Tanzania ya sasa ni ile aliyoiona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Tanzania ya sasa ni ile aliyoiona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA MJINI ndiyo waliokuwa wanasoma katika shule zote za hapo mjini, wengine walikuwa wanafanya kuhamia.

Hata shule ya msingi ya BUGOYI, tunaambiwa ilikuwa inachukua wanafunzi kutoka kijiji cha SEKE lakini wanafunzi wengi walikuwa ni wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA MJINI.


Kwahiyo wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA MJINI walikuwa wanasoma na kufanya vizuri kitaifa kuliko wanafunzi wengine na idadi kubwa ilihamia ZAMBIA baada ya KENNETH KAUNDA [the late] kufanikiwa kuwa rais wa kwanza wa ZAMBIA.
Shinyanga mjin huwa wana akili sanaa na ndo huwa wanaongoza Tanzania kupitia Zambia, hao ndio systems waliojichimbia chini kabisaa.. 🙏
 
SHINYANGA MJINI wamenyooka sana! Lakini SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] pamoja na SHINYANGA VIJIJINI [TINDE actually] walifanikiwa kuwa na MAFARAKANO baina yao baada ya kuanza tabia ya kuwa kama WAHUTU ~ kuzaa na kusambaza watoto wao.

Baadae wenyeji wa asili wa WILAYA WA KISHAPU waliwaiga wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI, ile tabia ya kuzaa na kusambaza watoto. Matokeo yake wamekuwa ni watu ambao hawaeleweki ni kitu gani ambacho wanakihitaji maishani.

Tena wengine walikuwa wanazaa watoto wazuri halafu wanawasambaza na kuwagawa kwa watu baki! Baada ya hapo wanaondoka nchini na kwenda kuishi katika TAIFA LA SIERRA LEONE.

Ile staili yao ya kuondoka ilikuwa inawakosha wengi, maana walikuwa wanakufa na watu walikuwa wanaenda misibani kama kawaida! Kumbe unakuta mwenzenu kishafika SIERRA LEONE na alikuwa anawaangalia waombolezaji wakilia msibani..


Sasa hiyo tabia watu wengine huwa hawana! Unakuta wanazaa na kulea watoto wao kama kawaida na wanafanya jitihada za kutambulika serikalini, halafu mambo mengine kama ajira katika kampuni za kibiashara zinazomilikiwa na serikali zinapatikana kupitia utambulisho wa mzazi.
Hiyo tabia ya kugawa na kusambaza watoto, Shinyanga vijijn na Kishapu waliitoa Kongo halaf baadae watoto wakikua na kuanza kupata mafanikio wazazi wanajitokeza na kusema sis ndo tuliokuzaa na picha zako za utoton hizi apa.. 😂

Hela za matumizi walikuwa hawatoi! Sabuni na kununua nguo za utotoni walikuwa hawatoi! Ada ya shule, sare pamoja na viatu vya shule walikuwa hawatoi, lakini kipindi cha mafanikio ndo huwa wanaanza kujitokeza..

Kwanza inakua ni kumnyanyapa mtoto na anaanza kupata ile roho ya kukataliwa kuanzia kwa wazazi wake Na wana ndugu huwa hawaish kusema sis ndo ndugu zako baada ya mafanikio! Huo mtindo huwa unatengeneza mafarakano na chuki kwenye familia..

Mara nyingi watoto wakikua na kutambua origin yao, huwa hawarudi tena huko walipozaliwa baada ya kutelekezwa na huwa wanaendelea kutumia majina yao yale yale waliopewa wakiwa ugenin na huko nyumbani walipozaliwa ndo watakuwa wameondoka kwa staili hiyo na kwenda kuanzisha ukoo wake..

Hii tabia wanayo watu wa shinyanga vijijn na mtoto akiwakataa ndugu zake, huwa wanawaondoa fasta ila Kishapu hawakutakiwa kuwaiga shinyanga vijijn kwan watoto wao huwa wana akili za darasani..
 

Wenzenu walikuwa wanapambana na kupigana kwa bidii ili kutambulika serikalini na walikuwa wanafanya hivyo kupitia matokeo ya mitihani ya taifa kwa upande wa elimu ya msingi na elimu ya sekondari.

Kwa upande wa serikali huwa kuna aina tatu za fursa za ajira zinazopatikana serikalini; Fursa ya kwanza ~ huwa ni kazi zinazopatikana taasisi za utumishi wa umma ambazo zinatangazwa na PSRS! Mfano VETA, EWURA, TPDC, STAMICO na kadhalika.

Hizi fursa za kwanza huwa ni muhimu kwa watanzania wote wenye sifa na vigezo vya kuweza kuajiriwa na kufanya kazi katika taasisi za umma.


Fursa ya pili ~ huwa ni kazi zinazopatikana serikalini kwa upande wa MDA's pamoja na LGA's. MDA's ikiwa na maana ya [Ministries, Departments & Agencies] na LDA's ikiwa na maana ya [Local Government Authorities].

