Tanzania ya sasa ni ile aliyoiona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Ndiyo maana wenzenu walivyojua kusoma na kuandika, walianza kusoma "TUITION" wakiwa darasa la tatu hadi wanamaliza kidato cha sita!

Miaka ya zamani, mtihani wa taifa wa DARASA LA NNE [2000] kulikuwa hakuna somo la uraia, kulikuwa kuna somo la sayansi na somo la uraia walikuwa wanaanza kusoma wakiwa darasa la tano!

Kwahiyo wenzenu huwa wanapitia BARAZA LA MITIHANI TANZANIA [NECTA] na masomo walikuwa wanafaulu kwa kupata maksi za juu hadi kuta za NECTA zilikuwa zinatingishika! Masomo ya uraia walikuwa wanapata maswali yote, 100%..

Hapo mwanangu ilikuwa inawauma na walikuwa wamepania kuona mbuyu unadondoka chin kwenye mtihan wa form cix. Kucheki tena wanaona Bute ameongoza.. 😂
 
Wale walkuwa ni matio wa shule za msingi na walkuwa hawaelew kitu! Nyamka walimkuta majaruban anaanda mashamba ya mpunga, wakamuita kituo cha Polis na kumpa cheo cha Sp..

Tayar alikuwa na mke na watoto! Baada ya hapo ndo akazan yupo mbingun na maisha ameyapatia, alipendwa sanaa na Nyerere..

Lakin baadae ndo aliongoza wenzie wa zimamoto na kumgeuka Nyerere kwa thaman ya shilingi laki mbili kila mmoja na aliwaweka rockup Waingereza waliokuwepo kpindi kile..

Wakahamia kwa Wakosovo, ndo wakaanza kuwadanganywa na kuwaambia mambo kinyume. Hii inchi ingekua imeshachafuka na kupoteza muelekeo kama sio uangaliz wa Kenya, Zambia, Malawi na Msumbij.

Wale wakuu wastaafu wa majesh walikuwa ni wajinga, sababu wangekaa vizuri na Nyerere wangeweza kufanya Tanu kuwa kama Kanu ya Kenya na maisha yangeendelea.
8e154b4c99d13d9134c9e26d2ca1f3eb.jpg

Ndiyo maana sisi huwa hatukai nao! Tunaambiwa ile dhambi ya usaliti huwa ni roho na inaambatana kuanzia kizazi kimoja hadi kingine. Ni watu wabaya sana.. 🙏🏽
 
Hivyo vyote ni vitu vya serikal na kila mtanzania ana haki navyo, wasidhani wapo pekee yao.. 😂 Wakikosa nauli watapaa na Ungo.. 🙏🏽
​
Tunaambiwa baada ya mwaka 1975, idadi kubwa ya askari MAGEREZA, ZIMAMOTO na kidogo POLISI walihama nchi na kuhamia mataifa mengine.

Yaani wale WATANZANIA waliokuwa wakihama kipindi cha kuanzia miaka ya 1975's hadi miaka ya 1990's walikuwa ni askari na siyo raia. Lakini baada ya miaka mingi kupita, JESHI LA POLISI wakasema kazi yao ni USALAMA WA RAIA NA MALI ZAO na huko wanapohamia wanaenda kufanya kazi ambayo siyo yao, nje ya mipaka ya TANZANIA.

Hivyo JESHI LA POLISI wakajinasua kwa namna hiyo, lakini MAJESHI YA MAGEREZA na ZIMAMOTO waliendelea kuhama hadi leo na wamejitahidi kuwekeza katika kila sekta, ukiwa nje ya nchi.

c8734b85c05e76314b4b055f78d18f3b.jpg

​
Sasa TANZANIA ina diaspora hadi VISIWA VYA CARIBBEAN, BAHAMAS na ukiwa pale SAINT DOMINIC wanamiliki viwanda kama kiwanda cha kutengeneza maji ya kopo, WAINGEREZA wanaita ni "BOTTLING WATER".

