Tanzania ya sasa ni ile aliyoiona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Mwinyi na baraza lake la mawaziri wote waliondolewa hazi zao! Kulikuwepo majaj wakuu pamoja na wakuu wa majesh..

Kizaz cha wakina Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete wote hawapo kwenye ulingo wa siasa za Tanzania. Kikwete ndo kabisaa, hajawahi hata kukanyaga bungeni na Edward Lowassa ndo ilikuwa hivyo..

Kulikuwa kuna wakina Al Nooor Kassim, Jackson Makweta, Muhidin Kimario, Aaron Chiduo, Damian Lubuva, Chrisant Kissanji, Arcado Ntagazwa na Charles Kabeho. Wote wana hali mbaya..

Mtoto wa Charles Kabeho aliwahi kuwa mwanasiasa pale udom, College ya education na aliendesha migomo mwaka 2010 had akazuia msafara wa mkuu wa wilaya ya Dodoma mjin..

Zile awamu tatu za mwanzo zilitaka kuleta machafuko na mabadiliko ya kisiasa, lakini sisiem pamoja na Tanzania zilivuka salama..

Kwahiyo Zambia kupitia watu wa Shinyanga Mjini ndo walikuwa wanazuia mabadiliko ya kisiasa na kutotokea machafuko! Maana Kenya, watawala walikuwa ni shinyanga vijijn na zile nchi tatu za Kusin, watawala walikuwa ni watu wa Shinyanga Mjini pamoja na watu wa Kishapu.. 🙏
Unajua mwanafunzi akishafanikiwa kuingia katika ile ORODHA YA WANAFUNZI TANO [5] BORA huwa hawaruhusiwi kujihusisha na yale makundi matano [5] yenye ushawishi katika jamii, kwa sababu wanakuwa na sifa ya kuwa MAJENERALI WA JESHI kwa siku za mbeleni.

_20260422_125805.JPG

​
Ukishafanikiwa kuwa askari hupaswi kujihusisha na makundi au mitandao ya kisiasa! Huu utaratibu na sheria ilitakiwa kutumika kwa askari wote, ili kuepusha dhahma iliyotekea katika kipindi cha miaka ya miaka ya tisini [1990's].

IMG-20260807-WA0007.jpg

​
Kwanza, JENERALI WA JESHI huwa hatakiwi kubeba mizigo ya watu wengine ambao haimuhusu na mara nyingi huwa wanapewa na kuletewa wanawake wa nyumbani kwao ili kupata ile faraja na amani ya moyo.

IMG-20260807-WA0006.jpg

​
Jamii iliyojaa MAFARAKANO na MIGOGORO huwa siyo kipaumbele cha kwanza kwa upande wa askari wanaoandaliwa kuja kuwa viongozi wa kijeshi na kiraia.

IMG-20260807-WA0005.jpg

​
Wenzenu huwa wanaletewa wanawake wenye asili ya kwao, hata kama ni nje ya nchi na mishahara huwa wanalipwa kwa muda wa mwaka mmoja kabla ya kujiunga na MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA! Wakati mwingine unaweza kuta askari analipwa mishahara kwa muda wa miaka miwili, baada ya hapo ndiyo anajiunga na MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA akiwa tayari ana jumla ya mshahara wa miaka miwili.

328166bbfddb46bd5573d54ee2e60ed8.jpg

​
Pia zawadi wanakuwa nazo kutoka WIZARA YA ELIMU, kama nyumba zilizokuwa zikimilikiwa na serikali pamoja na magari aina ya TOYOTA LANDCRUISER.
 
Hata schlumberger inamilikiwa na serikali, kampuni zote zilizokuja kufanya utafit wa mafuta na ges zinamilikiwa na Tanzania kasoro bg na Petrobras.. 🙏
0518b9923f71c4d19403b32625c6bb15.jpg

​
Pia ndiyo wamiliki halali wa kampuni ya kutengeneza magari aina ya CHEVROLET inayopatikana nchini MAREKANI.

fb66d5a04fe70db1ebb54585a98a958d.jpg

​
Sema TANZANIA inahudumia mataifa mengi, hata SUDANI YA KUSINI imeingia kwenye orodha ya mataifa ambayo yana mafungamano na TANZANIA.