Pia hizi fursa za pili huwa ni muhimu kwa watanzania wote wenye sifa na vigezo vya kuweza kuajiriwa na kufanya kazi ofisi za serikali.

Lakini fursa ya tatu ~ huwa ni kazi zinazopatikana katika kampuni za kibiashara zinazomilikiwa na serikali. WAINGEREZA huwa wanaita ni "COMMERCIAL ENTERPRISES". Mfano TIGO, AIRTEL, VODACOM, TTCL kwa upande wa kampuni za mawasiliano! ORYX, TOTAL, EXXONMOBIL, CHEVRON, PAMPA na MARATHON PETROLEUM kwa upande wa kampuni za mafuta ya petroli, dizeli na mafuta ya taa!

"COMMERCIAL ENTERPRISES" huwa wanaajiriwa watanzania wanaotambulika na serikali tu na mafunzo yanayotolewa na "COMMERCIAL ENTERPRISES" mara nyingi yanalenga kuongeza ufanisi na mchango wa mfanyakazi wa kampuni husika.


Hata hivyo kwa asili yake, namna zilivyo "COMMERCIAL ENTERPRISES" huwa zinaongeza ujuzi wa kiufundi, ukarani mahala pakazi na menejimenti iliyokuwa ikihitajika ndio hasa nguzo muhimu katika jamii zilizoendelea na jamii zinazochipukia kama jamii ya kitanzania. Hivyo, mchakato huu umekuwa na manufaa makubwa sana.


Manufaa yake yanaonekana wazi zaidi katika maeneo ambako motisha ya kuwapa watanzania mafunzo imekuwepo. Vilevile, huwa hakuna pingamizi la kisiasa wala pingamizi la aina nyingine dhidi ya kuwapa watanzania mafunzo hayo kwa sababu wanakuwa ni watanzania wanaotambulika kutokana na mchango wa watangulizi wao katika taifa na hii huwa inafanyika duniani kote katika kila taifa mwanachama wa JUMUIYA YA UMOJA WA MATAIFA [UN CHARTER].
Wale wanaotambulika serikalini huwa hawana mda wa kugawa watoto, kwanza huwa wanazaa watoto wengi kutokana na fursa za kiserikali kuwa nyingi kwa upande wao..

Zile awamu tatu za mwanzo zilikuwa zinakosea sanaa kuteua askari wasiokuwa na vigezo! Askari mwenye cheo cha kopolo au inspekta unapompa nafasi ya cgp wa magereza unakua unammaliza..

Au unapompa askari mwenye nyota mbili au nyota tatu, cheo cha igp wa polisi au cgf wa Zimamoto au dgi wa tisi unakua unammaliza! Ndo hao watoto wao tunaowaona wakifanya kazi za ajabu ajabu, unakuta mtoto wa igp mstaafu anaosha masufuria ya hotelini.. 😂

Wengine wanagonga gia za bodaboda kama hawana akili nzuri na huwa wanaenda mnadani kwa kuuza nguo, ng'ombe na mbuzi au wengine wanakua maporini wakichoma mkaa.. 😂

Hao ndo wanaotaka kukichafua! Lakini wale askari wanaotambulika serikalini, Watoto wao wapo Burkina Faso wanacheza mpira kwenye timu ya taifa.. 🙏
 


WANAFUNZI TANO [5] BORA huwa hawaruhusiwi kujihusisha na yale makundi matano yenye ushawishi katika jamii kwa sababu wanakuwa na sifa ya kuwa JENERALI WA JESHI kwa siku za mbeleni.

Ikitokea mhusika amejichanganya na moja ya makundi yenye ushawishi katika jamii, ndiyo inakuwa kama huyo JENERALI na wasanii wawili wa muziki wa kizazi kipya wanaofanya shughuli zao za muziki nchini MAREKANI.

Jamaa amejichukulia pointi tatu [3] kutoka kwa JENERALI! Ukiwa JENERALI WA JESHI hupaswi kujihusisha na yale makundi matano [5] yenye ushawishi katika jamii. Hata ile jamii ya wanasiasa huwa hawapaswi kujihusisha nao..

Jeneral Muhoz alifanikiwa kumbandua Beyoncé, sema kwa gharama kubwa.. 🙏
 
Walikuwa wanakosea sana!

Walikuwa hawaajiriwi, kwa sababu ukiwa TANZANIA inaonekana wameshaaga dunia na cheti cha kifo kinakuwa kimeshatoka. Hivyo hakuna mtu mwingine mwenye wasifu kama huo duniani.


Kule walipokuwa wanahamia katika mataifa ya magharibi walikuta wameshaendelea na kupiga hatua tangu siku nyingi na waliambiwa kuwa wenyeji wa asili wa BURKINA FASO wapo na wanaishi chini.
Hata wenyeji wa asili wa TAIFA LA SENEGAL na wao wapo hivyo hivyo, kama ilivyo kwa wenyeji wengine wa asili wa MATAIFA YA AFRIKA YA MAGHARIBI.

