Tanzania ya sasa ni ile aliyoiona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Tanzania ya sasa ni ile aliyoiona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Ilishawahi kutokea hii, askari alilipwa mishahara ya miaka miwili kabla ya kuripot katika kituo cha kazi! Hawa vijana wa dotcom hawayajui hayo mambo! Ukiona mwanafunzi aliyeingia top five anapitishwa kwenye misukosuko, ujue anaepushwa na jambo baya..

Hiyo spirit huwa inatumika pia kwa majeneral wa kijesh, ukiona Jeneral anapitishwa kwenye misukosuko ujue anaepushwa na jambo baya au tukio la kuhatarisha usalama wake..

Kwahiyo majeneral pamoja na wanafunzi walioingia top five wote huwa wanashauriwa kuwa calm au wapole katika kipindi chote cha misukosuko.. 🙏
VIONGOZI WA KIJESHI huwa wana matunzo yao, tofauti na askari wengine. Tena ikitokea utaratibu umefuatwa, huwa kuna fomu za kujaza kwa upande wa wanawake wanaotaka au wangependa kuzaa na kuolewa na kiongozi wa kijeshi.

ec068f68f9a300ec4ef6ef9b8cd950f4.jpg

​
Kisheria, askari kuanzia cheo cha ACP pamoja na KANALI wanaruhusiwa kuoa wanawake watatu [3] ambao watakuwa wanatambulika na serikali hadi wajukuu. Askari kuanzia cheo cha JENERALI wanaruhusiwa kuoa wanawake watano [5] ambao watakuwa wanatambulika na serikali hadi vilembwe.

IMG-20221008-WA0000.jpeg

Kwahiyo katika kipindi hiki cha dunia iliyotawaliwa na utandawazi, watu wenye faida ni askari wa majeshi kwa sababu hata ikitokea askari anamiliki biashara au kampuni ya kibiashara anakuwa na uwezo wa kutambulisha biashara au kampuni yake ya kibiashara jeshini ili kupata usimamizi wa kijeshi.
 
Jenaral kufa na magonjwa ya zinaa, ni sawa na inzi kufia kwenye kidonda. Huwa ni uzembe na mara chache hutokea.. 😂
 
Yale yalikuwa siyo maisha mazuri na hayapaswi kuigwa! Kipindi hicho wakati ukifika wa kumuondoa mtoto, wanampiga picha akiwa ameshikilia begi lake la nguo..😭

Ilikuwa ni simanzi na unyanyasaji kwa mtoto, kwa sababu unakuta mtoto anaondolewa nyumbani alipozaliwa kwa wazazi wake akiwa na umri wa kuanzia miaka mitatu hadi miaka mitano..

Sema watoto huwa hawawezi kueleza hisia zao! Lakini huwa ni simanzi na anapohamia kwa watu wengine ambao hajawazoea, hata matunzo na malezi hawezi kupata kama angelikuwa na wazazi wake..

Hili suala huwa lipo chini ya USTAWI WA JAMII na USTAWI WA JAMII ipo chini ya JESHI LA POLISI! Baadae mtoto akishafanikiwa kimaisha, wazazi ndiyo huwa wanajitokeza na kuonesha picha za mtoto akiwa katika umri mdogo. Hii tabia wanayo wale wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI pamoja na wenyeji wa asili wa WILAYA YA KISHAPU, waliitoa kwa WAHUTU pamoja na WAKONGOMANI.
huwa wanawapiga picha wakiwa mlangon na mabeg yao ya nguo! Ni Unyanyasaj na Ukatili wa hali ya juuu
 
Wale wanaotambulika serikalini huwa hawana mda wa kugawa watoto, kwanza huwa wanazaa watoto wengi kutokana na fursa za kiserikali kuwa nyingi kwa upande wao..

Zile awamu tatu za mwanzo zilikuwa zinakosea sanaa kuteua askari wasiokuwa na vigezo! Askari mwenye cheo cha kopolo au inspekta unapompa nafasi ya cgp wa magereza unakua unammaliza..

