Wenzenu walikuwa wanakomaa hivyo hivyo na masomo ya ziada [TUITIONS] walikuwa wanasoma sana na huwa wanajiunga na MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA wakiwa na vyeo vikubwa, kuanzia cheo cha SP!
Mwaka 2010, BARAZA LA MITIHANI TANZANIA [NECTA] kupitia mtihani wa kidato cha sita lilitoa DCP baada ya kufanikiwa kuongoza kitaifa kwa mara tano [5] mfululizo.
MWANAFUNZI BORA [TO's] wa kidato cha nne, 2007 anaweza akajiunga na jeshi akiwa na cheo cha ACP na akifanikiwa kufikisha miaka arobaini [40] atakuwa anamalizia cheo chake cha DCP. Baada ya hapo ndiyo ataanza kusotea cheo kinachofuata cha CP!
Hao ndiyo viongozi wa kijeshi na majenerali wa siku za mbeleni na hauwezi kuwafananisha na wale viongozi wa kijeshi wa awamu tatu za mwanzo, kwa sababu hawa wa sasa hivi zawadi zao huwa wanapewa kutoka WIZARA YA ELIMU, wala hawahusiki na SIASA ZA TANZANIA.
Kwahiyo hawa askari wanaojiunga na MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA kwa wakati huu, watakuwa wanaifahamu TANZANIA kwa wakati uliopita na wakati uliopo.
Yaani kwa kifupi, wanakuwa wana hela zao za halali kutokana na zawadi wanazokuwa wanamiliki kutoka OFISI YA RAIS kupitia WIZARA YA ELIMU ~ nyumba mbili zinazopatikana mitaa ya OYSTERBAY na gari mbili aina ya TOYOTA LANDCRUISER, bado zawadi nyingine ya MWANAFUNZI BORA [TO's] wa DARASA LA NNE [2000] haikujulikana kama walikuwa wameshaanza kutoa zawadi za nyumba au gari. Kwahiyo hela ipo, You Know 😂