Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
- Thread starter
-
- #41
Mbona unasema ninachosema mimi; au labda kimekuchanganya kichwa cha habari?Pole sana mleta mada.
Umeamua kuja kujifariji hapa JF.
Zama za Magufuli zilishakwisha, na Magufuli hayupo tena, ni mfu.
Usilazimishe mambo, soma alama za nyakati, wewe jua tu mtawala wa sasa ni mama Samia Suluhu. Ndio rais wa sasa, tutake au tusitake tutaucheza muziki wake.
Watajifanya hawalielewi hilo bandiko wako bize na kumshauri mh. Rais Samia suluhu HassanNakukumbusha hapa kuwa hata magu tilimtaka asifanye ya JK, huku tukimmwagia sifa kedekede
Magufuli, lipa kisasi ikibidi; historia ni mwalimu mzuri, itakulinda
MAGUFULI LIPA KISASI IKIBIDI, HISTORIA NI MWALIMU MZURI; ITAKULINDA.! By Malisa GJ, Leo nataka niwafundishe kidogo kuhusu historia na umuhimu wake. Katika historia ya Kanisa kuna maPapa waliwahi kufutwa kwenye orodha ya mapapa wanaotambulika na wakawa declared #AntiPope. Papa Felix II ni...www.jamiiforums.com
Magufuli AMEKUFA! Hakuna Tanzania ya hiyo. Hata Nyerere hakuwa na Tanzania ya Nyerere nyie mnatuletea Tanzania ya mtu fulani! Tanzania ya WatanzaniaMbona unasema ninachosema mimi; au labda kimekuchanganya kichwa cha habari?
Upumbavu wako ni pale unalazimisha watu wampinge samia ata kama kafanya jambo jema . Upinzani upo kwajili ya kukosoa pale penye makosa na kama pana mazuri wanaunga mkono pia upumbavu wako mwingne rais ni wa wananch wote co wa chama wew ulizoea jpm alivokua mchama ukaisi ni sahihi rais hatakiwi kuwa upande wowote ktk utendaj wake na wananch tunamuona ni rais wetu woteUnatakiwa kuonesha "upumbavu" wangu; ila sijawahi kujali "kuvunjiwa" heshima. Inabidi unioneshe werevu wako ili nikupe heshima unayostahili.
Watu wameumizwa sana kipindi cha JPM, kila mtu mzima anaelewa hili, si wafanyabiashara, si wafanyakazi wa serikalini,si wa sekta binafsi, si NGOs, si wawekezaje, si wapinzani, kila kundi liliguswa mpaka viongozi wa dini wameonja joto la Jiwe. Asililimia kubwa ya watanzania wameambulia maumivu ya kutosha. Ni the elites wachache tu ndo wamekula shushu mwanzo mwisho wa utawala wake mpaka mauti yalipomkuta. We need reconciliation na hiki ndicho kilio cha Mama Samia. We need to come together, forget the past and move forward. Yeyote anayepingana na hili ni mchumia tumbo na lengo lake ni kusabogate juhudi za mama Samia za kuliunganisha tena taifa lililogawanyika. Hatuwezi kuwavumilia tena nyie pro Magufuli, muda wenu umekwisha, kaeni pembeni.Tatizo ni njaa
ni utangulizi tu; wa makala kadhaa zijazo. Lakini tatizo siyo kumsifia; ni kumfikiria. Kuna watu wanamfikiria na kutaka awe tofauti na ajenda iliyomuingiza madarakani. Ni kuwa wapo wanaotaka angeingia madarakani bila ya Magufuli na kuwa aionee aibu na kuikana ajenda "yao". Ndio lengo la kuwakumbusha watu tu.Mkuu hii ndio makala yenyewe au ni sehemu ya makala? Angalau kwa hotuba ya leo SSH sio JPM hata kwenye matamshi mfano tutaongeza wigo,tu(ni)
Ni kweli SSH ni ccm kama alivokuwa JPM ila kumsifia leo haimaanishi hatokosolewa kesho!
Mbona sijasema hivyo; siwezi kuthubutu kusema hivyo.
Wanajaribu kujifariji baada ya mshituko na mfadhaiko sababu hata wao hawajui hali itakuwaje huko mbele, lakini wajue kuwa huyo mama ni Mzanzibar na mwislam safi hatakubali michezo yao, na pia atatumia nafasi hii kuonyesha kuwa mwanamke anaweza.Sasa kama Tanzania ya Samia ni ya Magufuli, sisi tufanyeje?
Mbona nyie watu wa CCM na hasa chawa wa The late Magu mnajishtukia sana? Shida ni nini?
Kubalini mambo yamebadilika, mkiweza hamishieni tu pambio kwa Bi. Mdashi.
Kakoko si aliteuliwa na Magu, hata kwenye ubadhirifu wa mwaka jana kwenye report ya CAG ilionekana? Alichukuliwa hatua gani? Huyu Jaffo si muda wote akiwa kwenye maziara kila baada ya maneno 10 anataja Magufuli!
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Huna jipya ww njaa tu nimepitia bandiko lako la 2015 nimejiridhisha na naungana na mdau pale juu kuwa ww ni mpuuzi wa kiwango cha STGyaani, unafikiri kuna mtu anaweza kunituma kuandika kitu? yaani wiki hii tu tayari mmejua hakuna tena ubabe au kutishana maisha... ngoja awageuka mtamsemaaaa...
Kwani Ilani ndiyo iliyokuwa inamwelekeza Magufuli atufokee? Bora ameenda mapema alitaka kutuletea vurugu nchini kwetu!yeah Ilani na ajenda ni ile ile... mengine uliyosema ni kweli. Unless kuna Ilani nyingine itapitishwa...
Wanajaribu kujifariji baada ya mshituko na mfadhaiko sababu hata wao hawajui hali itakuwaje huko mbele, lakini wajue kuwa huyo mama ni Mzanzibar na mwislam safi hatakubali michezo yao, na pia atatumia nafasi hii kuonyesha kuwa mwanamke anaweza.
Sawasawa; na nadhani (niseme najua) kuna watu ambao walipenda ajenda ya Magufuli ili hawakupenda jinsi alivyokuwa anaiendesha maana ni kama alikuwa anajigongelea misumari miguuni huku akijaribu kukimbia...Mimi nilichofurahi maneno ya kunya yatapungua tu.
Huko kwingine sitegemei mabadiliko makubwa, lakini yale maneno ya kunya kutoka kwa rais wa Tanzania kupungua tu ni jambo la kushukuru kwangu binafsi.
Not that niliombea Magufuli afe ili mqneno ya kunya yaishe. Ila maadam lishatokea lililotokea, naangalia upande mzuri wa matokeo ni kwamba maneno ya kunya yale ya "si mbaki na mavi yenu tumboni majumbani kwenu" yatapungua.
Zaidi ya hapo, napenda kujadili hoja na sera zaidi ya kujadili watu.
mbona hawa "hawakuanza" wakati wa Magufuli; na sidhani kama kuna serikali duniani imefanikiwa kuwaondoa hawa... wengine imechukua miongo kadhaa kuwafikia (rejea mfano wa Cambodia na Chile).....binafsi nitamkubali Mama Samia Hassan kama akiweza kukomesha dhuluma, unyama, na ukatili, wa genge la WASIOJULIKANA.