Tanzania ya sasa ni ile aliyoiona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Maoni na maombi yote yanayotumwa katika taasis za kiserikali huwa yanapokelewa na jeshi la wanyamapori.. πŸ™ Hata maombi ya kutafuta ajira huwa yanapokelewa na jesh la wanyamapori
 
Shinyanga vijijn ni matapeli na waliwatapel watu wa Haiti hela nyingi sanaaaaa halaf ni wabinafsi! Lakini walienda kwa mfalme wa Brunei, wakagonga mwamba na walitolewa nduki.. πŸ˜‚
 
Ikitokea mwanafunzi bora mwenye asili ya Kishapu, wao huwa wanasema ni Msauzi Afrika ameongoza Tanzania..πŸ™ Tangu siku nyingi Kishapu wame dominate elimu ya bongo, hao ndo huwa wanaenda Sauzi..

Kishapu wapo vizuri kiuchumi na kielemu kuliko watu wa Shinyanga vijijn! Hao ndo wametalawa mataifa ya Burundi, Sierra Leone, Msumbiji, Afrika ya Kusin na Burkina Faso..

Saivi hizo timu za Orlando Pirates, Kaizer Chiefs pamoja na Mamelod ndo zitakazounda timu za taifa za Sierra Leone na Bukinafso katika michuano ya afcon ijayo..

Hata watoto wa wakubwa wanaenda kucheza mpira kwenye mataifa ya Burkina Faso na Sierra Leone.. πŸ™
 
Hivyo ndo vyeo vya kijeshi vinavyohitajika kutambuliwa majeshin, hata jwtz askari anaanza kutambuliwa familia yake kuanzia cheo cha Luteni Kanal had Field Marshall General lakin wale ambao walifanikiwa kuingia kumi bora tu..

Lakini wale waliokuwa viongozi wa kijesh katika awamu tatu za mwanzo had awamu ya JK, wote hawatambuliwi na serikali sababu walikuwa na vyeo chini ya ngao..

Hata wakuu wa majesh walikuwa wanachagua makepteni na walikuwa hawana sifa! Watu wa Shinyanga vijijn walikuwa hawaon maisha baada ya kustaafu..

Saivi ndo wanapata shida na kutaabika mtaani kutokana na stress! Sababu matunzo wanayopata wenzao, wao hawana..

Watoto wa wastaafu ndo wanaokula kek ya taifa na kufanya kazi katika kampuni za kiserikali nje ya nchi! Hata watoto wa maarasio wanaenda Burkina Faso kucheza mpira, lakini wao hamna kitu.. πŸ™
 
Zamani kulitokea mdahalo kwenye majeshi ya ulinz kuwa nani ni bora na muhimu kwa taifa kat ya jenerali na rais..

Wengine walisema ni jenerali ndo muhimu na wengine walisema rais ndo muhimu! Ilikuwa ni ubishan wa kuku na yai nani aliyetangulia kuja duniani..

Wengine walisema jenerali ni muhimu kwa taifa kutokana na uwezo wa kitaaluma na kijesh! Na wengine walisema rais ni muhimu kwa taifa kutokana na kuwa head to the state, ijapokuwa anakuwa na uwezo mdogo wa kitaaluma ukilinganisha na jenerali..

Kitu kingine Rais ataendelea kuwa Rais na Jenerali anaweza kuwa Rais, lakini Rais hawezi kuwa Jenerali..

Kwahiyo inchi inaweza kwenda bila ya kuwa na Rais, lakini inchi haiwezi kwenda bila ya kuwa na Jenerali.. πŸ™
 
Ikitokea mwanafunzi bora mwenye asili ya Kishapu, wao huwa wanasema ni Msauzi Afrika ameongoza Tanzania..πŸ™ Tangu siku nyingi Kishapu wame dominate elimu ya bongo, hao ndo huwa wanaenda Sauzi..

​
Baada ya AFRIKA YA KUSINI kupata uhuru wake, ilibadilisha hadi siasa za TANZANIA ~ sababu wenyeji wa asili wa WILAYA YA KISHAPU [BUBIKI actually] walifanikiwa kuwa raia wa mataifa mawili ambayo ni TANZANIA na AFRIKA YA KUSINI.


​
Hata aliyewahi kuwa RAIS WA UGANDA, IDD AMIN DADA na yeye alikuwa ni miongoni mwa watanzania waliotambuliwa kama ni raia wa AFRIKA YA KUSINI baada ya ubaguzi wa rangi kuisha na kupatikana kwa uhuru nchini humo.