33f9c58c8393d03319aba71f49581fc9.jpg

​
Idadi ni kubwa ya diaspora wa kitanzania na huwa wanaambiwa hakuna kurudi nyuma, idadi ikiwa kubwa wanahamia taifa jingine.

4effca14afe2da0bd38badfad9cd405c.jpg

​
Yaani wanachokifanya ni kukagua, kuhakiki na kusimamia miradi ya serikali kupitia ofisi za kibalozi, huku wakiendelea na shughuli zao za kila siku.

26766517ff55fc4cde4ab96f21bf8a20.jpg

​
Wamefanikiwa kuwekeza miradi mingi, lakini idadi ya diaspora inazidi kuongezeka kutokana na wao kuzaliana na wengine kuendelea kuhamia.

d1267d87a1a4120c8dda0b5255deb414.jpg

​
Kwahiyo hali halisi kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA ndiyo huwa ipo hivyo na wameenea hadi TAIFA LA PERU. Wale wengine ambao walikuwa ni viongozi wastaafu wa majeshi ya MAGEREZA, ZIMAMOTO na kidogo POLISI ndiyo walikuwa wanapeleka watoto huko.
 
Hivyo vyote ni vitu vya serikal na kila mtanzania ana haki navyo, wasidhani wapo pekee yao.. 😂 Wakikosa nauli watapaa na Ungo.. 🙏🏽
75bdddfabcd3376154b660ca4e31b257.jpg

​
Wenzenu ndiyo huwa wanapeleka watoto wao huko! Kuhusu vitu vya serikali utajua wewe mwenyewe na watoto wako.. 😂

b48c56cff75c116163d86d89c44d4845.jpg

​
Wenzio hawatumii hela zao, ni watumiaji wazuri wa vitu vya serikali na wanajitahidi kuishi yale maisha na mtindo wa kimagharibi, lakini uwezo wa kifedha unakuwa ni mdogo.

7e6ce6fbb349a922e803c6005b72555a.jpg

​
Kwahiyo hali halisi ndiyo huwa ipo hivyo na baada ya JESHI LA POLISI kusitisha kupeleka askari wake nje ya nchi, kipindi cha MZEE RUKSA [1985-1995] walifanya tafiti na kuangalia jeshi gani linatoa mafunzo na wanaishi maisha ya kizalendo?
 
Hivyo vyote ni vitu vya serikal na kila mtanzania ana haki navyo, wasidhani wapo pekee yao.. 😂 Wakikosa nauli watapaa na Ungo.. 🙏🏽
Kipindi kile cha miaka ya tisini [1990's] ambapo MZEE RUKSA alivyoingia madarakani, alifanya tafiti ya kuangalia ni jeshi gani linalotoa mafunzo ya kizalendo na kuishi maisha ya kizalendo kama WATANZANIA wengine?

49a8b93be2858e0f3fe61afac4fe3a14.jpg

Walichukua nafasi ya majeshi manne [4] kwa ajili ya kufanya tafiti, majeshi hayo yalikuwa ni MAGEREZA, POLISI, ZIMAMOTO na JESHI LA WANANCHI [JWTZ]. JESHI LA UHIFADHI na JESHI LA UHAMIAJI waliacha kutokana na kazi zao..

1ed0a74bd78e4fab001f99d9a76c436f.jpg

Matokeo ya tafiti yalionesha JESHI LA WANANCHI [JWTZ] ndiyo linalotoa mafunzo ya kizalendo na viongozi wake wanaishi maisha ya kizalendo kwa kuzingatia wakati uliopo na hao ndiyo wanaojenga nchi.