Au unapompa askari mwenye nyota mbili au nyota tatu, cheo cha igp wa polisi au cgf wa Zimamoto au dgi wa tisi unakua unammaliza! Ndo hao watoto wao tunaowaona wakifanya kazi za ajabu ajabu, unakuta mtoto wa igp mstaafu anaosha masufuria ya hotelini.. 😂

Wengine wanagonga gia za bodaboda kama hawana akili nzuri na huwa wanaenda mnadani kwa kuuza nguo, ng'ombe na mbuzi au wengine wanakua maporini wakichoma mkaa.. 😂

Hao ndo wanaotaka kukichafua! Lakini wale askari wanaotambulika serikalini, Watoto wao wapo Burkina Faso wanacheza mpira kwenye timu ya taifa.. 🙏
Kitu kingine ambacho huwa hawasemi mara nyingi, askari yoyote anayetambulika na serikali huwa anashauriwa kuorodhesha wenza wake wote aliofanikiwa kuzaa nao kwa kujaza fomu za uzazi na malezi zinazopatikana majeshini.

1e0349b95bfd5a8527310474dd145b7b.jpg

​
Hii inasaidia na inatoa fursa kwa mzazi mwenza kuweza kutambulika serikalini na kupata wasaa wa kuajiriwa katika kampuni za kibiashara zinazomilikiwa na serikali, WAINGEREZA huwa wanasema ni "COMMERCIAL ENTERPRISES" pasipo hata kuwa SE FAIRE VALOIR na WASWAHILI huwa wanasema "ukikaa karibu na ua waridi, lazima unukie"..

831f073761eece65ef6a018d67ae9bff.jpg

Fomu zenyewe zilikuwa zinauzwa Tsh. 5000 pesa taslimu kwa miaka ya nyuma na huwa zinajazwa na mzazi mwenza kwa kuweka pasipoti na sahihi. Halafu hizo fomu za uzazi na malezi zinaorodheshwa kwenye faili la askari anayetambulika serikalini. Hata ikitokea askari ana wazazi wenza zaidi ya mia tatu [300], hakuna shida..
 
Haiti watainunua, sema mzigo unakuja kwenye kulea viongoz wa kitaifa na kijeshi! Ipo siku Tanzania itakwama na kushindwa gharama za kulea viongoz wa kitaifa..
952714613fa8d13ca9b82fa479dc61a3.jpg

​
Hii kampuni ya kutengeneza magari aina ya NISSAN inamilikiwa na serikali, sema fedha nyingi zinaishia kwenye kufanya "OCCUPATION AND ACQUISITION POLITICS" kwa kuhodhi mataifa machanga.
 
huwa wanawapiga picha wakiwa mlangon na mabeg yao ya nguo! Ni Unyanyasaj na Ukatili wa hali ya juuu
Wale watu walikuwa ni wajinga, kwa sababu mtoto anakuwa anapitia roho ya kukataliwa tangu akiwa kwa wazazi wake na anapopelekwa kwenda kuishi katika familia ya watu baki anakuwa kama ametupwa na kutelekezwa! Hata kipaji na kipawa chake atashindwa kuonesha kutokana na kukosa ushirikiano wa kifamilia na wachache ambao huwa wanafanikiwa katika masuala mazima ya maisha.

Wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA MJINI huwa hawana huo ujinga, ni STRAIGHT FORWARDED SOCIETY.

1088fd650f6263dc5a9eaf6f2a8b32d7.jpg

​
Wamefanikiwa kupiga hatua za kimaendeleo na kiuchumi, hawana muda wa kukwepa au kukimbia majukumu! Wao huwa wazaa na kulea watoto wao.

57ef4cdc4f176d41e590e48c087896b1.jpg

​
Shida ipo kwa wale wenyeji wengine wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] pamoja na KISHAPU [BUBIKI actually].

a1a292bb7586bc6008013672748cc7e0.jpg

​
Wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA MJINI ndiyo watawala wa MATAIFA YA ZAMBIA pamoja na MALAWI ~ ndiyo wamiliki wa visiwa vya JAMHURI YA DOMINIKI huko KARIBIANI..

5f805c4c386d6d11e3bda19afcf6de21.jpg

​
Ukiachana na wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI, wenyeji wa asili wa WILAYA YA KISHAPU watakaofuata katika kuitawala TANZANIA watakuwa ni wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA MJINI.
 