Wale wenzao walioamua kubaki TANZANIA walifanikiwa kupiga hatua kubwa za kimaendeleo na wengine walifanikiwa kutambulika na serikali, hatimaye wanawafuata huko huko wakiwa wanatambulika katika ofisi za kibalozi.
Afrika ya magharib huwa ni wachaw kupitiliza na huwa wana mambo mengi ya ajabu ajabu..
 
TANZANIA inamiliki kampuni nyingi, hata HALLIBURTON ni kampuni inayomilikiwa na TANZANIA. Sema kupitia ule utaratibu wa "COMMERCIAL ENTERPRISES" watanzania wanaoajiriwa ni wale wanaotambulika na serikali tu.


Wengine itawalazimu kutafuta na kupata ajira katika ofisi za serikali za mitaa pamoja na tawala za mikoa au kupitia serikali kuu.

Ndiyo dunia inavyoenda hivyo, wafanyakazi wanaotambulika na serikali! Hicho kiwanda cha sukari ndiyo wamiliki halali wa timu ya mpira wa miguu ya MARA SUGAR inayoshiriki LIGI KUU YA KENYA.

Wamejaa familia za majenerali, kanali na wote kuanzia cheo cha LUTENI KANALI pamoja na SSP kutoka mataifa yote yanayofungamana na TANZANIA kama KENYA, UGANDA, RWANDA, BURUNDI, ZAMBIA, MALAWI na MSUMBIJI. Hata AFRIKA YA KUSINI ipo..

ST. MARTIN na CURAÇAO ni visiwa ambavyo kwenda kuishi na kufanya kazi katika hivyo visiwa ni lazima mhusika awe anatambulika na serikali.

Huo utaratibu wa kutambulika ulianza kutumika tangu siku nyingi na walikuwa wanafundisha kwenye MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA ile namna ya serikali inavyofanya kazi.

Zamani, kipindi cha ukoloni walikuwa wana "Three sources of instructions: Missionaries for Christianity countries or Sultanates for Muslim countries | Commercial Enterprises | Government" na baada ya kipindi cha ukoloni kuisha na kuingia dunia ya utandawazi, mambo yalibadilika na kuwa "Three sources of instructions: Local Government Authorities | Commercial Enterprises | Government" ikiwa zote zina maelezo yake na vigezo vyake.
Hata schlumberger inamilikiwa na serikali, kampuni zote zilizokuja kufanya utafit wa mafuta na ges zinamilikiwa na Tanzania kasoro bg na Petrobras.. 🙏
 
Mfano wa Local Government Authorities ni [New 494 Vacancies PSRS At Various Institutions, July 2026]! Mfano wa Commercial Enterprises ni [New Vacancies At Yas Tanzania, July 2026] na mfano wa Government ni [New 160 Vacancies At MDA's and LGA's, July 2026]!

Sema inatakiwa mhusika anapofanikiwa kujiunga na MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA, moja kwa moja anatakiwa kufahamu wasifu wake wa kitaaluma na kama hakufanikiwa kuingia katika ile ORODHA YA WANAFUNZI [10] KUMI BORA, iwe kwa ujumla au katika somo moja lililosajiliwa kama MTIHANI WA TAIFA basi mhusika anatakiwa kurisiti.

Mhusika anapofanikiwa kurisiti mtihani wa taifa na kuingia katika ile ORODHA YA WANAFUNZI [10] KUMI BORA inafanya kuwa SE FAIRE VALOIR na kuwa na nafasi ya kuendelea na vyeo vya kijeshi kama SSP au LUTENI KANALI na kuweza kutambulika serikalini.

Mhusika anapofanikiwa kutambulika serikalini, anafanyika wepesi kwake yeye na vizazi vyake vitakavyokuja! Pia anakuwa na uwanja mpana katika "Local Government Authorities", "Commercial Enterprises" pamoja na "Government".


Kwahiyo serikali zinazotambulika na JUMUIYA YA UMOJA WA MATAIFA [UN CHARTER] ndiyo huwa zinaenda kwa namna hiyo.
Sisi haya huwa tunawaambia wakiwa majeshin, huku ndo kwa wasomi na wanatakiwa kurisit masomo ya sekondari! Wengine huwa wanaenda kusoma masters na PhD, sekeseke likipita wanaondoka wakiwa na masters zao..
 
Pia mwanafunzi aliyefanikiwa kuongoza mara tatu [3] katika MITIHANI YA TAIFA, huwa anatambulika kitaifa kupitia BARAZA LA MITIHANI TANZANIA [NECTA] pasipo hata kuvalishwa vyeo vya kijeshi.

Hii pia huwa ni sheria ya JUMUIYA YA UMOJA WA MATAIFA [UN CHARTER] kupitia SHIRIKA LA ELIMU DUNIANI [UNESCO].

Kwahiyo MWANAFUNZI BORA [TO's] wa kidato cha sita [2010] alianza kutambulika serikalini tangu mwaka 2007 na jina lake limeshaandikwa katika kampuni ya kibiashara inayoitwa PAMPA ENERGIA kama mtanzania anayetambulika serikalini na kuweza kufanya kazi katika hiyo kampuni ya kibiashara.

