Tanzania wanajenga kwa pesa ya ndani!!! Kwa ya miaka miine wamekopa kuzidi miaka kumi ya Kikwete - Zitto Kabwe

Tanzania wanajenga kwa pesa ya ndani!!! Kwa ya miaka miine wamekopa kuzidi miaka kumi ya Kikwete - Zitto Kabwe

Leta hizo takwimu babaaa 😂😂😂
Screenshot_2019-10-01 Overview.png

 
Hawa ndio utakuta wapo NBS. Kazi zao pambio tu.

Hata idadi ya Graduate tu kwa mwaka nchi nzima ali ulizwa Waziri hajui?

Hata takwimu Tz uki tafuta za Wafanyakazi nchi nzima hakuna!! Ni projo porojo!! Kila mtu ni mbeba Gitaa za kusifia hata ujinga!!

Out of 52m - Tanzanians , tax payer Tz ni 2m? Pumbavu!! Mko serious? Tunajisifia ujinga?

Ina maana hiyo 1% ya un employment rate mmeipateje ilihali hata Waajiriwa nchi nzima hamuwajui? 80%ya wa Tz wapo vijijini, na 80% wana tegemea kilimo na 80% hiyo ni Wakulima na wakulima hao ni bado substance Agriculture!! Kipato cha hawa ndio tuna jilinganisha na Graduates wa Kenya!!

Tafuta 80% ya 52m. Uone watanzania Wajinga na Wasio na degree ni wangapi. Then compare to Kenya. Then Compare Per Capita Income ya Residents wa hizi nchi 2 ndio utajua Wajinga na wabeba mikoba wametufikisha kubaya!!

Profesa, UDSM una sema ume toka jalalani? Je Mkulima ya Manyovu Kigoma ana hali gani?
"Out of 52m - Tanzanians , tax payer Tz ni 2m"

Wewe hoja yako uliyoitolea macho ni Tz takwimu zinapikwa sasa hiyo takwimu hapo juu imetolewa na serikali ila kwakua unaona ina fit mawazo yako ya chuki unaitumia huku umedinda. Unaweza ukawa una hoja za msingi ila zika puuzwa kwakua unaziwakilisha kipuuzi. Punguza upuuzi.
 
Takwimu za Idadi ya 2
"Out of 52m - Tanzanians , tax payer Tz ni 2m"

Wewe hoja yako uliyoitolea macho ni Tz takwimu zinapikwa sasa hiyo takwimu hapo juu imetolewa na serikali ila kwakua unaona ina fit mawazo yako ya chuki unaitumia huku umedinda. Unaweza ukawa una hoja za msingi ila zika puuzwa kwakua unaziwakilisha kipuuzi. Punguza upuuzi.
Population na Growth rate yake Duniani kote World Bank hutoa.
 
Watz humu kila siku wanatutambia kuwa wanajenga kila kitu kwa pesa yao ya ndani, mbunge wa Kigoma bwana Zitto Kabwe ametabainisha taarifa za deni la Tanzania, kwa miaka miine ya awamu ya tano wamekopa zaidi ya miaka kumi ya awamu ya nne ya Kikwete.


jirani hadi mambo haya unayatafuta
 
Unajua kuropoka ww.
IMF ILITOA RIPOTI YENYEWE KUANXIA 2015 UNEMPLOYMENT RATE YA TZ NI 9.4 % LETE YA KENYA.
Na LITERACY RATE KWA TZ NI 83.2% kwa male na 73.1% kwa female na hiyo ni toka 2015 na hz sio takwimu zetu bali za shirika la UN.
LETA ZA KENYA.ONGEA KWA FACT UMEAMBIWA ULETE DATA SIO MANENO YAKO.
Unemployment rate ya Tz siyo chini ya 10 % hivyo kwa Kenya. Serikali ya Tz haitaki data kinzani. Data zetu ni za Kupikwa! Kama tulipinga hata Growth rate za World Bank kati ya nchi 5 zote ni maajabu!

Behewa 21 za Mahindi unaweza nununa zote kwa Tshs Mil 100! Ni sawa na mtu aiuzie Tz, Sam Sang Galaxy 100 tu nchini sawa na Box 1 tu. Ha ha ha.

