Tanzania ya 5 kwa wingi wa watu Afrika

Uchumi wa Tanzania(GDP? ni mkubwa kuzidi hizo Nchi ila wametuzidi Ustawi wa watu.

Ndio
factor ya GDP isikupambaze mkuu. by the way GDP doesn't account for changes in inequalities in distribution of income. ni lowest factor to go..kuna factor nyingi za msingi mkuu.

GDP per capita ya Mauritius na Tz unaifahamu mkuu? kama hoja ni watu. by 2022 ilikua dola 1100 dhidi ya dola 10,000. unaona gap hilo? tukubali ukwelu tuko nyuma na tuna idadi kubwa isio na tija. narudia rasilimali namba 1 ni akili=IQ. ukikosa hii hata muwe lundo au muwe wachache ni kazi bure.
 
Zanzibar buku ngapi
 
Nchi kama Mauritania, Libya, Namibia probably ni kubwa kuliko Tanzania na population ni ndogo mno!

Kuna namna Tanzania hatuko Sawa, itafika kipindi nchi hii itakuwa haikaliki na itakuwa too much!

Sikatai tusizaane na kuongezeka ila Twende kwa plan,

Wew niulize population ya Canada na ukubwa wake alafu compare na TZ utacheka mwenyewe.
 
GDP ndio power ya Nchi,hizo zingine ni porojo tuu.

Bila GDP saizi USA angekuwa ameshamchalaza bakora China kitambo sana
 
Mkuu umeongea facts, uchumi wetu unakua kwa less than 4%,na tunazaana kwa more than 3.6%,hii ni ukichaa wa ajabu, hizi royal families wao wameshazihakikishia generations zao stepping stones, je mtoto wa hapa lingusenguse ana equal future?,jibu it's a NO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…