Tanzania ya sasa ni ile aliyoiona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Kuna baadhi ya WATANZANIA ambao walifanikiwa kuyafahamu haya masuala tangu miaka ya tisini [1990's], hapo ndiyo ilikuwa mwanzo wa kuanza kujijenga kiuchumi.

WATANZANIA wapo wengi na wengine wanaishi nje ya nchi, tena wengine ni wanasiasa na matajiri wakubwa!

Ukiwa KENYA, TANZANIA ni nyumbani kwao! Ukiwa UGANDA, RWANDA na BURUNDI, TANZANIA ni nyumbani kwao! Ukiwa MSUMBIJI, MALAWI na ZAMBIA, TANZANIA ni nyumbani kwao! Ukiwa AFRIKA YA KUSINI, TANZANIA ni nyumbani kwao! Ukiwa GHANA na TOGO, TANZANIA ni nyumbani kwao!

Tunaambiwa baada ya mwaka 1975, hao WATANZANIA waishio nje ya nchi [DIASPORA] walipata nguvu ya kushiriki na kufanya maamuzi ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM] na ndani ya SERIKALI YA TANZANIA.

Huwa wanachagua RAIS pamoja na VIONGOZI WA KIJESHI! Bila ya wao kupitisha, hakuna kitakachofanikiwa ndani ya mipaka ya TANZANIA na ZAMBIA ndiyo taifa lenye ushawishi na nguvu kubwa ndani ya SERIKALI YA TANZANIA. Ndiyo maana wenzenu huwa wanapitia BARAZA LA MITIHANI TANZANIA [NECTA]..

Kwahiyo ushindani upo mkubwa, ukizingatia WATANZANIA waishio nje ya nchi [DIASPORA] ni wasomi, wanamiliki uchumi mkubwa na wanasikilizwa sana kuliko WATANZANIA waishio ndani ya nchi.

Hivyo WATANZANIA waishio ndani ya nchi waliofanikiwa kuyafahamu haya masuala tangu siku nyingi waliamua kujipanga vizuri na kusomesha kwa bidii.

Ushindan upo mkubwa sanaa! Saivi IGP, DIGP na CP wa magereza, Polis na Zimamoto wote ni matio. Zile nafasi tatu za juu kwenye majesh ya magereza, Polis na Zimamoto wote ni matio.. Sema magereza wanazngatia sanaa masomo ya civics 🙏🏽
 
Watu wengi hapa wanaongea kuhusu ubepari au ujamaa lakini wanaoneka kutokujua kiini cha umasikini wa taifa hili au Afrika kwa ujumla. Wanaongea tu maneno ya kufikirika bila vielelezo, ukiwauliza ubepari ungeisaidia vipi Tanzania sijui kama watatoa maneno ya kuridhisha. Ni blah blah tu
 
HAYATI MWALIMU alikuwa sahihi!
 
Ushindan upo mkubwa sanaa! Saivi IGP, DIGP na CP wa magereza, Polis na Zimamoto wote ni matio. Zile nafasi tatu za juu kwenye majesh ya magereza, Polis na Zimamoto wote ni matio.. Sema magereza wanazngatia sanaa masomo ya civics 🙏🏽
Kwenye MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA kuna ushindani mkubwa sana, kila askari anatamani kuwa MKUU WA JESHI na kila mwaka wanapatikana MWANAFUNZI BORA [TO's] watano ambao wanakuwa na SIFA ZA UKUU WA MAJESHI.

Bila ya kusahau nafasi tano nyingine ambazo zinapatikana kila mwaka kwa upande wa UKUU WA JESHI LA ULINZI [CDF], ambapo inahitaji askari aliyefanikiwa kushika nafasi ya tatu kitaifa katika MTIHANI WA TAIFA WA DARASA LA NNE [FTNA] au DARASA LA SABA [PSLE] au KIDATO CHA PILI [FTNA] au KIDATO CHA NNE [CSEE] pamoja na KIDATO CHA SITA [ACSEE].

a5d32dd2bb53d08bf0ea98dc39d8f17f.jpg

Hapa katika kuchagua IGP, CGF, CDF pamoja na CGI wale diaspora wa kitanzania wanakuwa wanahusika sana! Lakini katika kuchagua CGP, wale diaspora wanakuwa hawana nguvu kwa sababu sifa ya kuwa CGP ni kuwa na matokeo mazuri ya kitaaluma katika masomo ya uraia kuliko askari wote wa magereza.

