Tanzania ya sasa ni ile aliyoiona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Haya nipe kamba kuhusu watu wa Manyara πŸ˜‚πŸ˜‚wanamiliki nini au hawana lolote?
Wenzenu baada ya mwaka 1975, walichokuwa wanafanya ni kuhamisha hazina ya taifa na kupeleka nje ya nchi kwa nia ya kuwekeza kwenye viwanda.

​

WAINGEREZA huwa wanaita ni "NATIONAL TREASURE" na walifanikiwa kuondoa nusu ya hazina ya taifa katika kipindi cha MZEE RUKSA [1985-1995].

​

Wao walichokuwa wanafanya kwa kipindi kile cha MZEE RUKSA, ilikuwa ni lazima kila mkoa unaopatikana TANZANIA BARA na TANZANIA VISIWANI umiliki kiwanda cha uzalishaji katika mojawapo ya mataifa yanayopatikana ASIA, ULAYA na AMERIKA.

​

Walifanikiwa kuwekeza hadi VISIWA VYA GRENADA! Hivyo hadi MZEE RUKSA anamaliza muhula wake, 1995's ilikuwa tayari serikali kupitia tawala za mikoa inamiliki viwanda kwa upande wa mataifa ya ASIA, ULAYA na AMERIKA kwa idadi ya mikoa iliyokuwa inapatikana TANZANIA nzima.

​

Watanzania wengi waliondoka na kwenda kufanya kazi katika viwanda hivyo na wengi walikuwa ni wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] na familia chache za wastaafu wa MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA.


Kwahiyo hazina ya taifa ilipungua kwa namna hiyo, hata uchumi wa ndani ulisinyaa kutokana na uwekezaji mkubwa uliokuwa ukiendelea kufanyika nje ya nchi.

​

Sasa sijajua kama ule uwekezaji kupitia kila mikoa unaendelea kufanyika hadi leo? Au laah, kama huo mradi unaendelea ina maana hata MKOA WA MANYARA utakuwa unamiliki kiwanda katika mojawapo ya mataifa yanayopatikana ASIA, ULAYA au AMERIKA.
 
Charles umeshindwa kujibu maswali yangu kwa sababu hayapo kwemye hii script yako ya uongo

​
Ndiyo maana sasa hivi hamna kutoa hata senti tano [Tsh 5] kwenda kuwekeza nje ya nchi, sera zao za uchumi zimefeli maana uwekezaji mkubwa ulishafanyika katika kipindi cha miaka ya nyuma. Hata BAILEY BEER inamilikiwa na serikali..
 
Mimi nahitaji ushahidi usio na mashaka kuhusu madai yako haya.
 
Kwahiyo kwa madai yako serikali inautajiri wa kiasi gani in usd?mbona kama inahuo uwekezaji mbona bado ni masikini hata asilimia ya bajeti inategemea misaada?
 
Kwahiyo kwa madai yako serikali inautajiri wa kiasi gani in usd?mbona kama inahuo uwekezaji mbona bado ni masikini hata asilimia ya bajeti inategemea misaada?
​

Sijui! Lakini HAYATI MWALIMU kipindi anang'atuka madarakani aliacha TANZANIA ikiwa nafasi ya tano [5] kiuchumi kwa upande wa BARA LA AFRIKA na kilichofanyika baada ya hapo ilikuwa ni kuhamisha nusu ya hazina ya taifa na kwenda kuwekeza nje ya nchi.
 
Mimi nahitaji ushahidi usio na mashaka kuhusu madai yako haya.

​
TANZANIA imejitahidi sana kuwekeza kwenye viwanda na fani nzuri ya kusoma baada ya kujiunga na MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA ni METALLURGY & MINERAL PROCESSING ENGINEERING au CHEMICAL PROCESSING ENGINEERING kutokana na idadi ya viwanda vya uchakataji kuwa ni vingi.


​
Sema kwa kipindi kirefu, uwekezaji wa nje umekuwa ukijumuisha wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] pamoja na familia za wakuu wa majeshi ya MAGEREZA, ZIMAMOTO na kidogo POLISI. Lakini CCM haipo huko..☺️
 
Wakina Makwaia wamesambaa afrika nzima, wao wanaangalia watoto wao tu ndo kipaumbele chao, sabab wapo weng na wana dawa za kufanya ushike nafas ya tano kwenye mtihani wa taifa.. πŸ˜‚
 
Hiyo shule ya Azimio imetoa watu wengi sana, had Mkapa kasoma hapo na alishika nafas ya tano kitaifa kutoka shule ya Azimio..

Azimio ilishatoa To mara tatu mfululizo na kufanyika kuwa ni shule ya vipaj maalum kwa shule za msingi..

Azimio imeweka rekod kubwa kitaifa, lakin ilikuwa ni shule ya kisiasa zaidi maana tangu mitihani ya moko ilivyoanza haijawahi kutoa mwanafunzi aliyeongoza kitaifa na inaonekana walkuwa wanapewa majibu ya mitihani..

Wanafunzi wao ndo walikuwa wanaenda shule za vipaji maalum pamoja na shule za ufundi..

Ukiwa Azimio wanafunzi weng ni Nindo na alumni wake walifanikiwa kushika nafas za kiserikali kitaifa na kusambaa sanaa katika mataifa ya rwanda, Burundi, Kongo na Uganda.
 
Wahanga wa vita kama wakongo, wahutu na wakosovo huwa wanakuwa na Roho zinazokinzana na utashi wa mwanadam wa kawaida..

Saivi wameongezeka na waSierraLeone, hawa watu huwa sio wazur hata kwenye mapenzi..

Hiyo huwa ni Iman ya kidini na sio vizur kuchangamana nao, hata kwenye mambo ya kawaida maana huwa wanapingana na uhalisia..

Aina hiyo ya roho huwa ni laana na unapowahamishia kwenye taifa lenye Amani huwa inatokea mkwaluzano wa kiroho..

Lile taifa la kigeni linakuwa limepokea ladha tofauti na hiyo roho ndo walianza kuwa nayo watu wa shinyanga vijijini.. πŸ™πŸ½
 
Wanafunzi wa Nindo walikuwaga wanapewa majibu! Hata Chris Brown, mzaz wake alisoma shule ya msingi ya Azimio na aliwah kuwa askari mwenye cheo kikubwa cha Zimamoto..

Wale viongozi wastaafu wa majesh weng walipeleka familia zao ulaya ili kuficha aibu, sema wengine wamerudi Tanzania na kwenye baraza la mawazir la Mama Samia wapo.. πŸ™πŸ½
 
Kama.huu uongo wako ungekuwa ni kweli Tanzania isingekuwa nchi ya ovyo hivi.unapata nini kwa uongo wako.huu?wewe kila timu kubwa ulaya unasema inamilikiwa na waTanzania.
Tanzania ni tajiri, sema sera za maendeleo ni mbovu! Diaspora weng wanafanya kaz katika taasisi na kampuni zinazomilikiwa na serikal ya Tanzania
 
Kenya ilianza national auditing halaf ikafuatia national dialogue, then political changes na saiv wana national prayers 🀲 kama taifa
 
Mineral Processing inatengeneza silaha na mabom ya nyuklia, sema wao wanaweka watoto wao tu na watu wa shinyanga vijijini ndo wamejaa huko..

Cku wakiondolewa hata nauli watakosa na huwa wanapaa na Ungo, hawatumii ndege za kawaida wala huwa hawapiti Airport..

Unashangaa unawaona kitaani na jkt wakati wa kwenda depo la magereza, Polis na Zimamoto.. πŸ™πŸ½
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…