IMG-20260807-WA0010.jpg

​
Ukiwa SUDANI YA KUSINI kuna viongozi wa kitaifa pamoja na viongozi wa kijeshi ambao wanahudumiwa na TANZANIA kupitia kampuni za kibiashara zinazomilikiwa na serikali, WAINGEREZA wanaita ni "COMMERCIAL ENTERPRISES".

IMG-20260807-WA0008.jpg

Kwahiyo TANZANIA ina rasilimali nyingi zinazoweza kuhudumia nchi pamoja na mataifa yanayofungamana na TANZANIA! Wengine walijaribu kuongeza na VISIWA VYA TRINIDAD & TOBAGO. Sasa sijui iliishia wapi lakini walikuwa na malengo ya kuhodhi hivyo visiwa.
 
Unajua mwanafunzi akishafanikiwa kuingia katika ile ORODHA YA WANAFUNZI TANO [5] BORA huwa hawaruhusiwi kujihusisha na yale makundi matano [5] yenye ushawishi katika jamii, kwa sababu wanakuwa na sifa ya kuwa MAJENERALI WA JESHI kwa siku za mbeleni.

Ukishafanikiwa kuwa askari hupaswi kujihusisha na makundi au mitandao ya kisiasa! Huu utaratibu na sheria ilitakiwa kutumika kwa askari wote, ili kuepusha dhahma iliyotekea katika kipindi cha miaka ya miaka ya tisini [1990's].

Kwanza, JENERALI WA JESHI huwa hatakiwi kubeba mizigo ya watu wengine ambao haimuhusu na mara nyingi huwa wanapewa na kuletewa wanawake wa nyumbani kwao ili kupata ile faraja na amani ya moyo.

Jamii iliyojaa MAFARAKANO na MIGOGORO huwa siyo kipaumbele cha kwanza kwa upande wa askari wanaoandaliwa kuja kuwa viongozi wa kijeshi na kiraia.

Wenzenu huwa wanaletewa wanawake wenye asili ya kwao, hata kama ni nje ya nchi na mishahara huwa wanalipwa kwa muda wa mwaka mmoja kabla ya kujiunga na MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA! Wakati mwingine unaweza kuta askari analipwa mishahara kwa muda wa miaka miwili, baada ya hapo ndiyo anajiunga na MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA akiwa tayari ana jumla ya mshahara wa miaka miwili.

Pia zawadi wanakuwa nazo kutoka WIZARA YA ELIMU, kama nyumba zilizokuwa zikimilikiwa na serikali pamoja na magari aina ya TOYOTA LANDCRUISER.
Ilishawahi kutokea hii, askari alilipwa mishahara ya miaka miwili kabla ya kuripot katika kituo cha kazi! Hawa vijana wa dotcom hawayajui hayo mambo! Ukiona mwanafunzi aliyeingia top five anapitishwa kwenye misukosuko, ujue anaepushwa na jambo baya..

Hiyo spirit huwa inatumika pia kwa majeneral wa kijesh, ukiona Jeneral anapitishwa kwenye misukosuko ujue anaepushwa na jambo baya au tukio la kuhatarisha usalama wake..

Kwahiyo majeneral pamoja na wanafunzi walioingia top five wote huwa wanashauriwa kuwa calm au wapole katika kipindi chote cha misukosuko.. 🙏
 
MZEE RUKSA alikuwa na akili na alijitahidi kujijenga kiuchumi kupitia hela za wakongo, wakosovo na wahaiti. Pia vizazi vyake vipo na vimesambaa sehemu mbalimbali za nchi na hata nje ya nchi. Ukiwa UINGEREZA utawakuta wakina FATUMA..

Shida inakuja kwa wale askari waliokuwa wanatumika na wanasiasa, sasa hivi hawana hela kabisa na hali zao ni mbaya!

Hiyo ndiyo SIASA YA TANZANIA! Kuna watanzania walifanikiwa kupitia siasa na wengine imewamaliza kabisa, ni bora wangeendelea na maisha yao ya mwanzo kabla ya kujiunga na siasa.
Mwinyi na Mkapa walikuwa na akili wote, shida ilikuwepo kwa akina Nyamka na Mwanguku kujiona Simba kumbe ni Swala. Saivi hawana kitu.. 😂
 
Pia ndiyo wamiliki halali wa kampuni ya kutengeneza magari aina ya CHEVROLET inayopatikana nchini MAREKANI.

