Tanzania ya sasa ni ile aliyoiona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Tanzania ya sasa ni ile aliyoiona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Kulikuwa kuna Kanal Masha cjui Pasha, kule old Shinyanga walikuwa wanajua jamaa ni Kanal na alitafuna mbususu nyingi za mademu wakalee wa kila aina.. 😂

Kumbe jamaa wapi! Hakuwa Kanal wala nn, aliishia cheo cha Meja na makuruta walikuwa wanaenda kufua viatu na nguo zake pale nyumbani kwake..

Alikuwa analipwa mshahara na wanamtandao, kila akitaka kuhamishwa alikuwa anagoma kumbe jamaa hakuwa Kanal na hapo Shinyanga ndo alikuwa ameweka miziz sawa..

Saivi hana hadhi yoyote na amebakia kupewa uenyekiti wa bodi ya shule ya sekondari, kama Baba Alex wa Lugalo! Watu wa Shinyanga vijijn wana shida sanaa, hao ndo walikuwa wanaliharibu jwtz..

Viongoz wote wa majesh ya magereza, police na zimamoto walikuwa hawajawai kufika hata cheo cha Superintendent! Wengi walikuwa wameishia nyota mbili au nyota tatu hadi koplo halaf wanapewa kuongoza majesh..

Nyerere aliweza kuwalipa mishahara viongoz wake wa kijesh lakini wanamtandao wameshindwa hata kutoa hela za matunzo na wamewekwa vizuizini ili kukwepa aibu maana wameshindwa kumudu gharama za kuwahudumia askari wao..

Kwahiyo Nyerere bado yupo vizuri na utu anao kwa watu wake, shida ipo kwa Mwinyi na Mkapa hawana hela za kuwatosha kuhudumia familia zao pamoja na wanamtandao.. Serikal ilianza rasmi awamu ya tano na viongoz wa kitaifa wote walikuwa na sura ya utaifa ikiwa ni pamoja na kupokea matunzo hata baada ya kustaafu. Lakini wale viongoz wa awamu zilizopita pamoja na familia zao hawatambuliwi na serikali..

Serikali huwa inachagua Rais na Makamu wake tu, lakini wale viongoz wengine kama waziri wakuu huwa kuna pendekezo kutoka serikalin kwa Rais aliyepo madarakani, akubali kupewa waziri Mkuu mwenye sura ya kitaifa na gharama ziwe za serikali au Rais ateue waziri Mkuu wake ambaye atamhudumia gharama zote ikiwemo mishahara na matunzo hata baada ya kustaafu.. 🙏
Pia kulikuwa kuna wakina KANALI KABWEBWE! Lakini kiuhalisia hawakuwa na vyeo vya ukanali na walikuwa wanalipwa mishahara na wanamtandao.

c5c426bba15478d42469e053ed276433.jpg

Askari walikuwa wanapeleka kreti za bia nyumbani kwa kanali pamoja na kupeleka shuleni watoto wa kanali! Kumbe KANALI KABWEBWE siyo kanali, ni KAPTENI mwenye nyota tatu.. 😂

90a059fe5c416b2300df5f7786f6a2ee.jpg

Sasa linapokuja suala la UTAWALA WA KISERIKALI, hao wote ni MALIWARES na hauwezi kufanya POLITICAL CHANGES ikiwa nchi inakuwa na watumishi wa namna hiyo, inabidi waondolewe ndiyo mambo mengine yaweze kufanyika na kufanikiwa.

a771fb85aaa4d926ecaa54ef55403df8.jpg

​
Hadhi mojawapo ya MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA ni sare za kijeshi kuvaliwa na askari wanaostahili na kuwa na sifa za kutumikia vyeo vyao! Heshima ya majeshi ndiyo huwa inaanzia hapo, lakini siyo kuweka watu wa hovyo ambao hawana sifa.
 
Uhamiaji mpaka leo hawajawai kupata cgi, wote hamna kitu.. 😂 Wakina Anna wanalipwa mishahara na shinyanga vijijn
536e8012e5d4701e35b4d48c6468949e.jpg

WASWAHILI huwa wana msemo unaosema "maji hufuata mkondo" na likitoka JESHI LA ZIMAMOTO linafuatia JESHI LA UHAMIAJI katika ule mtiririko wa majeshi na kazi zao katika serikali.

