Habari Mkubwa, naomba urejee katika Uzi wetu wa Ndoto, twahitaji msaada wako mkubwa
Nilipotea kwa sababu za kimtandao na poor connection niliyokuwa nayo. Kwa miezi kadhaa sikuwepo humu.
Hata hivyo hakuna aliyeni tag kule niweze kurudi bali wachache walio nipm.
Nakukumbuka sana wakugoogle.
 
Kwa sisi vijana wa miaka ya juz, ni raha sana kuona picha za enzi, najifunza mengi


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye miaka ya mwishoni ya 80 na mwanzoni mwa 90's nilikuwa naangalia movies hapo juu, Goethe institute.
 
hapo kwenye vijana wa sekondari nimefurahia sana
 
Raha kuiangalia hii picha haikuwa issue. Siku hizi wakiacha wazi hivi sijui itakuwaje?
Na una angalia zaidi vifuani kwa hao wasichana. Wangeacha wazi tu hata siku hizi ila mengi yamesha lala katika umri huo wanayainua na sidiria
 
Wakati fulani unatamani kama ungeweza kurewind maisha angalau uishi maisha yale hata kwa mwezi mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…