Tanzania ya sasa ni ile aliyoiona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Wao walikuwa wanasema "akiondoka paka, panya huendelea kutawala" ~ baada ya wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA MJINI kuhamia ZAMBIA, waliwaachia wenyeji wa asili wa WILAYA YA KISHAPU [BUBIKI actually] katika masuala yote ya kitaaluma.

Wamejitahidi kusambaa sehemu mbalimbali duniani na wana nguvu katika maamuzi ya kitaifa kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA.

Hawa ndiyo wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA MJINI na ndiyo watawala wa TAIFA LA ZAMBIA hadi leo.

Pia wanamiliki uchumi wao katika sekta mbalimbali na huwa wanatabia ya kutumia vitu vyao, tofauti na wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI. Huwa hawana muda na vitu vinavyomilikiwa na serikali.
Wanawake wa Shinyanga mjin ni wachangamfu lakin kwa uzuri hawafiki kwa wanawake wa Shinyanga vijijn. Wanawake wa Shinyanga vijijn ni wazuri kwa sura na maumbo, lakin ni wachafu kwa tabia na matendo yao.. 🙏
 
SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] walikosea pakubwa kumsaliti HAYATI MWALIMU, kwa sababu TANZANIA ina watu wengi ambao walifanikiwa kuhama na kusambaa tangu TANZANIA inaitwa TANGANYIKA.

Sasa hivi TANZANIA inaenda kwenye mabadiliko na haiwezi kuvumilia makubaliano yaliyokuwepo tangu mwaka 1975 dhidi ya wale waliokuwa viongozi wa wakati ule na wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually].
Wanasingizia sisiem, wakati shida ni wao.. 😂
 
Mwanafunzi bora aliyeongoza mara tatu ndo huwa anaruhusiwa kula ndogo ya mawipi wa majesh yote, lakin wengine hawaruhusiwi na ikibainika huwa wanafukuzwa kaz hapo hapo..

Kitu kingine, mwanafunzi bora aliyeongoza mara tatu ndo huwa anaruhusiwa kutumia bunduki au bastola ambayo ni silence. Huwa wanapewa machine gun ambayo haitoi mlio, kitu cha pyuu pyuu inakua hamna..

Bunduki za silence, huwa wanaruhusiwa kutumia wakuu wa magereza pekee yao! Wengine wote hamna kitu. RPO ndo anaweza kuwa anafanya kazi Mbeya lakin kila ikifika weekend anauwezo wa kuwa visiwa vya Saint Martin, Jamaica au Trinidad and Tobago halafu Jumatatu akaingia kazini kama kawaida..

Kwahiyo wanafunzi bora kwa upande wa Tanzania huwa wana raha sanaa na huwa wanazaa watoto wengi na watoto wao wanakuwa chin ya uangalizi wa majesh.. 🙏
Huwa wanasema kupitia sheria za UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS], umri sahihi wa kujiunga na mafunzo ya kijeshi huwa ni kuanzia miaka kumi na nane [18] na miaka ishirini [20] inakuwa tayari kwa raia kuweza kuajiriwa na kusajiliwa kama askari kwa upande wa MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA.

4c533ef257a4ba8cf58349c32fdc96e5.jpg

​
Lakini pia kwa upande wa kutumikia MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA huwa inachukua takribani miaka arobaini [40] hadi kufikia umri wa kustaafu wa miaka sitini [60], endapo vigezo na masharti vimezingatiwa.

_20260727_133626.JPG

​
Kwa upande wa WANAFUNZI BORA [TO's] pamoja na WANAFUNZI VINARA [OP's] huwa wanajiunga na MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA wakiwa tayari na miaka thelathini na tano [35]! Wao pia huwa wanatumikia MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA kwa kipindi cha miaka arobaini [40] kama askari wengine, hivyo kuwafanya kuendelea kutumikia MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA hadi miaka sabini na tano [75].

Kila mwaka huwa kuna ingizo la MWANAFUNZI BORA [TO's] au MWANAFUNZI KINARA [OP's] katika mafunzo ya kijeshi [depo], lakini kwa mwaka huu wa 2026 inakuwa hakuna ingizo lolote kutokana na mwanafunzi mmoja kufanikiwa kuongoza mara tano [5] mfululizo kuanzia DARASA LA NNE [2000], DARASA LA SABA [2003], KIDATO CHA PILI [2005], KIDATO CHA NNE [2007] pamoja na KIDATO CHA SITA [2010] na ana sifa za kuongoza gereza kwa miezi mitano [5] kabla ya kujiunga na mafunzo ya kijeshi.

