Mambo yapo mengi sana! TANZANIA imepitia mambo mengi na vizazi vya wanasiasa wengi kipindi cha utawala wa HAYATI MWALIMU vilifanikiwa kusambaa ndani na nje ya nchi.
Wapo wakina TIARA CHESMER WILLIAMS ambao ni kizazi cha BIBI TITI MOHAMMED! Watoto na wajukuu wengi wanaishi nchini MAREKANI.
Wao walishaapa na kuweka yamini, kuwa ni lazima wafike kizazi cha tano! Pia wapo wengine ambao ni vizazi vya ABDULHAMAN MOHAMMED BABU, aliyewahi kuwa waziri kipindi cha HAYATI MWALIMU.
Wakina WIZ KHALIFA! Wao pia wana dhana inayotaka kufanana na vizazi vya wanasiasa wengi waliokuwepo kipindi cha HAYATI MWALIMU.
Lakini sasa hivi WATANZANIA wengi wamekwisha amka na wameshatambua kwa mapana na marefu mambo yaliyokuwa yanafanyika kwa wakati uliopita, wakati uliopo na kuweza kung'amua wakati ujao.
Pia kuna WATANZANIA wengine waliamua kutambulika serikalini kupitia MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA na kutojihusisha na siasa, baada ya kufanikiwa kufanya vizuri kitaifa katika masomo ya SHULE YA MSINGI pamoja na SHULE YA SEKONDARI.
Sasa hivi askari ambaye ni FIELD MARSHALL anahudumu serikalini hadi miaka themanini [80] na anatambulika serikalini hadi kizazi cha tano [5], ambacho ni KILEMBWEKEZA!
Askari ambaye ni MILITARY GENERAL aliyewahi kwa MWANAFUNZI BORA [TO's] au MWANAFUNZI KINARA [OP's] huwa anahudumu serikalini hadi miaka sabini na tano [75] na anatambulika serikalini hadi kizazi cha nne [4], ambacho ni KILEMBWE!
Askari ambaye MILITARY GENERAL aliyewahi kuingia TANO [5] BORA KITAIFA katika masomo ya SHULE YA MSINGI au SHULE YA SEKONDARI huwa anahudumu serikalini hadi miaka sabini [70] na anatambulika serikalini hadi kizazi cha nne [4], ambacho ni KILEMBWE!
Askari ambaye MILITARY CORNELL aliyewahi kuingia KUMI [10] BORA KITAIFA, iwe kwa ujumla au katika somo moja lililosajiliwa kama MTIHANI WA TAIFA, SE FAIRE VALOIR anahudumu serikalini hadi miaka sitini na tano [65] na anatambulika serikalini hadi kizazi cha tatu [3], ambacho ni KITUKUU na watumishi wengine wa serikali huwa wanahudumu serikalini hadi miaka sitini [60].
Kwahiyo sasa hivi, baada ya kufanikiwa kutambulika serikalini, kuna WATANZANIA wanajijenga kuanzia ngazi ya familia ili kuweza kusimama kiuchumi na kuachana kabisa na masuala ya siasa.