Tanzania: Withdrawal of individual rights to African Court will deepen repression

Onesha udhaifu wao
 
Wanajamvi ni juzi hapa taarifa za Tanzania kujitoa kwenye mahakama ya Afrika zimetawala masikioni mwetu ila kuna swali najiuliza na kuwauliza baadhi yetu.

Ni mbunge wa gani CCM hata mmoja tu, anayeweza kuhoji kwanini Tanzania tumejiondoa ktk Mahakama ya Afrika kwa sasa?

Lengo ni kujua sababu hasa pamoja na mifano mingi inayoweza kuletwa mfano Marekani kutokuwa mwanachama wa mahakama ya kimataifa ICC lakini inafanya mambo yake pasipo kuingiliwa.

Naomba niwasilishe mada mezani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…