​
Hata aliyewahi kuwa mwanasiasa mashuhuri nchini ZIMBABWE, JOSHUA NKOMO alikuwa ni miongoni mwa raia wa kitanzania waliojumuishwa katika ile orodha ya raia wa AFRIKA YA KUSINI baada ya ubaguzi wa rangi kuisha na kupatikana kwa uhuru nchini humo.
Kishapu wapo vizuri kiuchumi na kielemu kuliko watu wa Shinyanga vijijn! Hao ndo wametalawa mataifa ya Burundi, Sierra Leone, Msumbiji, Afrika ya Kusin na Burkina Faso..

​
Hata huyu alikuwa ni miongoni mwa askari wa kitanzania waliohamia nchini AFRIKA YA KUSINI baada ya ubaguzi wa rangi kuisha.


​
Hawa ndiyo wenyeji wa asili wa WILAYA YA KISHAPU [BUBIKI actually] na wahitimu wa shule ya msingi ya TOWN inayopatikana hapo SHINYANGA MJINI.


​
Hawa wenyeji wa asili wa WILAYA YA KISHAPU [BUBIKI actually] wanaenda vizuri kutokana na ile tabia yao ya uaminifu, tofauti na wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] pamoja na SHINYANGA VIJIJINI [TINDE actually].
Hiyo ndiyo TANZANIA na wastaafu wengi wanaishi yale maisha ya kuhama hama "nomadic life" na kutengeneza ile "social diversity".
 
Sasa hivi wamejitahidi kutofautisha kati ya nafasi ya ujenerali na nafasi ya urais ~ nafasi ya ujenerali inatambulika hadi kizazi cha nne yaani mtoto, mjukuu, kituu na kilembwe na nafasi ya urais inatambulika hadi kizazi cha tano yaani mtoto, mjukuu, kituu, kilembwe na kilembwekeza.


​
Lakini wale waliokuwa viongozi wa AWAMU TATU za mwanzo hadi AWAMU YA NNE walikuwa wanachagua askari wasiokuwa na sifa na walikuwa wanawalipa ujira kutoka mfukoni mwao wao wenyewe na kuwafanya kutotambulika mahala popote.

​

Hata TC ilikuwa hivyo hivyo! Hadi leo haijawahi kupata DGI anayetambulika na serikali kutokana na kukosa zile sifa za kitaaluma na kijeshi, kwani hata TC inahitaji DGI ambaye ni JENERALI kutoka JESHI LA ULINZI na aliyeshika nafasi ya tatu kitaifa katika matokeo ya ujumla ya mtihani wa taifa wa DARASA LA NNE au DARASA LA SABA au KIDATO CHA PILI au KIDATO CHA NNE au KIDATO CHA SITA. Yaani kwa kifupi, DGI anatakiwa kuwa na sifa sawa na CDF.
 
Shinyanga vijijn ni matapeli na waliwatapel watu wa Haiti hela nyingi sanaaaaa halaf ni wabinafsi! Lakini walienda kwa mfalme wa Brunei, wakagonga mwamba na walitolewa nduki.. πŸ˜‚
Wenzenu huwa hawakai nao! Maana hata ukikaa nao, lazima itatokea hitilafu na ule msuguano huwa haukwepeki kwa wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] pamoja na SHINYANGA VIJIJINI [TINDE actually].


​
Ijapokuwa wanawake wao ni wazuri na mara nyingi wanaenda kuzaa KISHAPU [BUBIKI actually] na watoto huwa wanaenda nao.


​
Huwa hawaachi watoto ikitokea wamezaa na wanaume wa KISHAPU [BUBIKI actually], kwa nia ya kupata mbegu nzuri. Hayo ndiyo madhaifu ya wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI kwa ujumla.
 
Maoni na maombi yote yanayotumwa katika taasis za kiserikali huwa yanapokelewa na jeshi la wanyamapori.. πŸ™ Hata maombi ya kutafuta ajira huwa yanapokelewa na jesh la wanyamapori
Ndiyo huwa ipo hivyo na kuna baadhi ya wanafunzi waliyafahamu haya masuala tangu wakiwa shuleni na waliamua kusoma kwa bidii!


​
Hawa wote wanatambulika katika ubalozi wa AFRIKA YA KUSINI kama raia na wote walimaliza kidato cha sita kama SE FAIRE VALOIR, 2010. Yaani mwanafunzi aliyeshika namba moja, namba mbili na namba tano kitaifa wote walikuwa ni wenyeji wa asili wa WILAYA YA KISHAPU [BUBIKI actually].