Kitu kingine ambacho huwa hawasemi mara nyingi, askari yoyote anayetambulika na serikali huwa anashauriwa kuorodhesha wenza wake wote aliofanikiwa kuzaa nao kwa kujaza fomu za uzazi na malezi zinazopatikana majeshini.

Hii inasaidia na inatoa fursa kwa mzazi mwenza kuweza kutambulika serikalini na kupata wasaa wa kuajiriwa katika kampuni za kibiashara zinazomilikiwa na serikali, WAINGEREZA huwa wanasema ni "COMMERCIAL ENTERPRISES" pasipo hata kuwa SE FAIRE VALOIR na WASWAHILI huwa wanasema "ukikaa karibu na ua waridi, lazima unukie"..

Fomu zenyewe zilikuwa zinauzwa Tsh. 5000 pesa taslimu kwa miaka ya nyuma na huwa zinajazwa na mzazi mwenza kwa kuweka pasipoti na sahihi. Halafu hizo fomu za uzazi na malezi zinaorodheshwa kwenye faili la askari anayetambulika serikalini. Hata ikitokea askari ana wazazi wenza zaidi ya mia tatu [300], hakuna shida..
Haya yote huwa wanafundishwa! Waache wajifanye vichwa ngumu, tena gereza kwa kuwasaidia ndo lilikuwa linachukua hata watu ambao hawajamaliza standard seven..

Had leo ndo jesh la magereza lipo hivyo! Hakuna kubaki mtu uraiani, kule kuna kaz za kila aina hata za watu ambao hawajui kusoma wala kuandika kaz zao zipo..

Unapogawa mtoto kwa watu wengine unakuwa kama umemtupa na wachache wanaofanikiwa, wakifanikiwa huwa hawarud nyuma na wanaanzisha ukoo mwingine! Bora akaish kwa ndugu zake, kuliko watu baki..

Huko watoto wanakutana na vitimbi vya kila aina! Hata ukoo inakua hamna tena, manyanyaso na roho ya kukataliwa inakua imetawala..

Hayo maisha sio mazuri! Maana mtoto anakua anatengwa kwenye masuala ya kifamilia huko atakapohamia na atashindwa kutimiza ndoto zake.. 🙏
 
Wale watu walikuwa ni wajinga, kwa sababu mtoto anakuwa anapitia roho ya kukataliwa tangu akiwa kwa wazazi wake na anapopelekwa kwenda kuishi katika familia ya watu baki anakuwa kama ametupwa na kutelekezwa! Hata kipaji na kipawa chake atashindwa kuonesha kutokana na kukosa ushirikiano wa kifamilia na wachache ambao huwa wanafanikiwa katika masuala mazima ya maisha.

Wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA MJINI huwa hawana huo ujinga, ni STRAIGHT FORWARDED SOCIETY.

Wamefanikiwa kupiga hatua za kimaendeleo na kiuchumi, hawana muda wa kukwepa au kukimbia majukumu! Wao huwa wazaa na kulea watoto wao.

Shida ipo kwa wale wenyeji wengine wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] pamoja na KISHAPU [BUBIKI actually].

Wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA MJINI ndiyo watawala wa MATAIFA YA ZAMBIA pamoja na MALAWI ~ ndiyo wamiliki wa visiwa vya JAMHURI YA DOMINIKI huko KARIBIANI..

Ukiachana na wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI, wenyeji wa asili wa WILAYA YA KISHAPU watakaofuata katika kuitawala TANZANIA watakuwa ni wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA MJINI.

Huyo binti ni kizazi cha Kaunda! Trey songs ni mtoto wa Kaunda, Fabulous ni mtoto wa Michael Sata na Lloyd Banks ni mtoto wa Nelson Mandela..

Abed Pele alizaliwa Shinyanga Mjini kabla ya kuhamia Brazili na watoto wake wanaishi Ghana na visiwa vya Dominikani! Nyumba aliyozaliwa Pele ipo hapo hapo Shinyanga Mjini maeneo ya majengo..

Shinyanga vijijn ndo wakaja na Roger Milla wa Kameruni, lakini Shinyanga Mjini ndo waliotangulia kucheza soka la kitabuni na soka la kulipwa..

Familia ndo msingi na kipimo cha utu! Shinyanga Mjini huwa tunazaa na kulea watoto bila shida, hakuna kukimbia majukumu..