23bdefbff2a7bfe0ee9a02d8f03bd2b4.jpg

​
Ukiachana na masuala ya uhamiaji na usimamizi wa baadhi ya wizara katika serikali, JESHI LA UHAMIAJI linahusika na ufuatiliaji wa kila jambo linalofanywa na kutekelezwa na majeshi ya MAGEREZA, POLISI na ZIMAMOTO.

a242a392c8ea8d582a3d3ac11aeb48c7.jpg

​
Hiyo ndiyo kazi kubwa ya JESHI LA UHAMIAJI na huwa kuna uwiano wa askari uhamiaji katika majeshi ya MAGEREZA, POLISI na ZIMAMOTO kwa ajili ya kufanya hiyo kazi.

eed303bd5c21718c6a8e20b68a2a9058.jpg

Kama ilivyo uwiano wa kila askari watatu wa JESHI LA ULINZI [JWTZ], lazima awepo askari mmoja wa JESHI LA MAGEREZA! Ndivyo ilivyo kwa upande wa uwiano wa kila askari watatu wa JESHI LA MAGEREZA au JESHI LA POLISI au JESHI LA ZIMAMOTO, lazima awepo askari mmoja wa JESHI LA UHAMIAJI.

9eee04d00e9e9fcea759a0b5b941686e.jpg

JESHI LA UHAMIAJI ndiyo wafatiliaji wakubwa wa MAJESHI YA MAGEREZA, POLISI na ZIMAMOTO na jukumu lao kubwa ni kufahamu kila kitu kinachofanyika ndani ya MAJESHI YA MAGEREZA, POLISI na ZIMAMOTO.

09a7f0936c1e536c9f1ecb269312f305.jpg

Kwahiyo ni muhimu na sheria za UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS] kuwa na CGI ambaye ni MWANAFUNZI BORA [TO's] au MWANAFUNZI KINARA [OP's], ili kuendana na sifa za wakuu wa majeshi ya MAGEREZA, POLISI na ZIMAMOTO.

63cc026ad93796f392014329a202c9d0.jpg

Katika yale mataifa nane [8] yanayoizunguka TANZANIA, ambayo ni KENYA, UGANDA, RWANDA, BURUNDI, KONGO, ZAMBIA, MALAWI na MSUMBIJI ~ TAIFA LA MSUMBIJI ndiyo linalofanya kazi kama JESHI LA UHAMIAJI kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA.
 
WASWAHILI huwa wana msemo unaosema "maji hufuata mkondo" na likitoka JESHI LA ZIMAMOTO linafuatia JESHI LA UHAMIAJI katika ule mtiririko wa majeshi na kazi zao katika serikali.

Ukiachana na masuala ya uhamiaji na usimamizi wa baadhi ya wizara katika serikali, JESHI LA UHAMIAJI linahusika na ufuatiliaji wa kila jambo linalofanywa na kutekelezwa na majeshi ya MAGEREZA, POLISI na ZIMAMOTO.

Hiyo ndiyo kazi kubwa ya JESHI LA UHAMIAJI na huwa kuna uwiano wa askari uhamiaji katika majeshi ya MAGEREZA, POLISI na ZIMAMOTO kwa ajili ya kufanya hiyo kazi.

Kama ilivyo uwiano wa kila askari watatu wa JESHI LA ULINZI [JWTZ], lazima awepo askari mmoja wa JESHI LA MAGEREZA! Ndivyo ilivyo kwa upande wa uwiano wa kila askari watatu wa JESHI LA MAGEREZA au JESHI LA POLISI au JESHI LA ZIMAMOTO, lazima awepo askari mmoja wa JESHI LA UHAMIAJI.

JESHI LA UHAMIAJI ndiyo wafatiliaji wakubwa wa MAJESHI YA MAGEREZA, POLISI na ZIMAMOTO na jukumu lao kubwa ni kufahamu kila kitu kinachofanyika ndani ya MAJESHI YA MAGEREZA, POLISI na ZIMAMOTO.

