Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 10,448
- 8,705
Tatizo Mkuu ni kuwa shutuma hizi zilianza mapema na sikumbuki kama uliwahi kusema kuwa wewe sio msukuma wakati wa utawala wa Marehemu.Yaani, mnaamini kabisa kuwa kila mtu aliyemuunga mkono JPM alikuwa ni Msukuma? Sijui tuuite huo ni ukabila wa namna gani. Kwa kifupi mimi siyo Msukuma...
Amandla....