Shinyanga vijijn hawawezi kulea watoto waliowazaa wenyewe! Hiyo kasumba ilihamia had Kishapu, tena wao walikuwa wanakufa kabisa kumbe wanahamia Sierra Leone..

Kulikuwa kuna wakina Luxury hapo Shinyanga Mjini na alikuwa ana hela sanaa, baadae alikufa na wakazika lakini yupo Sierra Leone! Jamaa aliacha mke na watoto wazuri wakihangaika, ndo mwenye luxury hotel had leo..

Hiyo staili ya kufa na kutokea sehem nyingine sio nzuri! Maana Familia, Watoto na Wajukuu hawawezi kuvumilia tena kuishi na mzuka ndani ya nyumba..

Kishapu walikuwa vizuri sanaa, sema waliharibu wao wenyewe baada ya kujifananisha na wakongo na future za watoto wao waliziharibu wao wenyewe sababu Kishapu wana akili za darasani na wana bahati ya kuwa na hela..

Shinyanga Mjini wamepiga hatua kubwa sanaa, sababu huwa hawaachi watoto wao na huwa ni watu wasiri sanaa, hawataki mtu mwingine kufahamu mambo yao na Zambia ndo huwa ipo hivyo.. 🙏
 
Akili za MTU mweusi hizi
Wale watu walikuwa ni wajinga sanaaa! Yule Mama Kalani wa mahakama aliahidiwa atapewa malori matano kama atampokea Jeradi na kumlea vizur..

Mama Kalani kwa shida zake akakubali kumlea Jeradi kwa hali na mali, lakini kosa lake lilianzia pale alivyokubal kumlea mtoto halaf atapewa malori baadae. Alitakiwa kuchukua malori yake matano kwanza halaf mambo mengine yaendelee..

Mara ghafla bini vuu, wazazi wote wa Jeradi wakafarik na ndoto za kumiliki malori matano kwa Mama Kalani zikawa zimeyeyuka..

Kumbe wazazi wote wa Jeradi wapo na walihamia Sierra Leone kwa hiyo staili. Wengine wanasema babake Jeradi yupo Marekani na sio Kikwete ndo maana jamaa alikataa..

Kumbe bana baada ya siri zote kuwa hadharani, baada ya mabaloz na mawaziri kuvuliwa hadhi zao kipnd cha Mwinyi wengi walifedheheka na kuvunjika moyo! Pia wengi waliondoka kwa staili hiyo ya kuhamia nje ya nchi, Kikwete akiwemo..

Kwahiyo kulikuwa kuna mabaloz, mawaziri na marais waliondolewa hadhi zao na kundi la BOYS2MEN hawakuambulia chochote zaidi ya mishahara nusu nusu waliyokuwa wanagawana baada ya kuingia makubaliano na watu wengine ili kushikilia nafasi zao.. 🙏
 
Huyo binti ni kizazi cha Kaunda! Trey songs ni mtoto wa Kaunda, Fabulous ni mtoto wa Michael Sata na Lloyd Banks ni mtoto wa Nelson Mandela..

Abed Pele alizaliwa Shinyanga Mjini kabla ya kuhamia Brazili na watoto wake wanaishi Ghana na visiwa vya Dominikani! Nyumba aliyozaliwa Pele ipo hapo hapo Shinyanga Mjini maeneo ya majengo..

Shinyanga vijijn ndo wakaja na Roger Milla wa Kameruni, lakini Shinyanga Mjini ndo waliotangulia kucheza soka la kitabuni na soka la kulipwa..

Familia ndo msingi na kipimo cha utu! Shinyanga Mjini huwa tunazaa na kulea watoto bila shida, hakuna kukimbia majukumu..

Shinyanga vijijn hawawezi kulea watoto waliowazaa wenyewe! Hiyo kasumba ilihamia had Kishapu, tena wao walikuwa wanakufa kabisa kumbe wanahamia Sierra Leone..

Kulikuwa kuna wakina Luxury hapo Shinyanga Mjini na alikuwa ana hela sanaa, baadae alikufa na wakazika lakini yupo Sierra Leone! Jamaa aliacha mke na watoto wazuri wakihangaika, ndo mwenye luxury hotel had leo..