Sema TANZANIA inahudumia mataifa mengi, hata SUDANI YA KUSINI imeingia kwenye orodha ya mataifa ambayo yana mafungamano na TANZANIA.

Ukiwa SUDANI YA KUSINI kuna viongozi wa kitaifa pamoja na viongozi wa kijeshi ambao wanahudumiwa na TANZANIA kupitia kampuni za kibiashara zinazomilikiwa na serikali, WAINGEREZA wanaita ni "COMMERCIAL ENTERPRISES".

Kwahiyo TANZANIA ina rasilimali nyingi zinazoweza kuhudumia nchi pamoja na mataifa yanayofungamana na TANZANIA! Wengine walijaribu kuongeza na VISIWA VYA TRINIDAD & TOBAGO. Sasa sijui iliishia wapi lakini walikuwa na malengo ya kuhodhi hivyo visiwa.
John Garang alikuwa ni mtz mwenye asili ya Kishapu kutoka maeneo ya Bubiki pamoja na aliyekuwa Profesa George Saitoti wa Kenya. Ali Hassan Joho ametoka Kishapu maeneo ya Utemini na alihamia Kenya kwenye miaka ya tisini na tano..

Tanzania ndo wanamiliki wa saa za Rolex pamoja na Rado! Pia inahudumia watu wengi sanaaaaa, wanasiasa karibia wote wa Kenya wanaitegemea Tanzania katika kuishi..

Ukienda visiwan kuna mataifa kama Seychelles na Madagascar! Kule viongozi wote wapo chin ya usimamizi wa Tanzania..

Ukienda Afrika ya Magharibi kuna mataifa kama Burkina Faso, Sierra Leone, Benini, Gaboni, Togo, Laiberia kwa akina George Weah na Ivory Coast wote wanaitegemea serikal katika kutunza viongoz wao wa kitaifa..

Wahutu pamoja na wakongo ndo wakataka kujipenyeza hapo ili na wao waweze kutambulika na kuwa sehemu ya Tanzania..

Hata wakosovo pamoja na wahaiti wakina Baby Doc walitaka kujipenyeza ili na wao kuwa sehemu ya Tanzania kutokana na fursa kuwa ni nyingi. Lakini wakala nguzo na hela zao zote zikawa zimeliwa na akina Mwinyi pamoja na Mkapa.. 🙏
 
IMG-20260808-WA0000.jpg

​
ALI HASSAN JOHO alikuwepo TANZANIA kipindi mambo yote yanatokea, tena alikuwa anaishi SHINYANGA MJINI kabla ya kuhamia nchini KENYA na alishawahi kumuona KHALFAN.

Lakini sasa hivi jamaa amepiga hatua kubwa ya kisiasa pamoja na kimaendeleo, kuliko hata KHALFAN na anajijenga kuwa ROYAL FAMILY.
Tanzania ndo wanamiliki wa saa za Rolex pamoja na Rado! Pia inahudumia watu wengi sanaaaaa, wanasiasa karibia wote wa Kenya wanaitegemea Tanzania katika kuishi..
9db6d362ee86f0a7626c5a2293f2354c.jpg

WATANZANIA waliofanikiwa kuhamia KENYA wapo vizuri na wanaheshimika kuliko WATANZANIA walioamua kubaki TANZANIA.

aa31c4904277404a48cca977f1dff99c.jpg

Kipindi kile cha miaka ya tisini [1990's], kulikuwa kuna mambo ya ajabu sana! Unakuta mtu anapata fursa ya kuwania ubunge au anateuliwa kuwa mbunge wa viti maalum au hata kuwa mkuu wa wilaya na badala yake anatafuta mtu mwingine anaingia nae makubaliano ya kushikilia nafasi yake.

533d3732436d1caf96209a3b02d3418e.jpg

Mwisho wa siku mafao walikuwa hawapati, kwa sababu hata ofisini au bungeni walikuwa hawajawahi kukanyaga. Hicho kitu ndiyo kiliwatokea kundi la BOYS II MEN na walipoteza kila kitu walichotakiwa kupata katika maisha yao ya siasa.