6ec260f03e112456f178fa241f36bde7.jpg

Pia matokeo ya utafiti yalisisitiza askari wote wa MAJESHI YA MAGEREZA, POLISI na ZIMAMOTO watoke katika JESHI LA ULINZI [JWTZ] wakiwa tayari wamepata mafunzo ya awali ya JESHI LA ULINZI [JWTZ], kasoro wale WANAFUNZI BORA [TO's] pamoja na WANAFUNZI VINARA [OP's] ambao wanajiunga na JESHI LA POLISI wakiwa na miaka thelathini na tano [35].

a3fc072dc4890787e68472bb56203c09.jpg
​

Kitu kingine ambacho walikuwa wanasisitiza ni kupata viongozi wa kijeshi ambao watakuwa wamefanya vizuri kitaifa kwa upande wa elimu ya sekondari na kuachana na wale viongozi wa kijeshi ambao walifanya vizuri kwa upande wa elimu ya msingi, kutokana na uwezo wao kuwa ni mdogo na tangu kipindi kile cha miaka ya tisini [1990's] walikuwa ni FAILURE PROVED!

41385a63d8e2f1ffe91ccecdb37410d2.jpg

Matokeo ya utafiti waliweka kabatini, maana ilikuwa imelenga kutilia mkazo wa kuboresha, kubaki na kujenga nyumbani [taifa] kwa yale majeshi matatu ya MAGEREZA, POLISI na ZIMAMOTO.

80ec6594868a7fae315cb58484631090.jpg

Kwahiyo wenzenu ndiyo walikuwa wanayapitia hayo na wameshuhudia na kuona mambo mengi sana kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA kiasi ambacho iliwafanya kuwa "STRONG" hadi leo.

291c8dec9682614d6452e9fe3c3cf461.jpg

​
Wenzenu walikuwa wanapigania kupata feva na fursa zilizokuwa zinatolewa na serikali na wengine waliamua kubaki nyumbani na sasa hivi wanamiliki vitu vyao kwa upande wa ULAYA na AMERIKA.
 
Hivyo vyote ni vitu vya serikal na kila mtanzania ana haki navyo, wasidhani wapo pekee yao.. 😂 Wakikosa nauli watapaa na Ungo.. 🙏🏽
676e98790323ffb74cd0b3a64d30742e.jpg

​
Hata hii timu ya mpira wa miguu inayoitwa WOLVES ni timu ya mpira wa miguu inayomilikiwa na serikali, wanamichezo wote weusi wanaocheza katika klabu hiyo ni WATANZANIA.

IMG_20260508_134334.jpg

Huyo TOTI ni mtoto wa mchugaji wa kiinjili kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA, lakini cha ajabu na cha kushangaza hawarudi kulitumikia taifa katika michezo ya kimataifa.. 😂

IMG_20260508_132139.jpg

​
Wengine waliamua kubaki TANZANIA na kutafuta vitu vyao! Sasa hivi wamiliki timu ya mpira wa miguu kwa upande wa TAIFA LA UJERUMANI.

7d9d96b782b2124c16e6690b63aef408.jpg

​
Kwahiyo wale waliofanikiwa kuyafahamu haya masuala tangu siku nyingi, waliamua kuishi na kutafuta vitu vyao! Sasa hivi wanaishi vizuri.
 
Ndiyo maana sisi huwa hatukai nao! Tunaambiwa ile dhambi ya usaliti huwa ni roho na inaambatana kuanzia kizazi kimoja hadi kingine. Ni watu wabaya sana.. 🙏🏽
Matendo yakikomaa sanaa huzaa Roho na ndo walivyo wakongo na wakosovo. Hata waSierraLeone wapo hvyo hvyo! Ni dangerous species on earth..

Watu wa shinyanga vijijini ni hatari sanaa, ila wanawezana wao kwa wao na watu wa Bukene wakina Kagame..

Tangu walivyomsalit Nyerere, wanawake wao walianza kuzalishwa na wanaume wa Kishapu ili kuondoa ile Roho ya usaliti kwa vizaz vinavyofuatia..

Wakikosa wanaume wa Kishapu huwa wanaenda Meatu, Maswa na Bariad. Wengne huwa wanaolewa na watu wa Mwanza..

Lakini Saiv tunaona wale watoto wa kike wa wakuu wa majesh wastaafu wanaenda Bondo, Kisumu kwa likizo ya uzazi hata wajukuu wao wa kike wanafanya hivyo kwa watoto wa Odinga..🫈
 
​
Tunaambiwa baada ya mwaka 1975, idadi kubwa ya askari MAGEREZA, ZIMAMOTO na kidogo POLISI walihama nchi na kuhamia mataifa mengine.

