Pia hao kundi la G-UNIT ndiyo wamiliki halali wa kampuni ya kutengeneza rangi za kupaka ukutani zinazoitwa SPECTRUM PAINT. SPECTRUM PAINT ni kampuni kubwa na inapatikana katika mataifa mbalimbali ikiwemo TANZANIA yenyewe.
Hawa wenzenu walifanikiwa katika tasnia ya muziki na wamefanikiwa kujijenga kiuchumi. Pia wapo diaspora wengine kama wakina TERRY CREWS.. 😁
Kitu ambacho wasanii wengine hawana, ni ile hali ya kuwa PECULIAR. Wasanii wa G-UNIT ni PECULIAR, hawana muda na mambo mengine! Wao ni kazi ya muziki na kujijenga kiuchumi..
Wengine wapo
"busy with WHITE PARTY", lakini wao wanajijenga kiuchumi kwa upande wa AFRIKA na wamejitahidi kuwekeza sana katika mataifa ya TANZANIA na NAIJERIA.
Wale wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] walikuwa wanakosea sana kutegemea fursa na feva za serikali katika ile namna ya kuishi nje ya nchi, kwa sababu WATANZANIA wapo wengi.
Pia wenyeji wengi wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] walikuwa wanakosea sana kupeana vyeo vya kijeshi ambavyo walikuwa hawastahili.
Matokeo yake unakuta askari anastaafu na cheo cha kanali, lakini kiuhalisia alikuwa na cheo cha meja hadi kustaafu kwake na hatambuliki popote katika MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA.
Hali hii imewagharimu sana wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] na imebainika hata vyeo vya kijeshi walivyokuwa wanapeana ni kazi bure, maana hawatambuliki popote.
Hawa ni watoto wa aliyewahi kuwa askari magereza aliyekuwa anaitwa NYANDA na askari wengi wa kipindi kile wenye asili ya WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] walikuwa hawafiki hata cheo cha SP! Wengi walikuwa ni INSP na wakijitahidi sana walikuwa wanaishia ASP..
Kwahiyo yale maisha ya kupenda ujiko na kujikweza imewagharimu sana wale wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually], wamejikuta hawana kitu na mara mia warudi upande wa HAYATI MWALIMU, SENEGAL 🇸🇳.