Kwahiyo ni muhimu na sheria za UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS] kuwa na CGI ambaye ni MWANAFUNZI BORA [TO's] au MWANAFUNZI KINARA [OP's], ili kuendana na sifa za wakuu wa majeshi ya MAGEREZA, POLISI na ZIMAMOTO.

Katika yale mataifa nane [8] yanayoizunguka TANZANIA, ambayo ni KENYA, UGANDA, RWANDA, BURUNDI, KONGO, ZAMBIA, MALAWI na MSUMBIJI ~ TAIFA LA MSUMBIJI ndiyo linalofanya kazi kama JESHI LA UHAMIAJI kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA.
Hao ndo wanamtandao, tangu inchi inapata uhuru had leo jesh la Uhamiaji limekuwa likiongozwa na watu wa Shinyanga vijijn halaf wote walikuwa hawana vigezo.. 🙏
 
Pia kulikuwa kuna wakina KANALI KABWEBWE! Lakini kiuhalisia hawakuwa na vyeo vya ukanali na walikuwa wanalipwa mishahara na wanamtandao.

Askari walikuwa wanapeleka kreti za bia nyumbani kwa kanali pamoja na kupeleka shuleni watoto wa kanali! Kumbe KANALI KABWEBWE siyo kanali, ni KAPTENI mwenye nyota tatu.. 😂

Sasa linapokuja suala la UTAWALA WA KISERIKALI, hao wote ni MALIWARES na hauwezi kufanya POLITICAL CHANGES ikiwa nchi inakuwa na watumishi wa namna hiyo, inabidi waondolewe ndiyo mambo mengine yaweze kufanyika na kufanikiwa.

Hadhi mojawapo ya MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA ni sare za kijeshi kuvaliwa na askari wanaostahili na kuwa na sifa za kutumikia vyeo vyao! Heshima ya majeshi ndiyo huwa inaanzia hapo, lakini siyo kuweka watu wa hovyo ambao hawana sifa.
Majeshi yangekuwa yanafata sheria tangu zamani, vijana wote wangekua majeshin maana sio kwa mzunguko huo..
 
Town school ni shule bora kwa wakati wote, ipo kama Old Moshi! Lakini Azimio ni shule ya msingi ambayo ni vipaji maalum kwa Tanzania na chimbuko la siasa za wanamtandao pamoja na viongoz wa kijesh wa magereza, police na zimamoto..
TOWN SCHOOL imefanikiwa kutoa viongozi mbalimbali, hata MOBUTU SESE SEKO [the late] aliyewahi kuwa RAIS WA KONGO na GOODLUCK JONATHAN aliyewahi kuwa RAIS WA NAIJERIA wote walisoma hapo!

30e4fa7e0d8f801b1604853a781e0149.jpg

​
TOWN SCHOOL ni shule ya kihistoria! Pia wahitimu wa hiyo shule ndiyo wamiliki halali wa timu ya mpira wa miguu inayoshiriki LIGI KUU YA MAREKANI inayoitwa THE TOWN FC.

8be5f1b8780ca3ee5b17ac31194a9a8a.jpg

​
THE TOWN FC ni timu ya mpira wa miguu inayoendeshwa kwa michango ya wahitimu wale mashuhuri wa shule ya msingi ya TOWN ~ wamo marais pamoja na viongozi wa kijeshi.
 
Shinyanga vijijn huwa hawana akili za darasani na sehem ya kuwapiga kwenye mshono huwa ni kwenye mitihani ya taifa! Saivi To wa six ameishia wastan wa 92, mwaka uliopita alipata wastan wa 93! Kupata wastan wa 96 ni bahati, sio kujua ni vile inatokea mwanafunzi kaotea mitihan yote.. 🙏
8454cb7ffe7bb2c7a73b729ae04333ea.jpg

​
Ilitokea kama bahati! Lakini hauwezi kubahatisha maswali karibia yote, ina maana kuna jitahada zilizofanyika na kuzaa matunda.

