Thank you for the Table. Hebu angalia hicho kidogo mshakopa ipo 34% of GDP 🤔🤔Pamoja na Tanzania kukopa kote huko lakini bado hatuwafikii Kenya hata nusu, na bado tuna sifa za kukopesheka hata maradufu ya deni tulilonalo sababu tunajimudu. View attachment 1218470
At the same time our GDP growth is keep on widening at the pace of 7.1 percent, one of fastest in Africa but also poverty eradication acceleration is number one in Africa 😍😊👌Thank you for the Table. Hebu angalia hicho kidogo mshakopa ipo 34% of GDP 🤔🤔
4.2% imekuwa Tena 7.1% ? 😂😂😂At the same time our GDP growth is keep on widening at the pace of 7.1 percent, one of fastest in Africa but also poverty eradication acceleration is number one in Africa 😍😊👌
Tunasongesha,najua itafika muda watazoea tu
Kajinyonge
Data za CCM
Kajinyonge
Pamoja na Tanzania kukopa kote huko lakini bado hatuwafikii Kenya hata nusu, na bado tuna sifa za kukopesheka hata maradufu ya deni tulilonalo sababu tunajimudu. View attachment 1218470
Tanzania ni moja kati ya chumi kubwa 10 Africa, sijui hata unaongea kitu gani unavyosema kwamba tupo nyuma, kati za nchi zaidi ya 53 tupo ndani ya top 10 largest economies hilo sio dogo.Pamoja na kukopa kote huko bado mpo LDC, hela mnatumia kufanya nini haswa, maana duh!
Haufai kujilinganisha Debt to GDP kwa kutumia mataifa yaliyokuzidi kiuchumi, jiangalie kwenye level yako, miaka miine mumekopa sana kuzidi awamu zote lakini bado mpo kwenye kundi la extremely poor nations.
Aibu ya madeni ndege zinakamatwa kamatwa hadi mumezificha zibaki ndani, mumekimbia kwa Msouth.
Kumbe AfDB ni CCM? Kweli CCM chama kubwa 😅Data za CCM
Data za CCM
Huna jipya some time uwe una give up mzeePamoja na kukopa kote huko bado mpo LDC, hela mnatumia kufanya nini haswa, maana duh!
Haufai kujilinganisha Debt to GDP kwa kutumia mataifa yaliyokuzidi kiuchumi, jiangalie kwenye level yako, miaka miine mumekopa sana kuzidi awamu zote lakini bado mpo kwenye kundi la extremely poor nations.
Aibu ya madeni ndege zinakamatwa kamatwa hadi mumezificha zibaki ndani, mumekimbia kwa Msouth.
tbh sijawai ona ubaya wa inchi kukopa. The only bad thing ni politicians steal a huge chunk of the borrowed money and the tax payers have to pay it. Wanakopa 100 billion for something, 40 billion goes to the pockets za akina rutoKenya mpaka takwimu za latest kutoka Bank Kuu ya Kenya, mmeshakopa dollar billion 47, katika pesa za hivi karibuni mlizokopa 60% ya pesa zote za mkopo zimetafunwa na wajanja.