Yaani wale WATANZANIA waliokuwa wakihama kipindi cha kuanzia miaka ya 1975's hadi miaka ya 1990's walikuwa ni askari na siyo raia. Lakini baada ya miaka mingi kupita, JESHI LA POLISI wakasema kazi yao ni USALAMA WA RAIA NA MALI ZAO na huko wanapohamia wanaenda kufanya kazi ambayo siyo yao, nje ya mipaka ya TANZANIA.

Hivyo JESHI LA POLISI wakajinasua kwa namna hiyo, lakini MAJESHI YA MAGEREZA na ZIMAMOTO waliendelea kuhama hadi leo na wamejitahidi kuwekeza katika kila sekta, ukiwa nje ya nchi.

View attachment 3584921
​
Sasa TANZANIA ina diaspora hadi VISIWA VYA CARIBBEAN, BAHAMAS na ukiwa pale SAINT DOMINIC wanamiliki viwanda kama kiwanda cha kutengeneza maji ya kopo, WAINGEREZA wanaita ni "BOTTLING WATER".

Idadi ni kubwa ya diaspora wa kitanzania na huwa wanaambiwa hakuna kurudi nyuma, idadi ikiwa kubwa wanahamia taifa jingine.

Yaani wanachokifanya ni kukagua, kuhakiki na kusimamia miradi ya serikali kupitia ofisi za kibalozi, huku wakiendelea na shughuli zao za kila siku.

Wamefanikiwa kuwekeza miradi mingi, lakini idadi ya diaspora inazidi kuongezeka kutokana na wao kuzaliana na wengine kuendelea kuhamia.

Kwahiyo hali halisi kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA ndiyo huwa ipo hivyo na wameenea hadi TAIFA LA PERU. Wale wengine ambao walikuwa ni viongozi wastaafu wa majeshi ya MAGEREZA, ZIMAMOTO na kidogo POLISI ndiyo walikuwa wanapeleka watoto huko.

Perfection kabisa! Gharama za kuish Marekani zilikuwa kubwa na walishndwa kuzimudu hatimae watanzania wengne walihamia visiwa vya Karibian..

Hata Kati deluna ni mtoto wa mkuu mstaafu wa majesh ya zimamoto na magereza. Watanzania weng waliohamia huko, gharama ni kubwa ya kuish..

Serikal yenyewe ndo ilikuwa inawapeleka huko na hawakwenda kwa hiari yao wenyewe! Walikwenda kwa kazi ya serikali..🫈
 
Wenzenu ndiyo huwa wanapeleka watoto wao huko! Kuhusu vitu vya serikali utajua wewe mwenyewe na watoto wako.. 😂

Wenzio hawatumii hela zao, ni watumiaji wazuri wa vitu vya serikali na wanajitahidi kuishi yale maisha na mtindo wa kimagharibi, lakini uwezo wa kifedha unakuwa ni mdogo.

Kwahiyo hali halisi ndiyo huwa ipo hivyo na baada ya JESHI LA POLISI kusitisha kupeleka askari wake nje ya nchi, kipindi cha MZEE RUKSA [1985-1995] walifanya tafiti na kuangalia jeshi gani linatoa mafunzo na wanaishi maisha ya kizalendo?
Walikuwa wanadanganywa sanaa, hata elimu yao ilikuwa ndogo pamoja na kuwa ni matio wa shule za msingi.. 😂 Wakosovo sio watu wazuri..
 
Kipindi kile cha miaka ya tisini [1990's] ambapo MZEE RUKSA alivyoingia madarakani, alifanya tafiti ya kuangalia ni jeshi gani linalotoa mafunzo ya kizalendo na kuishi maisha ya kizalendo kama WATANZANIA wengine?