038593fa8831b62b84f93cf6d46412f1.jpg

​
Yaani, kwa kifupi askari magereza mwenye matokeo mazuri kuliko wote katika masomo ya uraia ndiyo huwa anafanyika kuwa kiongozi wa kijeshi kwa upande wa JESHI LA MAGEREZA.

Hata RPC [REGIONAL PRISON COMMISSIONER] anakuwa na matokeo mazuri katika masomo ya uraia kuliko askari magereza wote wanaopatikana katika mkoa husika.

363fe857ef364a7749ceedb5de216b8d.jpg

​
TANO BORA [TOP FIVE] katika masomo ya uraia [MAARIFA YA JAMII kwa upande wa DARASA LA SABA, CIVICS kwa upande wa KIDATO CHA PILI na KIDATO CHA NNE na DEVELOPMENT STUDIES [DS] kwa upande wa KIDATO CHA SITA] ndiyo huwa wanafanyika kuwa viongozi wa kijeshi kwa upande wa JESHI LA MAGEREZA na huwa wanapatikana wanafunzi ishirini [20] kila mwaka kupitia BARAZA LA MITIHANI TANZANIA [NECTA] ambao wanakuwa na sifa ya kuongoza JESHI LA MAGEREZA.

876171b1011ad65eef96c32465aca9a4.jpg

​
Kwahiyo JESHI LA MAGEREZA ndiyo jeshi pekee ambalo halina ushindani wala halihitaji nguvu ya ushawishi kutoka nje ili kupata viongozi wake, kwa sababu askari magereza mwenye matokeo mazuri kuliko askari wengine kwenye masomo ya uraia ndiyo huwa anafanyika kuwa kiongozi wa kijeshi kwa upande wa JESHI LA MAGEREZA.

7f800f2b9b25502ebaacaa3ab0b55963.jpg

​
JESHI LA MAGEREZA ndiyo huwa lipo hivyo na huwa inawezekana kupatikana askari ambaye atakuja kuwa CGP, hata kabla ya kujiunga na JESHI LA MAGEREZA! Wao wanakuwa wameshamuona kupitia BARAZA LA MITIHANI TANZANIA [NECTA] na JESHI LA POLISI.
 
Watu wengi ni makasuku wanaimba tu lakini hawaujui capitalism inavyofanyakazi. Wamshukuru Nyerere na sera za ujamaa mpaka leo wana uwezo wa kumiliki vipande vya ardhi.
Baada ya mwaka 1975, washika dau kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA waliongezeka na kuwa wengi. Kila mtu alikuwa na mitazamo yake kuhusu mustakabali wa taifa, kwa sababu TANZANIA ni nyumbani kwao!

ea63f7f6778b4b2adc611aae5149e983.jpg

​
TANZANIA inapitia kipindi cha mpito tangu HAYATI MWALIMU alivyong'atuka madarakani mwaka 1985. Lakini sasa hivi idadi kubwa ya WATANZANIA wameshaona wapi walikuwa wanakosea na muda siyo mrefu kuanzia sasa TANZANIA itarudi mahala pake.
 
Baada ya mwaka 1975, washika dau kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA waliongezeka na kuwa wengi. Kila mtu alikuwa na mitazamo yake kuhusu mustakabali wa taifa, kwa sababu TANZANIA ni nyumbani kwao!

TANZANIA imepitia kipindi cha mpito tangu HAYATI MWALIMU alivyong'atuka madarakani mwaka 1985. Lakini sasa hivi idadi kubwa ya WATANZANIA wameshaona wapi walikuwa wanakosea na muda siyo mrefu kuanzia sasa TANZANIA itarudi mahala pake.
Moi alihamia Kenya kutoka Tanzania akiwa na miaka 35! Watanzania waliofanikiwa kuhamia nje ya nchi na kuwa viongoz wa kitaifa wanathaminika sanaa kuliko watanzania wengine sababu ni matajiri sanaaaaa..

