Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chama kinachowapiga wapinzani wao risai?Kumbe AfDB ni CCM? Kweli CCM chama kubwa 😅
Pamoja na Tanzania kukopa kote huko lakini bado hatuwafikii Kenya hata nusu, na bado tuna sifa za kukopesheka hata maradufu ya deni tulilonalo sababu tunajimudu. View attachment 1218470
Kajinyonge
Na akili yako ni finyu kama wanasiasa wa Kenya, wao 99% ya pesa yote inayokopwa inajenga Nairobi tu, wakitoka nje ya Nairobi ni Mombasa, Tanzania barabara zinajengwa nchi nzima sababu Tanzania sio Dar tu. Miradi yote mikubwa inayoendelea Tanzania imetawanywa Tanzania nzima na ndivyo uchumi unavyotakiwa kuwa scattered across the country.Kwahiyo Fly Over za Jogoo Road, Thika Road, Mombasa Road, na Nakuru Road, Kenya. Barabara za Kisasa , Round about za Maana uta linganisha na vi miradi vyetu vya barabara 1 za mijini za kipuuzi za Enzi za Mwl!
Kwahiyo Fly Over za Jogoo Road, Thika Road, Mombasa Road, na Nakuru Road, Kenya. Barabara za Kisasa , Round about za Maana uta linganisha na vi miradi vyetu vya barabara 1 za mijini za kipuuzi za Enzi za Mwl!
Afadhali sisi ndege,nyie mchina anailia timing mombasa portNa bado wako na deni la mkulima na la mvuvi wa Somalia. Ndege zitazidi kukamatwa
Pamoja na Tanzania kukopa kote huko lakini bado hatuwafikii Kenya hata nusu, na bado tuna sifa za kukopesheka hata maradufu ya deni tulilonalo sababu tunajimudu. View attachment 1218470
Kwani umeambiwa kila kitu ni mkopo? Lot ll ya SGR ni mkopo ipo wazi lakini lot l ni pesa yetu na ununuzi wa ndege ni pesa yetu na ujenzi wa miundombinu mingine mingi.Kenya hautupati hapa kila siku tukidanganya kwamba tunajenga/tunanunua kwa pesa zetu. 😂 😂 😂
Huna jipya some time uwe una give up mzee
Watz humu kila siku wanatutambia kuwa wanajenga kila kitu kwa pesa yao ya ndani, mbunge wa Kigoma bwana Zitto Kabwe ametabainisha taarifa za deni la Tanzania, kwa miaka miine ya awamu ya tano wamekopa zaidi ya miaka kumi ya awamu ya nne ya Kikwete.
tbh sijawai ona ubaya wa inchi kukopa. The only bad thing ni politicians steal a huge chunk of the borrowed money and the tax payers have to pay it. Wanakopa 100 billion for something, 40 billion goes to the pockets za akina ruto
Mgagaa na Upwa hali wali mkavu 🎃🎃Afadhali sisi ndege,nyie mchina anailia timing mombasa port
Tanzania is a poorest country in the world
Watz humu kila siku wanatutambia kuwa wanajenga kila kitu kwa pesa yao ya ndani, mbunge wa Kigoma bwana Zitto Kabwe ametabainisha taarifa za deni la Tanzania, kwa miaka miine ya awamu ya tano wamekopa zaidi ya miaka kumi ya awamu ya nne ya Kikwete.
Na akili yako ni finyu kama wanasiasa wa Kenya, wao 99% ya pesa yote inayokopwa inajenga Nairobi tu, wakitoka nje ya Nairobi ni Mombasa, Tanzania barabara zinajengwa nchi nzima sababu Tanzania sio Dar tu. Miradi yote mikubwa inayoendelea Tanzania imetawanywa Tanzania nzima na ndivyo uchumi unavyotakiwa kuwa scattered across the country.
Mradi kama Nyerere hydroelectric project unaanzaje kuutenga na uchumi? SmhUkweli ni kwamba, si Tanzania wala Kenya na nchi zote za Afrika zenye uwezo wa kulipa madeni hayo. Mikopo mingi inatumika kwenye vitu ambavyo havizalishi kipato kwa namna yoyote.
Shughuli za kiuchumi Afrika zipo chini sana na tuseme ukweli tu kuwa sisi Waafrika ni wavivu wa kiakili. Hatubuni miradi yoyote ya kukuza uchumi zaidi ya kila mtu kuililia serikali.
Haya madeni ni mtego mkubwa kwa Afrika yote, tuacheni kujipa moyo.