Nakubusu
JF-Expert Member
- Nov 3, 2022
- 772
- 1,837
Huyo atakuwa hazalishi cyo bure,ndio maana anawaonea kinyaa wenziePumbafu,kinyaa gani sasa?.Kumbuka hata wewe umetoka huko.
Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo atakuwa hazalishi cyo bure,ndio maana anawaonea kinyaa wenziePumbafu,kinyaa gani sasa?.Kumbuka hata wewe umetoka huko.
Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
Hizo ni athari za lile debe alilokuwa akipiga JPM.Yaani unakutana kila unapopita watu wamebeba vichanga hadi kinyaa
Saint Helena Iko Africa?Countries In Africa By Population:
1. Nigeria 🇳🇬 223,804,632
2. Ethiopia 🇪🇹 126,527,060
3. Egypt 🇪🇬 112,716,598
4. Democratic Republic of Congo 🇨🇩 102,262,808
5. Tanzania 🇹🇿 67,438,106
6. South Africa 🇿🇦 60,414,495
7. Kenya 🇰🇪 55,100,586
8. Sudan 🇸🇩 48,109,006
9. Uganda 🇺🇬 48,582,334
10. Algeria 🇩🇿 45,606,480
11. Morocco 🇲🇦 37,840,044
12. Angola 🇦🇴 36,684,202
13. Ghana 🇬🇭 34,121,985
14. Mozambique 🇲🇿 33,897,354
15. Madagascar 🇲🇬 30,325,732
16. Ivory Coast 🇨🇮 (Côte d'Ivoire) 28,873,034
17. Cameroon 🇨🇲 28,647,293
18. Niger 🇳🇪 27,202,843
19. Burkina Faso 🇧🇫 23,251,485
20. Mali 🇲🇱 23,293,698
21. Malawi 🇲🇼 20,931,751
22. Zambia 🇿🇲 20,569,737
23. Chad 🇹🇩 18,278,568
24. Senegal 🇸🇳 17,763,163
25. Somalia 🇸🇴 18,143,378
26. Zimbabwe 🇿🇼 16,665,409
27. Guinea 🇬🇳 14,190,612
28. Rwanda 🇷🇼 14,094,683
29. Benin 🇧🇯 13,712,828
30. Tunisia 🇹🇳 12,458,223
31. Burundi 🇧🇮 13,238,559
32. South Sudan 🇸🇸 11,088,796
33. Togo 🇹🇬 9,053,799
34. Sierra Leone 🇸🇱 8,791,092
35. Libya 🇱🇾 6,888,388
36. Congo 🇨🇬 6,106,869
37. Central African Republic 🇨🇫 5,742,315
38. Liberia 🇱🇷 5,418,377
39. Mauritania 🇲🇷 4,862,989
40. Eritrea 🇪🇷 3,748,901
41. Gambia 🇬🇲 2,773,168
42. Botswana 🇧🇼 2,675,352
43. Namibia 🇳🇦 2,604,172
44. Gabon 🇬🇦 2,436,566
45. Lesotho 🇱🇸 2,330,318
46. Guinea- Bissau 🇬🇼 2,150,842
47. Equatorial Guinea 🇬🇳 1,714,671
48. Mauritius 🇲🇺 1,300,557
49. Eswatini 🇸🇿 1,210,822
50. Djibouti 🇩🇯 1,136,455
51. Réunion 🇷🇪 981,796
52. Comoros 🇰🇲 852,075
53. Cabo Verde 🇨🇻 598,682
54. Western Sahara 🇪🇭 587,259
55. Mayotte 🇲🇫 335,995
56. Sao Tome & Principe 🇸🇹 231,856
57. Seychelles 🇸🇨 107,660
58. Saint Helena 🇦🇮 5,314
Countries In Africa By Population:
1. Nigeria 🇳🇬 223,804,632
2. Ethiopia 🇪🇹 126,527,060
3. Egypt 🇪🇬 112,716,598
4. Democratic Republic of Congo 🇨🇩 102,262,808
5. Tanzania 🇹🇿 67,438,106
6. South Africa 🇿🇦 60,414,495
7. Kenya 🇰🇪 55,100,586