98634dbfe2d8fb98ab1f42fd3af3c079.jpg

​
Yaani kuwa EP's kwa mtihani wa taifa wa kidato cha sita [2010] ni kitendo cha kihistoria na haijawahi kutokea tangu MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBARI [1964] na hawawezi kuvunja hiyo rekodi hata kwa miaka mingine mingi ijayo..

IMG-20260709-WA0000.jpg

​
Kwahiyo wenzenu wanajiunga na MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA wakiwa ni NATIONAL FLAG BEARERS [NFB] kwa upande wa kitaaluma na vyeo ambavyo ni vikubwa kuwahi kutokea katika historia ya majeshi kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA.

116073d86cc99553448f4bf84c6204aa.jpg

​
Hao wenzenu huwa wanajiunga na MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA wakiwa na vyeo vya kuanzia SP, mara chache unakuta askari anaanzia cheo cha SSP na mara chache zaidi unakuta askari anaanzia cheo cha ACP kama aliyekuwa MWANAFUNZI BORA WA KIDATO CHA SITA [2010].

da5dfcd0315959c414530341213fa0f2.jpg

​
Yaani MWANAFUNZI BORA WA KIDATO CHA SITA [2010] atajiunga na MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA akiwa tayari anatambulika hadi kizazi cha tatu ~ mjukuu!

bc3d256b86a7e86051dd8840de2a2bda.jpg

​
Kwahiyo WANAFUNZI BORA [TO's] pamoja na WANAFUNZI VINARA [OP's] wakishafikisha miaka thelathini na tano [35] wanakuwa hawana shida na huwa wanazaa kutokana na kuwa na sifa ya ujenerali na wanatambulika hadi vizazi vya tano na pesa wanakuwa nazo kutokana na zawadi za kitaaluma pamoja na matunzo kutoka serikalini.

Lakini WANAFUNZI BORA [TO's] pamoja na WANAFUNZI VINARA [OP's] huwa hawapaswi kuchanganywa au kuwa na mahusiano ya kimapenzi "personal affairs" na jamii ya kimagharibi, kutokana na jamii ya kimagharibi kutoendana na jamii ya kitanzania.
 
50cent kishawaacha, amewekeza had ubeligij! Wao hata wakipata hela baadae huwa wanafilisika, ni wachache wanaoweza kumaintain hela zao..

Mohammed Ally alikuwa ni mtu wa Kishapu na Mike Tyson alikuwa ni mtu wa Shinyanga vijijn! Notorious big na Tupac wote walikuwa ni watu wa Shinyanga vijijn..

Shinyanga vijijn wanapenda mambo makubwa lakin uwezo ni mdogo, wangetulia Tanzania na Afrika wangekuwa matajiri sana hao watu. Saivi wamesambaa na kuenea had Mexico kwa vitu vya serikal.. 🙏
Hawa wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually pamoja na TINDE actually] wana tabia zinazofanana!

84e4e2e01882f21ef73cb733c71cb4dc.jpg

​
Sema wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] walimsaliti HAYATI MWALIMU kwa vipande vidogo vya fedha na ahadi kemkem kwa upande wa serikali ya TANZANIA. Lakini kusema na ule ukweli walikuwa wanadanganywa, maana muda umefika na wao wamejionea kuwa hawawezi kuendelea na ile nafasi ndani ya serikali waliokuwa nayo tangu 1975's maana WATANZANIA wameshakuwa ni wengi.

c47b6c7768df9c03954b7705c1eec9ff.jpg

​
Hivyo njia sahihi ni kurudi na kuomba msamaha kwa HAYATI MWALIMU au kuhamia KIAMBU kwa familia ya HAYATI MZEE JOMO, maana kwa sasa hivi ukiwa nchini KENYA ~ idadi kubwa ya WAKIKUYU ni wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [TINDE actually]! Lakini kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA imekuwa ni ngumu kuendelea na nafasi yao ya kukagua na kusimamia miradi ya serikali kupitia ofisi za kibalozi nje ya nchi.
 
