Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 10,448
- 8,705
Tatizo Mkuu ni kuwa shutuma hizi zilianza mapema na sikumbuki kama uliwahi kusema kuwa wewe sio msukuma wakati wa utawala wa Marehemu.Yaani, mnaamini kabisa kuwa kila mtu aliyemuunga mkono JPM alikuwa ni Msukuma? Sijui tuuite huo ni ukabila wa namna gani. Kwa kifupi mimi siyo Msukuma...
Kwani kuna tatizo gani watu wakiwa na furaha na Mheshimiwa Rais mama Samia!yeah Ilani na ajenda ni ile ile... mengine uliyosema ni kweli. Unless kuna Ilani nyingine itapitishwa...
Atugeuke atu teke au atu uwe?yaani, unafikiri kuna mtu anaweza kunituma kuandika kitu? yaani wiki hii tu tayari mmejua hakuna tena ubabe au kutishana maisha... ngoja awageuka mtamsemaaaa...
Sawa hakuna tatizo sisi tuna muunga mkono Mama!Endelea kuota!! CCM ni dola usifikiri ni Saccos kama Chadema. Be informed dada!!
Ndio maana ccm itatawala milele.Yaa wewe kada wa chadema unaiombea mazuri ccm!Ni kweli Samia ni ccm lakini katu hawezi kuchukua Tabia na mwenendo wa Magufuli , Samia hatoivunja Ilani ya ccm wala hataiweka ccm mfukoni
Ila mnapigwa hadharani.Sasa hivi hatufokewiii
Kwa kweli marehemu alizuzuka sana na madaraka akatuona Sisi wengine vikaragosi tu! Sikumpenda tangu mwanzo!Lowassa hajawahi kuwa safi. Lakini Magufuli amewahi kuwa na afadhali...
Sawa kabisa. Hakuna mtu anyeweza kuwa ndani ya mtu mwingine. Ccm ni ileile na ilani ni ileile lakini wenyeviti wote hawakufanana. Samia kwa moyo na kwa macho ni tofauti na mtangulizi wake tukimsemea tunampigia miluzi ya kumpoteza.Tanzania ni ileile.
Kiongozi ni mwingine.
Approach ni nyingine.
Hao wapinzani ni namna yao ya kupumua chuki waliyokuwa nayo dhidi ya JPM.
Na. M. M. Mwanakijiji
Wale ndugu zetu waliombea, waliongojea, na hata waliosubiria Magufuli afariki akiwa madarakani leo wanataka tuendelee kuamini kuwa chaguo lao limeingia madarakani sasa...
Good question. Uzuri toka 2015 tuna wa prove wrong. Hawa hawana muda mrefu wataanza kumkumbuka JPM. Kila utawala una agenda zake hata kama ilani ni ile ile.Mbona hajamsamehe Kakoko?
Ni kweli lakini kwanini tulikuwa tunafichwa.
Mbona mgawanyo wa fedha uko sawa tu, yaani mlitegemea serikali isilipe watoa huduma, hivi mnadhani pesa ya serikali inachukuliwa kama tango shambani.Mnaowachafua wataibuka kidedea. Hongera sana mama kwa kumuagiza CAG na Gavana ili waongo waaibike, subirini ripoti na muwe tayari kupokea matokeo ya ukaguzi
Nachojua wapinzani wanaounga mkono kwenye yale wanayoona ni mazuri huwa wanaishia kuitwa wasaliti,upinzani huwa unasema kuwa wao kazi yao ni kukosoa na si kupongeza. Nakumbuka hadi Jk akawaambia mnaona mabaya tu mazuri hamuyaoni?Upumbavu wako ni pale unalazimisha watu wampinge samia ata kama kafanya jambo jema . Upinzani upo kwajili ya kukosoa pale penye makosa na kama pana mazuri wanaunga mkono pia upumbavu wako mwingne rais ni wa wananch wote co wa chama wew ulizoea jpm alivokua mchama ukaisi ni sahihi rais hatakiwi kuwa upande wowote ktk utendaj wake na wananch tunamuona ni rais wetu wote