WANAFUNZI BORA [TO's], WANAFUNZI VINARA [OP's] pamoja na SE FAIRE VALOIR huwa wana fursa nyingi kwa upande wa serikali, sema WANAFUNZI BORA [TO's] pamoja na WANAFUNZI VINARA [OP's] huwa wanasubiri hadi wavikwe vyeo vya kijeshi.

WANAFUNZI BORA [TO's], WANAFUNZI VINARA [OP's] pamoja na SE FAIRE VALOIR ndiyo huwa raia wa kwanza kutambulika na serikali. Wengine ni raia waliofanya vizuri na kulipa heshima taifa katika ulimwengu wa kimataifa kwenye tasnia mbalimbali kama michezo, sanaa na burudani! Siasa, uchumi, mazingira na maendeleo ya kijamii.
Wengine walijua itakuwa ni mwakitolyo then kula msoto had Barrick, kumbe mwenzetu yupo Argentina ni afisa mkubwa na anaanzia cheo cha acp.. 😂
 
Wale wanaotambulika serikalini huwa hawana mda wa kugawa watoto, kwanza huwa wanazaa watoto wengi kutokana na fursa za kiserikali kuwa nyingi kwa upande wao..

Zile awamu tatu za mwanzo zilikuwa zinakosea sanaa kuteua askari wasiokuwa na vigezo! Askari mwenye cheo cha kopolo au inspekta unapompa nafasi ya cgp wa magereza unakua unammaliza..

Au unapompa askari mwenye nyota mbili au nyota tatu, cheo cha igp wa polisi au cgf wa Zimamoto au dgi wa tisi unakua unammaliza! Ndo hao watoto wao tunaowaona wakifanya kazi za ajabu ajabu, unakuta mtoto wa igp mstaafu anaosha masufuria ya hotelini.. 😂

Wengine wanagonga gia za bodaboda kama hawana akili nzuri na huwa wanaenda mnadani kwa kuuza nguo, ng'ombe na mbuzi au wengine wanakua maporini wakichoma mkaa.. 😂

Hao ndo wanaotaka kukichafua! Lakini wale askari wanaotambulika serikalini, Watoto wao wapo Burkina Faso wanacheza mpira kwenye timu ya taifa.. 🙏
Unajua serikali ilikuwa inakosea pakubwa sana! Ijapokuwa wengine huwa wanasema serikali huwa haikosei lakini kwa hili suala la kuwapa vyeo askari wasiostahili halafu hawapewi matunzo inakuwa inaleta taswira mbaya.

e091acd52070f64c68cfacc579b982b8.jpg

​
Hata kama ni makubaliano ya mwaka 1975, sasa hivi yatakuwa yamepitwa na wakati! Pia mabadiliko ya kisiasa hayawezi kufanikiwa ikiwa taifa litakuwa na aina ya watumishi kama hao.

56dbffce7a767c700ca0c203b18ce193.jpg

​
Hawa wengine walipitia huko na wameweza kusimama wenyewe pasipo kutegemea serikali! Lakini wengi wao wamedondoka kwa kukosa matunzo ya kiserikali.

b5bc55626f8aeb913a4b511c88700163.jpg

​
Kwahiyo TANZANIA imepitia mambo mengi sana, kuwa salama hadi leo ni jambo la kupongeza na kushukuru MUNGU.
 
Wengine walijua itakuwa ni mwakitolyo then kula msoto had Barrick, kumbe mwenzetu yupo Argentina ni afisa wa polisi mkubwa na anaanzia cheo cha acp.. 😂
Kitu kingine ambacho huwa hawasemi mara nyingi, mwanafunzi bora aliyefanikiwa kuongoza mara tatu [3] huwa anapewa ruhusa ya kutumia karamu ya wino mwekundu katika matumizi ya ofisi endapo atakuwa amekabidhiwa sare za jeshi [OPU].

Hii hadhi ya kutumia karamu ya wino mwekundu huwa inaenda sambamba na MKUU WA MAGEREZA [RPO], MKUU WA JESHI LA MAGEREZA [CGP] pamoja na JAJI KIONGOZI.

cec04b1ca4c44dffa42cc94b87cbcd1c.jpg

​
Sasa huyu alifanikiwa kuongoza kitaifa mara tano [5] na ana hadhi ya kutumia karamu ya wino mwekundu katika matumizi ya ofisi ya kiserikali endapo atakuwa amekabidhiwa sare za jeshi [OPU].

Pia huwa kuna maana yake katika matumizi ya karamu ya wino mwekundu, karamu ya wino kijani, karamu ya wino wanjano, karamu ya wino bluu pamoja na karamu ya wino mweusi katika JESHI LA MAGEREZA.

28e442a0c71bb21b919846656ef982c7.jpg

​
Kwahiyo SHERIA ZA UMOJA WA MATAIFA [UN CHARTER] kwa upande wa elimu huwa zipo na huwa zinasimamiwa na JESHI LA MAGEREZA kupitia WIZARA YA ELIMU.
 