Hiyo staili ya kufa na kutokea sehem nyingine sio nzuri! Maana Familia, Watoto na Wajukuu hawawezi kuvumilia tena kuishi na mzuka ndani ya nyumba..

Kishapu walikuwa vizuri sanaa, sema waliharibu wao wenyewe baada ya kujifananisha na wakongo na future za watoto wao waliziharibu wao wenyewe sababu Kishapu wana akili za darasani na wana bahati ya kuwa na hela..

Shinyanga Mjini wamepiga hatua kubwa sanaa, sababu huwa hawaachi watoto wao na huwa ni watu wasiri sanaa, hawataki mtu mwingine kufahamu mambo yao na Zambia ndo huwa ipo hivyo.. 🙏
Sasa hayo mambo mengine ni masuala binafsi! Lakini tunaambiwa PELE alikuwa ni miongoni mwa raia wa kwanza wa ZAMBIA waliohamia BRAZILI kwenda kufungua ubalozi wa ZAMBIA nchini BRAZILI, akitokea SHINYANGA MJINI.

41f9807393c005e55a5951e36c67755b.jpg

​
Wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA MJINI ndiyo watawala wa TAIFA LA BOTSWANA na walipitia ZAMBIA.

f637d1d5cf4043e6968ddd0f53776299.jpg

​
Tunaambiwa aliyekuwa RAIS WA KWANZA WA ZAMBIA, KENNETH KAUNDA [the late] aliitawala BOTSWANA kupitia IAN KHARMA [the late] na baada ya RAIS WA KWANZA WA BOTSWANA waliofuata baada ya hapo, wote walikuwa ni wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA MJINI wakitokea ZAMBIA.

2fc60b687e2c95f54d08829020aee405.jpg

​
Ukiwa maktaba ya taifa pale BOTSWANA, wao wanaita ni "SHADES OF TOWN" ikiwa na maana ya marais wote wa BOTSWANA ni wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA MJINI kasoro aliyewahi kuwa RAIS WA KWANZA, IAN KHARMA.

410de67627a5a0b97dc351f3d1ccd483.jpg

​
Kwahiyo wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA MJINI ni watu wanaoheshimika na wana mchango mkubwa kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA. Hawa ndiyo "FINAL SAY" kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA.
 
Haha kwa hizi comments uzi umeanza upyaaa
Kwenye MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA, huwa ni lazima kwa askari kuanzia cheo cha chini kabisa kufahamu maneno ya kihistoria kama COLONIAL GOVERNMENTS, SELF GOVERNMENT, AFRICANIZATION, MISSIONARY EDUCATION, TRAINED PERSONNEL pamoja na EDUCATIONAL POLICIES.

IMG-20260807-WA0009.jpg

Baadhi ya maneno ya kihistoria yanajumuisha somo la historia kwa upande wa elimu ya msingi pamoja na elimu ya sekondari hadi kufikia KIDATO CHA NNE.

IMG-20260807-WA0011.jpg

​
Baada ya hapo, askari kulingana na cheo chake ndiyo watafanikiwa kufahamu sera za elimu kwa upande wa BARA LA AFRIKA kupitia WATAWALA WA KIINGEREZA, KIBELGIJI na KIFARANSA. Kulikuwa kuna vitu kama "British and Belgian systems - solid basis of primary education" na "Narrower French system of producing educated elite".
 
Mimi hayo huwa nawafundisha had namna ya kuchagua mke! Maana saivi unaweza kujikuta unanyatia mzuka au mwitunga! Unakuta demu ni mkalee, kumbe alishawahi kufa na kuzikwa huko Mombasa. Kwahiyo sisi kama Walimu huwa kuna namna ya kuwaangalia hao viumbe.. 🙏
 
Sasa hayo mambo mengine ni masuala binafsi! Lakini tunaambiwa PELE alikuwa ni miongoni mwa raia wa kwanza wa ZAMBIA waliohamia BRAZILI kwenda kufungua ubalozi wa ZAMBIA nchini BRAZILI, akitokea SHINYANGA MJINI.

Wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA MJINI ndiyo watawala wa TAIFA LA BOTSWANA na walipitia ZAMBIA.

