PhD PM
Senior Member
- Apr 29, 2019
- 112
- 226
Mwaka jana World Bank ilitoa growth rate ya Tz, Kenya, Rwanda na Uganda. Tz pekee ndio iliyo pinga!!! Nchi Ya pili kutoka mkiani kwa Maendeleo.
Nakumbuka Tz imepitisha sheria ya kudhibiti Data. Licha ya marekebisho (though forced by WB) hakuna Mwanahabari anaethubutu ku challenge. Angalia Kabendera yupo Cello kisa ukweli wa habari.
Pia mtetezi wa Wanahabari Duniani, mwaka jana alikamatwa Tz alipo kuja kufuatilia mienendo na Uhuru wa Vyombo vya habar Tz.
Kwa Mazingira hayo hakuna atakae toa ripoti za kupingaza NBS data!
Cha mhimu: Tuungane kuipongeza serikali yetu pale inapo fanya vizuri. Vilevile kwa pamoja tuikosoe inapo kosea.
Side mirrors zipo ili kumuongoza dereva. Usidhani ni maskio.
Haya maendeleo Tz tulio nayo hayaendani kabisaaa na rasilimali lukuki tulizo nazo.

Uliwahi kushiriki upikwaji?
Unakumbuka miezi michache PK alishutumiwa kupika data za nchi yake?
Embu niambie kwanini Tz haikushutumiwa na PK akashutumiwa.