Tanzania wanajenga kwa pesa ya ndani!!! Kwa ya miaka miine wamekopa kuzidi miaka kumi ya Kikwete - Zitto Kabwe

"Out of 52m - Tanzanians , tax payer Tz ni 2m"

Wewe hoja yako uliyoitolea macho ni Tz takwimu zinapikwa sasa hiyo takwimu hapo juu imetolewa na serikali ila kwakua unaona ina fit mawazo yako ya chuki unaitumia huku umedinda. Unaweza ukawa una hoja za msingi ila zika puuzwa kwakua unaziwakilisha kipuuzi. Punguza upuuzi.
 
Takwimu za Idadi ya 2 Population na Growth rate yake Duniani kote World Bank hutoa.
 
jirani hadi mambo haya unayatafuta
 
Unajua kuropoka ww.
IMF ILITOA RIPOTI YENYEWE KUANXIA 2015 UNEMPLOYMENT RATE YA TZ NI 9.4 % LETE YA KENYA.
Na LITERACY RATE KWA TZ NI 83.2% kwa male na 73.1% kwa female na hiyo ni toka 2015 na hz sio takwimu zetu bali za shirika la UN.
LETA ZA KENYA.ONGEA KWA FACT UMEAMBIWA ULETE DATA SIO MANENO YAKO.
 
Mjomba budget kubwa ya kenya inasaidia nn kama nchi IMESITISHA AJIRA KWA MIAKA MITATU???
WATU WANAJIUA KISA MAISHA MAGUMU KENYA HUSUSAN WANAFUNZI WA CHUO HIYO BAJETI KUBWA YA KENYA INA FAIDA GANI INAFANYIWA NN??
 
Takwimu za Idadi ya 2Population na Growth rate yake Duniani kote World Bank hutoa.
Wewe mzima kweli! Yani idadi ya tax payers itolewe na WB! Hiyo takwimu ilitolewa na TRA na Raisi akaipaisha kwa kulalamika ndiyo mtu kama wewe ukaidaka na kuishadadia. Kwa taarifa yako WB na IMF wote wanatoa takwimu serikalini wao wanafanya ku compute tu. Hiyo GDP inavyo kuwa calculated WB wala IMF hawawezi kupata hizo real data bila kuhusisha mamlaka husika za serikali. Sijui kwanini unajiita PHD bila shaka role model wako ni yule mbongo movie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…