Unajua serikali ilikuwa inakosea pakubwa sana! Ijapokuwa wengine huwa wanasema serikali huwa haikosei lakini kwa hili suala la kuwapa vyeo askari wasiostahili halafu hawapewi matunzo inakuwa inaleta taswira mbaya.

Hata kama ni makubaliano ya mwaka 1975, sasa hivi yatakuwa yamepitwa na wakati! Pia mabadiliko ya kisiasa hayawezi kufanikiwa ikiwa taifa litakuwa na aina ya watumishi kama hao.

Hawa wengine walipitia huko na wameweza kusimama wenyewe pasipo kutegemea serikali! Lakini wengi wao wamedondoka kwa kukosa matunzo ya kiserikali.

Kwahiyo TANZANIA imepitia mambo mengi sana, kuwa salama hadi leo ni jambo la kupongeza na kushukuru MUNGU.
Wao wanafurahi kuchafuka vyeo mabegani hata kama ni bure! Maisha baada ya kustaafu hawawazi na matokeo yake huwa wanaangukia kwenye utapeli na kujipatia mali kwa njia ya udanganyifu..

Shinyanga vijijn wape vyeo, utawakamata na walikuwa wanafanya hivyo tangu kipindi cha Nyerere lakini hakuna Jeneral aliyeoa mwanamke wa asili ya Shinyanga vijijn..

Shinyanga vijijn wengine walihamia Angola kipindi cha Agustino Neto na wanafanya vizuri kuliko hawa waliobaki Tanzania..

Angola ilikuwa chin ya Shinyanga vijijn na Msumbiji ilikuwa chin ya Kishapu, mataifa mawili yanayotumia lugha ya kireno kama lugha ya taifa kwa upande wa Afrika. Hadi leo Angola inatawaliwa na watu wa Shinyanga vijijn..

Pia kulikuwa kuna mawaziri wa baraza la mawaziri la kwanza la Tanganyika na baadae Tanzania, wakina Lucy Selina Lameck Somi, Nsilo Swai na Tewa ambao baadae waliamua kuungana na Agustino Neto na kuhamia Angola..

Lakini Lawi Sijaona na Oscar Kambona waliamua kubaki Tanzania, hadi pale Oscar Kambona alipokumbwa na matatizo dhidi ya utawala wa Nyerere na kukimbia nchi na kwenda kuishi uhamishoni..

Kwahiyo yanayofanyika Tanzania ni madhaifu ya serikal yenyewe kuendelea kuwaendekeza watu wa Shinyanga vijijn, lakini mataifa mengine walishaacha kufanya hivyo ikiwemo Angola na Kenya.. 🙏
 
Kitu kingine ambacho huwa hawasemi mara nyingi, mwanafunzi bora aliyefanikiwa kuongoza mara tatu [3] huwa anapewa ruhusa ya kutumia karamu ya wino mwekundu katika matumizi ya ofisi endapo atakuwa amekabidhiwa sare za jeshi [OPU].

Hii hadhi ya kutumia karamu ya wino mwekundu huwa inaenda sambamba na MKUU WA MAGEREZA [RPO], MKUU WA JESHI LA MAGEREZA [CGP] pamoja na JAJI KIONGOZI.

Sasa huyu alifanikiwa kuongoza kitaifa mara tano [5] na ana hadhi ya kutumia karamu ya wino mwekundu katika matumizi ya ofisi ya kiserikali endapo atakuwa amekabidhiwa sare za jeshi [OPU].

Pia huwa kuna maana yake katika matumizi ya karamu ya wino mwekundu, karamu ya wino kijani, karamu ya wino wanjano, karamu ya wino bluu pamoja na karamu ya wino mweusi katika JESHI LA MAGEREZA.

Kwahiyo SHERIA ZA UMOJA WA MATAIFA [UN CHARTER] kwa upande wa elimu huwa zipo na huwa zinasimamiwa na JESHI LA MAGEREZA kupitia WIZARA YA ELIMU.
Sheria nyingine huwa hawazifuati, wanaogopa watu wengi kuwa na nguvu ya kimamlaka maana matumizi ya rangi nyekundu huwa inaashiria nguvu na maamuzi katika vyombo vya serikal. Sasa ikitokea kila mtu akitumia wino mwekundu itakua ni balaaa..

Hata matumizi ya bunduki ya silencer huwa ina utaratibu na maana yake katika majeshi na serikali kwa ujumla, sio kila mtu anaweza kutumia bunduki ya silencer na huwa zinatolewa kwa vibari maalum..

Waliweka sheria ya kutumia bunduki ya silencer kwa wasimamizi wa sheria na wakimaliza kutumia vyeo vyao, hicho kibari cha kutumia bunduki ya silencer huondolewa..