Wamepewa jukumu la kuchagua viongozi wa kitaifa na kijesh kwa upande wa Tanzania. Bado kdogo mtaona watoto wao wanakuja kuchukua majimbo ya sisiem.. 🙏🏽
 
Kwenye MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA kuna ushindani mkubwa sana, kila askari anatamani kuwa MKUU WA JESHI na kila mwaka wanapatikana MWANAFUNZI BORA [TO's] watano ambao wanakuwa na SIFA ZA UKUU WA MAJESHI.

Bila ya kusahau nafasi tano nyingine ambazo zinapatikana kila mwaka kwa upande wa UKUU WA JESHI LA ULINZI [CDF], ambapo inahitaji askari aliyefanikiwa kushika nafasi ya tatu kitaifa katika MTIHANI WA TAIFA WA DARASA LA NNE [FTNA] au DARASA LA SABA [PSLE] au KIDATO CHA PILI [FTNA] au KIDATO CHA NNE [CSEE] pamoja na KIDATO CHA SITA [ACSEE].

Hapa katika kuchagua IGP, CGF, CDF pamoja na CGI wale diaspora wa kitanzania wanakuwa wanahusika sana! Lakini katika kuchagua CGP, wale diaspora wanakuwa hawana nguvu kwa sababu sifa ya kuwa CGP ni kuwa na matokeo mazuri ya kitaaluma katika masomo ya uraia kuliko askari wote wa magereza.

Yaani, kwa kifupi askari magereza mwenye matokeo mazuri kuliko wote katika masomo ya uraia ndiyo huwa anafanyika kuwa kiongozi wa kijeshi kwa upande wa JESHI LA MAGEREZA.

Hata RPC [REGIONAL PRISON COMMISSIONER] anakuwa na matokeo mazuri katika masomo ya uraia kuliko askari magereza wote wanaopatikana katika mkoa husika.

TANO BORA [TOP FIVE] katika masomo ya uraia [MAARIFA YA JAMII kwa upande wa DARASA LA SABA, CIVICS kwa upande wa KIDATO CHA PILI na KIDATO CHA NNE na DEVELOPMENT STUDIES [DS] kwa upande wa KIDATO CHA SITA] ndiyo huwa wanafanyika kuwa viongozi wa kijeshi kwa upande wa JESHI LA MAGEREZA na huwa wanapatikana wanafunzi ishirini [20] kila mwaka kupitia BARAZA LA MITIHANI TANZANIA [NECTA] ambao wanakuwa na sifa ya kuongoza JESHI LA MAGEREZA.

Kwahiyo JESHI LA MAGEREZA ndiyo jeshi pekee ambalo halina ushindani wala halihitaji nguvu ya ushawishi kutoka nje ili kupata viongozi wake, kwa sababu askari magereza mwenye matokeo mazuri kuliko askari wengine kwenye masomo ya uraia ndiyo huwa anafanyika kuwa kiongozi wa kijeshi kwa upande wa JESHI LA MAGEREZA.

JESHI LA MAGEREZA ndiyo huwa lipo hivyo na huwa inawezekana kupatikana askari ambaye atakuja kuwa CGP, hata kabla ya kujiunga na JESHI LA MAGEREZA! Wao wanakuwa wameshamuona kupitia BARAZA LA MITIHANI TANZANIA [NECTA] na JESHI LA POLISI.
Saiv wakuu wa majesh wote wanakula 5 bilioni kama mafao na majeneral wa jesh wanakula 3 bilioni. Ila mkuu wa magereza anakula zaidi, inaenda hadi 7 bilioni. Hela wanazo, cjui wale wengne walikuwa wanakosea wapi?
 
Wale wengine walikuwa wanaishi maisha ya kuiga ya WATAWALA, lakini walikuwa na FEDHA na FEDHA zao ziliishia kwenye mashindano ya kupeleka watoto wao ulaya.

