wabongo kwa kujidanganya bana eti maisha yalikuwa mazuri na miji ilikuwa misafi. Hakuna lolote maisha kila siku ni magumu hata enzi hizo maisha yalikuwa na ugumu wake kwa wakati ule, halafu msidinganye ni hizo picha za black and white uchafu ulikuwa pale pale ni sawa na hizi picha za sasa hivi zikija kuangaliwa miaka 50 ijayo watu wa miaka hiyo watakuja sema nchi ilikuwa nzuri na safi kuliko kipindi watakachokuwa wanaishi. Ndo binadamu tulivyo. Kwanza enzi za miaka ya nyuma 1940-1950-1960-1970-1980 watu kibao walikuwa wanatembea peku peku, nguo zinavyaliwa na viraka sasa happo utakuja nambia eti maisha yalikuwa mazuri na rahisi kuliko sasa?
 

Hii picha haiwezi kuwa ya 1890 lazima kuna typo hapo. nasema hivi ni kwa sababu quality ya hii picha ipo very advanced kuliko picha nyingine za enzi hizo 1800s hata za 1920s na 1930s. Hii picha inaweza kuwa ya miaka 1940s hadi 1960s. Unaweza ku compare na picha nyingine za 1800s to early 1900s ukaona tofauti.
Kitu kingine wabongo tukubaliane kukosolewa na kuchalinjiwa intellectually mtu unasema eti mwaka 1947 ni sawa na miaka 47 wakati ni vitu tofauti kabisa. Hata lile tangazo la biashara la redioni miaka ya 90 lilisema miaka ya arobaini na saba sio mwaka elfu moja mia tisa na arobaini na saba. kubali ulikosea ulichoandika hakikuwa sawa na ulichomaanisha.
CC King kong III
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…