261e5f315d558cc24751f9a81e2bf909.jpg

Hata baadhi ya kampuni za kibiashara walizokuwa wanamiliki walitapeliwa, baada ya kuingia makubaliano haramu dhidi ya wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] waliokuwa wakiongozwa na HAYATI MWALIMU ~ kwa sababu makubaliano yoyote ya kisheria lazima yasainiwe kwa karamu ya wino wa njano na wao walikuwa wanatumia karamu ya wino wa bluu.. 😂
Ukienda visiwan kuna mataifa kama Seychelles na Madagascar! Kule viongozi wote wapo chin ya usimamizi wa Tanzania..

Ukienda Afrika ya Magharibi kuna mataifa kama Burkina Faso, Sierra Leone, Benini, Gaboni, Togo, Laiberia kwa akina George Weah na Ivory Coast wote wanaitegemea serikal katika kutunza viongoz wao wa kitaifa..
de14a4e395527a1631a1f2b285c035f8.jpg

​
Hata huyu bado anaendelea kuhudumiwa na serikali ya TANZANIA, katika ile nafasi ya urais aliyowahi kushika akiwa nje ya nchi.
Wahutu pamoja na wakongo ndo wakataka kujipenyeza hapo ili na wao waweze kutambulika na kuwa sehemu ya Tanzania..
TANZANIA haiwezi kuwa na mafungamano na watu walioshindwa kuishi wao wenyewe kwa kuvumiliana, wale wana matatizo yao na hayawezi kuisha leo wala kesho.
Hata wakosovo pamoja na wahaiti wakina Baby Doc walitaka kujipenyeza ili na wao kuwa sehemu ya Tanzania kutokana na fursa kuwa ni nyingi. Lakini wakala nguzo na hela zao zote zikawa zimeliwa na akina Mwinyi pamoja na Mkapa.. 🙏
IMG-20260807-WA0004.jpg

​
Wale viongozi wa kitaifa waliopita walikuwa wanatafuta namna ya kupata fedha na walifanikiwa kuzipata kupitia kwa WAKONGOMANI, WAKOSOVO na WAHAITI ~ kwa sababu hauwezi kusukuma gurudumu la maendeleo ya kitaifa na watu walioshindwa kuishi kwao kwa kuvumiliana.

IMG_20260807_224823_526.jpg

​
Isitoshe TANZANIA ina watu wengi, hata leo tukihitaji watu laki tano [500,000] tunaweza kuwapata chapuchapu kutoka ZAMBIA.
 
Mwinyi na Mkapa walikuwa na akili wote, shida ilikuwepo kwa akina Nyamka na Mwanguku kujiona Simba kumbe ni Swala. Saivi hawana kitu.. 😂
36e25638c0c177430f63366221407fea.jpg

​
Ila katika utawala wa awamu ya pili [1985-1995] na awamu ya tatu [1995-2005], walifanikiwa kuhodhi visiwa vingi kule KARIBIANI. Ukiachana na ST MARTIN, ST LUCIA, TRINIDAD AND TOBAGO kuna kisiwa kingine cha HAITI.

_20260808_084945.JPG

​
Sasa hivi ukiwa HAITI kuna watanzania wengi, lakini hatma ya kisiwa hicho bado haijajulikana kama kitakuwa chini ya TANZANIA au lah!
 
ALI HASSAN JOHO alikuwepo TANZANIA kipindi mambo yote yanatokea, tena alikuwa anaishi SHINYANGA MJINI kabla ya kuhamia nchini KENYA na alishawahi kumuona KHALFAN.

Lakini sasa hivi jamaa amepiga hatua kubwa ya kisiasa pamoja na kimaendeleo, kuliko hata KHALFAN na anajijenga kuwa ROYAL FAMILY.

WATANZANIA waliofanikiwa kuhamia KENYA wapo vizuri na wanaheshimika kuliko WATANZANIA walioamua kubaki TANZANIA.

Kipindi kile cha miaka ya tisini [1990's], kulikuwa kuna mambo ya ajabu sana! Unakuta mtu anapata fursa ya kuwania ubunge au anateuliwa kuwa mbunge wa viti maalum au hata kuwa mkuu wa wilaya na badala yake anatafuta mtu mwingine anaingia nae makubaliano ya kushikilia nafasi yake.

Mwisho wa siku mafao walikuwa hawapati, kwa sababu hata ofisini au bungeni walikuwa hawajawahi kukanyaga. Hicho kitu ndiyo kiliwatokea kundi la BOYS II MEN na walipoteza kila kitu walichotakiwa kupata katika maisha yao ya siasa.

