HAYATI MWALIMU alifanikiwa kuwatunza vizuri viongozi wake wa kijeshi waliokuwa wanamtii na kumtumikia kipindi cha utawala wake.
Wote walikuwa ni wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] na wanaishi vizuri nchini SENEGAL na baadhi waliamua kubaki TANZANIA kwa ajili ya kulinda masilahi yao.
HAYATI MWALIMU alikuwa ni rais wa kwanza wa TANZANIA na alikuwa na watu waliokuwa wanamkubali wakiwemo wakina ODINGA OGINGA kutoka KENYA.
Wale wakina ODINGA OGINGA wengine wanaishi nchini SENEGAL na wanashiriki na kucheza michezo yote katika timu za taifa.
Wale wanamtandao walikosea kufanya hivyo mapema, maana walitakiwa kujijenga kiuchumi kwanza na kuachana na habari za kuandaa na kulipa mishahara askari binafsi kwa nia ya kuongoza serikali kwa uaminifu.
Hawa UCHIFU WA BUSIA kabla ya kuwa na serikali ya CAPE VERDE, walianza kuongoza serikali mseto kama TOGO, KONGO na GABONI na sasa hivi wana serikali yao pekee yao ya CAPE VERDE.
HAYATI MWALIMU anamiliki uchumi wake na jamii nyingine zilianza kujijenga taratibu kwa kuanza na kidogo na sasa hivi wanamiliki vitu vyao, wakiwemo wenyeji wa asili wa WILAYA YA KISHAPU [BUBIKI actually].
Wenyeji wa asili wa WILAYA YA KISHAPU [BUBIKI actually] ndiyo watawala kwa wakati huu, kwa upande wa TAIFA LA KONGO.
Lakini pia wana mataifa yao kama MSUMBIJI na SIERRA LEONE ambayo wanatawala kwa kipindi kirefu tangu miaka ya sabini [1970's].
Sasa hivi ukiwa timu ya taifa ya mpira wa miguu ya KONGO inajumuisha wanamichezo wote weusi wenye asili ya WILAYA YA KISHAPU [BUBIKI actually] na wamefanikiwa kushiriki KOMBE LA DUNIA [2026] kwa mara ya kwanza.
Hawa WATANZANIA wote wanaonekana katika mataifa mbalimbali walianza kujijenga kupitia SERIKALI YA TANZANIA na WATANZANIA wengine waliobaki wanapitia njia hiyo hiyo, BARAZA LA MITIHANI TANZANIA [NECTA] kwa kufanikiwa kuingia KUMI [10] BORA.