Charles Mandela
JF-Expert Member
- Dec 9, 2011
- 3,694
- 3,309
Wahitimu wa SHULE YA AZIMIO ndiyo wanaongoza wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] na hao ndiyo wanamtandao. Mtandao wao unaanzia kwa wahitimu wa AZIMIO, watoto wao hadi wajukuu wao na kuendelea hata vizazi vyao.Nindo ndo walikuwa wamejificha kwenye mfumo katolik au mfumo kristu, hata Nimrod Mkono alisoma azimio na kwenye Biashara zake amejaza watu wa Nindo tu. Wafanyakaz wa Benki M wote ni watu wa nindo.. 🙏🏽
Walikuwepo wakina MZEE RUKSA, MISTER CLEAN, MISTER ZERO na WHITEY HAIR halafu wakaja wakina MZINDAKAYA na MZEE PINDA. Ikumbukwe pia MZEE RUKSA aliwekwa madarakani na AZIMIO ALUMNI kwa makubaliano maalum na HAYATI MWALIMU hausiki kabisa na SIASA ZA TANZANIA baada ya mwaka 1985.
Maana wao walikuwa wanafanya vizuri sana katika masomo ya SHULE YA MSINGI na ukiangalia matokeo yao wakiwa SHULE YA SEKONDARI unakuta wana DIVISION THREE au DIVISION FOUR au DIVISION ZERO na wengine walikuwa wanaishia elimu ya msingi kwa hofu ya aibu kutokana na uwezo wao wa darasani kuwa ni mdogo. Hivyo kwa kufuata kigezo hicho kitawaondolea ile hadhi ya ujenerali na teuzi zao zitaonekana ni batili tangia mwanzo.
Pia tunaweza kusema wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] ni GOOD GOVERNMENT CONSUMABLE [GGC], wanufaika wakubwa wa serikali kwa kutumia madhaifu ya serikali. Lakini wao wenyewe hawana hela za kuwatosha, wanaishi kama WAHUTU.
Kwahiyo wale wanaowafahamu wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] huwa hawajihusishi nao wala kujishughulisha nao, hata kutoa ushirikiano huwa hamna maana wao huwa wanaangalia masilahi yao tu.