Charles Mandela
JF-Expert Member
- Dec 9, 2011
- 3,694
- 3,309
Wanaume wao hawana akili, lakin wanawake wao ni wazuri
Wanaume wao hawana akili, lakin wanawake wao ni wazuri
Wazuri sanaa, sema Nyerere hakutaka hata kuwaona kwa waliomfanyia na aliamua kuwabeba watu wa Kishapu na kuenda nao Senegal!
Wengne alienda kuchukua Msumbij ndo wakaunda serikal ya Senegal kwa saiv, lakin Nindo hawatak kabisaa na wanaish maisha ya taabu kule Handeni.. 🙏🏽
Hawa wote ni watawala waliotoka TANGANYIKA [sasa hivi inaitwa TANZANIA]! MAKWAIA alikuwa ni mwenyeji wa asili wa WILAYA YA KISHAPU [BUSIA actually] na KENYATA alikuwa ni mwenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [TINDE actually] pale maeneo ya mizani na SHINYANGA MJINI alifanya kuhamia kipindi anatakiwa kuanza kusoma shule ya msingi.Makwaia na Kenyata ndo wanashindana kwa kuzaa watoto wengi, ila Makwaia ndo anaongoza kwa kuzaa watoto wengi na ndo waliotangulia kuliona jua kuliko hao wengne..
UCHIFU WA BUSIA ni mkubwa na huwa wanazaa watoto wengi na kuwasambaza sehemu mbalimbali za nchi na hata nje ya nchi. Huwa hawana muda wa kusaidia watu wengine, ukiona wanahitaji ushirikiano ujue wanatafuta ngazi ya kufikia malengo yao.Kpindi cha harakati za kudai uhuru, kulikuwa kuna watu wanayahama makazi yao na kuhamia kwingine alafu wanajipachika uchif..
Chif Mazengo nayy alikuwa ni mtoto wa Makwaia, baadae walivyokuja kujua wakafuta hata shule ya Mazengo na kuifanya kuwa chuo cha St John.. 😂
Pia tunaambiwa alikuwa anaenda pale mgodi wa mwadui mara nyingi akiwa anatoka DODOMA. Baadae alihamia TOGO.. 😂Mazengo alikuwa ni mtoto wa chifu Makwaia..Daah walkuwa Wanatuona wajinga sanaaa, baadae wakafuta na kufanya chuo cha St John..
Unajua kaz nyingine ya magereza huwa ni kufanya tafiti za masuala ya kijamii kuhusu taifa! Sasa unakuta mtu alikuwa anajipachika uchif hata hakuwa mtu wa hapo..
Zamani, zile familia zenye nguvu ndiyo zilikuwa zinafanya hivyo, lakini sasa hivi machifu wanaondolewa baada ya kubainika kuwa walikuwa ni WAHAMIAJI.Mazengo alkuwa ni muamiaji, had shule, hospitali na mabenki yalikuwa yameandikwa Mazengo.. 😂 Halaf baadae jamaa akaishia zake Togo.. 🤣
Jaman nilicheka! Hii inchi ilikuwa na mambo mengi ya kifala fala sanaa.. 🙏🏽
Haya na sie wanymwezi tunamiliki nini
Hii Gereza wanajua kupga picha wakiwa wamebinua mikund tu.. 😂Pia tunaambiwa alikuwa anaenda pale mgodi wa mwadui mara nyingi akiwa anatoka DODOMA. Baadae alihamia TOGO.. 😂
Pia kazi nyingine ya JESHI LA MAGEREZA huwa ni kutoa vibali, kutunza na kuendeleza MAKUMBUSHO, VITUO VYA UTAMADUNI na MAMBO YA KALE. WAINGEREZA huwa wanaita ni "MUSEUMS, CULTURAL HERITAGES AND ARCHEOLOGIES"..
Zamani, zile familia zenye nguvu ndiyo zilikuwa zinafanya hivyo, lakini sasa hivi machifu wanaondolewa baada ya kubainika kuwa walikuwa ni WAHAMIAJI.
Hawa wote ni watawala waliotoka TANGANYIKA [sasa hivi inaitwa TANZANIA]! MAKWAIA alikuwa ni mwenyeji wa asili wa WILAYA YA KISHAPU [BUSIA actually] na KENYATA alikuwa ni mwenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [TINDE actually] pale maeneo ya mizani na SHINYANGA MJINI alifanya kuhamia kipindi anatakiwa kuanza kusoma shule ya msingi.
Hawa wote ni wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI, sema KENYATA'S DYNASTY ni SHINYANGA VIJIJINI [TINDE actually] na ODINGA'S DYNASTY ni SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually].
Hawa wote wana tabia zinazofanana na wanamiliki timu zao za mpira wa miguu kama GOR MAHIA na AFC LEOPARDS ambazo timu zote zinajumuisha wanamichezo wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI, wao wanaita MASHEMEJI DERBY.