Walichukua nafasi ya majeshi manne [4] kwa ajili ya kufanya tafiti, majeshi hayo yalikuwa ni MAGEREZA, POLISI, ZIMAMOTO na JESHI LA WANANCHI [JWTZ]. JESHI LA UHIFADHI na JESHI LA UHAMIAJI waliacha kutokana na kazi zao..

Matokeo ya tafiti yalionesha JESHI LA WANANCHI [JWTZ] ndiyo linalotoa mafunzo ya kizalendo na viongozi wake wanaishi maisha ya kizalendo kwa kuzingatia wakati uliopo na hao ndiyo wanaojenga nchi.

View attachment 3585574

Pia matokeo ya utafiti yalisisitiza askari wote wa MAJESHI YA MAGEREZA, POLISI na ZIMAMOTO watoke katika JESHI LA ULINZI [JWTZ] wakiwa tayari wamepata mafunzo ya awali ya JESHI LA ULINZI [JWTZ], kasoro wale WANAFUNZI BORA [TO's] pamoja na WANAFUNZI VINARA [OP's] ambao wanajiunga na JESHI LA POLISI wakiwa na miaka thelathini na tano [35].

Kitu kingine ambacho walikuwa wanasisitiza ni kupata viongozi wa kijeshi ambao watakuwa wamefanya vizuri kitaifa kwa upande wa elimu ya sekondari na kuachana na wale viongozi wa kijeshi ambao walifanya vizuri kwa upande wa elimu ya msingi, kutokana na uwezo wao kuwa ni mdogo na tangu kipindi kile cha miaka ya tisini [1990's] walikuwa ni FAILURE PROVED!

Matokeo ya utafiti waliweka kabatini, maana ilikuwa imelenga kutilia mkazo wa kuboresha, kubaki na kujenga nyumbani [taifa] kwa yale majeshi matatu ya MAGEREZA, POLISI na ZIMAMOTO.

Kwahiyo wenzenu ndiyo walikuwa wanayapitia hayo na wameshuhudia na kuona mambo mengi sana kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA kiasi ambacho iliwafanya kuwa "STRONG" hadi leo.

Wenzenu walikuwa wanapigania kupata feva na fursa zilizokuwa zinatolewa na serikali na wengine waliamua kubaki nyumbani na sasa hivi wanamiliki vitu vyao kwa upande wa ULAYA na AMERIKA.
Hiyo tafiti iliangalia pia maisha ya matio wote wa shule za msingi pamoja na shule za sekondari, ambao wote walkuwa wamefikia vyeo vya ujenerali wa kijesh..

Wakagundua kuwa wale matio wa shule za msingi hawapo consistency kwenye maisha yao, kpindi flani wanakuwa na hela sanaa na baadae hela zinawaishia na kuanza kuishi maisha ya kawaida na kuanza kuomba usaidiz kwa serikal..

Ndo hao wanaovizia zawad za magari ya toyota landcruiser kwa wanafunzi Bora, wanawapa 50milioni na wanasepa na magari mapya ya thamani ya 150milioni..

Lakin Matio wa shule za sekondar ndo royal families wana hela hadi wajukuu zao na hawana usumbuf kwa serikal..

Kwahiyo matio wa shule za sekondari ndo sahihi kwa kupata viongoz wa kijesh sababu waliongoza kitaifa wakiwa wanajitambua.. 🙏🏽 Lakin ile tafiti hawakuifanyia kaz
 
Hata hii timu ya mpira wa miguu inayoitwa WOLVES ni timu ya mpira wa miguu inayomilikiwa na serikali, wanamichezo wote weusi wanaocheza katika klabu hiyo ni WATANZANIA.

Huyo TOTI ni mtoto wa mchugaji wa kiinjili kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA, lakini cha ajabu na cha kushangaza hawarudi kulitumikia taifa katika michezo ya kimataifa.. 😂

Wengine waliamua kubaki TANZANIA na kutafuta vitu vyao! Sasa hivi wamiliki timu ya mpira wa miguu kwa upande wa TAIFA LA UJERUMANI.