Kwahiyo kibari cha kutumia wino mwekundu na bunduki ya silencer huendelea kwa mwanafunzi bora aliyeongoza mara 3 had pale atakapostaafu kazi ya utumishi wa umma.. 🙏
 
Wengine walijua itakuwa ni mwakitolyo then kula msoto had Barrick, kumbe mwenzetu yupo Argentina ni afisa mkubwa na anaanzia cheo cha acp.. 😂
75ca1af56fcf50dc9f0025b0343a3332.jpg

​
Hawa wa sasa hivi wanafahamu wakati uliopita na wakati uliopo, wametulia na wanajipanga.. 🙏🏽
 
Wao wanafurahi kuchafuka vyeo mabegani hata kama ni bure! Maisha baada ya kustaafu hawawazi na matokeo yake huwa wanaangukia kwenye utapeli na kujipatia mali kwa njia ya udanganyifu..

Shinyanga vijijn wape vyeo, utawakamata na walikuwa wanafanya hivyo tangu kipindi cha Nyerere lakini hakuna Jeneral aliyeoa mwanamke wa asili ya Shinyanga vijijn..

Shinyanga vijijn wengine walihamia Angola kipindi cha Agustino Neto na wanafanya vizuri kuliko hawa waliobaki Tanzania..

Angola ilikuwa chin ya Shinyanga vijijn na Msumbiji ilikuwa chin ya Kishapu, mataifa mawili yanayotumia lugha ya kireno kama lugha ya taifa kwa upande wa Afrika. Hadi leo Angola inatawaliwa na watu wa Shinyanga vijijn..

Pia kulikuwa kuna mawaziri wa baraza la mawaziri la kwanza la Tanganyika na baadae Tanzania, wakina Lucy Selina Lameck Somi, Nsilo Swai na Tewa ambao baadae waliamua kuungana na Agustino Neto na kuhamia Angola..

Lakini Lawi Sijaona na Oscar Kambona waliamua kubaki Tanzania, hadi pale Oscar Kambona alipokumbwa na matatizo dhidi ya utawala wa Nyerere na kukimbia nchi na kwenda kuishi uhamishoni..

Kwahiyo yanayofanyika Tanzania ni madhaifu ya serikal yenyewe kuendelea kuwaendekeza watu wa Shinyanga vijijn, lakini mataifa mengine walishaacha kufanya hivyo ikiwemo Angola na Kenya.. 🙏
Tunaambiwa huyo LUCY LAMECK aliwahi kuwa mwanafunzi bora [TO's] kwa upande wa wanawake na alipewa hadhi ya ujenerali baada ya yeye kuondoka duniani, 1994!

LUCY LAMECK alikuwa ni mwanamke mtanzania wa kwanza kuwahi kushika wadhifa wa uwaziri kwenye serikali ya kitaifa ya TANZANIA. Hata UJERUMANI ilifanikiwa kumpa heshima ya kutumia jina la LUCY LAMECK kama mtaa kutokana na kuwa mtetezi mkubwa wa wanawake.

Pia kulikuwa kuna wanawake wengine kama wakina HALIMA SELENGIA, AMINA KINABO na MAMA BINTI MAALIMU ambao walifanya TANU kuwa na nguvu katika wilaya ya MOSHI na KILIMANJARO kwa ujumla.

46fef3dfdafef04048468fde815eda5e.jpg

​
Kwahiyo hiyo siasa ya HAYATI MWALIMU iliumiza wengi, ukiachana na BIBI TITI MOHAMMED kulikuwa kuna LUCY LAMECK ambaye alitunukiwa hadhi ya ujenerali baada ya yeye kuondoka duniani, 1994.
 
Hiyo tabia ya kugawa na kusambaza watoto, Shinyanga vijijn na Kishapu waliitoa Kongo halaf baadae watoto wakikua na kuanza kupata mafanikio wazazi wanajitokeza na kusema sis ndo tuliokuzaa na picha zako za utoton hizi apa.. 😂

Hela za matumizi walikuwa hawatoi! Sabuni na kununua nguo za utotoni walikuwa hawatoi! Ada ya shule, sare pamoja na viatu vya shule walikuwa hawatoi, lakini kipindi cha mafanikio ndo huwa wanaanza kujitokeza..

Kwanza inakua ni kumnyanyapa mtoto na anaanza kupata ile roho ya kukataliwa kuanzia kwa wazazi wake Na wana ndugu huwa hawaish kusema sis ndo ndugu zako baada ya mafanikio! Huo mtindo huwa unatengeneza mafarakano na chuki kwenye familia..

Mara nyingi watoto wakikua na kutambua origin yao, huwa hawarudi tena huko walipozaliwa baada ya kutelekezwa na huwa wanaendelea kutumia majina yao yale yale waliopewa wakiwa ugenin na huko nyumbani walipozaliwa ndo watakuwa wameondoka kwa staili hiyo na kwenda kuanzisha ukoo wake..

Hii tabia wanayo watu wa shinyanga vijijn na mtoto akiwakataa ndugu zake, huwa wanawaondoa fasta ila Kishapu hawakutakiwa kuwaiga shinyanga vijijn kwan watoto wao huwa wana akili za darasani..
3b7fdcc005b0ed9974f8f04cab0b949f.jpg

​
Ukiachana na slogani ya "To every action, there is equal and opposite reaction" huwa kuna slogani nyingine inayosema "Energy cannot be created nor destroyed, but it can be transformed from one form to another".