Wengine wale wenyeji wa asili wa WILAYA YA KISHAPU wamejaribu kuja na timu zao kama NAIROBI UNITED na KARIOBANGI SHARKS ambazo zote zinajumuisha wanamichezo wa asili wa WILAYA YA KISHAPU.
Lakini wakina KENNETH KAUNDA [the late] ndiyo waliokuwa wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA MJINI na timu ya mpira wa miguu ya KK ELEVEN [KK 11] wote walikuwa ni WATANZANIA wenye asili ya WILAYA YA SHINYANGA MJINI na wanamiliki vilabu vingi vya mpira wa miguu.
UCHIFU WA BUSIA ni mkubwa na huwa wanazaa watoto wengi na kuwasambaza sehemu mbalimbali za nchi na hata nje ya nchi. Huwa hawana muda wa kusaidia watu wengine, ukiona wanahitaji ushirikiano ujue wanatafuta ngazi ya kufikia malengo yao.
Wanamichezo wote weusi wa timu ya mpira wa miguu ya PSG ni kizazi cha UCHIFU WA BUSIA, wengine huwa wanacheza katika klabu ya OLYMPIQUE LYONNAIS ya hapo hapo UFARANSA na ndiyo wanaounda timu ya taifa ya mpira wa miguu ya TOGO.
Tunaambiwa hadi kufikia miaka ya tisini [1990's], vizazi vya UCHIFU WA BUSIA vilikuwa vimeenea mataifa yote ya kiafrika maana jamaa walikuwa wanazaa hadi na wanawake wa kutoka katika mataifa ya MOROKO, TUNISIA na LIBYA.
Hata huyu wazir wa Burundi mme wake ni msukuma wa Kishapu! Watu wa Kishapu wapo shapu na kila cku wanapiga pushapuWanawake wao ni kama wakina LYDIA NSEKERA aliyewahi kuwa waziri wa michezo kwa upande wa TAIFA LA BURUNDI. Lakini wanaume wao, tangu imeanza mitihani ya moko kama kigezo cha mtihani wa taifa kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA hawajawahi kuongoza hata moko moja. Ina maana kwa kipindi cha miaka ya nyuma walikuwa wanapewa majibu ya mitihani ya taifa.. 😂
Huyo ndiyo kizazi cha msanii maarufu wa HIP HOP nchini MAREKANI anayeitwa LIL WAYNE! UCHIFU WA BUSIA wanamiliki uchumi mkubwa.
Hii Gereza wanajua kupga picha wakiwa wamebinua mikund tu.. 😂
Kuna watu walkuwa wanatafuta kaz kwa unyenyekevu mkubwa, lakin walivyopata waliishia kwenye ulevi na saiv hawana kitu, zaid kuendelea kujiuguza magonjwa ya zinaa..
Kuna watanzania wamepiga hatua kubwa za kimaendeleo, hawa wengne tunawapatia kaz lakin bado hawajielew na wanatumbukia kwenye matatizo ya vurugu, ugomvi na kesi kila cku..
Watu wazuri huwa ni Kishapu kutoka Bubiq, wengine hawafai na wanawake wao huwa wanaenda kuolewa huko kutokana na uaminifu wao kuwa mzuri.. 🙏🏽
Alfa brondi yule muimba rege ni kizaz cha Makwaia, hao watu wanazaliana sanaa lakin hawawezi kusaidia watu wengine na hawapo tayari kuona mtu aliyechini yao anafanikiwa Zaid yao..
WAINGEREZA huwa wanasema "If you spare the rod, you spoil the kid". TUME YA MAADILI YA TAIFA ilikuwepo lakini ilikuwa haifanyi kazi yake vizuri.Kuna watu walkuwa wanatafuta kaz kwa unyenyekevu mkubwa, lakin walivyopata waliishia kwenye ulevi na saiv hawana kitu, zaid kuendelea kujiuguza magonjwa ya zinaa..
Kuna watanzania wamepiga hatua kubwa za kimaendeleo, hawa wengne tunawapatia kaz lakin bado hawajielew na wanatumbukia kwenye matatizo ya vurugu, ugomvi na kesi kila cku..
Sasa hivi hao ndiyo wanaenda kuongoza MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA! Zamani hata KAMANDI YA JESHI LA ANGA ilikuwa imeshikiliwa na watu wa kutoka WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually].Watu wazuri huwa ni Kishapu kutoka Bubiq, wengine hawafai na wanawake wao huwa wanaenda kuolewa huko kutokana na uaminifu wao kuwa mzuri.. 🙏🏽
Haya na sie wanymwezi tunamiliki nini
Saivi madogo wanakula matwishen, ushindani unarud tena kwa kasi Zaid ya spidi ya light.. 😂Yaani wasije wakarudia tena kuweka viongozi wa kijeshi ambao ni WANAFUNZI BORA [TO's] na WANAFUNZI VINARA [OP's] wa shule ya msingi! Those people are DISASTROUS, You Know..
Lakini wale wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] wanaendelea na kazi zao kama kawaida na wanalipwa kutokana na ujira wao.
