Unaweza kukuta passioner255 ni kanali wa jeshi! Hovyo sana.. πUmeshalewa Gongo tayari! Ngoja aje mwenyewe, saivi yupo mazoezi.. π
Hata Robert Mugabe alikuwa ni mtanganyika kutoka Maswa! Zimbabwe inatawaliwa na Maswa, Tanzania imetoa marais wengi kwa upande wa Afrika ndo wao hawajishughulishi.. π
TANGANYIKA, sasa hivi inaitwa TANZANIA ilishawahi kutoa MARAIS katika mataifa ya KENYA, UGANDA, RWANDA, BURUNDI, KONGO, ZAMBIA, MALAWI, MSUMBIJI, ZIMBABWE na AFRIKA YA KUSINI.Charles Mandela unapata faida gani kutuambia huu uzushi?hauna evidence na pia haimake sense.kwa mfano unasema kila taifa la Afrika linatawaliwa na watanzania.haiwezekani kwa wameshindwa kutawala Hata hii Tanzania yenyewe
Shinyanga vijijn walikuwa wanakula hela tu na wakajisahau kujijenga wao wenyewe, matokeo yake saivi wanaomba had kampuni ya Zuberi ili wasimamie na wapatemo tuhela twa kuzugia. Wangeendelea na Nyerere, wangekua mbali sana..
Kundi la Mwinyi na Mkapa ndo wanataka wapewe Burundi ili wakatawale huko, lakini Burundi imetawaliwa na watu wa kutoka Kishapu tangu siku nyingi na saivi Burundi imetulia..
Hata kutawala Kameruni imeshindikana! Kwa mambo waliyoyafanya awamu tatu za mwanzo, hawawezi kuja kuaminika tena hata kwa upande wa Tanzania na hawatakuja kutoa Rais miaka 1000.. π
Ngoja leo niwapeni mfano mwingine, pale AFRIKA YA KUSINI kulikuwa kuna mwanasiasa aliyekuwa anaitwa CHIFU ALBERT JOHN LUTHULI [the late].Mimi bado nahitaji uthibitisho usio na mashaka bila hivyo hii ni hadithi ya kufikirika.
Mugabe alisoma shybush kwa masomo ya sekondari, pale Mwenge wamepita pita watoto wa wakuu akiwemo Maxwell na hao ndo wanamiliki cotton ginneries za Maswa! Pamba ya Maswa huwa haitoki nje ya Maswa, yote huwa wananunua wao.. πBaada ya RAIS CAANAN SODINDO BANANA wa ZIMBABWE, alifuatia ROBERT GABRIEL MUGABE na alisoma shule ya msingi inayopatikana SHINYANGA MJINI inayoitwa MWENGE.
Tangu kipindi cha UKOLONI hadi leo, shule ya msingi ya MWENGE imeendelea kutumika na wenyeji wa asili wa WILAYA YA MASWA pamoja na BARIADI na TOWN imeendelea kutumika na wenyeji wa asili wa WILAYA YA KISHAPU.
Nelson Mandela alichukua watu wengine waliokuwa wameshatangulia Msumbiji na saivi watawala wa Afrika ya Kusin ni Kishapu, wakina Julius Malema na msanii Senzo wote ni wasukuma wa Kishapu..Ngoja leo niwapeni mfano mwingine, pale AFRIKA YA KUSINI kulikuwa kuna mwanasiasa aliyekuwa anaitwa CHIFU ALBERT JOHN LUTHULI [the late].
CHIFU ALBERT JOHN LUTHULI [the late] alikuwa ni rais wa chama cha ANC, lakini baada ya kupatikana kwa mwanasiasa mwingine aliyeitwa NELSON MANDELA [the late], siasa ya AFRIKA YA KUSINI ikabadilika.
NELSON MANDELA [the late] ndiye aliyefanikiwa kupatikana kwa uhuru katika taifa la AFRIKA YA KUSINI na baada ya hapo alirudi TANZANIA na kuchukua waliokuwa majirani zake na wenyeji wote wa asili wa WILAYA YA KISHAPU [BUBIKI actually] pamoja na wahitimu wa shule ya msingi ya TOWN na kuwapeleka kwenda kuunda serikali ya kwanza ya AFRIKA YA KUSINI.
Kwahiyo hadi leo, wenyeji wa asili wa WILAYA YA KISHAPU [BUBIKI actually] walioshikwa mkono na NELSON MANDELA [the late] wanasomeka kama ni raia wa AFRIKA YA KUSINI na ukienda UBALOZI WA AFRIKA YA KUSINI kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA utayakuta majina yao. Hao ndiyo wanaocheza mpira wa miguu katika klabu ya ORLANDO PIRATES..
