Tanzania wanajenga kwa pesa ya ndani!!! Kwa ya miaka miine wamekopa kuzidi miaka kumi ya Kikwete - Zitto Kabwe

Mkuu sema kama unataka tukusajili kwa mkopo hapa Tanzania , maana unaonekana kuwashwa sana na mambo yetu. Kamalizane kwanza na Uhuru ndio udandie ambayo hayakuhusu.
 
At the same time our GDP growth is keep on widening at the pace of 7.1 percent, one of fastest in Africa but also poverty eradication acceleration is number one in Africa 😍😊👌
Wacha uongo mchana bwana. IMF walisema uchumi wa Tz unakua kwa asilimia 4% tu na hizo takwimu zingine za Magufuli ni gushi tu.
 
Kwahiyo unadhani Kenya wana jenga Nairobi peke yake?

Capital Cities. Ndio kutovu cha uchumi wa Nchi. Miundombinu yake: Maji, nishati, securiry na roads vinahitaji viwe bora na vyente ufanisi mkubwa sana. Dar unaweza poteza masaa 2 hadi 3 kwenye jamu. Nairobi hizo interchange roads, flyover, highways ni kibao.

Budget ya Kenya ni 2 times ya Tz.
Kwahyo we unahisi Tz ni Dar peke ake? Tz ni kubwa na maendeleo yanahitajita tz nzima, ndio maana mzee wetu anajaribu kukuza infrastructures nchi nzima na kuweka connection ya lami, na trains mkoa kwa mkoa hadi hapa dar kwa ajili ya masoko. Dar inawekwa miundombinu kama BRT na light electric trains ndani ya dar ambazo zitaanza kujengwa 2020 na hii ni tofaut na sgr.
 
Unaongea kama mtu usiyekuwa na Exposure na Kenya. Na kwa ushamba wako una jifanya mjuaji!

Taja Main Road (distance). Mfano Musoma to Majita, Tobora-Kasulu-Kgm , Distance kama hiyo Kenya hakuna Lami? Jamaa kwa sasa wanajenga street roads kwa lami ngumu (chembe za mawe chini....then zenge ya maana na mwisho vigae vigumu).

Kenya wana izidi Tz sector zote.
Hivi Gesi ya Tanzania imetusaidiaje? Gesi Kenya ni cheap kuliko Tanzania!!
Vyuo vyao 2 tu mfano Nairobi na Kenyatta ni sawa na Public Universities zote za Tz interms of investment. Quality wametuacha mbali saaaanaaa never compare!

Nairobi Vs Dar. Roads, bypasses, bridges, interchange roads, highways never compare to Dar. Dar una poteza 2 to 3 hrs on jam. Nairobi maximum ni 30min pia mara chache sanaaa.
Dar haija pangiliwa, wajuaji kama ninyi na wabishi mnakwamisha! Dar ipo ki enzi za Mwl!

Angalia hata issue ndogo tu Security Lights. Kenya miji kama Nakuru, Kisii, Narok na barabara zote za Nairobi hadi mitaani wana Security lights na Camera.
Tz sasa yaani ni kwa Dar ni sehemu ndogo tu. Mwanza sasa hata 30 zilizopo tu haziwaki! Camera hakuna!

Interms of investments (viwanda) Kenya ni vingi na population yao ni ndogo kuliko Tz.
Tz tunawaza Kujenga National Sports Academy Center , Kenya wana hizo Academy na sports center kibao mf. Moi Sports Center, Kasarani, nk.

Housing -industry. Tz tuna vinyumba vya kutapakaa chini! Kenya miji karibu yote ni Magorofa ni asilimia kubwa.

Hata kukatika umeme, Tz inaongoza. Kenya ni mara chache sanaaa.

Budget ya Kenya ni 2times ya Tz.

Compare level of education Kenya Vs Tz. Then Compare unemployment rate? Then Compare Investment na job creation Multiplier?

Kwa kifupi ww hujaishi Kenya. Unaongea tu kwa kutumia media News. Tuna safari ndefu kuwafikia Kenya. Kila idara ya maendeleo wametuzidi!

Tuna wazidi ukarimu (upendo, utu, amani, nk), chakula kizuri, vingine wapo mbele miaka mnoo.

JPM ana pambana sanaaa. Ila kuna miaka 20 ya nyuma Tz haikufanya vya maana saaanaa.