Ni kweli! Tunaambiwa kuna diaspora wa kitanzania, wale watawala wa mataifa ya TOGO na CAPE VERDE ndiyo wamiliki halali wa timu ya mpira wa miguu ambayo imechukua ubingwa wa ligi kuu, 2025/2026 pale UINGEREZA.

Wamepiga hatua kubwa za kimaendeleo na ndiyo waliokuwa wamewabeba wale watoto wa wastaafu wa majeshi ya MAGEREZA, POLISI na ZIMAMOTO waliomuasi HAYATI MWALIMU [1975's].

Ukiachana na watawala wa ZAMBIA, pia kulikuwa kuna watawala kutoka katika TAIFA LA TOGO ambao walikuwa nyuma ya mchakato wa kuhakikisha vyama vya TANU pamoja na ASP vinamilikiwa na serikali ya TANZANIA.

Pia ndiyo wamiliki halali wa timu ya mpira wa miguu inayoitwa CRYSTAL PALACE inayoshiriki LIGI KUU YA UINGEREZA. Sasa hivi ukiwa katika timu za ARSENAL pamoja na CRYSTAL PALACE, wanamichezo wote weusi ni WATANZANIA wenye asili ya WILAYA YA KISHAPU [BUSIA actually].

Hawa ndiyo MWADUI na wamejitahidi kusambaa katika mataifa mbalimbali duniani, hata baada ya HAYATI MOBUTU kuondolewa madarakani kuna baadhi ya UCHIFU WA BUSIA wamesalia na wanaendelea kuishi nchini KONGO.

Kwahiyo wale WATANZANIA waliofanikiwa kuyafahamu haya masuala tangu siku nyingi, wametulia na wanajijenga kiuchumi taratibu huku wakiendelea kuangalia fursa mbalimbali katika michezo, ili siku moja na wao wamiliki timu hata ya DARAJA LA PILI.. 😂

Acheni uongo arsenal inamilikiwa na Tajiri wa kimarekani
 
Hata Rais wa Zambia aliyekuwa anaitwa Edgar Rungu alikuwa ni msukuma wa Kishapu kutoka Bubiki na alisoma shule ya msingi ya Town..

Bubiki ni waaminifu sanaa, wamefanikiwa kutoa marais katika mataifa ya Msumbiji, Malawi, Zambia, Kongo, Burundi, Uganda, Bukina faso na Sierra Leone..

Shinyanga vijijn wana shida! Wapo kama wahutu, ni wabinafsi halaf sio waaminifu, kusalitiana wao kwa wao kupo nje nje! Hawana akili za darasan..

Wangekaa na kuelewana vizuri, wangekuwa matajir sanaa hao watu na wangekuwa na Tanzania had leo! Shida yao ni ubinafs na waliambiwa wakitaka kuendelea inabidi wajali na kuajiri watu wao tu, lakini hawana akili hata ya kufikir kwa kina hawawez. Pia ni watu wa kupenda migogoro..

Walitaka kukamata jesh la ulinzi, lakini idadi kubwa kati yao hawana vigezo ikabid waendelee kuwalipia mishahara askari wao! Saivi wana makanali wa kijesh nusu ya idadi yote na wao ndo wanawalipa mishahara, sio serikal na hao ndo wanaokwamisha mambo na kufanya kuwa magumu..

Saivi Tanzania ina Rais wa kutoka Kishapu, watapiga hatua kubwa za kimaendeleo na watanzania wote watanufaika, sababu serikal itakuwa ni ya kila mtanzania na siyo ya watu wachache kama ilivyokuwa Zaman! Watu wa Kishapu wanapenda kufata sheria na haki..🙏
Kwamba Samia anapenda kufuata sheria na haki
 
TOWN SCHOOL imefanikiwa kutoa viongozi mbalimbali, hata MOBUTU SESE SEKO [the late] aliyewahi kuwa RAIS WA KONGO na GOODLUCK JONATHAN aliyewahi kuwa RAIS WA NAIJERIA wote walisoma hapo!

TOWN SCHOOL ni shule ya kihistoria! Pia wahitimu wa hiyo shule ndiyo wamiliki halali wa timu ya mpira wa miguu inayoshiriki LIGI KUU YA MAREKANI inayoitwa THE TOWN FC.