8. Sudan 🇸🇩 48,109,006
9. Uganda 🇺🇬 48,582,334
10. Algeria 🇩🇿 45,606,480
11. Morocco 🇲🇦 37,840,044
12. Angola 🇦🇴 36,684,202
13. Ghana 🇬🇭 34,121,985
14. Mozambique 🇲🇿 33,897,354
15. Madagascar 🇲🇬 30,325,732
16. Ivory Coast 🇨🇮 (Côte d'Ivoire) 28,873,034
17. Cameroon 🇨🇲 28,647,293
18. Niger 🇳🇪 27,202,843
19. Burkina Faso 🇧🇫 23,251,485
20. Mali 🇲🇱 23,293,698
21. Malawi 🇲🇼 20,931,751
22. Zambia 🇿🇲 20,569,737
23. Chad 🇹🇩 18,278,568
24. Senegal 🇸🇳 17,763,163
25. Somalia 🇸🇴 18,143,378
26. Zimbabwe 🇿🇼 16,665,409
27. Guinea 🇬🇳 14,190,612
28. Rwanda 🇷🇼 14,094,683
29. Benin 🇧🇯 13,712,828
30. Tunisia 🇹🇳 12,458,223
31. Burundi 🇧🇮 13,238,559
32. South Sudan 🇸🇸 11,088,796
33. Togo 🇹🇬 9,053,799
34. Sierra Leone 🇸🇱 8,791,092
35. Libya 🇱🇾 6,888,388
36. Congo 🇨🇬 6,106,869
37. Central African Republic 🇨🇫 5,742,315
38. Liberia 🇱🇷 5,418,377
39. Mauritania 🇲🇷 4,862,989
40. Eritrea 🇪🇷 3,748,901
41. Gambia 🇬🇲 2,773,168
42. Botswana 🇧🇼 2,675,352
43. Namibia 🇳🇦 2,604,172
44. Gabon 🇬🇦 2,436,566
45. Lesotho 🇱🇸 2,330,318
46. Guinea- Bissau 🇬🇼 2,150,842
47. Equatorial Guinea 🇬🇳 1,714,671
48. Mauritius 🇲🇺 1,300,557
49. Eswatini 🇸🇿 1,210,822
50. Djibouti 🇩🇯 1,136,455
51. Réunion 🇷🇪 981,796
52. Comoros 🇰🇲 852,075
53. Cabo Verde 🇨🇻 598,682
54. Western Sahara 🇪🇭 587,259
55. Mayotte 🇲🇫 335,995
56. Sao Tome & Principe 🇸🇹 231,856
57. Seychelles 🇸🇨 107,660
58. Saint Helena 🇦🇮 5,314
kwenye kuzaana hovyo ukiondoa wasukuma nadhani wapemba wanashika namba moja nchi hii.katiza mbeya na usukumani watoto wamezaa watoto
hapo hujamgusa mpemba na ukanda wa pwani kazi kazi [emoji23]
Ila kuna Vinchi vina watu wachache sana utadhani ni kijiji.Ndio Maana zinatawalika kirahisi,Maana ni rahisi kusambaza huduma za kijamii km vile barabara,Maji,hospitali,shule,Umeme ,nk.
Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
Katika hao 67m, huenda kundi la wazalishaji ni 15m tu. Na hao wengi wapo kwenye "fremconomics", yaani sio wazalishaji bali wananunua bidhaa na kuuza.
Naamini waliopo kwenye production na manufacturing sector kwa nchi hii hata milioni hawafiki.
hapo kuna nchi zina watu mil 1 na bado zimeizidi tanzania uchumi. nchi hii ni kituko. tuko na wingi usio na faida. wazungu wanipe tenda ya kuanzisha kiwanda cha kuwauzia kinywaj pendwa cha watanzania energy drink 300 tuweke dawa za kupunguza watu.
We matokeo ya sensa ulifuatilia kweli?kazi ipoKwenye sensa juzi tulikuwa 60m, mara hii tumeongezeka 7m ,tumeonewa hapo.
Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
Tanzania unemployment inaweza kuwa 2% Kwani hata muokota makopo ni employed person,Dependency ratio 80%
Unemployment ratio 70%
Sensa yetu ilisema yuko wangapi vile? Naona kama haiendani na iliyotolewa hapa.Countries In Africa By Population:
1. Nigeria [emoji1184] 223,804,632
2. Ethiopia [emoji1098] 126,527,060
3. Egypt [emoji1093] 112,716,598
4. Democratic Republic of Congo [emoji1078] 102,262,808
5. Tanzania [emoji1241] 67,438,106
6. South Africa [emoji1221] 60,414,495
7. Kenya [emoji1139] 55,100,586
8. Sudan [emoji1232] 48,109,006
9. Uganda [emoji1254] 48,582,334
10. Algeria [emoji1026] 45,606,480
11. Morocco [emoji1173] 37,840,044
12. Angola [emoji1029] 36,684,202
13. Ghana [emoji1110] 34,121,985
14. Mozambique [emoji1174] 33,897,354
15. Madagascar [emoji1155] 30,325,732
16. Ivory Coast [emoji1081] (Côte d'Ivoire) 28,873,034
17. Cameroon [emoji1062] 28,647,293
18. Niger [emoji1183] 27,202,843
19. Burkina Faso [emoji1059] 23,251,485
20. Mali [emoji1159] 23,293,698
21. Malawi [emoji1156] 20,931,751
22. Zambia [emoji1268] 20,569,737
23. Chad [emoji1070] 18,278,568
24. Senegal [emoji1211] 17,763,163
25. Somalia [emoji1220] 18,143,378
26. Zimbabwe [emoji1269] 16,665,409
27. Guinea [emoji1119] 14,190,612
28. Rwanda [emoji1206] 14,094,683
29. Benin [emoji1047] 13,712,828
30. Tunisia [emoji1249] 12,458,223
31. Burundi [emoji1060] 13,238,559
32. South Sudan [emoji1223] 11,088,796
33. Togo [emoji1244] 9,053,799
34. Sierra Leone [emoji1214] 8,791,092
35. Libya [emoji1149] 6,888,388
36. Congo [emoji1077] 6,106,869
37. Central African Republic [emoji1068] 5,742,315
38. Liberia [emoji1148] 5,418,377
39. Mauritania [emoji1163] 4,862,989
40. Eritrea [emoji1096] 3,748,901
41. Gambia [emoji1108] 2,773,168
42. Botswana [emoji1052] 2,675,352
43. Namibia [emoji1176] 2,604,172
44. Gabon [emoji1107] 2,436,566
45. Lesotho [emoji1147] 2,330,318
46. Guinea- Bissau [emoji1120] 2,150,842
47. Equatorial Guinea [emoji1119] 1,714,671
48. Mauritius [emoji1164] 1,300,557
49. Eswatini [emoji1235] 1,210,822
50. Djibouti [emoji1089] 1,136,455
51. Réunion [emoji1204] 981,796
52. Comoros [emoji1076] 852,075
53. Cabo Verde [emoji1065] 598,682
54. Western Sahara [emoji1266] 587,259
55. Mayotte [emoji1229] 335,995
56. Sao Tome & Principe [emoji1209] 231,856
57. Seychelles [emoji1213] 107,660
58. Saint Helena [emoji1030] 5,314
Uzuri wao hakuna Mpemba ombaomba unless awe anaugua akili. Wanabebana wenyewe kwa wenyewe.kwenye kuzaana hovyo ukiondoa wasukuma nadhani wapemba wanashika namba moja nchi hii.
kuna siku nikiwa mitaa ya buguruni nilishudia familia moja ya kipemba ikishuka kwenye daladala mpaka nikapigwa na butwaa.
mdada na vitoto vyake nane vyote vimepishana umri wa mwaka mmoja, kibaya zaidi vitoto vingine vilikuwa na muonekano dhaifu kiafya.
kwa harakaharaka umri wa yule dada ni 29 au 30.
hizo nchi watu wana IQ. usifananishe na nchi hii yenye watu wehu akili kisoda.Kuna nadharia Mlezi wangu alikua ananiambia mara nyingi; yeye anaamini maendeleo ni Directly proportional with population growth.
Mifano yake ilikua ni China, India, na Nigeria. Anasema Tanzania itapiga hatua karibuni kwa sababu ya population growth.
Anao marafiki zake wazawa na wakaazi wa Scandinavian countries nadhani ndio waliompa hiyo nadharia.
Nakumbuka aliniambia wao Scandinavian wanataka wafanye population growth haiwezekani tena kwao, wanawake hawako tayari tena kuzaa na kulea, kuna baadhi ya nchi zimeanza kuwalipa wanawake ili wazae watoto wengi na wawanyonyeshe (maternal leave allowance, new parents grants, along with child allowances and other family benefits) imeishia kuwa wanaolipwa ni Raia waliohamia hasa kutoka Palestina.
Kwa mfano Norway kuna Norwegian Labour and Welfare Administration (NAV) inahusika na hayo malipo, ila once wanawake wakiamini kwamba ni haki yao kutokuzaa, ni ngumu sana kuwaaminisha otherwise.
Mauritius, Botswana n.kKama Ipi?