Wenzenu huwa wanatungiwa hadi nyimbo wakifanikiwa kuongoza kitaifa! Sema hizo nyimbo zinakuwa zinapigwa mara nyingi ukiwa AFRIKA YA KUSINI na zinaeleweka kwa wachache wanaozifuatilia.

​

Kwahiyo ukiachana na ile nyimbo ya ROLL UP iliyoimbwa na msanii anayeitwa EMTEE, nyimbo nyingine ni hiyo inayoitwa HAO KHONAHALE.
 
Mkasa wa Oscar Kambona:


View: https://youtu.be/u4dHCqHCbPI?si=DWk5plHhchDjtZKF
 
Joshua Nkomo ana mtoto wa kiume ambae ni msanii wa muziki huko Kenya! Anaitwa Nonini, ila Town imetoa watu wengi had Oliver Tambo kasoma hapo.. πŸ™
 
Tangu uhuru, tc haijawai kupata mkurungenzi anayetakiwa na huwa hawatambulik serikalin WAKURUGENZI WALIOONGOZA IDARA YA USALAMA WA TAIFA TANZANIA (TISS) baada ya kustaafu. Wengi walikuwa ni shinyanga vijijn, baada ya kustaafu vizazi vyao vinataabika mitaani sababu walikuwa sio wenyewe..

Hata mawaziri wakuu ipo hivyo hivyo, wazir mkuu wa kwanza kutambulika ni Nyerere na anaefuatia ni Kasim Majaliwa na Mwigulu Nchemba! Wengine wote walikuwa hamna kitu na watoto wao wanapatia msoto kitaani na mawaziri wakuu kipindi cha Nyerere wote wana watoto Senegal.. πŸ™
 
Kizazi cha Kenyata! Wanawake wao huwa ni wazuri sanaa, sema hawajatulia na wakorofi. Shinyanga vijijn Ni watu wa matukio..
 
Sifa zilikuwa nyingi sanaa! Kila kona ilikuwa ni Buthelezi, wakina Nyangaki wakaanza kumnanga Chale kama ana mtoto wa hivyo kutwa kukalia mipombe tu. Kumbe ni mtoto wa wazir na Chale alikuwa ni baba mlez, sio baba mzaz.. πŸ˜‚
 

​
Wao walikuwa wanakosea pakubwa kumuiga HAYATI MWALIMU, kwani HAYATI MWALIMU anamiliki uchumi wake! Tena uchumi mkubwa tu..

​

Wanamtandao wanamiliki uchumi wao, lakini hauwezi kulinganisha na uchumi anaomiliki HAYATI MWALIMU. Hata KHALFAN anamiliki uchumi mkubwa kuliko MZEE RUKSA, kupitia kwa HAYATI MWALIMU aliyemsaidia kukua kibiashara.


​
Sasa hivi ni mwaka wa kumi na tano [15] tangu wamefanikiwa kuwa na serikali mseto katika taifa la SENEGAL.
 

​
Sasa linapokuja suala la UTAWALA WA KISERIKALI, inakuwa ni vigumu kufanya POLITICAL CHANGES ikiwa nchi inakuwa na watumishi wa namna hiyo, tena wameshika nyadhifa za juu serikalini.

​

Kwahiyo inatakiwa kufanyika NATIONAL AUDITING AND CLEARANCE kabla ya kufikia maamuzi ya kufanya POLITICAL CHANGES na hii huwa inafanyika kwa nia njema kabisa, wala siyo nia mbaya na wala hailengi kumkosoa mtu au kikundi cha watu fulani bali inalenga kujenga na kudumisha mshikamano wa kitaifa.
 
Wakina Mwinyi na Mkapa hela zao ziliisha kwenye kulipana mishahara hata Hans Kitine alikuwa halipwi mshahara na serikali, alikuwa analipwa mshahara na Mkapa..

Hela zao nyingi ziliisha kwenye matumizi ambayo siyo ya lazima, wangekua ni matajir sanaa hata koz za kijeshi walikuwa wanapeleka watu wao kwa gharama zao wenyewe na sio gharama za serikali..

Kikwete ndo aliwapigia hapo wakina Mwinyi na Mkapa, licha ya kupata hela nyingi na kuishia mwaka 1993. Lakin Biashara zake zinafanywa na Nyerere had leo na wamewekeza nje ya nchi kupitia Nyerere.. πŸ™
 
Hiyo ilishafanyika kwenye mataifa ya Kenya, Zambia na Malawi! Kwa Tanzania inawawia vigumu sababu itagusa masilahi yao na watumishi wasiokuwa na sifa ambao wanalipwa mishahara na wanamtandao wapo wengi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…