Tanzania ya 5 kwa wingi wa watu Afrika

Madagascar lazima Wana population density kubwa hiyo idadi ni kubwa mno kwa kisiwa ,binafsi ningependa kuishi Ushelisheli au Cabo Verde hasa Cabo Verde [emoji3590]
 
Saint Helena Iko Africa?
 

Pamoja na kuwa na watu wengi hivyo, karibia 99% ya population ni vilaza...

Mataifa mengine yanatumia vizuri wingi wa watu wake kuleta maendeleo, Tanzania ni kinyume kwa sababu kadiri watu wanavyoongezeka ndivyo umaskini na vilaza wanavyozidi kuwa wengi...
 
Katika hao 67m, huenda kundi la wazalishaji ni 15m tu. Na hao wengi wapo kwenye "fremconomics", yaani sio wazalishaji bali wananunua bidhaa na kuuza.
Naamini waliopo kwenye production na manufacturing sector kwa nchi hii hata milioni hawafiki.
 
katiza mbeya na usukumani watoto wamezaa watoto
hapo hujamgusa mpemba na ukanda wa pwani kazi kazi [emoji23]
kwenye kuzaana hovyo ukiondoa wasukuma nadhani wapemba wanashika namba moja nchi hii.

kuna siku nikiwa mitaa ya buguruni nilishudia familia moja ya kipemba ikishuka kwenye daladala mpaka nikapigwa na butwaa.

mdada na vitoto vyake nane vyote vimepishana umri wa mwaka mmoja, kibaya zaidi vitoto vingine vilikuwa na muonekano dhaifu kiafya.

kwa harakaharaka umri wa yule dada ni 29 au 30.
 
Ila kuna Vinchi vina watu wachache sana utadhani ni kijiji.Ndio Maana zinatawalika kirahisi,Maana ni rahisi kusambaza huduma za kijamii km vile barabara,Maji,hospitali,shule,Umeme ,nk.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app

Not necessarily true. Nchi ndogo kibao tu na ni shithole countries like the rest of them in sub-Saharan Africa. Nchi zinazojielewa kidogo sub Sahara Africa zina wageni wengi.
 
Katika hao 67m, huenda kundi la wazalishaji ni 15m tu. Na hao wengi wapo kwenye "fremconomics", yaani sio wazalishaji bali wananunua bidhaa na kuuza.
Naamini waliopo kwenye production na manufacturing sector kwa nchi hii hata milioni hawafiki.

Nchi ya wachuuzi hii na uchumi wa frames hadi jeshi linashindana kufungua frames.
 
hapo kuna nchi zina watu mil 1 na bado zimeizidi tanzania uchumi. nchi hii ni kituko. tuko na wingi usio na faida. wazungu wanipe tenda ya kuanzisha kiwanda cha kuwauzia kinywaj pendwa cha watanzania energy drink 300 tuweke dawa za kupunguza watu.

Kama Ipi?
 
Kuna nadharia Mlezi wangu alikua ananiambia mara nyingi; yeye anaamini maendeleo ni Directly proportional with population growth.

Mifano yake ilikua ni China, India, na Nigeria. Anasema Tanzania itapiga hatua karibuni kwa sababu ya population growth.

Anao marafiki zake wazawa na wakaazi wa Scandinavian countries nadhani ndio waliompa hiyo nadharia.

Nakumbuka aliniambia wao Scandinavian wanataka wafanye population growth haiwezekani tena kwao, wanawake hawako tayari tena kuzaa na kulea, kuna baadhi ya nchi zimeanza kuwalipa wanawake ili wazae watoto wengi na wawanyonyeshe (maternal leave allowance, new parents grants, along with child allowances and other family benefits) imeishia kuwa wanaolipwa ni Raia waliohamia hasa kutoka Palestina.

Kwa mfano Norway kuna Norwegian Labour and Welfare Administration (NAV) inahusika na hayo malipo, ila once wanawake wakiamini kwamba ni haki yao kutokuzaa, ni ngumu sana kuwaaminisha otherwise.
 
Sensa yetu ilisema yuko wangapi vile? Naona kama haiendani na iliyotolewa hapa.

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
Uzuri wao hakuna Mpemba ombaomba unless awe anaugua akili. Wanabebana wenyewe kwa wenyewe.
 
hizo nchi watu wana IQ. usifananishe na nchi hii yenye watu wehu akili kisoda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…