Wakina Mwinyi na Mkapa walicheza mishe za hatari kule visiwan kwa namna ya kuwekeza viwanda na kupeleka watu wa Shinyanga vijijn kwenda kuishi huko..Yaani zile awamu tatu za mwanzo zilikuwa zinafanya kazi ili kutimiza majukumu na mahitaji yao tu! Pia baada ya kuingia awamu ya pili na awamu ya tatu walijitahidi kuwekeza katika VISIWA VYA KARIBIANI.
Hiki kiwanda cha kutengeneza vinywaji vya RUM kinachopatikana nchini JAMAIKA kilikuwa kimeajiri watu wa SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] tu.
Serikali ilijitahidi sana kuwekeza kwenye viwanda vikubwa kwa upande wa VISIWA VYA KARIBIANI na hadi leo kuna WATANZANIA wengi wanafanya kazi huko.
Lakini shida ya wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] walimsaliti HAYATI MWALIMU ambaye ndiyo alikuwa BABA WA TAIFA na mtu wao wa nyumbani aliyewatoa maporini huko! Kitu ambacho hauwezi kukikuta kwa wenyeji wa asili wa WILAYA YA KISHAPU.
Ile system ya ulinz walikosea tangu kitambo kwa nia ya kupitisha watu wao wa Shinyanga vijijn! Lakini jesh la ulinzi ndo linatakiwa kutoa askari katika majesh yote..Unaweza kukuta passioner255 ni kanali wa jeshi! Hovyo sana.. π
Sasa haya yote yanaifaidisha vipi Tanzania wakati bado nchi ipo vibaya?Baada ya RAIS CAANAN SODINDO BANANA wa ZIMBABWE, alifuatia ROBERT GABRIEL MUGABE na alisoma shule ya msingi inayopatikana SHINYANGA MJINI inayoitwa MWENGE.
Tangu kipindi cha UKOLONI hadi leo, shule ya msingi ya MWENGE imeendelea kutumika na wenyeji wa asili wa WILAYA YA MASWA pamoja na BARIADI na TOWN imeendelea kutumika na wenyeji wa asili wa WILAYA YA KISHAPU.
Charles mandela na babu nyau ni mtu MMOJA, shwaiiinnnnnSasa haya yote yanaifaidisha vipi Tanzania wakati bado nchi ipo vibaya?
Charles mandela na babu nyau ni mtu MMOJA, shwaiiinnnnn...Sasa haya yote yanaifaidisha vipi Tanzania wakati bado nchi ipo vibaya?
Sasa haya yote yanaifaidisha vipi Tanzania wakati bado nchi ipo vibaya?
Hapana kabisa! Labda BABU NYAU na Nyani Ngabu ndiyo mtu mmoja.. πCharles mandela na babu nyau ni mtu MMOJA, shwaiiinnnnn...
Pia JESHI LA UHIFADHI ndiyo linalohusika na masuala ya maktaba na utunzaji wa vitabu vinavyotumika katika sekta ya elimu ya msingi, sekondari, vyuo vikuu na taasisi za serikali.Ile system ya ulinz walikosea tangu kitambo kwa nia ya kupitisha watu wao wa Shinyanga vijijn! Lakini jesh la ulinzi ndo linatakiwa kutoa askari katika majesh yote..
Askari walioingia tano bora kitaifa kwenye masomo ya uraia ndo wanatakiwa kujiunga na mafunzo ya magereza..
Wengine wote wanatakiwa kujiunga na uhamiaji kabla ya kwenda depo la magereza, police na zimamoto..
Hata jesh la hifadhi na wanyamapori linatakiwa kuchukua askari kutoka jesh la ulinzi kwa ajili kulinda hifadhi za taifa, wanyamapori na vivutio vya utalii bila ya kusahau vitengo vyote vya masijala huwa vipo chin ya jesh la wanyamapori na uhifadhi..
Vitengo vyote vinavyohusika na masijala pamoja na utunzaji wa kumbukumbu katika majesh yote pamoja na serikali huwa vipo chini ya jesh la wanyamapori na uhifadhi..
Jesh la wanyamapori na uhifadhi huwa wanaingia kila sehemu yenye idara ya masijala na utunzaji wa kumbukumbu ndani ya majesh yote na serikali kwa ujumla..