THE TOWN FC ni timu ya mpira wa miguu inayoendeshwa kwa michango ya wahitimu wale mashuhuri wa shule ya msingi ya TOWN ~ wamo marais pamoja na viongozi wa kijeshi.
Sakata lilianzia pale walipotaka kujenga upya shule yao, serikal wakata hela za michango ziwe zinatumwa wizara ya elim ndo zijenge Town! Wale viongozi waligoma na kila cku wanatamani kukarabati na kujenga upya shule yao. Pale ingekuwa ni ulaya ndogo, maana walitaka kujenga maghorofa..
 
Hawa wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually pamoja na TINDE actually] wana tabia zinazofanana!

Sema wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] walimsaliti HAYATI MWALIMU kwa vipande vidogo vya fedha na ahadi kemkem kwa upande wa serikali ya TANZANIA. Lakini kusema na ule ukweli walikuwa wanadanganywa, maana muda umefika na wao wamejionea kuwa hawawezi kuendelea na ile nafasi ndani ya serikali waliokuwa nayo tangu 1975's maana WATANZANIA wameshakuwa ni wengi.

Hivyo njia sahihi ni kurudi na kuomba msamaha kwa HAYATI MWALIMU au kuhamia KIAMBU kwa familia ya HAYATI MZEE JOMO, maana kwa sasa hivi ukiwa nchini KENYA ~ idadi kubwa ya WAKIKUYU ni wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [TINDE actually]! Lakini kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA imekuwa ni ngumu kuendelea na nafasi yao ya kukagua na kusimamia miradi ya serikali kupitia ofisi za kibalozi nje ya nchi.
Shinyanga vijijn walikuwa wanakula hela tu na wakajisahau kujijenga wao wenyewe, matokeo yake saivi wanaomba had kampuni ya Zuberi ili wasimamie na wapatemo tuhela twa kuzugia. Wangeendelea na Nyerere, wangekua mbali sana..

Kundi la Mwinyi na Mkapa ndo wanataka wapewe Burundi ili wakatawale huko, lakini Burundi imetawaliwa na watu wa kutoka Kishapu tangu siku nyingi na saivi Burundi imetulia..

Hata kutawala Kameruni imeshindikana! Kwa mambo waliyoyafanya awamu tatu za mwanzo, hawawezi kuja kuaminika tena hata kwa upande wa Tanzania na hawatakuja kutoa Rais miaka 1000.. 🙏
 
Acheni uongo arsenal inamilikiwa na Tajiri wa kimarekani
Acha kukalili matajiri wa Forbes, ukiwa Marekani madalali ni wengi kuliko matajir wa ukweli! Huko Marekani uchumi unabana na hawawezi kununua na kumiliki timu ya mpira wa miguu kwa upande wa Ulaya halaf waache Kanada, Mexico na Marekani penyewe..🙏 MLS NEXT PRO
 
Watu wa Kishapu wanapenda kufata sheria, ukwel na haki, wamenyooka kama rula ndo maana wamefanikiwa kutoa marais wengi katika mataifa mbalimbali ya afrika..
Basi Samia sio mtu wa kishapu kalaaniwa kwa mauaji na maovu ya serikali yake
 
Charles Mandela unapata faida gani kutuambia huu uzushi?hauna evidence na pia haimake sense.kwa mfano unasema kila taifa la Afrika linatawaliwa na watanzania.haiwezekani kwa wameshindwa kutawala Hata hii Tanzania yenyewe
 
Umeshalewa Gongo tayari! Ngoja aje mwenyewe, saivi yupo mazoezi.. 😂
 
Mimi bado nahitaji uthibitisho usio na mashaka bila hivyo hii ni hadithi ya kufikirika.
Hata Robert Mugabe alikuwa ni mtanganyika kutoka Maswa! Zimbabwe inatawaliwa na Maswa, Tanzania imetoa marais wengi kwa upande wa Afrika ndo wao hawajishughulishi.. 🙏
 
Back
Top Bottom