369ed9f107bb7fb5bccb7d837b0abeee.jpg

​
TAIFA LA SENEGAL, wanamichezo weusi wengi ni watoto wa WATAWALA na WANASIASA! FEDHA wanazo, hao ndiyo wanashiriki na kucheza katika vilabu vya michezo vinavyopatikana ulaya.

bea80f743e021c77c682354037c14d4c.jpg

​
Lakini taifa kama IVORY COAST, serikali ndiyo huwa inakuwa msimamizi wa wanamichezo wote wanaocheza ulaya na wanamichezo wachache ndiyo huwa wanakuwa chini ya usimamizi wa familia zao.

068568fa3b28d2abb9e73f2148c03c52.jpg

​
Lakini wale wengine ambao wanashindwa kumudu gharama za kucheza ulaya, wanarudi kucheza katika vilabu kama TP MAZEMBE ["The big team, You Know"] ya KONGO au MAMELOD SUNDOWNS ya AFRIKA YA KUSINI.

Wengine kuepusha gharama na usumbufu, waliamua kumiliki vilabu vyao na walifanikiwa kushiriki michuano ya afrika kwa mara ya kwanza miaka michache iliyopita.. 😂

914660e7fbabdded395d583b974af4db.jpg

Kwahiyo sasa hivi watu ndiyo wanafanya hivyo! KENYA, UGANDA na RWANDA kumejaa, watu wanahamia MSUMBIJI, MALAWI na ZAMBIA. Malengo yakiwa ni yale yale kushiriki katika michezo.
 
Wale wengine walikuwa wanaishi maisha ya kuiga ya WATAWALA, lakini walikuwa na FEDHA na FEDHA zao ziliishia kwenye mashindano ya kupeleka watoto wao ulaya.

TAIFA LA SENEGAL, wanamichezo weusi wengi ni watoto wa WATAWALA na WANASIASA! FEDHA wanazo, hao ndiyo wanashiriki na kucheza katika vilabu vya michezo vinavyopatikana ulaya.

Lakini taifa kama IVORY COAST, serikali ndiyo huwa inakuwa msimamizi wa wanamichezo wote wanaocheza ulaya na wanamichezo wachache ndiyo huwa wanakuwa chini ya usimamizi wa familia zao.

Lakini wale wengine ambao wanashindwa kumudu gharama za kucheza ulaya, wanarudi kucheza katika vilabu kama TP MAZEMBE ya KONGO au MAMELOD SUNDOWNS ya AFRIKA YA KUSINI.

Wengine kuepusha gharama na usumbufu, waliamua kumiliki vilabu vyao na walifanikiwa kushiriki michuano ya afrika kwa mara ya kwanza miaka michache iliyopita.. 😂

Kwahiyo sasa hivi watu ndiyo wanafanya hivyo! KENYA, UGANDA na RWANDA kumejaa, watu wanahamia MSUMBIJI, MALAWI na ZAMBIA. Malengo yakiwa ni yale yale kushiriki katika michezo.

Hawana hela saivi! Wamebakiza kupiga madili ya magari ya wanafunzi Bora, rimoti ya wizi inasoma Bunju.. 😂
 
Ndiyo maana sisi huwa hatukai nao! Sasa hivi wamekuwa na tabia zenye ukakasi, wakijichanganya tunawavua vyeo and we are sending them to cemetery as a private disrespectful citizen.. 🙏🏽
 
Saiv wakuu wa majesh wote wanakula 5 bilioni kama mafao na majeneral wa jesh wanakula 3 bilioni. Ila mkuu wa magereza anakula zaidi, inaenda hadi 7 bilioni. Hela wanazo, cjui wale wengne walikuwa wanakosea wapi?
_20260417_005642.JPG

​
Hawa vijana wanaojiunga na MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA kwa kipindi hiki wanakuwa wanafahamu kila kitu na wameandaliwa vizuri na tayari wanakuwa wanatumia bidhaa za majeshi kama sehemu ya uraibu.

IMG_20220629_094922_5.jpg

​
Zawadi huwa wanapewa kutoka WIZARA YA ELIMU [MEM] na mishahara huwa wanapewa ya mwaka mzima. Yaani wanakuwa wameandaliwa kabisa, hakuna kulia lia njaa..

328166bbfddb46bd5573d54ee2e60ed8.jpg

​
Kipindi kile cha AWAMU YA TATU [1995-2005] walikuwa wanatoa zawadi za nyumba za serikali. Hivyo kuna wanafunzi bora walifanikiwa kupata nyumba maeneo ya OYSTERBAY, ambao majirani zao watakuwa ni MASAKI, POSTA, MIKOCHENI na MSASANI..