Hata baadhi ya kampuni za kibiashara walizokuwa wanamiliki walitapeliwa, baada ya kuingia makubaliano haramu dhidi ya wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] waliokuwa wakiongozwa na HAYATI MWALIMU ~ kwa sababu makubaliano yoyote ya kisheria lazima yasainiwe kwa karamu ya wino wa njano na wao walikuwa wanatumia karamu ya wino wa bluu.. 😂

Hata huyu bado anaendelea kuhudumiwa na serikali ya TANZANIA, katika ile nafasi ya urais aliyowahi kushika akiwa nje ya nchi.

TANZANIA haiwezi kuwa na mafungamano na watu walioshindwa kuishi wao wenyewe kwa kuvumiliana, wale wana matatizo yao na hayawezi kuisha leo wala kesho.

Wale viongozi wa kitaifa waliopita walikuwa wanatafuta namna ya kupata fedha na walifanikiwa kuzipata kupitia kwa WAKONGOMANI, WAKOSOVO na WAHAITI ~ kwa sababu hauwezi kusukuma gurudumu la maendeleo ya kitaifa na watu walioshindwa kuishi kwao kwa kuvumiliana.

Isitoshe TANZANIA ina watu wengi, hata leo tukihitaji watu laki tano [500,000] tunaweza kuwapata chapuchapu kutoka ZAMBIA.

Kenya hizo tabia walizikataa, ndo maana wanasiasa wao wanaoneka wana maendeleo makubwa kuliko wanasiasa wa Tanzania..

Ukiwa Kenya, kila mtu anajijenga kivyake na familia yake! Lakini Tanzania unashangaa waziri anazaa na kusambaza watoto wake kwa watu bak na hela walikuwa nazo..

Mtanzania amesoma, lakini akipata pesa anampa mtanzania mwingine amfanyie biashara na amfungulie kiwanda cha uzalishaji..

Hiyo hali ilitokea kwa Kikwete! Alipewa udc, halaf yeye akaweka mtu mwingine! Akateuliwa ubunge wa viti maalum na uwazir juu bado akaweka mtu mwingine akiwa na rafiki yake Lowassa..

Kikwete anafanana na Frederick Chiluba wa Zambia! Kikwete na Lowassa hawakukutana barabarani, walikutana pale kanisa la Marovian kipindi anazaliwa Jeradi na walikuwa wakiishi jirani..

Baada ya hapo, ilikuwa ni mwendo wa kuzaa na kusambaza watoto katika umri mdogo na hela walikuwa nazo! Ila Lowassa alikataa hiyo tabia..

Hela walizipata na wakanunua hicho kiwanda cha kioo kupitia kwa kampuni ya Nyerere, na akaandika jina la mtoto wake ambae alikuwa tayari ameshamgawa kwa Chale wa Shireku na kubadilisha majina..

Kwahiyo baada ya kukata moto, kampuni yake pamoja na hela zake zote zikawa zinahang katika kampun ya Masumuni hata mwanamke aliyezaa nae akawa hana matunzo tena na alifarik 1995! Ijapokuwa wengine wanasema wapo Sierra Leone na waliokolewa baada ya kuanza kuumwa aids.. 🙏
 
Wale watu walikuwa ni wajinga! Kiwanda cha kioo kikawa kimeenda kwa namna hiyo na hela zake zote. Hakuna hata ndugu yake mmoja aliyeambulia..

Wafanyakazi wa kioo wengi ni shinyanga vijijn! Ijapokuwa wanasema wao wapo, hata mahakaman wanashindwa kwenda kudai sababu walishakufa na vyet vyao vya vifo vipo..

Ila Mama Jeradi alizaa watoto wengine wawili akiwa Sierra Leone na wanaogopa hata kwenda kumuona Jeradi kutokana na ujinga wao wenyewe..

Jeradi Kikwete alifanikiwa kuongoza kitaifa zaid ya mara tatu na anatambulika serikalin ikiwa ni pamoja na kupokea matunzo, ndo maana hachakai kama wajomba zake..

Kiwanda cha kioo walishatapeliwa tangu cku nyingi na Jeradi Kikwete anaonekana yupo vizuri sababu yule ni To zaid ya mara tatu na anapokea matunzo ya serikal. Pia ana zawad za nyumba maeneo ya Oysterbay..

