Alumni wa SHULE YA AZIMIO wapo wengi na ilishawahi kutoa MARAIS pamoja na MAWAZIRI WAKUU kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA! MAJENERALI WA KIJESHI ndani na nje ya nchi.
Hata YOHANA MADAKI alikuwa ni alumni wa SHULE YA AZIMIO na alifanya vizuri sana akiwa GAVANA WA JIMBO LA OLD GONGOLA, 1985 nchini NAIJERIA katika utawala wa JENERALI IBRAHIM BABANGIDA. SHULE YA AZIMIO ni shule ya VIPAJI MAALUM kwa upande wa shule za msingi.. 😂
Sasa hivi watakuwa wamefahamu na wamejifunza wapi walipokuwa wanakosea! Walifanikiwa kwenda ng'ambo na wamerudi TANZANIA huku wakikuta wale waliokuwa wamewaacha wamepiga hatua kubwa za kimaendeleo.
Ila kuna wengine walifanikiwa kupata biashara za matangazo huko ughaibuni na kufanikiwa kufungua kampuni ya usafirishaji ya mizigo na kiwanda cha kuchakata pamba kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA.
Kwahiyo hali halisi ndiyo ilikuwa hivyo na wale waliokuwa wastaafu wa majeshi miaka ya sitini [1960's] hadi themanini [1980's] wengi walikuwa ni wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually].
Idadi kubwa walikuwa ni wahitimu wa shule zilizokuwa zinapatikana katika MKOA WA SHINYANGA kama AZIMIO, MAPINDUZI, MSUFINI na TOWN.
Tunaambiwa ilikuwa wakimaliza darasa la nne au darasa la saba na kupangiwa shule ya kujiunga kidato cha kwanza, ndiyo wanakuwa wamehamia huko huko hata baada ya kumaliza kidato cha nne au kidato cha sita.
Wenzenu ndiyo walikuwa wanasambaa kwa namna hiyo na walikuwa wanakutana kipindi cha kujiunga na JESHI LA KUJENGA TAIFA, JKT.