Tanzania ya sasa ni ile aliyoiona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Kama ni viwanda wanavyo.. 🙏🏽
5f5ec7b79a1ea96896c088080d677ee8.jpg

​
Pia ndiyo wamiliki halali wa kampuni ya kutengeneza BIA ZA MARTINI! TANZANIA ina miliki viwanda vingi kwa upande wa nje ya nchi, hasa katika mataifa ya AMERIKA YA KUSINI pamoja na VISIWA VYA KARIBIANI.

533d4f3e4d488b344c183d910e2e3e40.jpg

​
Sasa sijajua uhusiano uliopo kati BIA ZA MARTINI na VISIWA VYA SAINT MARTIN au wengine wanaita ni MARTINIQUE!
 
Wao wamekaa tu visiwani, wanasubiri serikal ipitishe bajeti ili wao wapate miradi ya kusimamia huko walipo! Maisha mabaya sanaa, ila wenzao wa Kishapu wana hela na wanafanya mambo yao
b348b66ee6763f2e4fc84929beb92f82.jpg

​
Hayo ndiyo makosa yaliyofanywa na viongozi waliopita! Hata DON JULIO ni kiwanda kinachomilikiwa na serikali na wafanyakazi wengi ni wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually].

ff41c3763c8770e42c2df4b6a3bef36f.jpg

​
Wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] ni wazuri sana na kwa kipindi cha muda mrefu wamekuwa wakisimamia na kukagua miradi ya serikali kupitia ofisi za kibalozi nje ya nchi.

bd04bb1686760cb18d6529954f5d9238.jpg

​
Kwahiyo hali halisi ndiyo huwa ipo hivyo na wanawake wao huwa wanarudi kwa wanaume wa KISHAPU, mambo yakiwa magumu. Wao hawatapata shida, shida itakuja kwa wanaume wao!
 
Vipi kuhusu ukoo wa KAUGA wa nzega nasikia wanauhusiani na Ally's??
2d820fe99a3197ee9faa152e69ada8da.jpg

​
Lakini wale wengine ambao wanafahamika kwa jina la utani "TFS" ndiyo wamiliki halali wa kiwanda cha kutengeneza pikipiki aina ya HAOJUE, waswahili wanaita HAUJUI.. 😂

0aa5fd87b3421336ddb1dacf58f77c58.jpg

​
Wanakuja vizuri! Shida ipo ule upande mwingine, maana kwa kipindi kirefu wamekuwa na viongozi wa kijeshi ambao ni WANAFUNZI BORA wa SHULE YA MSINGI! Kitu ambacho kimekuwa kinatatiza shughuli endelevu kwa upande wa hilo jeshi.
 
Saivi wanaish kwa aibu huko ulaya! Zamani hata wanamichezo walikuwa na dharau sanaa, ilifikia sehem wakasema Desailly ana hela kuliko Waziri Ally Hassan Mwinyi na Patrick Kluivert ana hela nyingi kuliko Waziri Kikwete.. 😂
853cd92c63de74790c89bebcb9dda04d.jpg

​
Wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] ndiyo huwa wanapenda kuishi namna hiyo! Hao watu weusi wanaoneka katika picha ya pamoja na aliyekuwa RAIS WA UFARANSA [JACQUES CHILAQ], 1998 ni watoto wa wakuu wastaafu wa majeshi kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA.

cb6a628a5777e75d764fe88bd152f959.jpg

​
Wengine walikuwa wameshatangulia nchini KAMERUNI na walifanikiwa kushiriki katika timu ya taifa ya mpira wa miguu ya KAMERUNI ikiwa ni malengo ya kutaka kuwa na serikali mseto [SEMI AUTONOMOUS GOVERNMENT] katika moja ya mataifa ya kiafrika yaliyotawaliwa na UFARANSA.

Shida inakuja kwao, hawana hela za kutosha za kuweza kufanikisha kuwa na serikali mseto [SEMI AUTONOMOUS GOVERNMENT]! MISTER CLEAN pamoja na ODINGA'S DYNASTY hawana hela za kutosha na wengine bado wanaendelea kufanya kazi kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA.

