Charles Mandela
JF-Expert Member
- Dec 9, 2011
- 3,694
- 3,309
Watu wa Shinyanga Vijijini saiv wapo 2.5milioni had 2.7milioni, kule Kibosho walianza kuhamia tangu kpindi cha harakati za kudai na kutafuta uhuru..
Wenzenu wanaendelea kukagua miradi ya serikali, huku wakiendelea kuwa ni TC [haijalishi kama wana vigezo au hawana]! Kigezo namba moja cha kuwa TC baada ya mwaka 1975 ilikuwa ni lazima mhusika awe ni mwenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually].
UCHIFU WA BUSIA walikuwa wanazaa watoto wengi halafu walikuwa wanawasambaza sehemu mbalimbali, kwa sababu walikuwa na hela tangu siku nyingi na ndiyo wamiliki halali wa mgodi wa mwadui.Halaf Chifu Mareale ni mtoto wa Chifu Makwaia, nayeye alihamia Marangu kutoka Kishapu akiwa na wasaidizi 50 wa chifu! Alivyofika huko, ni mwendo wa kuzaa watoto na wanawake wa kichagaa..
Ndiyo alivyofanya hivyo kwa upande wa TAIFA LA KONGO, baada ya JOSEPH KASAVUBU [the late] kuhamia nchini BENINI na walifanikiwa kutawala TAIFA LA KONGO kwa zaidi ya miaka ishirini [>20yrs]. Lakini baadae walihamia GAMBIA na wanaendelea kutawala hadi leo..
Kishapu walikuwa na hela tangu zaman, lakin Shinyanga vijijini hawakuwa na hela, wao walikuwa wanategemea mfumo wa kikoloni uwabebe na ukawabeba had kipindi cha Tanganyika kupata uhuru wake kutoka kwa Uingereza..
Tuliambiwa wale wanawake wawili na wao vizazi vyao vitatambulika serikalini hadi vizazi vya tano [5].Hata wale wanawake wawili waliochanganya udongo na Nyerere Kipndi cha Muungano wa Tanganyika na Zanzibar walikuwa ni wasukuma wa Shinyanga Vijijini waliohamia Kibosho..
Sasa hivi wanamiliki UCHUMI MKUBWA sana, baadae KISHAPU [BUBIKI actually] walifanikiwa kutawala TAIFA LA KONGO kupitia JOSEPH KABILA na wao walifanikiwa kumiliki mgodi mkubwa wa madini ambapo kila mwenyeji wa asili wa KISHAPU [BUBIKI actually] anaruhusiwa kumiliki hisa zake katika mgodi huo wa madini.Watu wa Kishapu ni waaminifu sanaa, baadae Chifu Makwaia aliitwa pale Oysterbay nyumba ya tatu kutoka darajan na Gavana Turnbull na kupewa maelezo ya kuhamia Togo. Saiv ndo watawala wa Togo na Gabon..
Wakina HAYATI MWALIMU walifanikiwa kuwa watawala wa TAIFA LA SENEGAL na TANZANIA ikawa JAMHURI YA WATANZANIA wote bila ya kujali dini wala kabila la mtu.Watu wa Shinyanga Vijijini wakabak na Tanzania, lakin wengine walihamia katika mataifa ya Rwanda na Burundi had pale mwaka 1975 walivyomsalit Nyerere na Tanzania ikawa Jamhuri ya Watanzania wote.. 🙏🏽