Kwahiyo huo ndo ujinga wa kuzaa na kusambaza watoto kutokana na kuwa muhuni! Hata kampun walizurumiwa kutokana na ujinga wao wenyewe, ila wosia na nyaraka za kampuni zinasoma mmiliki wa kioo ni Jeradi! Saivi hawana kitu zaid ya kale kajumba kamoja kalikochakaa pale jirani na kanisa la Marovian.. 🙏
 
Ila katika utawala wa awamu ya pili [1985-1995] na awamu ya tatu [1995-2005], walifanikiwa kuhodhi visiwa vingi kule KARIBIANI. Ukiachana na ST MARTIN, ST LUCIA, TRINIDAD AND TOBAGO kuna kisiwa kingine cha HAITI.

Sasa hivi ukiwa HAITI kuna watanzania wengi, lakini hatma ya kisiwa hicho bado haijajulikana kama kitakuwa chini ya TANZANIA au lah!
Haiti watainunua, sema mzigo unakuja kwenye kulea viongoz wa kitaifa na kijeshi! Ipo siku Tanzania itakwama na kushindwa gharama za kulea viongoz wa kitaifa..
 
Haha kwa hizi comments uzi umeanza upyaaa
Unafikiri kuwa na mataifa mengi ni sifa? Hata kisiwa kikiwa kidogo kama wilaya ya Bahi, bado itaonekana kuwa ni inchi na ina muundo wa serikal kama ilivyo kwa serikal nyingine za Marekani, China na Kanada .. 😂
 
We Mzee acha mafumbo mafumbo na uswahili
 
Hakuna kitu cha bure! Toa kitu, upate kitu. Wenzio wanaendelea kupata vitu vizur. Saivi kioo ina nyumba 35 pale Kenya na ndugu hawajaambulia hata nyumba moja.. 🙏
 
We Mzee acha mafumbo mafumbo na uswahili
Hao ndo wenye Maisha clubs zote na ndo walionunua timu ya daraja la kwanza ya cosmopolitan, lakin ndugu wa mwenye mali wana hali mbaya! Ila wale waliohamia Kongo walifanikiwa kupata hela zao..

Baada ya kufaham Jeradi ana zawadi ya nyumba ya Oysterbay, wakaanza kufanya mipango ya kutapel hiyo nyumba na waliingia kwa gia ya kufoj sahih ili waonekane wamekubaliana na Jeradi, wao waweke vioo vya madirishan na ukarabati wa milango ili waweze kuhamia..

Walitaka mkurungenzi wa kioo ndo akae pale Oysterbay kwenye lile jengo la tatu! Kumbe walikuwa wameingia mlango wa kutokea na sahih walikuwa wamekosea..

Acha watolewe nduki! Walikimbia na ilibaki kidogo miguu iingie tumboni, maana wazee wa kaz walikuwa tayari wameshajikoki liwalo na liwe..

Shinyanga vijijn ni matapeli sanaa na ilibaki kidogo wamtapeli mtoto mtu hizo nyumba za Oysterbay, wakakuta ni maji yenye kina kirefu na hela kidogo walikuwa wameshaanza kuhonga. Zimeliwa zaid ya milioni 400 na hawajaambulia kitu.. 😂
 
Kenya hizo tabia walizikataa, ndo maana wanasiasa wao wanaoneka wana maendeleo makubwa kuliko wanasiasa wa Tanzania..

Ukiwa Kenya, kila mtu anajijenga kivyake na familia yake! Lakini Tanzania unashangaa waziri anazaa na kusambaza watoto wake kwa watu bak na hela walikuwa nazo..

Mtanzania amesoma, lakini akipata pesa anampa mtanzania mwingine amfanyie biashara na amfungulie kiwanda cha uzalishaji..

Hiyo hali ilitokea kwa Kikwete! Alipewa udc, halaf yeye akaweka mtu mwingine! Akateuliwa ubunge wa viti maalum na uwazir juu bado akaweka mtu mwingine akiwa na rafiki yake Lowassa..

Kikwete anafanana na Frederick Chiluba wa Zambia! Kikwete na Lowassa hawakukutana barabarani, walikutana pale kanisa la Marovian kipindi anazaliwa Jeradi na walikuwa wakiishi jirani..