IMG-20260709-WA0000.jpg

Kwahiyo mwaka huu, utakuwa ni mwaka wa kipekee katika historia ya majeshi kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA baada ya kutokuwa na MWANAFUNZI BORA [TO's] wala MWANAFUNZI KINARA [OP's] katika mafunzo ya kijeshi [depo].
 
Shinyanga Mjin walikuwa na akili sanaa, halafu ni majitu yenye miili mikubwa! Hao ndo wenye serikal ya Botswana 🇧🇼 na baada ya Zambia kuwa jamhuri ya wazambia wote, familia ya Kenneth Kaunda ilihamia na kuwekeza nguvu katika taifa la Mali.

Wazambia wengi ndo wanaocheza mpira katika timu ya taifa ya Mali na walikuwa na falsafa moja iliyokuwa ikisema "palipo na mzambia, ujue serikal ya Zambia ipo"..

Kwahiyo saivi Kenneth Kaunda anaenda kama Nyerere, Nyerere yupo Senegal na Kaunda yupo Mali, wote wanaendelea na serikali mseto.. 🙏
Wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA MJINI ndiyo waliokuwa wanasoma katika shule zote za hapo mjini, wengine walikuwa wanafanya kuhamia.

Hata shule ya msingi ya BUGOYI, tunaambiwa ilikuwa inachukua wanafunzi kutoka kijiji cha SEKE lakini wanafunzi wengi walikuwa ni wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA MJINI.

b0dfb543852a00a470038c84ae3738ad.jpg

Kwahiyo wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA MJINI walikuwa wanasoma na kufanya vizuri kitaifa kuliko wanafunzi wengine na idadi kubwa ilihamia ZAMBIA baada ya KENNETH KAUNDA [the late] kufanikiwa kuwa rais wa kwanza wa ZAMBIA.
 
Wanawake wa Shinyanga mjin ni wachangamfu lakin kwa uzuri hawafiki kwa wanawake wa Shinyanga vijijn. Wanawake wa Shinyanga vijijn ni wazuri kwa sura na maumbo, lakin ni wachafu kwa tabia na matendo yao.. 🙏
_20260728_004024.JPG

​
SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] pamoja na SHINYANGA VIJIJINI [TINDE actually] ni wazuri sana, kwa sasa hivi wameenea maeneo ya MKOA WA TABORA pamoja na KILIMANJARO, WILAYA YA MOSHI VIJIJINI.

_20260728_004100.JPG
 
Wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA MJINI ndiyo waliokuwa wanasoma katika shule zote za hapo mjini, wengine walikuwa wanafanya kuhamia.

Hata shule ya msingi ya BUGOYI, tunaambiwa ilikuwa inachukua wanafunzi kutoka kijiji cha SEKE lakini wanafunzi wengi walikuwa ni wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA MJINI.

Kwahiyo wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA MJINI walikuwa wanasoma na kufanya vizuri kitaifa kuliko wanafunzi wengine na idadi kubwa ilihamia ZAMBIA baada ya KENNETH KAUNDA [the late] kufanikiwa kuwa rais wa kwanza wa ZAMBIA.
Kikwete alisoma bugoyi! Frederick Chiluba amesoma bugoyi! Michael Sata na Kamuzu Banda wamesoma shule ya msingi ya uhuru, kipindi hicho ilikuwa inaitwa jina lingine. Shule ya msingi ya uhuru ina jina lake la mwanzo ambalo lilikuwa linatumika kipindi cha ukolon..

Shinyanga Mjini ndo walitakiwa kuwa watawala wa Tanzania had leo, sema waingererza waliwapeleka Zambia, Malawi na Botswana..

