi; toka enzi za ukombozi wakivurugana wanakimbilia Tanzania; tuseme basi. Ya kwetu wenyewe yanatushinda, kila mtu abaki kwao kama ni exchange ziwe biashara sio watu.
Ungemsoma vizuri kwanza.Unazungumzia dar mimi nazungumzia maporini huko mipakani kama ileje na kwingineko watu wanashinda kila siku maporini ndio ofisi zao..
Na wenyewe wana matatizo yao, au hujawahi kusikia "The Troubles" huko UK au ETA wa huko Spain. Sehemu yoyote yenye dhuluma ama ya kweli au hisia, ni rahisi sana watu kuchukua silaha na kuanzisha matatizo.Africa kuna shida kubwa sn, kwanini Al-Shabaab hawaendi Ulaya na Marekani?
Hapo ndiyo panashida mkuu.Na wenyewe wana matatizo yao, au hujawahi kusikia "The Troubles" huko UK au ETA wa huko Spain. Sehemu yoyote yenye dhuluma ama ya kweli au hisia, ni rahisi sana watu kuchukua silaha na kuanzisha matatizo...
Ishu sio huruma boss, ila hawa wakiingia na wale wasitakiwa pia huingia. Hiivyo, kinachokuja kutokea waanzisha mashambulizi wakitokea kambini. So ni vyema busara ikatumika, hata ni eneo dogo ndo lenye shida wakichukuliwa na kupelekwa kwao hamna tatizo.Sasa mkuu hiyo ni sheria ya kimataifa, kwamba mkimbizi akimbilie nchi jilani kwanza, inawezekaje mkimbizi wa msumbiji akakimbilia KENYA?, sio suala la huruma hapo,