39f31b111948d87e6ca3d6e47a1c7162.jpg

​
Baadhi ya wanawake wao wanaendelea kufanya kazi ya kutangaza bidhaa za serikali na wanalipwa ujira kutokana na kazi zao.

ebb5cb60bc5bcfabc8a079bb764438c2.jpg

​
Wanawake wao huwa ni wazuri sana! Shida ipo kwa wanaume wao, ndiyo maana wanawake wao huwa wanapelekwa kwa wanaume wa KISHAPU.

3ff83cac77536498b705bbc94e9c6297.jpg

​
Kwahiyo shida kubwa tangu mwaka 1975's hadi leo ipo kwa wanaume na ndiyo waliofanikiwa kushika nafasi za juu kwa upande wa MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA.
 
Zamani ilikuwa ndo wenye shule ya Ilboru pamoja na Msalato kwa upande wa Wasichana..

Hata mwanafunzi akiwa na wastani wa 30 kati ya 50, anaenda vipaji maalum au technical schools..

Hiyo hali iliendelea had pale walipoanzisha shule za kata, matokeo yake shule za kata ndo zinatoa wanafunzi Bora na shule za vipaji maalum zinashuka kila siku..

Old Moshi iliingia kwenye orodha ya shule za vipaji miaka ya juzi juzi tu, lakini shule za kata ndo zinazotoa wanafunzi Bora kwa upande wa olevel..

Shinyanga vijijini hawana akili za darasan, sema miaka mingi wamekua wakibebwa na mfumo wa elimu ya Tanzania. Wenye akili ni Kishapu, Meatu, Maswa na Bariad..

Wakati mwingine walikuwa wanaiba majibu ya mtihani wa taifa wa standard seven, kuna mtoto wa cgf mstaafu alikuwa To wa darasa la saba na ilivyokuja necta ya form Four akapata division four! Baadae yule mtoto alikuja kuwa mkuu wa magereza, lakin alikuwa ni mweupe kichwan.. 🙏🏽
Miaka ya zamani, wale wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] walikuwa wanapewa majibu pamoja na kuvujishiwa MITIHANI YA TAIFA.

5ac4e4151f430ff7046b8b0bd9857abb.jpg

​
Lakini baada ya kuongeza kigezo cha MITIHANI YA MOKO, wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] wamekuwa hawafanyi vizuri tena kama zamani.

b0192700fe42a03ec23a6460f5dce9b6.jpg

Matokeo yake, wenyeji wa asili wa WILAYA YA KISHAPU [BUBIKI actually] ndiyo wakaanza kufanya vizuri kitaifa na WATANZANIA wengine ndiyo walipopata wasaa wa kutoa WANAFUNZI BORA [TO's] pamoja na WANAFUNZI VINARA [OP's].

f930459ad314318a9c581ec55d3cc51a.jpg

​
Sasa hivi ni nadra sana kuwasikia wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] wamefanikiwa kuongoza hata MITIHANI YA MOKO, ina maana miaka ya zamani kulikuwa kuna udanganyifu, kupewa majibu, ulaghai na kuvujishiwa MITIHANI YA TAIFA.
 
Ndiyo hawa! Sasa hivi wanauza maduka ya viatu na nguo wakiwa ULAYA, lakini wamecheza mpira wa miguu kwa mafanikio makubwa sana.

Mwenzao CISSE alikuwepo mwaka jana TANZANIA na alikuja kuangalia kama kuna uwezekano wa kusimamia kampuni ya usafirishaji ya abiria na mizigo inayoitwa ALLY'S. Baadae aliondoka na anapenda kwenda VISIWA VYA KARIBIANI kusimamia na kukagua miradi ya serikali kupitia ofisi za kibalozi nje ya nchi.

Lakini wanamichezo kama hawa huwa wanaendelea na maisha yao kama kawaida! RONALDINHO GAUCHO ni kizazi cha UCHIFU WA BUSIA na wanamiliki ukwasi mkubwa.

UCHIFU WA BUSIA ndiyo WATAWALA tangu miaka ya sitini [1960's] katika TAIFA LA TOGO, hata RONALDINHO GAUCHO ilibaki kidogo arudi kuwakilisha TAIFA LA TOGO katika michuano ya KOMBE LA DUNIA miaka iliyopita. Sasa hivi ndiyo WATAWALA katika TAIFA LA GABONI na GAMBIA.