05b964bff05012e04ac3805fb87e0385.jpg

​
SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually pamoja na TINDE actually] waliamua kuwa kama wahutu na KISHAPU [BUBIKI actually na BUSIA actually] waliamua kuwa kama wakongo, tena KISHAPU walikuwa wanasambaza watoto wao kwa watu baki halafu wao wanaenda SIERRA LEONE. Ile staili ya kuondoka ndiyo ilikuwa inawaacha watu hoi..

f07879dddacd13632a1589993bd4d931.jpg

​
Ilifikia hatua, serikali ikaanza kuwaadhibu kwa kuwavua hadhi ya uwaziri na ubalozi baadhi ya mawaziri waliokuwa wakihudumu katika AWAMU YA KWANZA na AWAMU YA PILI baada ya kuzaa, kugawa na kusambaza watoto wao kwa watu baki bila ya kutoa matunzo! KHALFAN alikuwepo kwenye orodha na alivuliwa hadhi ya UWAZIRI tangu miaka ya tisini [1990's].

04630b1c733b7f2caddd7931a622620c.jpg

​
Baadae serikali ndiyo ikaanza kuchukua jukumu la kuwafuatilia wale watoto waliokuwa wakizaliwa na kutelekezwa kwa watu baki! Walikuwepo hadi watoto wa mabalozi, mawaziri hata rais wa awamu ya pili.

0f64b2fb129ab7266e7e49bdc224d2f4.jpg

​
Lakini watoto walionufaika na ule mpango wa serikali walikuwa ni wenyeji wa asili wa WILAYA YA KISHAPU, sababu walikuwa wanafanya vizuri kwenye mitihani ya taifa na wengi wamejiunga na JESHI LA MAGEREZA.

bb5c992c27e36384aa951794c1aa8abe.jpg

​
Kwahiyo ile dhana ya kuleta MAFARAKANO kuanzia ngazi ya kifamilia ikawa imezimwa kwa namna hiyo na wale watoto waliotelekezwa huwa hawatakiwi kurudi nyuma kule walipozaliwa, kinachotakiwa ni kuangalia mbele, kujijenga na kuanzisha koo zao mpya.
 
Tunaambiwa huyo LUCY LAMECK aliwahi kuwa mwanafunzi bora [TO's] kwa upande wa wanawake na alipewa hadhi ya ujenerali baada ya yeye kuondoka duniani, 1994!

LUCY LAMECK alikuwa ni mwanamke mtanzania wa kwanza kuwahi kushika wadhifa wa uwaziri kwenye serikali ya kitaifa ya TANZANIA. Hata UJERUMANI ilifanikiwa kumpa heshima ya kutumia jina la LUCY LAMECK kama mtaa kutokana na kuwa mtetezi mkubwa wa wanawake.

Pia kulikuwa kuna wanawake wengine kama wakina HALIMA SELENGIA, AMINA KINABO na MAMA BINTI MAALIMU ambao walifanya TANU kuwa na nguvu katika wilaya ya MOSHI na KILIMANJARO kwa ujumla.

Kwahiyo hiyo siasa ya HAYATI MWALIMU iliumiza wengi, ukiachana na BIBI TITI MOHAMMED kulikuwa kuna LUCY LAMECK ambaye alitunukiwa hadhi ya ujenerali baada ya yeye kuondoka duniani, 1994.
Lucy Lameck alisoma Town na alikuwa mtu wa kishapu, kabla ya kuhamia kilimanjaro kwa masomo ya sekondari na kuishi huko!

Lucy Lameck alikuwa na hela na alifanikiwa kununua majengo huko Ujeruman. Ndo wakina Lucy Komba, aliyekuwa muigizaj wa kaole na saivi yupo Denmark..

Lucy Lameck Alikuwa msomi, lakini Nyerere alimuogopa na hakuweza kujiunga na JWTZ. Nyerere alipendelea kutoa vipaumbele vya kwanza kwa watu wa shinyanga vijijn! Wengine ilikuwa ni chaguo la pili..

Stori yake nzima ipo hapa Mfahamu Lucy Lameck, Waziri wa Kwanza Mwanamke Tanzania na vizazi vyake vipo kwenye majeshi kama vizazi vya Jeneral. Maana ni lazima mwanafunzi aliyeingia tano bora kuwa Jeneral, kwa mujibu wa sheria za kimataifa.. 🙏
 
Ukiachana na slogani ya "To every action, there is equal and opposite reaction" huwa kuna slogani nyingine inayosema "Energy cannot be created nor destroyed, but it can be transformed from one form to another".

SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually pamoja na TINDE actually] waliamua kuwa kama wahutu na KISHAPU [BUBIKI actually na BUSIA actually] waliamua kuwa kama wakongo, tena KISHAPU walikuwa wanasambaza watoto wao kwa watu baki halafu wao wanaenda SIERRA LEONE. Ile staili ya kuondoka ndiyo ilikuwa inawaacha watu hoi..