Tunaambiwa aliyekuwa RAIS WA KWANZA WA ZAMBIA, KENNETH KAUNDA [the late] aliitawala BOTSWANA kupitia IAN KHARMA [the late] na baada ya RAIS WA KWANZA WA BOTSWANA waliofuata baada ya hapo, wote walikuwa ni wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA MJINI wakitokea ZAMBIA.

Ukiwa maktaba ya taifa pale BOTSWANA, wao wanaita ni "SHADES OF TOWN" ikiwa na maana ya marais wote wa BOTSWANA ni wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA MJINI kasoro aliyewahi kuwa RAIS WA KWANZA, IAN KHARMA.

Kwahiyo wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA MJINI ni watu wanaoheshimika na wana mchango mkubwa kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA. Hawa ndiyo "FINAL SAY" kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA.
Hao watu wana nguvu kubwa sanaa kwa upande wa Tanzania na ndo watanzania wenyewe hao! Hata Malawi walishaikabizi kwa Tanzania kutokea Zambia na ipo chini ya jesh la magereza.. 🙏
 
Haha kwa hizi comments uzi umeanza upyaaa
f2ee05b91f5164efadff54da32c7242f.jpg

​
Ndiyo elimu ya kijeshi inavyotakiwa kuwa! Kwa ujumla, inatambuliwa na WAAFRIKA wote pamoja na wataalamu wanaoletwa ili kuwashauri kuhusu elimu, kwamba hitaji kuu la kusonga mbele kuelekea katika ulimwengu wa kisasa ni kuongeza fursa za elimu. Kila serikali ya AFRIKA iliyopata uhuru hivi karibuni inalenga na kupanga kutoa elimu zaidi ya shule pamoja na mafunzo ya ufundi katika kila ngazi - ingawa kwa kawaida baadhi ya serikali zinaonesha hali ya uharaka mkubwa zaidi kuliko serikali nyingine.

7f496b3457d8964f4e9651cad2df11fb.jpg
​

Kutokana na shauku kuwa kubwa, mengi yameandikwa kuhusu elimu barani AFRIKA. Jambo hili limechunguzwa kwa kina na tume mbalimbali pamoja na wataalamu binafsi.

0a7090bce3c2d7a225b2d63ea6b5f611.jpg

Katika kipindi cha utawala wa kikoloni, elimu na mafunzo ya ufundi kwa WAAFRIKA — yaani, jukumu zima la kuwawezesha kuendesha jamii ya kisasa, tofauti na jamii zilizokuwepo kabla ya ukoloni — kwa kiasi kikubwa liliangukia kwa serikali za kikoloni, wamisionari na mashirika ya kibiashara ambayo kwa sababu moja au nyingine yaliona umuhimu wa kulitekeleza jukumu hilo. Si jambo la kushangaza kwamba elimu hiyo ilionesha mahitaji na mitazamo yenye upendeleo ya taasisi hizo za watu weupe.

3dd741af205bd5dc702d924d9481621f.jpg

Elimu ya kimisionari ilikuwa kwa kiasi kikubwa ya kujitoa bila kutafuta faida binafsi na yenye mitazamo ya kibinadamu. Ikiwa na misingi ya kidini, huku ikiwa na vipengele vya kifasihi, kitabibu na kijamii. Elimu hiyo ilijikita hasa katika kuwakomboa WAAFRIKA — iwe mtu mmoja mmoja au jamii nzima — kutoka katika mitindo yao ya maisha ya kikabila au iwapo tayari walikuwa wameachana nayo, iliwalahisishia kuwapa mfumo mwingine wa maisha ambao ungeridhisha zaidi mahitaji yao ya kiroho.

8335373f9943499598fc80cbe3952128.jpg

Katika msingi huu, kazi ya wamisionari wa kikristo inalinganishwa kwa karibu kabisa na kazi ya wafanyabiashara na wengine walioeneza uislamu, ambao pamoja na dini hiyo walieneza pia usafi na afya bora, uwezo wa kusoma na kuandika, pamoja na uaminifu mpya wa kijamii. Uislamu haujatoa jambo hili katika wakati wetu, ingawa kwa hakika ulifanya hivyo hapo zamani na huenda ukaja kufanya hivyo tena katika siku zijazo.

b2ef19d5e19fd184bc1080b4319480c3.jpg
​

Wamisionari wengi wanatambua jambo hilo! Hata hivyo, misheni za kikristo bila kuepukika pia ziliwawezesha WAAFRIKA kufahamiana na ulimwengu wa kiteknolojia wa watu weupe, lugha yao, viwango vyao na ujuzi wao.