Makwaia na Kenyata ndo wanashindana kwa kuzaa watoto wengi, ila Makwaia ndo anaongoza kwa kuzaa watoto wengi na ndo waliotangulia kuliona jua kuliko hao wengne..

Kpindi cha harakati za kudai uhuru, kulikuwa kuna watu wanayahama makazi yao na kuhamia kwingine alafu wanajipachika uchif..

Chif Mazengo nayy alikuwa ni mtoto wa Makwaia, baadae walivyokuja kujua wakafuta hata shule ya Mazengo na kuifanya kuwa chuo cha St John.. 😂
 
Pia ndiyo wamiliki halali wa kampuni ya kutengeneza BIA ZA MARTINI! TANZANIA ina miliki viwanda vingi kwa upande wa nje ya nchi, hasa katika mataifa ya AMERIKA YA KUSINI pamoja na VISIWA VYA KARIBIANI.

Sasa sijajua uhusiano uliopo kati BIA ZA MARTINI na VISIWA VYA SAINT MARTIN au wengine wanaita ni MARTINIQUE!
Hicho kisiwa cha st Martin walitaka kukinunua, cjui waliishia wapi? Huko ndo watoto wa wastaafu wa majesh huwa wanaenda, uchafu kama wote.. 😂
 
Hayo ndiyo makosa yaliyofanywa na viongozi waliopita! Hata DON JULIO ni kiwanda kinachomilikiwa na serikali na wafanyakazi wengi ni wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually].

Wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] ni wazuri sana na kwa kipindi cha muda mrefu wamekuwa wakisimamia na kukagua miradi ya serikali kupitia ofisi za kibalozi nje ya nchi.

Kwahiyo hali halisi ndiyo huwa ipo hivyo na wanawake wao huwa wanarudi kwa wanaume wa KISHAPU, mambo yakiwa magumu. Wao hawatapata shida, shida itakuja kwa wanaume wao!
Wazuri sanaa, sema Nyerere hakutaka hata kuwaona kwa waliomfanyia na aliamua kuwabeba watu wa Kishapu na kuenda nao Senegal!

Wengne alienda kuchukua Msumbij ndo wakaunda serikal ya Senegal kwa saiv, lakin Nindo hawatak kabisaa na wanaish maisha ya taabu kule Handeni.. 🙏🏽
 
Miaka ya zamani, wale wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] walikuwa wanapewa majibu pamoja na kuvujishiwa MITIHANI YA TAIFA.

Lakini baada ya kuongeza kigezo cha MITIHANI YA MOKO, wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] wamekuwa hawafanyi vizuri tena kama zamani.

Matokeo yake, wenyeji wa asili wa WILAYA YA KISHAPU [BUBIKI actually] ndiyo wakaanza kufanya vizuri kitaifa na WATANZANIA wengine ndiyo walipopata wasaa wa kutoa WANAFUNZI BORA [TO's] pamoja na WANAFUNZI VINARA [OP's].

Sasa hivi ni nadra sana kuwasikia wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] wamefanikiwa kuongoza hata MITIHANI YA MOKO, ina maana miaka ya zamani kulikuwa kuna udanganyifu, kupewa majibu, ulaghai na kuvujishiwa MITIHANI YA TAIFA.
Hawafanyi vizuri kabisa, labda huko kwao shinyanga vijijini! Tangu moko ianze hata kuongoza hawajawahi, wamebak kuhama hama kwa kuficha aibu..

Saivi walikuwa wanataka wapewe SierraLeone ili kuongoza serikal, lakin mambo yakawa magumu kwao.. Hata wakiwa Rwanda waliongoza kwa uchache sanaa..

Tangu mitihani ya moko ianze, Shinyanga vijijini hawajawahi kutoa To na kuanzia mwaka 2030 hakutakuwa na jeneral mwenye asili ya shinyanga vijijini. Kishapu ndo itakua na majeneral wengi, halaf Maswa, Meatu na Bariad hao wanasoma na wanafaulu sanaa..

Wana roho za kitawala, lakin hawana uwezo wa darasan ndo maana wanawake wao wanapelekwa Kishapu wakazaliane na wanaume wa huko.. 🙏🏽
 
Wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] ndiyo huwa wanapenda kuishi namna hiyo! Hao watu weusi wanaoneka katika picha ya pamoja na aliyekuwa RAIS WA UFARANSA [JACQUES CHILAQ], 1998 ni watoto wa wakuu wastaafu wa majeshi kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA.