Shinyanga Mjini wana akili sanaa! Hata timu ya kk11 wote walikuwa wanatoka Shinyanga Mjini maeneo ya Majengo. Baada ya mwaka 1975, wazambia ndo wakarud tena Tanzania baada ya kufanikiwa kumuondoa Nyerere.. 🙏
 
SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] pamoja na SHINYANGA VIJIJINI [TINDE actually] ni wazuri sana, kwa sasa hivi wameenea maeneo ya MKOA WA TABORA pamoja na KILIMANJARO, WILAYA YA MOSHI VIJIJINI.

Shinyanga vijijn wamekua ni talk of the town baada ya kufanikiwa kutoa mababa wa taifa wawili wa Tanzania na Kenya..

Lakini hakuna Jeneral wa Tanzania aliyewahi kuoa mwanamke wa kutoka Shinyanga vijijn! Kwanza Jeneral hatakiwi kuoa mwanamke aliyekwisha zaa au aliyepewa taraka..

Kitu cha pili, Jeneral aliyeivaa huwa haruhusiwi hata kuzaa na mwanamke mwenye mtoto na huwa wanapewa ruhusa ya kuoa kiserikali had wanawake watano na wote wakawa wanahudumiwa na serikali sababu mke wa Jeneral na yeye huwa anafanyika kuwa Jeneral baada ya kuendelea kumuhudumia Jeneral.. 🙏
 
Huwa wanasema kupitia sheria za UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS], umri sahihi wa kujiunga na mafunzo ya kijeshi huwa ni kuanzia miaka kumi na nane [18] na miaka ishirini [20] inakuwa tayari kwa raia kuweza kuajiriwa na kusajiliwa kama askari kwa upande wa MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA.

Lakini pia kwa upande wa kutumikia MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA huwa inachukua takribani miaka arobaini [40] hadi kufikia umri wa kustaafu wa miaka sitini [60], endapo vigezo na masharti vimezingatiwa.

Kwa upande wa WANAFUNZI BORA [TO's] pamoja na WANAFUNZI VINARA [OP's] huwa wanajiunga na MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA wakiwa tayari na miaka thelathini na tano [35]! Wao pia huwa wanatumikia MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA kwa kipindi cha miaka arobaini [40] kama askari wengine, hivyo kuwafanya kuendelea kutumikia MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA hadi miaka sabini na tano [75].

Kila mwaka huwa kuna ingizo la MWANAFUNZI BORA [TO's] au MWANAFUNZI KINARA [OP's] katika mafunzo ya kijeshi [depo], lakini kwa mwaka huu wa 2026 inakuwa hakuna ingizo lolote kutokana na mwanafunzi mmoja kufanikiwa kuongoza mara tano [5] mfululizo na ana sifa za kuongoza gereza kwa miezi mitano [5] kabla ya kujiunga na mafunzo ya kijeshi.

Kwahiyo mwaka huu, utakuwa ni mwaka wa kipekee katika historia ya majeshi kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA baada ya kutokuwa na MWANAFUNZI BORA [TO's] wala MWANAFUNZI KINARA [OP's] katika mafunzo ya kijeshi [depo].
Kwa taifa kama Rwanda huwa wanajiunga na jesh wakiwa na miaka 20 had 22 na majeneral wao huwa wanaenda miaka 75 had 80 kutokana na uchache wa majeral..
 
Mbona china ni wajamaa lakini wameendelea? Tatizo la nchi yetu ni sheria zinazolinda mafisadi hasa marais na mawaziri kwamba lolote wantakalofanya hawatashtakiwa hivyo wakatuibia sana na kutothamini taifa
 
Wanawake wa Shinyanga mjin ni wachangamfu lakin kwa uzuri hawafiki kwa wanawake wa Shinyanga vijijn. Wanawake wa Shinyanga vijijn ni wazuri kwa sura na maumbo, lakin ni wachafu kwa tabia na matendo yao.. 🙏
SHINYANGA MJINI wamenyooka sana! Lakini SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] pamoja na SHINYANGA VIJIJINI [TINDE actually] walifanikiwa kuwa na MAFARAKANO baina yao baada ya kuanza tabia ya kuwa kama WAHUTU ~ kuzaa na kusambaza watoto wao.

Baadae wenyeji wa asili wa WILAYA WA KISHAPU waliwaiga wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI, ile tabia ya kuzaa na kusambaza watoto. Matokeo yake wamekuwa ni watu ambao hawaeleweki ni kitu gani ambacho wanakihitaji maishani.