Baada ya hapo, ilikuwa ni mwendo wa kuzaa na kusambaza watoto katika umri mdogo na hela walikuwa nazo! Ila Lowassa alikataa hiyo tabia..

Hela walizipata na wakanunua hicho kiwanda cha kioo kupitia kwa kampuni ya Nyerere, na akaandika jina la mtoto wake ambae alikuwa tayari ameshamgawa kwa Chale wa Shireku na kubadilisha majina..

Kwahiyo baada ya kukata moto, kampuni yake pamoja na hela zake zote zikawa zinahang katika kampun ya Masumuni hata mwanamke aliyezaa nae akawa hana matunzo tena na alifarik 1995! Ijapokuwa wengine wanasema wapo Sierra Leone na waliokolewa baada ya kuanza kuumwa aids.. 🙏
Yale yalikuwa siyo maisha mazuri na hayapaswi kuigwa! Kipindi hicho wakati ukifika wa kumuondoa mtoto, wanampiga picha akiwa ameshikilia begi lake la nguo..😭

Ilikuwa ni simanzi na unyanyasaji kwa mtoto, kwa sababu unakuta mtoto anaondolewa nyumbani alipozaliwa kwa wazazi wake akiwa na umri wa kuanzia miaka mitatu hadi miaka mitano..

Sema watoto huwa hawawezi kueleza hisia zao! Lakini huwa ni simanzi na anapohamia kwa watu wengine ambao hajawazoea, hata matunzo na malezi hawezi kupata kama angelikuwa na wazazi wake..

Hili suala huwa lipo chini ya USTAWI WA JAMII na USTAWI WA JAMII ipo chini ya JESHI LA POLISI! Baadae mtoto akishafanikiwa kimaisha, wazazi ndiyo huwa wanajitokeza na kuonesha picha za mtoto akiwa katika umri mdogo. Hii tabia wanayo wale wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI pamoja na wenyeji wa asili wa WILAYA YA KISHAPU, waliitoa kwa WAHUTU pamoja na WAKONGOMANI.
 
Wale watu walikuwa ni wajinga! Kiwanda cha kioo kikawa kimeenda kwa namna hiyo na hela zake zote. Hakuna hata ndugu yake mmoja aliyeambulia..

Wafanyakazi wa kioo wengi ni shinyanga vijijn! Ijapokuwa wanasema wao wapo, hata mahakaman wanashindwa kwenda kudai sababu walishakufa na vyet vyao vya vifo vipo..

Ila Mama Jeradi alizaa watoto wengine wawili akiwa Sierra Leone na wanaogopa hata kwenda kumuona Jeradi kutokana na ujinga wao wenyewe..

Jeradi Kikwete alifanikiwa kuongoza kitaifa zaid ya mara tatu na anatambulika serikalin ikiwa ni pamoja na kupokea matunzo, ndo maana hachakai kama wajomba zake..

Kiwanda cha kioo walishatapeliwa tangu cku nyingi na Jeradi Kikwete anaonekana yupo vizuri sababu yule ni To zaid ya mara tatu na anapokea matunzo ya serikal. Pia ana zawad za nyumba maeneo ya Oysterbay..

Kwahiyo huo ndo ujinga wa kuzaa na kusambaza watoto kutokana na kuwa muhuni! Hata kampun walizurumiwa kutokana na ujinga wao wenyewe, ila wosia na nyaraka za kampuni zinasoma mmiliki wa kioo ni Jeradi! Saivi hawana kitu zaid ya kale kajumba kamoja kalikochakaa pale jirani na kanisa la Marovian.. 🙏
Ndiyo wamiliki halali wa timu za AS FAR RABAT ya MOROKO pamoja na SCHALKE 04 ya UJERUMANI. Lakini wenye mali wana hali mbaya.. 😂
 
Haha kwa hizi comments uzi umeanza upyaaa
8d9715d3063d3db0ddfd3fa6f93e4684.jpg

​
Sasa hivi hiki kizazi kinachokuja kinafahamu na kimeona mambo mengi. Kwahiyo hawawezi kurudia makosa yaliyofanywa miaka ya zamani.

d209510580bfcabead1a4cf8b9400da4.jpg

​
Lakini wale wengine ambao ni wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI bado wanaendelea na hiyo tabia ya kuzaa na kusambaza watoto wao katika umri mdogo.
 
Back
Top Bottom