Hiyo fursa na feva ya serikali huwa ni kwa wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] pekee yao. Wale watanzania wengine hawana nafasi, hata kama imetokea wana sifa zote!
Wale wengine ambao ni wenyeji wa asili wa WILAYA YA KISHAPU [BUBIKI actually] huwa wanafanya matangazo kupitia vitu vyao ambavyo wanamiliki wao wenyewe.
Kwahiyo hali halisi kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA ndiyo huwa ipo hivyo na ile KEKI YA TAIFA huwa inaliwa na kikundi au jamii ya watu wachache.
Huyu ndo alikuwa mtu wa shinyanga mjin pamoja na wakina Kaunda.. 🙏🏽Huyu rais wa kwanza wa IVORY COAST alikuwa ni MTANGANYIKA [sasa hivi ni TANZANIA] na alisoma TANGANYIKA katika ile WILAYA YA SHINYANGA MJINI na alikuwa anaitwa FÉLIX HOUPHOUÉT - BOIGNY na alifanikiwa kubeba WATANZANIA wengi kwa kusudi la kuhamia IVORY COAST.
Kwahiyo hata IVORY COAST, TANZANIA ni nyumbani kwao na wana haki ya kushiriki katika shughuli za kimaendeleo zinazohusu TAIFA LA TANZANIA.
Pale Rwanda, Shinyanga vijijini ndo walikuwa wameshikilia RAF na wanamaruban weng wa kurusha ndege za kivitaWAINGEREZA huwa wanasema "If you spare the lod, you spoil the kid". TUME YA MAADILI YA TAIFA ilikuwepo lakini ilikuwa haifanyi kazi yake vizuri.
Hata JOSHUA NKOMO [the late] alikuwa ni MTANGANYIKA kutoka katika MKOA WA SHINYANGA na ZIMBABWE alifanya kuhamia katika harakati za kutafuta na kudai uhuru.
Sasa hivi hao ndiyo wanaenda kuongoza MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA! Zamani hata KAMANDI YA JESHI LA ANGA ilikuwa imeshikiliwa na watu wa kutoka WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually].
Hata RWANDA ilikuwa hivyo hivyo, lakini sasa hivi idadi yao inaendelea kupungua kutokana na wasomi kuongezeka na kufanya vizuri katika MITIHANI YA SHULE YA MSINGI pamoja na SHULE YA SEKONDARI.
Hata hii kampuni ya uchimbaji MADINI inayoitwa RIO TINTO ni kampuni ambayo inamilikiwa na serikali kwa asimilia mia moja [100%].
Wafanyakazi weusi katika kampuni ya RIO TINTO ni watanzania kwa asili na idadi kubwa kama siyo yote ni wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually].
Yaani wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually], serikali yenyewe iliwafanya kuwa kama WAHUTU - feva na fursa zote za serikali kipaumbele cha kwanza kilikuwa kinakwendwa kwa wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually]. Halafu watanzania wengine ndiyo wanafuatia.. 😂
Sasa kile kitendo kiliwafanya wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] kubweteka na waliendelea kuzaliana kwa wingi wakiamini kuwa zile feva na fursa za serikali zitaendelea kuwepo. Huku jamii nyingine za kitanzania zikiendelea kutafuta na kujipanga kiuchumi.
Matokeo yake, wale wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] wamejikuta wapo wengi lakini hawana kitu zaidi ya kuendelea kutegemea feva na fursa za serikali.
Hata huyu msanii anayeitwa SEAN PAUL, ni kizazi cha aliyewahi kuwa mkuu wa jeshi la zimamoto [CGF] kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA. Lakini hakuna hela, ukilinganisha na wale wastaafu wengine walioamua kubaki na kuendelea kufuata tamaduni za kitanzania.
Wale wastaafu wote wa majeshi waliomuasi HAYATI MWALIMU, 1975 na kuamua kufuata utamaduni wa kimagharibi hawamiliki uchumi wowote zaidi ya kuangazia fursa na feva za serikali.
Kwahiyo matokeo yake kuna watanzania wengine waliokuja baada yao na kufanikiwa kujijenga kiuchumi na kisiasa.
Hawa wakina Sean Paul na Kat Deluna ndo kizaz cha yule cgf wa 1975, aliyeasis jina la chama cha mapinduzi. Hata Pierre Aubemeyang ni mtoto wa yule cgf. Yule Cgf mstaafu alizaa sanaa na watoto wake weng wapo nje ya nchi wanatumia fursa za kibalozi vizuri
Tunaambiwa sasa hivi, WANAFUNZI KUMI [10] BORA wote lazima watoke katika MITIHANI YA MOKO. Tofauti na ilivyokuwa kipindi cha miaka ya nyuma ambapo ilihitaji MWANAFUNZI BORA [TO's] pamoja na MWANAFUNZI KINARA [OP's] tu.Saivi madogo wanakula matwishen, ushindani unarud tena kwa kasi Zaid ya spidi ya light.. 😂