IMG-20260808-WA0001.jpg

Mafunzo yanayotolewa na mashirika ya kibiashara yanalenga kuongeza ufanisi na manufaa ya mfanyakazi kwa shirika husika. Bila kujali mfumo wa kiuchumi na kijamii ambao mataifa mbalimbali ya AFRIKA yatachagua kuufuata baada ya kupata uhuru, ni dhahiri kwamba yatahitaji ujuzi wote huo, pamoja na ujuzi mwingine mwingi zaidi, kuliko ule ambao sehemu ndogo ya raia wao wameupata kupitia mafunzo yaliyotolewa na mashirika ya kibiashara ya kigeni.

1640954cbf421485db5ed226350b5349.jpg

Matatizo yanayozikabili serikali za kiafrika katika kupanua mifumo yao ya elimu hutofautiana kwa kiasi fulani, kutegemea urithi mbalimbali wa kikoloni waliourithi kutoka kwa mataifa matatu ya kikoloni— UINGEREZA, UBELGIJI na UFARANSA.
 
Katika maeneo yaliyokuwa chini ya UTAWALA WA WAINGEREZA, ofisi ya kikoloni iliyokuwa LONDON pamoja na serikali za kikoloni zilizokuwa katika maeneo hayo zilifanya juhudi kubwa, hasa katika kipindi cha mwisho cha utawala wao katika kuandaa sera za elimu zenye mtazamo wa maendeleo na uelewa mpana.

96032b68464c93455261549378ceba59.jpg

Mfumo wa utawala wa madaraka iliyoanzishwa na WAINGEREZA, ukichangia tofauti kubwa za viwango vya maendeleo ya kiutamaduni miongoni mwa jamii mbalimbali za WAAFRIKA pamoja na kuwepo au kutokuwepo kwa walowezi wa kutoka ULAYA na ASIA, ilichangia kuwepo kwa mifumo mbalimbali ya elimu.

Kamati ya ushauri kuhusu elimu ya wenyeji katika AFRIKA YA KITROPIKI [Advisory Committee on Native Education in Tropical Africa] ilianzishwa mjini LONDON, 1925.

Baada ya VITA VYA PILI VYA DUNIA, fedha nyingi zilitengwa kwa ajili ya elimu barani AFRIKA chini ya utaratibu wa BARAZA LA VYUO VIKUU [Inter-University Council] pamoja na kamati nyingine za ushauri. Kanuni ya jumla ilikuwa ni kuanzisha elimu ya msingi kama msingi imara ambao juu yake ungeweza kujengwa mfumo mpana zaidi wa elimu. Lengo hili lilifanikiwa kwa kiasi kikubwa karibu kila mahali.

ef8375f046c08a04a328e5ef67e731f4.jpg

Kutokana na hali hiyo, serikali za maeneo yaliyokuwa chini ya utawala wa zamani wa WAINGEREZA zilijikuta zikiwa na mfumo mpana wa elimu za shule ya msingi. Kwa mujibu wa UNESCO kuhusu maendeleo ya elimu ya mwaka 1961, mfumo wa elimu ya msingi ulilingana kwa kiwango cha kuridhisha na mifumo kama hiyo ya elimu ya msingi iliyokuwepo AMERIKA YA KUSINI na KUSINI-MASHARIKI MWA ASIA.

Hata hivyo, elimu ya sekondari ilikuwa imeendelea kwa kiwango kidogo sana. Hii ndiyo ilikuwa kikwazo kikuu katika mfumo wa elimu. Fursa za kupata elimu ya chuo kikuu na vyuo vingine, ndani na nje ya AFRIKA, zilikuwa kwa ujumla zinatosheleza kwa idadi ndogo ya wanafunzi waliofanikiwa kumaliza elimu ya sekondari na ambao walikuwa tayari na wenye uwezo wa kuendelea na masomo yao ya chuo kikuu.

bf18ed3c3a6254130f82311a3dbbdb0e.jpg

Kwa kuwa elimu ya ULAYA ilianza baadae katika AFRIKA MASHARIKI kuliko AFRIKA MAGHARIBI, fursa za kupata elimu ya sekondari katika AFRIKA MASHARIKI zilikuwa chache zaidi.
 