Big up JPM.
Na akili yako ni finyu kama wanasiasa wa Kenya, wao 99% ya pesa yote inayokopwa inajenga Nairobi tu, wakitoka nje ya Nairobi ni Mombasa, Tanzania barabara zinajengwa nchi nzima sababu Tanzania sio Dar tu. Miradi yote mikubwa inayoendelea Tanzania imetawanywa Tanzania nzima na ndivyo uchumi unavyotakiwa kuwa scattered across the country.
 
Unaongea kama mtu usiyekuwa na Exposure na Kenya. Na kwa ushamba wako una jifanya mjuaji!

Taja Main Road (distance). Mfano Musoma to Majita, Tobora-Kasulu-Kgm , Distance kama hiyo Kenya hakuna Lami? Jamaa kwa sasa wanajenga street roads kwa lami ngumu (chembe za mawe chini....then zenge ya maana na mwisho vigae vigumu).

Kenya wana izidi Tz sector zote.
Hivi Gesi ya Tanzania imetusaidiaje? Gesi Kenya ni cheap kuliko Tanzania!!
Vyuo vyao 2 tu mfano Nairobi na Kenyatta ni sawa na Public Universities zote za Tz interms of investment. Quality wametuacha mbali saaaanaaa never compare!

Nairobi Vs Dar. Roads, bypasses, bridges, interchange roads, highways never compare to Dar. Dar una poteza 2 to 3 hrs on jam. Nairobi maximum ni 30min pia mara chache sanaaa.
Dar haija pangiliwa, wajuaji kama ninyi na wabishi mnakwamisha! Dar ipo ki enzi za Mwl!

Angalia hata issue ndogo tu Security Lights. Kenya miji kama Nakuru, Kisii, Narok na barabara zote za Nairobi hadi mitaani wana Security lights na Camera.
Tz sasa yaani ni kwa Dar ni sehemu ndogo tu. Mwanza sasa hata 30 zilizopo tu haziwaki! Camera hakuna!

Interms of investments (viwanda) Kenya ni vingi na population yao ni ndogo kuliko Tz.
Tz tunawaza Kujenga National Sports Academy Center , Kenya wana hizo Academy na sports center kibao mf. Moi Sports Center, Kasarani, nk.

Housing -industry. Tz tuna vinyumba vya kutapakaa chini! Kenya miji karibu yote ni Magorofa ni asilimia kubwa.

Hata kukatika umeme, Tz inaongoza. Kenya ni mara chache sanaaa.

Budget ya Kenya ni 2times ya Tz.

Compare level of education Kenya Vs Tz. Then Compare unemployment rate? Then Compare Investment na job creation Multiplier?

Kwa kifupi ww hujaishi Kenya. Unaongea tu kwa kutumia media News. Tuna safari ndefu kuwafikia Kenya. Kila idara ya maendeleo wametuzidi!

Tuna wazidi ukarimu (upendo, utu, amani, nk), chakula kizuri, vingine wapo mbele miaka mnoo.

JPM ana pambana sanaaa. Ila kuna miaka 20 ya nyuma Tz haikufanya vya maana saaanaa.

Big up JPM.
Hizi story za vijiweni nenda ukawadanganye wana vijiweni wenzako
 
Sema hujui lolote kuhusu Kenya. Ni ujuaji kama SOKA na bado Rank zote Kenya inatuzidi!

Ebu taja Rank tunayo izidi Kenya kama haitakuwa ya Kifala?

Mbona usijibu kwa hoja, hehehe! Natamani siku hata moja nione umejibu hoja yoyote kwa kutumia akili, sio vibaya kurusha vijembe mara moja moja, ila sio kwenye kila kitu kila siku, unaishi vipi huko kitaa wewe jamaa...hehehehe!
 
Ukicomment pumba nakujibu pumba
 
Sema hujui lolote kuhusu Kenya. Ni ujuaji kama SOKA na bado Rank zote Kenya inatuzidi!

Ebu taja Rank tunayo izidi Kenya kama haitakuwa ya Kifala?
Ngoja niazie kwenye vitu vya msingi,
Niletee unemployment rate ya kenya,

Ushawahi kuona Tanzania ikipewa misaada ya chakula karne hii?
 
Ukicomment pumba nakujibu pumba
Siku moja tukuone ukicomment bila pumba haswa unapojibu hoja iliyoandikwa na mtu aliyeshirikisha ubongo, hayo maisha unaishi magumu sana, tupia pumba mara moja moja lakini pia tukuone ukichangia hoja wakati mwengine hata kama unapinga upinge kidogo kwa hoja kama wenzako.
 
