Charles Mandela
JF-Expert Member
- Dec 9, 2011
- 3,694
- 3,309
Wanafunzi wakishafanikiwa kuingia tano bora kitaifa wanakuwa na sifa ya kuwa majeneral wa kijesh! Huwa hawaruhusiwi kuoa au kuolewa na mtu yoyote kutoka katika zile familia zenye ushawishi katika jamii..
Hata kuoa binti katika familia ya mchungaji hawaruhusiwi, maana huwa kuna kani mvutano baina ya wanafunzi bora wanaochipukia na royal families!
Unaweza kupata matatizo ya akili au kuchanganyikiwa kabisaa ukijichanganya na royal families maana huwa wanawatengua akili wale watu ambao ni smart upstairs..
Haya maisha hawayajui wale watu wa Shinyanga vijijn, sababu hawajawai kuingia tano bora kitaifa! Wamebaki kupiga matukio, hata Mkapa hakufanikiwa kushika nafasi ya 5 na walifanya kumpachika namba 5 ili agombee nafasi ya urais..
Kwahiyo mara nyingi watu huwa wanashauriwa kuoa au kuolewa baada ya kuhitimu mafunzo ya kijeshi ili kujiweka sawa na changamoto zinazoikabiri Jamii.. 🙏
Kwahiyo wenzenu wapo upande salama na huu uangalizi ulitakiwa kufanyika kwa kila mtu ambaye ni SE FAIRE VALOIR, maana kuna uwezekano mkubwa wa kuwa MWANADIPLOMASIA .