Kwahiyo wale waliofanikiwa kuyafahamu haya masuala tangu siku nyingi, waliamua kuishi na kutafuta vitu vyao! Sasa hivi wanaishi vizuri.
Tatzo la majesh ya zimamoto na magereza walikuwa wanaish kwa ushindani wa kupeleka watoto wao ulaya na kuwalipia katika sports academy. Hela walikuwa nazo sanaa, saiv hawana kitu..
 
328166bbfddb46bd5573d54ee2e60ed8.jpg

​
Kwa hizi zawadi hawafiki hata nusu na mtu akipokea zawadi kutoka serikalini huwa ina maana yake katika masuala ya KIDIPLOMASIA ~ magari mawili aina ya TOYOTA LANDCRUISER pamoja na nyumba mbili zinazopatikana maeneo ya OYSTERBAY.

Lakini wale waliokuwa majenerali wa kijeshi ambao walipatikana baada ya matokeo ya KIDATO CHA PILI, KIDATO CHA NNE na KIDATO CHA SITA wanamiliki uchumi wao hadi leo. Pia wengi wanamiliki majengo katika mitaa ya KARIAKOO, MAGOMENI, SINZA na MIKOCHENI.
 
Hiyo tafiti iliangalia pia maisha ya matio wote wa shule za msingi pamoja na shule za sekondari, ambao wote walkuwa wamefikia vyeo vya ujenerali wa kijesh..

Wakagundua kuwa wale matio wa shule za msingi hawapo consistency kwenye maisha yao, kpindi flani wanakuwa na hela sanaa na baadae hela zinawaishia na kuanza kuishi maisha ya kawaida na kuanza kuomba usaidiz kwa serikal..

Ndo hao wanaovizia zawad za magari ya toyota landcruiser kwa wanafunzi Bora, wanawapa 50milioni na wanasepa na magari mapya ya thamani ya 150milioni..

Lakin Matio wa shule za sekondar ndo royal families wana hela hadi wajukuu zao na hawana usumbuf kwa serikal..

Kwahiyo matio wa shule za sekondari ndo sahihi kwa kupata viongoz wa kijesh sababu waliongoza kitaifa wakiwa wanajitambua.. 🙏🏽 Lakin ile tafiti hawakuifanyia kaz
WANAFUNZI BORA wa SHULE YA SEKONDARI huwa wapo vizuri kuliko WANAFUNZI BORA wa SHULE YA MSINGI, lakini kwa kipindi kirefu MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA yamekuwa yakiongozwa na WANAFUNZI BORA wa SHULE YA MSINGI.
 
Walikuwa wanadanganywa sanaa, hata elimu yao ilikuwa ndogo pamoja na kuwa ni matio wa shule za msingi.. 😂 Wakosovo sio watu wazuri..
Walikuwa wanaambiwa kinyume chake, maana hauwezi kutengeneza mahusiano mazuri na jamii ambayo ilishindwa kuishi kwa kuvumiliana kama walivyo wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO.
 
Perfection kabisa! Gharama za kuish Marekani zilikuwa kubwa na walishndwa kuzimudu hatimae watanzania wengne walihamia visiwa vya Karibian..

Hata Kati deluna ni mtoto wa mkuu mstaafu wa majesh ya zimamoto na magereza. Watanzania weng waliohamia huko, gharama ni kubwa ya kuish..

Serikal yenyewe ndo ilikuwa inawapeleka huko na hawakwenda kwa hiari yao wenyewe! Walikwenda kwa kazi ya serikali..🫈

KAT DELUNA ni kizazi cha mkuu mstaafu wa JESHI LA ZIMAMOTO, ila hawa wanamiliki kampuni ya usafirishaji ya mizigo kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA.

IMG_20260510_223346.jpg

Wale WATANZANIA waliowaacha nyumbani ndiyo wamepiga hatua kubwa za kimaendeleo, kuliko hata wale WATANZANIA waliofanikiwa kuhamia ng'ambo.

IMG_20260510_223535.jpg

​
Hizi timu za KARIOBANGI SHARKS pamoja na NAIROBI UNITED zote timu za mpira wa miguu zinazomilikiwa na WATANZANIA waishio TANZANIA.

