Wanafunzi wakishafanikiwa kuingia tano bora kitaifa wanakuwa na sifa ya kuwa majeneral wa kijesh! Huwa hawaruhusiwi kuoa au kuolewa na mtu yoyote kutoka katika zile familia zenye ushawishi katika jamii..
Tunaambiwa yale makundi ya kijamii yenye ushawishi katika jamii huwa yapo matano [5]! Hayo makundi matano [5] ndiyo huwa yanapokea vipaumbele vya kwanza kutoka serikalini.
Hata kuoa binti katika familia ya mchungaji hawaruhusiwi, maana huwa kuna kani mvutano baina ya wanafunzi bora wanaochipukia na royal families!
Hayo makundi matano [5] huwa yanapatikana katika kila taifa yenye serikali ya kiraia, sema kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA waliongeza baadhi ya watu wasiokuwa na sifa wala vigezo kushikilia baadhi ya vitengo kama ukuu wa majeshi na kufanya kuwa hali ni mbaya zaidi! Matukio kama ulaghai, udanganyifu, wizi na utapeli wa mali uliongezeka maradufu..
Unaweza kupata matatizo ya akili au kuchanganyikiwa kabisaa ukijichanganya na royal families maana huwa wanawatengua akili wale watu ambao ni smart upstairs..
Ndiyo maana ilitolewa tahadhari kwa upande wa wanafunzi watakaofanikiwa kuingia TANO [5] BORA KITAIFA kutojihusisha na hayo makundi [5] matano ya kijamii.
Hata kinga dhidi ya WANAFUNZI BORA [TO's] pamoja na WANAFUNZI VINARA [OP's] ilianza kutolewa na serikali ikiwa ni pamoja na kutojihusisha moja kwa moja na yale makundi [5] matano ya kijamii.
Haya maisha hawayajui wale watu wa Shinyanga vijijn, sababu hawajawai kuingia tano bora kitaifa! Wamebaki kupiga matukio, hata Mkapa hakufanikiwa kushika nafasi ya 5 na walifanya kumpachika namba 5 ili agombee nafasi ya urais..
Hao ndiyo watu wanaojaribu kuleta vurugu pale BARAZA LA MITIHANI TANZANIA [NECTA] na huwa hawatulii, ili kuhakikisha watu wao wanajiunga na masomo ya sekondari katika SHULE ZA VIPAJI MAALUM pamoja na SHULE ZA UFUNDI.
Hilo suala kuhusu mtihani wa taifa wa DARASA LA PILI lilianza kujadiliwa tangu miaka ya tisini [1990's], ikiwa ndiyo mbinu ya mwisho ya kutaka kuingia katika ile ORODHA YA WANAFUNZI [5] TANO BORA kwa wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI! Wakishindwa na hapo basi..
Kwahiyo mara nyingi watu huwa wanashauriwa kuoa au kuolewa baada ya kuhitimu mafunzo ya kijeshi ili kujiweka sawa na changamoto zinazoikabiri Jamii.. 🙏
Ukishafanikiwa kuhitimu mafunzo ya kijeshi kwa wale wanafunzi waliofanikiwa kuingia TANO [5] BORA kitaifa kwa upande wa elimu ya msingi na elimu ya sekondari, huwa wanashauriwa na kuchaguliwa mke au mme wa kuanza nae maisha pale mhusika atakapokuwa amehitimu mafunzo ya kijeshi.