Ngoja niazie kwenye vitu vya msingi,
Niletee unemployment rate ya kenya,

Ushawahi kuona Tanzania ikipewa misaada ya chakula karne hii?

Umeonaee sasa hapa ndio umeanza vizuri.
 
Unemployment rate ya Tz siyo chini ya 10 % hivyo kwa Kenya. Serikali ya Tz haitaki data kinzani. Data zetu ni za Kupikwa! Kama tulipinga hata Growth rate za World Bank kati ya nchi 5 zote ni maajabu!

Behewa 21 za Mahindi unaweza nununa zote kwa Tshs Mil 100! Ni sawa na mtu aiuzie Tz, Sam Sang Galaxy 100 tu nchini sawa na Box 1 tu. Ha ha ha.

Kenya wana Import Tz Valuable Goods. Mf. Medecine, Agricultural equipments, consumable goods kibao,. Import yao ya Mwezi 1 ni swwa na Mahindi tulio lima Tz mwaka mzima. Watanzania tuamke. Tuachane na SIFA za kijinga. Kusifu sifu upumbavu!!!

Je Kenya na Tz ni nchi ipi ina Wasomi wengi when Compared to its Population? (ratio)
Ngoja niazie kwenye vitu vya msingi,
Niletee unemployment rate ya kenya,

Ushawahi kuona Tanzania ikipewa misaada ya chakula karne hii?
 
Pamoja na kukopa kote huko bado mpo LDC, hela mnatumia kufanya nini haswa, maana duh!
Haufai kujilinganisha Debt to GDP kwa kutumia mataifa yaliyokuzidi kiuchumi, jiangalie kwenye level yako, miaka miine mumekopa sana kuzidi awamu zote lakini bado mpo kwenye kundi la extremely poor nations.
Aibu ya madeni ndege zinakamatwa kamatwa hadi mumezificha zibaki ndani, mumekimbia kwa Msouth.
Ya kwako yamekushinda kazi kufuatilia ya wenzako.
 
Siku moja tukuone ukicomment bila pumba haswa unapojibu hoja iliyoandikwa na mtu aliyeshirikisha ubongo, hayo maisha unaishi magumu sana, tupia pumba mara moja moja lakini pia tukuone ukichangia hoja wakati mwengine hata kama unapinga upinge kidogo kwa hoja kama wenzako.
Ingekuwa unapitia comment zangu ungeona vitu vya msingi au unataka niwe naeneza chuki kama wewe 😂😂😂
 
Unemployment rate ya Tz siyo chini ya 10 % hivyo kwa Kenya. Serikali ya Tz haitaki data kinzani. Data zetu ni za Kupikwa! Kama tulipinga hata Growth rate za World Bank kati ya nchi 5 zote ni maajabu!

Behewa 21 za Mahindi unaweza nununa zote kwa Tshs Mil 100! Ni sawa na mtu aiuzie Tz, Sam Sang Galaxy 100 tu nchini sawa na Box 1 tu. Ha ha ha.

Kenya wana Import Tz Valuable Goods. Mf. Medecine, Agricultural equipments, consumable goods kibao,. Import yao ya Mwezi 1 ni swwa na Mahindi tulio lima Tz mwaka mzima. Watanzania tuamke. Tuachane na SIFA za kijinga. Kusifu sifu upumbavu!!!

Je Kenya na Tz ni nchi ipi ina Wasomi wengi when Compared to its Population? (ratio)
Nakuambia lete hiki unajibu hiki
 
Kama wanakopa na kazi Zinaonekana mbona fresh tu,
Mbaya zaidi Huko kwenu mnakopa alafu inaliwa juu kwa juu [emoji23][emoji23][emoji23] alafu mnaenda kukopa tena ili mlipe deni lililoliwa juu kwa juu karibu lote [emoji23][emoji23][emoji23] kichekesho cha karne alafu hata hamuoni [emoji23][emoji23][emoji23] mko busy na mambo ya Tz humu.
Bora hata uwambie kwa maana tz pesa za mkopo zna2mk kwny maendeleo ya taifa ila huko kenya n wa2 wajnja wanatufuna
 
Tanzania data ni za kupika.
Uliwahi kushiriki upikwaji?
Unakumbuka miezi michache PK alishutumiwa kupika data za nchi yake?
Embu niambie kwanini Tz haikushutumiwa na PK akashutumiwa.
 
Back
Top Bottom