Wenzenu hata sinema huwa wanaangalia za kichina na hauwezi kuwachanganya na WAHANGA WA VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE [CIVIL WAR VICTIMS] kama WAKOSOVO na WAKONGOMANI, ili kuzuia MENTAL DISTORTION.

_20230722_165809.JPG

​
Kwahiyo hali halisi ndiyo huwa ipo hivyo na huwa wanajiunga na JESHI LA ULINZI [JWTZ] wakiwa na miaka arobaini [40] wakitoka katika majeshi ya MAGEREZA, POLISI na ZIMAMOTO.
 
Ndiyo maana sisi huwa hatukai nao! Sasa hivi wamekuwa na tabia zenye ukakasi, wakijichanganya tunawavua vyeo and we are sending them to cemetery as a private disrespectful citizen.. 🙏🏽
Hzo tabia ni za kijinga sanaa! Ipo cku watamkumbuka Nyerere, saivi nindo wapo Senegal
 
Hawa vijana wanaojiunga na MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA kwa kipindi hiki wanakuwa wanafahamu kila kitu na wameandaliwa vizuri na tayari wanakuwa wanatumia bidhaa za majeshi kama sehemu ya uraibu.

Zawadi huwa wanapewa kutoka WIZARA YA ELIMU [MEM] na mishahara huwa wanapewa ya mwaka mzima. Yaani wanakuwa wameandaliwa kabisa, hakuna kulia lia njaa..

Kipindi kile cha AWAMU YA TATU [1995-2005] walikuwa wanatoa zawadi za nyumba za serikali. Hivyo kuna wanafunzi bora walifanikiwa kupata nyumba maeneo ya OYSTERBAY, ambao majirani zao watakuwa ni MASAKI, POSTA, MIKOCHENI na MSASANI..

Wenzenu hata sinema huwa wanaangalia za kichina na hauwezi kuwachanganya na WAHANGA WA VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE [CIVIL WAR VICTIMS] kama WAKOSOVO na WAKONGOMANI, ili kuzuia MENTAL DISTORTION.

Kwahiyo hali halisi ndiyo huwa ipo hivyo na huwa wanajiunga na JESHI LA ULINZI [JWTZ] wakiwa na miaka arobaini [40] wakitoka katika majeshi ya MAGEREZA, POLISI na ZIMAMOTO.

Ukishakuwa mwanafunz bora inchi hii umeshatoka, ila kuwekewa mishahara ya bure huwa mwisho wa mwez wa 5! Mwez wa 6 wanaanza kuingia mzigoni..

Isngekuwa jesh la ulinzi, To wa form cix 2010 angeweza kuwa cgp wa magereza hata akiwa na miaka 40..

Sema mkuu wa jesh lolote Tanzania hii, anatakiwa awe amepitia mafunzo ya kijeshi na kuwa jeneral wa jesh la ulinzi kwanza kabla ya kuwa mkuu wa jeshi lolote linalotambulika ndan ya mipaka ya Tanzania..
 
Wamepewa jukumu la kuchagua viongozi wa kitaifa na kijesh kwa upande wa Tanzania. Bado kdogo mtaona watoto wao wanakuja kuchukua majimbo ya sisiem.. 🙏🏽
IMG_20260429_133210.jpg

​
DIASPORA wapo mbali, huyu MAMA MUTINTA wa ZAMBIA na MAMA IDA ODINGA wa KENYA ni mtu na dada yake ambao wote ni WAZAMBIA wenye asili ya TANZANIA.

IMG_20260429_133218.jpg

​
Wanapewa kipaumbele na heshima kuliko hata WATANZANIA waliobaki nyumbani na wao walisema ipo siku watoto wao waturudi TANZANIA na kushiriki katika SIASA YA TANZANIA.
 
Hao watu ni matajir mno na wanaongoza Tanzania wakiwa nje ya inchi! Ndo maana saivi watu wanatafuta hela kwa nidhamu, wakirudi hao hamna kitu hapa..

