Tanzania ya 5 kwa wingi wa watu Afrika

Sisi Bado wachache sana kwa sababu Nigeria, Egypt na Tanzania ukubwa wa nchi ni kama tunalingalina lakini wenzetu Wana watu wengi zaidi
 
Madagascar lazima Wana population density kubwa hiyo idadi ni kubwa mno kwa kisiwa ,binafsi ningependa kuishi Ushelisheli au Cabo Verde hasa Cabo Verde [emoji3590]
Unafahamu ukubwa wa eneo la Kisiwa cha Madagascar? For your information Tanzania ina density kubwa per unit km square kuliko Madagascar.
 
Sisi Bado wachache sana kwa sababu Nigeria, Egypt na Tanzania ukubwa wa nchi ni kama tunalingalina lakini wenzetu Wana watu wengi zaidi
hamuitakii mema nchi. kwa haya masorosoro tuzidi kuongezeka? tuna mazombi mengi. hizo nchi sio za kujifananisha nao. wametuzidi rasilimali namba 1 kwa umuhimu ๐Ÿ‘‰๐Ÿพ IQ
 
Katika hao 67m, huenda kundi la wazalishaji ni 15m tu. Na hao wengi wapo kwenye "fremconomics", yaani sio wazalishaji bali wananunua bidhaa na kuuza.
Naamini waliopo kwenye production na manufacturing sector kwa nchi hii hata milioni hawafiki.
Frameconomics ipo juu mno. Hao watu wa production na manufacturing hata buku 2 hawafiki. Na production zao ni juisi, maji, pombe, soda na energy drinks.
 
halafu kuna wadau humu wanasema tuzidi kuzaliana. watu wenyewe ndio hawa akina Babu Njunju.
 
Ndio unajua Leo? By 2100 itakuwa ya 5 Duniani as per approximation
 
Cabo Verde Ina watu 600,000 inatuzidi Tzn wenye watu mil.67 kwenye mambo ya mpira ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
 
Yes mkuu, ushelisheli kupo super, Mauritius, Namibia ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฆ (pole yao kwa kufiwa na president wao ,asubuhi ya leo),na my favorite Botswana
Vinchi kaka hivyo havina heshima Wala sauti.

Population is power ndio maana Kim analia kuwaomba Wanawake wazae
 
hapo kuna nchi zina watu mil 1 na bado zimeizidi tanzania uchumi. nchi hii ni kituko. tuko na wingi usio na faida. wazungu wanipe tenda ya kuanzisha kiwanda cha kuwauzia kinywaj pendwa cha watanzania energy drink 300 tuweke dawa za kupunguza watu.
Unajua Kipimo Cha Uchumi lakini au unaropoka tuu?
 
Uongo
 
hamuitakii mema nchi. kwa haya masorosoro tuzidi kuongezeka? tuna mazombi mengi. hizo nchi sio za kujifananisha nao. wametuzidi rasilimali namba 1 kwa umuhimu ๐Ÿ‘‰๐Ÿพ IQ
Population is power,tunatakiwa tuzae zaidi Ili kukuza soko
 
Hata human development index , Tanzania ni amongst the worst
Nchi imejaa watu wengi mafukara ,miundombinu na huduma za kijamii ovyo , living standards na kipato so poor + corruption
It won't be like that forever.Population is power.

Waambie hao wanaojiita kuendelea walete fyatu Kwa Tzn uone kitakachowapata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