Huo utamaduni wa kimagharibi wanafanya vitu vyote wakiwa nje ya nchi na huwa wanarudi TANZANIA, bila ya kuchukuliwa hatua yoyote kwenye MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA.
Kwa kipindi kirefu hawa wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI ndiyo waliokuwa wameshikilia SHULE ZA VIPAJI MAALUM [SPECIAL SCHOOLS].
Ilikuwa wakipata wastani wa thelathini na tano [35] kwa upande wa darasa la saba walikuwa wanajiunga na SHULE ZA VIPAJI MAALUM [SPECIAL SCHOOLS].
Lakini wanafunzi wengine walikuwa hawapati nafasi ya kujiunga na KIDATO CHA KWANZA, hivyo ilikuwa inawalazimu kusoma kwa bidii na kupata maksi za juu ndiyo walikuwa wanapata nafasi za kujiunga na SHULE ZA VIPAJI MAALUM [SPECIAL SCHOOLS].
Wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] ndiyo waliokuwa wanapata fursa ya kujiunga na CHUO KIKUU CHA MLIMANI hata kama ikitokea mhutimu wa KIDATO CHA SITA alipata DIVISION FOUR katika ufaulu wake.
Hali hiyo iliendelea kwa kipindi kirefu hadi pale serikali ilipopata wasaa wa kujenga na kuanzisha VYUO VIKUU vingine. Pia iliwafanya SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] kuwa na diaspora na wasomi wengi kuliko jamii nyingine.
Wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] ndiyo waliokuwa wanamichezo hodari wa timu za YANGA SC na SIMBA SC tangu miaka mingi iliyopita.
Hao wote wanaonekana katika kushiriki michezo kwa upande wa timu za SIMBA SC na YANGA SC ni wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI, kasoro hao wanamichezo wenye asili ya watu weupe.
Ndiyo maana wenzenu walivyojua hayo, wakaanza kutafuta namna ya kumiliki timu zao za mpira wa miguu, iwe ni ndani ya nchi au hata nje ya nchi.
Kwahiyo hali halisi ndiyo huwa ipo hivyo na wale wastaafu wa majeshi ya MAGEREZA, ZIMAMOTO na kidogo POLISI walioendesha uasi dhidi ya HAYATI MWALIMU na HAYATI SHEIKH KARUME [1975's] bado wanaendelea kukumbatiwa hadi leo. Hao ndiyo wanaoendelea kupata nafasi za upendeleo, ikiwa ni pamoja na watu waliokuwa nyuma yao.
Lakini hawana hata hela kufungua kiwanda cha kutengeneza maji ya kopo, WAINGEREZA wanaita BOTTLING WATER na WANASIASA wengi waliwakuta na wamewaacha KIUCHUMI.