Hakuna hata cha mtandao! Hao ni balaa na wanatumia intelijensia zao, hata majeneral diaspora wa Kitanzania wakiingia majeshin wanaheshmika kuliko hawa waliopo Tanzania..

Kwahiyo wapo vizur na Tanzania ndo huwa inaponea huko, hata ikipata vikwazo inaish kupitia hizo serikal za Zambia, Malawi na Msumbij.. 🙏🏽
 
DIASPORA wapo mbali, huyu MAMA MUTINTA wa ZAMBIA na MAMA IDA ODINGA wa KENYA ni mtu na dada yake ambao wote ni WAZAMBIA wenye asili ya TANZANIA.

Wanapewa kipaumbele na heshima kuliko hata WATANZANIA waliobaki nyumbani na wao walisema ipo siku watoto wao waturudi TANZANIA na kushiriki katika SIASA YA TANZANIA.
Zambia ndo wasukuma wa Shinyanga mjini! Wivu wanao na wana Roho za Kwanin? Wao ni matajir, lakin wakiona mwingine anafanikiwa Roho zinawauma..

Wanaweza kukumaliza huku wanacheka, kama walivyomuondoa Nyerere madarakani. Zambia ndo wenye nguvu mataifa ya Kusin mwa Afrika.. Zambia ndo huwa inawaweka viongoz Kitanzania vizuizini.. 😂
 
IMG_20260430_125826.jpg

Wale waliofanikiwa kuifahamu aina hii ya SIASA ZA TANZANIA, waliamua kuwa na nidhamu na kutulia! Sasa hivi wanajijenga vizuri hata kwa kile kidogo wanachokipata.

IMG_20260430_151304.jpg

​
Hakuna kwenda mbio ili kufanana na WATAWALA! Hapana, wenzenu huwa wanaenda taratibu hatimaye wanamiliki vitu vyao.

3b3cb1791ae5c88e8d5b049311da4285.jpg

Lakini wanaishi kwa tahadhari, maana vurugu zimekuwa ni nyingi na rafu za makusudi huwa zinapigwa kwa nia ya kukwamisha mambo yasiende kama inavyotakiwa.

Dunia ya leo ndiyo watu huwa wanaishi hivyo! WAINGEREZA wanasema "We cannot beat the same instrument, but we can all be on the same kingdom! Do it and I will do it better". You Know, finally on the top of the league 😂
 
Zambia ndo wasukuma wa Shinyanga mjini! Wivu wanao na wana Roho za Kwanin? Wao ni matajir, lakin wakiona mwingine anafanikiwa Roho zinawauma..

Wanaweza kukumaliza huku wanacheka, kama walivyomuondoa Nyerere madarakani. Zambia ndo wenye nguvu mataifa ya Kusin mwa Afrika.. Zambia ndo huwa inawaweka viongoz Kitanzania vizuizini.. 😂
Wale waliofanikiwa kuifahamu aina hii ya SIASA ZA TANZANIA tangu wanasoma shule, huwa wanapitia BARAZA LA MITIHANI TANZANIA [NECTA] kwa kusoma kwa bidii.

328166bbfddb46bd5573d54ee2e60ed8.jpg

​
WIZARA YA ELIMU [MEM] huwa inatoa zawadi ya magari aina ya TOYOTA LANDCRUISER kwa upande wa WANAFUNZI BORA [TO's] pamoja na WANAFUNZI VINARA [OP's].

Kipindi kile cha AWAMU YA TATU [1995-2005], serikali ilikuwa inatoa zawadi ya nyumba kwa upande wa WANAFUNZI BORA [TO's] pamoja na WANAFUNZI VINARA [OP's]. Hivyo kuna wanafunzi tayari wanamiliki nyumba zao ambazo zinapatikana maeneo ya gharama.

2cf3233ac7719e0d8855b76b357f1e25.jpg

Kwahiyo MWANAFUNZI BORA [TO's] au MWANAFUNZI KINARA [OP's] anaweza kujiunga na MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA akiwa tayari na zawadi zake mkononi, akiamua kuziuza ili afanye biashara ni maamuzi yake au akiamua kubaki nazo kwa matumizi binafsi nayo ni maamuzi yake.
 
Back
Top Bottom