Nchi tatu zilizokuwa chini ya utawala wa UBELGIJI — KONGO, RWANDA na BURUNDI ziliachiwa mtandao wa elimu ya msingi uliokuwa umeendelezwa kwa kiwango kikubwa zaidi, ambao uliwawezesha takribani robo tatu ya watoto walio katika umri wa kwenda shule za msingi kupata elimu kwa kiwango kikubwa. Hata hivyo, mpango wa elimu ya sekondari wa UBELGIJI ulikuwa umeendelezwa kwa kiwango kidogo zaidi ikilinganishwa na ule wa WAINGEREZA. Kwahiyo, kulikuwa kuna tabaka dogo sana la watu wenye elimu ya juu kwa upande wa yaliyokuwa mataifa ya KONGO, RWANDA na BURUNDI.

51a8ddda4df62514048e749418d309b1.jpg
​

Kiini cha tatizo katika nchi zote zilizokuwa chini ya UTAWALA WA UINGEREZA na zile zilizokuwa chini ya UTAWALA WA UBELGIJI ni jinsi ya kupanua mfumo wa elimu ya sekondari kutokana na sababu mbalimbali, ni WAAFRIKA wachache sana waliofanikiwa kuendelea na elimu hiyo hadi kufikia kiwango cha kujiunga na chuo kikuu. Hivyo, kuna uwezekano mkubwa kwamba nafasi za vyuo vikuu zilizokuwa zinapatikana barani AFRIKA au kwingineko zingetosha au hata kuzidi mahitaji kwa wanafunzi wote watakaokidhi sifa za kujiunga na vyuo vikuu.

105b5b286ee3c8cf731c2963768a8211.jpg
​

Kwa upande mwingine, WAFARANSA walijikita katika kuzalisha tabaka la wasomi wenye elimu ya juu na walioathiriwa kwa kiasi kikubwa na utamaduni wa kifaransa, kwa idadi kubwa ikilinganishwa na viwango vingine vya AFRIKA. Juhudi hizi ziliambatana na mafunzo ya kijeshi yaliyotolewa kwa kiwango kikubwa kwa kulinganisha na maeneo mengine na kwa tabaka hili la wasomi ambapo hatimaye wameshikilia madaraka hadi leo na ndiyo waamuzi wa mwisho katika serikali za kiraia.

d53234c55dd2a5cbde3047ae4bee946d.jpg

​
Baada ya hapo, UFARANSA ilipitisha sheria za ufaulu wa kitaaluma kwa upande wa shule za msingi pamoja na shule za sekondari kuwa vigezo vya kisheria katika ugawaji wa vyeo vya kijeshi kwa upande wa makoloni ya kifaransa na baadae hizo sheria ziliakisiwa na kuwa sheria za UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS] kupitia SHIRIKA LA ELIMU DUNIA [UNESCO].

CamScanner 08-13-2026 14.02.jpg
​

Haya yote yanapatikana kwa kirefu kupitia kitabu cha "Emergent Africa" na kila kitu wameeleza humo kuhusu utaratibu, sifa na ugawaji wa vyeo vya kijeshi kuanzia FIELD MARSHALLS, MILITARY GENERALS pamoja na MILITARY COLONELS.

fee4cf05b46b074e5c2bcc959e4c1e7c.jpg

FIELD MARSHALLS ni lazima askari awe alishawahi kuongoza mara tatu kitaifa kupitia BARAZA LA MITIHANI TANZANIA [NECTA]! MILITARY GENERALS ni lazima askari awe amefanikiwa kuingia TANO [5] BORA kitaifa katika masomo ya shule ya msingi au shule ya sekondari kupitia BARAZA LA MITIHANI TANZANIA [NECTA] na MILITARY COLONELS ni lazima askari awe SE FAIRE VALOIR kupitia BARAZA LA MITIHANI TANZANIA [NECTA]!
 
Back
Top Bottom