Ilifikia hatua, serikali ikaanza kuwaadhibu kwa kuwavua hadhi ya uwaziri na ubalozi baadhi ya mawaziri waliokuwa wakihudumu katika AWAMU YA KWANZA na AWAMU YA PILI baada ya kuzaa, kugawa na kusambaza watoto wao kwa watu baki bila ya kutoa matunzo! KHALFAN alikuwepo kwenye orodha na alivuliwa hadhi ya UWAZIRI tangu miaka ya tisini [1990's].

Baadae serikali ndiyo ikaanza kuchukua jukumu la kuwafuatilia wale watoto waliokuwa wakizaliwa na kutelekezwa kwa watu baki! Walikuwepo hadi watoto wa mabalozi, mawaziri hata rais wa awamu ya pili.

Lakini watoto walionufaika na ule mpango wa serikali walikuwa ni wenyeji wa asili wa WILAYA YA KISHAPU, sababu walikuwa wanafanya vizuri kwenye mitihani ya taifa na wengi wamejiunga na JESHI LA MAGEREZA.

Kwahiyo ile dhana ya kuleta MAFARAKANO kuanzia ngazi ya kifamilia ikawa imezimwa kwa namna hiyo na wale watoto waliotelekezwa huwa hawatakiwi kurudi nyuma kule walipozaliwa, kinachotakiwa ni kuangalia mbele, kujijenga na kuanzisha koo zao mpya.
Mwinyi na baraza lake la mawaziri wote waliondolewa hazi zao! Kulikuwepo majaj wakuu pamoja na wakuu wa majesh..

Kizaz cha wakina Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete wote hawapo kwenye ulingo wa siasa za Tanzania. Kikwete ndo kabisaa, hajawahi hata kukanyaga bungeni na Edward Lowassa ndo ilikuwa hivyo..

Kulikuwa kuna wakina Al Nooor Kassim, Jackson Makweta, Muhidin Kimario, Aaron Chiduo, Damian Lubuva, Chrisant Kissanji, Arcado Ntagazwa na Charles Kabeho. Wote wana hali mbaya..

Mtoto wa Charles Kabeho aliwahi kuwa mwanasiasa pale udom, College ya education na aliendesha migomo mwaka 2010 had akazuia msafara wa mkuu wa wilaya ya Dodoma mjin..

Zile awamu tatu za mwanzo zilitaka kuleta machafuko na mabadiliko ya kisiasa, lakini sisiem pamoja na Tanzania zilivuka salama..

Kwahiyo Zambia kupitia watu wa Shinyanga Mjini ndo walikuwa wanazuia mabadiliko ya kisiasa na kutotokea machafuko! Maana Kenya, watawala walikuwa ni shinyanga vijijn na zile nchi tatu za Kusin, watawala walikuwa ni watu wa Shinyanga Mjini pamoja na watu wa Kishapu.. 🙏
 
Mwinyi na baraza lake la mawaziri wote waliondolewa hazi zao! Kulikuwepo majaj wakuu pamoja na wakuu wa majesh..
IMG-20260807-WA0003.jpg

​
MZEE RUKSA alikuwa na akili na alijitahidi kujijenga kiuchumi kupitia hela za wakongo, wakosovo na wahaiti. Pia vizazi vyake vipo na vimesambaa sehemu mbalimbali za nchi na hata nje ya nchi. Ukiwa UINGEREZA utawakuta wakina FATUMA..

b1b7321aeb6b25fb2662234205a7f6d6.jpg
​

Shida inakuja kwa wale askari waliokuwa wanatumika na wanasiasa, sasa hivi hawana hela kabisa na hali zao ni mbaya!
Kizaz cha wakina Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete wote hawapo kwenye ulingo wa siasa za Tanzania. Kikwete ndo kabisaa, hajawahi hata kukanyaga bungeni na Edward Lowassa ndo ilikuwa hivyo..

Kulikuwa kuna wakina Al Nooor Kassim, Jackson Makweta, Muhidin Kimario, Aaron Chiduo, Damian Lubuva, Chrisant Kissanji, Arcado Ntagazwa na Charles Kabeho. Wote wana hali mbaya..

Mtoto wa Charles Kabeho aliwahi kuwa mwanasiasa pale udom, College ya education na aliendesha migomo mwaka 2010 had akazuia msafara wa mkuu wa wilaya ya Dodoma mjin..

Zile awamu tatu za mwanzo zilitaka kuleta machafuko na mabadiliko ya kisiasa, lakini sisiem pamoja na Tanzania zilivuka salama..

Kwahiyo Zambia kupitia watu wa Shinyanga Mjini ndo walikuwa wanazuia mabadiliko ya kisiasa na kutotokea machafuko! Maana Kenya, watawala walikuwa ni shinyanga vijijn na zile nchi tatu za Kusin, watawala walikuwa ni watu wa Shinyanga Mjini pamoja na watu wa Kishapu.. 🙏
Hiyo ndiyo SIASA YA TANZANIA! Kuna watanzania walifanikiwa kupitia siasa na wengine imewamaliza kabisa, ni bora wangeendelea na maisha yao ya mwanzo kabla ya kujiunga na siasa.
 
Back
Top Bottom