Kwahiyo WATANZANIA waliofanikiwa kubaki TANZANIA ndiyo wanaopata fursa za kimaendeleo kuliko wale WATANZANIA waliofanikiwa kuhamia ng'ambo.
 
Matendo yakikomaa sanaa huzaa Roho na ndo walivyo wakongo na wakosovo. Hata waSierraLeone wapo hvyo hvyo! Ni dangerous species on earth..

Watu wa shinyanga vijijini ni hatari sanaa, ila wanawezana wao kwa wao na watu wa Bukene wakina Kagame..

Tangu walivyomsalit Nyerere, wanawake wao walianza kuzalishwa na wanaume wa Kishapu ili kuondoa ile Roho ya usaliti kwa vizaz vinavyofuatia..

Wakikosa wanaume wa Kishapu huwa wanaenda Meatu, Maswa na Bariad. Wengne huwa wanaolewa na watu wa Mwanza..

Lakini Saiv tunaona wale watoto wa kike wa wakuu wa majesh wastaafu wanaenda Bondo, Kisumu kwa likizo ya uzazi hata wajukuu wao wa kike wanafanya hivyo kwa watoto wa Odinga..🫈
Huwa tunaambiwa matendo huzaa tabia na tabia iliyozoeleka na kukomaa huzaa roho! Sasa wale wastaafu wa kijeshi walivyofanikiwa kuwavua vyama vya siasa wakina HAYATI MWALIMU pamoja na SHEIKH KARUME, wengi walihamia MATAIFA YA MAGHARIBI na kuachana kabisa na sera za ujamaa hadi leo.

79fbbb7d4ddd824bc57d93e29b508d22.jpg

​
Hata ule utamaduni wa mtanzania waliutupilia mbali na kuamua kuishi katika dunia ya utandawazi wa kuakisi na kuiga utamaduni wa kimagharibi.

c51fb1b2ff8d6d9334574d0cdefd5fdf.jpg

​
Lakini utamaduni wa kimagharibi unahitaji uwezo wa kifedha na wao fedha hawana, zaidi ya kutegemea uwekezaji wa serikali unaofanyika ng'ambo kupitia uwakilishi wa kibalozi.

d74298b9e3992087e93c943e220a3f41.jpg

​
Yaani wao huko walipo, wanategemea shughuli za kiserikali kupitia ofisi za kibalozi ndiyo maisha yaende! Sasa aina hiyo ya maisha kuna baadhi ya WATANZANIA walishindwa, ndiyo maana waliamua kuendelea kubaki TANZANIA.

470d116ff13cbfc7760fed391c985f94.jpg

Kwahiyo wao huko walipo wanajaribu kuishi maisha ya kimagharibi, lakini picha zao zikivuja au wakirudi TANZANIA wanaondolewa kazini kwa kukiuka miiko ya mtanzania ~ hasa wale wanaofanya kazi za MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA.

9d57a4b46c9a573faf5cd322b5cf9c54.jpg

​
Hawa wote ni watoto wa waliokuwa askari kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA kabla ya kuhamia ng'ambo.
 
Huwa tunaambiwa matendo huzaa tabia na tabia iliyozoeleka na kukomaa huzaa roho! Sasa wale wastaafu wa kijeshi walivyofanikiwa kuwavua vyama vya siasa wakina HAYATI MWALIMU pamoja na SHEIKH KARUME, wengi walihamia MATAIFA YA MAGHARIBI na kuachana kabisa na sera za ujamaa hadi leo.

Hata ule utamaduni wa mtanzania waliutupilia mbali na kuamua kuishi katika dunia ya utandawazi wa kuakisi na kuiga utamaduni wa kimagharibi.

Lakini utamaduni wa kimagharibi unahitaji uwezo wa kifedha na wao fedha hawana, zaidi ya kutegemea uwekezaji wa serikali unaofanyika ng'ambo kupitia uwakilishi wa kibalozi.

