Tanzania ya 5 kwa wingi wa watu Afrika

Acha uongo na uzushi
 
Acha tuzaliane, kikubwa tukiwa kama taifa tulinde RASILIMALI za taifa
 
Kwenye uchumi, elimu, afya, akili, mikakati pia ilibidi tuwe kwenye tano bora.
 
Yaan kuna nchi ina watu buku 5 sasa wote si wanajuana hawa๐Ÿคฃ
 
Me nadhani Kwa Ukubwa wa eneo letu la Nchi, naona hiyo Idadi haitoshi.

Wanaume tuwazalishe wake zetu, ikiwezekana minimum walau watoto 5 ๐Ÿค—
 
Tanzania unemployment inaweza kuwa 2% Kwani hata muokota makopo ni employed person,
Refer dfn of employment..
A person acting on behalf of another
Hiyo ni self employed Leo ataokota kesho hataokoto ni hivyo Hadi mwaka unaisha
 
tatizo la kukopy ni noma๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚sasa sensa tumefanya juzi lakini bado unatumia projection

tupo 63M kiazi ww
hizo unazotumia ni makadilio
 
tatizo la kukopy ni noma๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚sasa sensa tumefanya juzi lakini bado unatumia projection

tupo 63M kiazi ww
hizo unazotumia ni makadilio
Sasa na wewe hiyo 63 m imeitoa wapi? Matokeo ya sensa yanaonyesha tuko 61,741,120.
 
Yaani hii nchi itakuwa na majanga mengi. Kwa idadi hii maji hakuna, umeme shida , huduma za afya usiseme, elimu chali na miundombinu mibovu. Itafikia wakati huduma za jamii zitakosekana kabisa sababu ya kulemewa na mzigo wa watu tegemezi.
 
Uko sahihi, sasa hivi mataifa ya Ulaya hasa Ujerumani wanalia na upungufu wa nguvu kazi. Leo mtu kashiba Dona lake anasema eti mimba kinyaa, hovyo kabisa..
Hao wajerumani wenyewe unemployment rate ni 5.7,labda future outlook ndio wanahofia, lakini kwa sasa kuna watu hawana kazi na wanalipwa unemployment benefits.
 
Yaani hii nchi itakuwa na majanga mengi. Kwa idadi hii maji hakuna, umeme shida , huduma za afya usiseme, elimu chali na miundombinu mibovu. Itafikia wakati huduma za jamii zitakosekana kabisa sababu ya kulemewa na mzigo wa watu tegemezi.
Kumbe Libya nchi ya Gaddafi ilikuwa na Watu chini ya 5M. Inazidiwa na Dar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