Wengine walikuwa wameshatangulia nchini KAMERUNI na walifanikiwa kushiriki katika timu ya taifa ya mpira wa miguu ya KAMERUNI ikiwa ni malengo ya kutaka kuwa na serikali mseto [SEMI AUTONOMOUS GOVERNMENT] katika moja ya mataifa ya kiafrika yaliyotawaliwa na UFARANSA.

Shida inakuja kwao, hawana hela za kutosha za kuweza kufanikisha kuwa na serikali mseto [SEMI AUTONOMOUS GOVERNMENT]! MISTER CLEAN pamoja na ODINGA'S DYNASTY hawana hela za kutosha na wengine bado wanaendelea kufanya kazi kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA.

Baadhi ya wanawake wao wanaendelea kufanya kazi ya kutangaza bidhaa za serikali na wanalipwa ujira kutokana na kazi zao.

Wanawake wao huwa ni wazuri sana! Shida ipo kwa wanaume wao, ndiyo maana wanawake wao huwa wanapelekwa kwa wanaume wa KISHAPU.

Kwahiyo shida kubwa tangu mwaka 1975's hadi leo ipo kwa wanaume na ndiyo waliofanikiwa kushika nafasi za juu kwa upande wa MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA.
Wanaume wao hawana akili, lakin wanawake wao ni wazuri
 
Makwaia na Kenyata ndo wanashindana kwa kuzaa watoto wengi, ila Makwaia ndo anaongoza kwa kuzaa watoto wengi na ndo waliotangulia kuliona jua kuliko hao wengne..

Kpindi cha harakati za kudai uhuru, kulikuwa kuna watu wanayahama makazi yao na kuhamia kwingine alafu wanajipachika uchif..

Chif Mazengo nayy alikuwa ni mtoto wa Makwaia, baadae walivyokuja kujua wakafuta hata shule ya Mazengo na kuifanya kuwa chuo cha St John.. 😂
Tunamengi ya kujifunza aisee.. nimekua nafatilia nondo apa kimya kimya.

Pale St john adi leo kuna baadhi ya thamani zina utambulisho wa mazengo.

Nilikuta meza imeandikwa Mazengo Tech/TAB/065.
 
Mazengo alikuwa ni mtoto wa chifu Makwaia..Daah walkuwa Wanatuona wajinga sanaaa, baadae wakafuta na kufanya chuo cha St John..

Unajua kaz nyingine ya magereza huwa ni kufanya tafiti za masuala ya kijamii kuhusu taifa! Sasa unakuta mtu alikuwa anajipachika uchif hata hakuwa mtu wa hapo..

Mazengo alkuwa ni muamiaji, had shule, hospitali na mabenki yalikuwa yameandikwa Mazengo.. 😂 Halaf baadae jamaa akaishia zake Togo.. 🤣

Jaman nilicheka! Hii inchi ilikuwa na mambo mengi ya kifala fala sanaa.. 🙏🏽
 
Lakini wale wengine ambao wanafahamika kwa jina la utani "TFS" ndiyo wamiliki halali wa kiwanda cha kutengeneza pikipiki aina ya HAOJUE, waswahili wanaita HAUJUI.. 😂

Wanakuja vizuri! Shida ipo ule upande mwingine, maana kwa kipindi kirefu wamekuwa na viongozi wa kijeshi ambao ni WANAFUNZI BORA wa SHULE YA MSINGI! Kitu ambacho kimekuwa kinatatiza shughuli endelevu kwa upande wa hilo jeshi.
Jesh la wanyamapori linakuja juu.. 🙏🏽
 
Mazengo alikuwa ni mtoto wa chifu Makwaia..Daah walkuwa Wanatuona wajinga sanaaa, baadae wakafuta na kufanya chuo cha St John..

Unajua kaz nyingine ya magereza huwa ni kufanya tafiti za masuala ya kijamii kuhusu taifa! Sasa unakuta mtu alikuwa anajipachika uchif hata hakuwa mtu wa hapo..