Yaani wao huko walipo, wanategemea shughuli za kiserikali kupitia ofisi za kibalozi ndiyo maisha yaende! Sasa aina hiyo ya maisha kuna baadhi ya WATANZANIA walishindwa, ndiyo maana waliamua kuendelea kubaki TANZANIA.

Kwahiyo wao huko walipo wanajaribu kuishi maisha ya kimagharibi, lakini picha zao zikivuja au wakirudi TANZANIA wanaondolewa kazini kwa kukiuka miiko ya mtanzania ~ hasa wale wanaofanya kazi za MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA.

Hawa wote ni watoto wa waliokuwa askari kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA kabla ya kuhamia ng'ambo.
Hao ndo wanaoishi kama wapo peponi kwa kutegemea serikal
 
Walikuwa wanaambiwa kinyume chake, maana hauwezi kutengeneza mahusiano mazuri na jamii ambayo ilishindwa kuishi kwa kuvumiliana kama walivyo wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO.
Wamezaliana had na wakosovo, wamefundishwa na wakosovo mambo ya kienyeji na usafiri wao mkubwa ni ule wa kupaa na Ungo.. 😂 Tanzania to Marekani ni masaa mawili tu
 
Kwa hizi zawadi hawafiki hata nusu na mtu akipokea zawadi kutoka serikalini huwa ina maana yake katika masuala ya KIDIPLOMASIA ~ magari mawili aina ya TOYOTA LANDCRUISER pamoja na nyumba mbili zinazopatikana maeneo ya OYSTERBAY.

Lakini wale waliokuwa majenerali wa kijeshi ambao walipatikana baada ya matokeo ya KIDATO CHA PILI, KIDATO CHA NNE na KIDATO CHA SITA wanamiliki uchumi wao hadi leo. Pia wengi wanamiliki majengo katika mitaa ya KARIAKOO, MAGOMENI, SINZA na MIKOCHENI.
Sie tulikuwa tunawachora tu! Wajichanganye na utapel wao, watauona moto..🔥 Wenzao wanapiga hatua kila cku, wao wamekuwa kama wahutu na wanataka kusaidiwa had kulea watoto na wajukuu wao wakat wao walkuwa ni wakuu wa majesh?
 
Hao ndo wanaoishi kama wapo peponi kwa kutegemea serikal
66d614e782e96d0630d3557b2c5fe9d4.jpg

​
Hao ndiyo huwa wanakula KEKI YA TAIFA wakiwa nje ya nchi! Ukiwa ndani ya nchi hauwezi kula KEKI YA TAIFA, maana macho ni mengi na idadi kubwa ya askari waliokuwa wakihama nchi kipindi kile cha miaka ya sabini [1975's] hadi tisini [1990's] walikuwa ni askari wenye asili ya SHINYANGA VIJIJINI.

31d0988d78cd455f861c005fe4e65911.jpg

​
Hawa ni vizazi vya wale askari waliokuwa wakihama nchi kipindi kile cha miaka kama ishirini iliyopita na wanaendelea kufanya kazi katika miradi iliyochini ya ofisi za kibalozi nje ya nchi.

9a876a37e2c7d6dbc6b40aa3eece117c.jpg

Hawa ndiyo vizazi vya wale askari waliokuwa wanataka mabadiliko na mtindo wa maisha ya kimagharibi, ukiachana na sera za ujamaa!

fa936d874bee3fad7e8aa13ea7a47d16.jpg

​
Hata wale waliokuwa viongozi wastaafu wa MAJESHI YA MAGEREZA, ZIMAMOTO na kidogo POLISI ndiyo walipeleka watoto wao huko, sasa hivi hata wajukuu na vitukuu vilishapatikana kupitia shughuli za kusimamia na kukagua miradi ya serikali kupitia ofisi za kibalozi zinazopatikana nje ya nchi.

Hawa ndiyo wapo na wanaishi kama WAHUTU, yaani wameenda mbali zaidi ya mtindo wa kimagharibi ile WESTERN CULTURE.
 
Back
Top Bottom