Kwahiyo zile awamu tatu za mwanzo walikuwa wanakosea kwa makusudi kwa nia ya kujaza shinyanga vijijn kila sehemu na walifanikiwa, lakin matokeo yake unakuta askari mwenye cheo kikubwa jeshini hafaham kitu chochote zaidi ya kutumia machine gun, kitu cha pyuu pyuu.. π
Zile awamu zilizopita zilikuwa zinakosea sana! Wao walijikita katika kutafuta fedha hata kwa njia za udanganyifu, lakini wenyeji wa asili wa HAITI hawawezi kutambulika kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA na idadi yao inazidi kuongezeka.Wakina Mwinyi na Mkapa walicheza mishe za hatari kule visiwan kwa namna ya kuwekeza viwanda na kupeleka watu wa Shinyanga vijijn kwenda kuishi huko..
Pia walifanikiwa kumlaghai Rais wa Haiti aliyekuwa anaitwa Baby Doc na kukimbia taifa lake kwa kigezo cha kuogopa kutokea machafuko..
Mwaka 1985, Baby Doc alifanikiwa kuhamia afrika ya mashariki na kiasi kikubwa cha hela kutoka Haiti na wakina Mwinyi walipiga piga vihela kutoka kwa Baby Doc..
Wakina Baby Doc walivyofanikiwa kuhamia Afrika Mashariki, walikuwa na shauku ya kujiunga na siasa za miaka ya tisini..
Wakiwa Kenya walitaka kutengeneza Dynasty yao, lakini Moi akawakatalia na wakahamia kwa Mwinyi kipindi cha uchaguz mkuu wa 1995..
Mwinyi alikula hela tena kutoka kwa familia ya Baby Doc na aliwaruhusu kufanya na kushirik siasa za sisiem! Saivi wakina Baby Doc wana mbunge katika mikoa ya kaskazin kupitia tiketi ya sisiem, yuvisisiem wamejaa pamoja na viti maalum.. π
Wenyeji wa asili wa WILAYA YA KISHAPU [BUBIKI actually] ndiyo watawala wa AFRIKA YA KUSINI na waliobaki TANZANIA, majina yao yapo katika ubalozi wa AFRIKA YA KUSINI nchini TANZANIA.Mimi bado nahitaji uthibitisho usio na mashaka bila hivyo hii ni hadithi ya kufikirika.
Nelson Mandela alichukua watu wengine waliokuwa wameshatangulia Msumbiji na saivi watawala wa Afrika ya Kusin ni Kishapu, wakina Julius Malema na msanii Senzo wote ni wasukuma wa Kishapu..
Tanzania wamebaki kimasomo tu, maana kwa kipindi kirefu watu wa Kishapu wamekua wakifanya vizuri kwenye mitihani ya elimu ya msingi na sekondari..
Kila mtihani wa taifa, wasukuma wa Kishapu huwa hawakosekan kumi bora na huwa wanasoma Bongo halaf baadae wanatimkia mataifa ya Msumbiji, Sierra Leone na Afrika ya Kusin kupitia serikali ya Tanzania..
Hata timu ya taifa ya Afrika ya Kusin huwa inajumuisha wanamichezo wenye asili ya kishapu tu! Kweli kutangulia sio kufika, Chifu Makwaia alianza na Togo na akabeba watu wake. Lakin Mandela akaibukia na Afrika ya Kusin na saivi mambo ni Super, watu wanakichapa kizulu tu.. π
Yale majeshi ya MAGEREZA, POLISI na ZIMAMOTO huwa wanafuata sheria za UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS] katika ile namna ya mpangalio wa vyeo vyao.Nelson Mandela alichukua watu wengine waliokuwa wameshatangulia Msumbiji na saivi watawala wa Afrika ya Kusin ni Kishapu, wakina Julius Malema na msanii Senzo wote ni wasukuma wa Kishapu..
Tanzania wamebaki kimasomo tu, maana kwa kipindi kirefu watu wa Kishapu wamekua wakifanya vizuri kwenye mitihani ya elimu ya msingi na sekondari..
Kila mtihani wa taifa, wasukuma wa Kishapu huwa hawakosekan kumi bora na huwa wanasoma Bongo halaf baadae wanatimkia mataifa ya Msumbiji, Sierra Leone na Afrika ya Kusin kupitia serikali ya Tanzania..
Hata timu ya taifa ya Afrika ya Kusin huwa inajumuisha wanamichezo wenye asili ya kishapu tu! Kweli kutangulia sio kufika, Chifu Makwaia alianza na Togo na akabeba watu wake. Lakin Mandela akaibukia na Afrika ya Kusin na saivi mambo ni Super, watu wanakichapa kizulu tu.. π
Hmna kitu kama hichoCharles mandela na babu nyau ni mtu MMOJA, shwaiiinnnnn...