Mazengo alkuwa ni muamiaji, had shule, hospitali na mabenki yalikuwa yameandikwa Mazengo.. 😂 Halaf baadae jamaa akaishia zake Togo.. 🤣

Jaman nilicheka! Hii inchi ilikuwa na mambo mengi ya kifala fala sanaa.. 🙏🏽
Naona adi leo bado yapo mkuu. Mtu anatoka Visiwani uko anakuja kukalia ikulu bara hii kitu kwa kizalendo haijakaa sawa.
 
Hakuna uhondo uko.. 😂
a67e92e1bf2a0ea4b6b2579219639057.jpg

​
Sasa hivi kuna baadhi ya taasisi za serikali kama PURA, zimefanikiwa kuwekeza viwanda katika VISIWA VYA KARIBIANI na wafanyakazi wengi ni wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually].

6998c9cd21aabd1dc941992672d3809e.jpg

​
Tatizo linakuja wamewekeza mitaji mikubwa sana ya kibiashara, sehemu ambayo hakuna mahusiano ya kidiplomasia hata ule muingiliano wa watu ni mdogo au hakuna kabisa baina ya TANZANIA na VISIWA VYA KARIBIANI.
 
Hicho kisiwa cha st Martin walitaka kukinunua, cjui waliishia wapi? Huko ndo watoto wa wastaafu wa majesh huwa wanaenda, uchafu kama wote.. 😂
0195467cb7267464d5cd53966b23fc65.jpg

​
Baada ya mwaka 1975, misingi ya majeshi ya MAGEREZA, POLISI na ZIMAMOTO yaliegemea zaidi masilahi ya watu wa SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] na kuhakikisha viongozi wa majeshi hayo watakuwa ni wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually].

31f2d812e96c82b4d120bd49c5c1bf46.jpg

​
Hadi leo, ukiwa katika kampuni za kibiashara zinazomilikiwa na majeshi ya MAGEREZA, POLISI na ZIMAMOTO, wafanyakazi wengi ni wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually].

377771350470ddc03a7d994e176a9870.jpg

​
Lakini kwa kadri muda unavyozidi kwenda, mambo yanabadilika kutokana na uwepo wa wasomi wengi waliofanikiwa kufanya vizuri kitaifa katika masomo ya msingi na sekondari!

2032a4554670a8012bb75057bdb788de.jpg

Lakini wale wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] wamenufaika pakubwa na kwa kipindi kirefu katika kampuni za kibiashara zinazomilikiwa na majeshi ya MAGEREZA, POLISI na ZIMAMOTO.

89af484b6fa669046a5b1b41eefabe6c.jpg

​
Kwahiyo wale waliokuwa viongozi wastaafu wa MAJESHI YA MAGEREZA, ZIMAMOTO na kidogo POLISI [1975's] walifanikiwa kujijenga wao kupitia majeshi hayo na waliharibu ule mtindo uliokuwa unatumika kuajiri askari wa majeshi yote kupitia JESHI LA ULINZI [JWTZ].

IMG_20260515_104810.jpg

​
Zamani kabla ya mwaka 1975, tunaambiwa askari wa majeshi yote walikuwa wanatoka JESHI LA ULINZI [JWTZ], lakini baada ya mwaka 1975 waliondoa ule utaratibu na kuruhusu kila jeshi lisajili na kuajiri askari wake.
 
Makwaia na Kenyata ndo wanashindana kwa kuzaa watoto wengi, ila Makwaia ndo anaongoza kwa kuzaa watoto wengi na ndo waliotangulia kuliona jua kuliko hao wengne..

Kpindi cha harakati za kudai uhuru, kulikuwa kuna watu wanayahama makazi yao na kuhamia kwingine alafu wanajipachika uchif..
f6562d7ef8a97a6bcdd9f8111b541a50.jpg
Chif Mazengo nayy alikuwa ni mtoto wa Makwaia, baadae walivyokuja kujua wakafuta hata shule ya Mazengo na kuifanya kuwa chuo cha St John.. 😂

Huyo ndiyo kizazi cha msanii maarufu wa HIP HOP nchini MAREKANI anayeitwa LIL WAYNE! UCHIFU WA BUSIA wanamiliki uchumi mkubwa.
 
Back
Top Bottom