Kenya wana Import Tz Valuable Goods. Mf. Medecine, Agricultural equipments, consumable goods kibao,. Import yao ya Mwezi 1 ni swwa na Mahindi tulio lima Tz mwaka mzima. Watanzania tuamke. Tuachane na SIFA za kijinga. Kusifu sifu upumbavu!!!

Je Kenya na Tz ni nchi ipi ina Wasomi wengi when Compared to its Population? (ratio)
 
Unaongea kama mtu usiyekuwa na Exposure na Kenya. Na kwa ushamba wako una jifanya mjuaji!

Taja Main Road (distance). Mfano Musoma to Majita, Tobora-Kasulu-Kgm , Distance kama hiyo Kenya hakuna Lami? Jamaa kwa sasa wanajenga street roads kwa lami ngumu (chembe za mawe chini....then zenge ya maana na mwisho vigae vigumu).

Kenya wana izidi Tz sector zote.
Hivi Gesi ya Tanzania imetusaidiaje? Gesi Kenya ni cheap kuliko Tanzania!!
Vyuo vyao 2 tu mfano Nairobi na Kenyatta ni sawa na Public Universities zote za Tz interms of investment. Quality wametuacha mbali saaaanaaa never compare!

Nairobi Vs Dar. Roads, bypasses, bridges, interchange roads, highways never compare to Dar. Dar una poteza 2 to 3 hrs on jam. Nairobi maximum ni 30min pia mara chache sanaaa.
Dar haija pangiliwa, wajuaji kama ninyi na wabishi mnakwamisha! Dar ipo ki enzi za Mwl!

Angalia hata issue ndogo tu Security Lights. Kenya miji kama Nakuru, Kisii, Narok na barabara zote za Nairobi hadi mitaani wana Security lights na Camera.
Tz sasa yaani ni kwa Dar ni sehemu ndogo tu. Mwanza sasa hata 30 zilizopo tu haziwaki! Camera hakuna!

Interms of investments (viwanda) Kenya ni vingi na population yao ni ndogo kuliko Tz.
Tz tunawaza Kujenga National Sports Academy Center , Kenya wana hizo Academy na sports center kibao mf. Moi Sports Center, Kasarani, nk.

Housing -industry. Tz tuna vinyumba vya kutapakaa chini! Kenya miji karibu yote ni Magorofa ni asilimia kubwa.

Hata kukatika umeme, Tz inaongoza. Kenya ni mara chache sanaaa.

Budget ya Kenya ni 2times ya Tz.

Compare level of education Kenya Vs Tz. Then Compare unemployment rate? Then Compare Investment na job creation Multiplier?

Kwa kifupi ww hujaishi Kenya. Unaongea tu kwa kutumia media News. Tuna safari ndefu kuwafikia Kenya. Kila idara ya maendeleo wametuzidi!

Tuna wazidi ukarimu (upendo, utu, amani, nk), chakula kizuri, vingine wapo mbele miaka mnoo.

JPM ana pambana sanaaa. Ila kuna miaka 20 ya nyuma Tz haikufanya vya maana saaanaa.

Big up JPM.
Mjomba budget kubwa ya kenya inasaidia nn kama nchi IMESITISHA AJIRA KWA MIAKA MITATU???
WATU WANAJIUA KISA MAISHA MAGUMU KENYA HUSUSAN WANAFUNZI WA CHUO HIYO BAJETI KUBWA YA KENYA INA FAIDA GANI INAFANYIWA NN??
 
Takwimu za Idadi ya 2Population na Growth rate yake Duniani kote World Bank hutoa.
Wewe mzima kweli! Yani idadi ya tax payers itolewe na WB! Hiyo takwimu ilitolewa na TRA na Raisi akaipaisha kwa kulalamika ndiyo mtu kama wewe ukaidaka na kuishadadia. Kwa taarifa yako WB na IMF wote wanatoa takwimu serikalini wao wanafanya ku compute tu. Hiyo GDP inavyo kuwa calculated WB wala IMF hawawezi kupata hizo real data bila kuhusisha mamlaka husika za serikali. Sijui kwanini unajiita PHD bila shaka role model wako ni yule mbongo movie.
 
Back
Top Bottom