Wale wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] walikuwa wanafahamu hizo sheria za UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS] tangu siku nyingi na watu waliosisitiza kuanzishwa kwa mitihani ya moko kama kielelezo cha mtihani wa taifa walikuwa ni wenyeji wa asili wa WILAYA YA KISHAPU!
Maana hao wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] walikuwa wanatangaza watu wao tu, kipindi cha kutangaza ORODHA YA WANAFUNZI KUMI [10] BORA.
Unajua ukiwa kwenye MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA ~ MAJENERALI WA KIJESHI huwa ni wale wanafunzi tano [5] bora kitaifa katika MTIHANI WA TAIFA! CDF ni lazima awe alishawahi kushika nafasi ya tatu [3] kitaifa katika MTIHANI WA TAIFA na MNADHIMU WA JESHI ni lazima awe alishawahi kushika nafasi ya nne [4] kitaifa katika MTIHANI WA TAIFA!
Zile nafasi nyingine zilizobaki katika KUMI [10] BORA kwa ujumla pamoja na KUMI [10] BORA katika kila somo lililosajiliwa kama MTIHANI WA TAIFA huwa wanaishia nafasi ya KANALI WA JESHI.
ASKARI POLISI huwa ni wawili [2] tu, ambao ni WANAFUNZI BORA [TO's] pamoja na WANAFUNZI VINARA [OP's]! Lakini ASKARI MAGEREZA huwa ni watano [5] tu, ambao ni wale wanafunzi tano [5] bora kitaifa katika masomo ya uraia, ambayo ni MAARIFA YA JAMII, CIVICS pamoja na DEVELOPMENT STUDIES [DS].
CGP WA MAGEREZA, IGP WA POLISI pamoja na CGF WA ZIMAMOTO lazima mhusika awe ni MWANAFUNZI BORA [TO's] au MWANAFUNZI KINARA [OP's] katika MTIHANI WA TAIFA.
Pia URAIS, MAKAMU URAIS, WAZIRI UKUU, MAKAMU WAZIRI UKUU, SPIKA, NAIBU SPIKA pamoja na KATIBU WA BUNGE lazima mhusika awe ni miongoni mwa WANAFUNZI KUMI [10] BORA katika masomo yaliyosajiliwa kama MTIHANI WA TAIFA na kushika nafasi ya tano [5] kitaifa angalau katika somo moja lililosajiliwa kama MTIHANI WA TAIFA.
JENERALI WA JESHI aliyeshika nafasi ya tano [5] kitaifa katika MTIHANI WA TAIFA anaweza kuwa rais wa nchi au JENERALI WA JESHI aliyefanikiwa kushika nafasi ya tano [5] kitaifa katika somo moja lililosajiliwa kama MTIHANI WA TAIFA anaweza kuwa rais wa nchi, endapo itakuwa imetangazwa hali ya hatari ~ WAINGEREZA wanasema ni EMERGENCY STATES kama SIERRA LEONE, RWANDA, BURUNDI, BURKINA FASO, MALI na KONGO.
Sasa wenzenu kwa kuyatambua hayo, walikuwa wanapachika wanafunzi wao katika nafasi mbalimbali kipindi cha kutangaza ORODHA YA WANAFUNZI KUMI [10] BORA na walikuwa wanafanya hivyo tangu MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBARI [1964]. Lakini hadi leo wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] wana idadi halisi ya SE FAIRE VALOIR wasiozidi mia tano [500], wanachezea mia tatu [300] tu.
HAYATI MWALIMU alivyoulizwa hilo swali, kwanini anafanya hivyo kwa kuweka askari wasiokuwa na vigezo? Akajibu, anafanya hivyo kwa sababu anaweka wasaidizi waaminifu wa kusaidia kuongoza serikali na alikuwa anawalipa mishahara yeye mwenyewe kwa pesa zake za mfukoni na siyo pesa za serikali! Hadi mafao pamoja na pensheni za uzeeni alikuwa anawalipa kwa pesa zake za mfukoni, siyo pesa za serikali.
Hata MZEE RUKSA pamoja na MISTER CLEAN walikuwa wanafanya hivyo hivyo kama HAYATI MWALIMU alivyokuwa anafanya, sema sasa hivi watu wengi wameamka. Lakini baada ya HAYATI MWALIMU kusalitiwa na watu aliokuwa akiwaamini, aliamua kuhamia SENEGAL pamoja na watu wake na ndiyo wanaounda serikali mseto kwa wakati huu, nchini SENEGAL.
Wale viongozi wa kitaifa waliofuatia baada ya HAYATI MWALIMU, wakina MZEE RUKSA pamoja na MISTER CLEAN walianza harakati za kuhamia nchini KAMERUNI na kutaka kuunda serikali mseto baada ya mwaka 1985! Lakini hawana pesa za kutosha kama ilivyo kwa upande wa HAYATI MWALIMU na isitoshe huko KAMERUNI kuna wenyeji wa asili wa WILAYA YA KISHAPU ambao tayari wanaishi huko tangu siku nyingi na pesa wanazo za kutosha ili kufanikisha serikali mseto ya KAMERUNI.
Lile kundi la wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] waliobaki TANZANIA [wanamtandao] bado wapo kwenye harakati za kutafuta pesa ili kuhamia nchini KAMERUNI ~ hao ndiyo wapiga madili ya serikali na mbinu zote chafu za kitapeli wanafanya kwa nia ya kupata pesa za kufanikisha kuhamia nchini KAMERUNI.
Kwahiyo wanamtandao bado wapo kwenye harakati za kutafuta pesa kwa nia ya kuhamia nchini KAMERUNI na kuunda serikali mseto. Lakini tangu mwaka 1985 hadi leo bado hawajafanikiwa kupata pesa za kutosha.