Tena wengine walikuwa wanazaa watoto wazuri halafu wanawasambaza na kuwagawa kwa watu baki! Baada ya hapo wanaondoka nchini na kwenda kuishi katika TAIFA LA SIERRA LEONE.

Ile staili yao ya kuondoka ilikuwa inawakosha wengi, maana walikuwa wanakufa na watu walikuwa wanaenda misibani kama kawaida! Kumbe unakuta mwenzenu kishafika SIERRA LEONE na alikuwa anawaangalia waombolezaji wakilia msibani..

b9c3dcc714da8c5772b9f3bae6defae8.jpg

Sasa hiyo tabia watu wengine huwa hawana! Unakuta wanazaa na kulea watoto wao kama kawaida na wanafanya jitihada za kutambulika serikalini, halafu mambo mengine kama ajira katika kampuni za kibiashara zinazomilikiwa na serikali zinapatikana kupitia utambulisho wa mzazi.
 
Kikwete alisoma bugoyi! Frederick Chiluba amesoma bugoyi! Michael Sata na Kamuzu Banda wamesoma shule ya msingi ya uhuru, kipindi hicho ilikuwa inaitwa jina lingine. Shule ya msingi ya uhuru ina jina lake la mwanzo ambalo lilikuwa linatumika kipindi cha ukolon..

Shinyanga Mjini ndo walitakiwa kuwa watawala wa Tanzania had leo, sema waingererza waliwapeleka Zambia, Malawi na Botswana..

Shinyanga Mjini wana akili sanaa! Hata timu ya kk11 wote walikuwa wanatoka Shinyanga Mjini maeneo ya Majengo. Baada ya mwaka 1975, wazambia ndo wakarud tena Tanzania baada ya kufanikiwa kumuondoa Nyerere.. 🙏
9878f75e9b2eb38c408c236551eed8b8.jpg

Wenzenu walikuwa wanapambana na kupigana kwa bidii ili kutambulika serikalini na walikuwa wanafanya hivyo kupitia matokeo ya mitihani ya taifa kwa upande wa elimu ya msingi na elimu ya sekondari.

52e9520679a8de004a92b4d9abf8ddd5.jpg

​
Kwa upande wa serikali huwa kuna aina tatu za fursa za ajira zinazopatikana serikalini; Fursa ya kwanza ~ huwa ni kazi zinazopatikana taasisi za utumishi wa umma ambazo zinatangazwa na PSRS! Mfano VETA, EWURA, TPDC, STAMICO na kadhalika.

Hizi fursa za kwanza huwa ni muhimu kwa watanzania wote wenye sifa na vigezo vya kuweza kuajiriwa na kufanya kazi katika taasisi za umma.

68bc41416faa969247ce7a839c7b3975.jpg

Fursa ya pili ~ huwa ni kazi zinazopatikana serikalini kwa upande wa MDA's pamoja na LGA's. MDA's ikiwa na maana ya [Ministries, Departments & Agencies] na LDA's ikiwa na maana ya [Local Government Authorities].

e59cc4b1f020a060494b270a706e35d5.jpg

​
Pia hizi fursa za pili huwa ni muhimu kwa watanzania wote wenye sifa na vigezo vya kuweza kuajiriwa na kufanya kazi ofisi za serikali.

Lakini fursa ya tatu ~ huwa ni kazi zinazopatikana katika kampuni za kibiashara zinazomilikiwa na serikali. WAINGEREZA huwa wanaita ni "COMMERCIAL ENTERPRISES". Mfano TIGO, AIRTEL, VODACOM, TTCL kwa upande wa kampuni za mawasiliano! ORYX, TOTAL, EXXONMOBIL, CHEVRON, PAMPA na MARATHON PETROLEUM kwa upande wa kampuni za mafuta ya petroli, dizeli na mafuta ya taa!

_20260422_125805.JPG

​
"COMMERCIAL ENTERPRISES" huwa wanaajiriwa watanzania wanaotambulika na serikali tu na mafunzo yanayotolewa na "COMMERCIAL ENTERPRISES" mara nyingi yanalenga kuongeza ufanisi na mchango wa mfanyakazi wa kampuni husika.

14777f5fd56f3f1c05c01c910bd95320.jpg
​

Hata hivyo kwa asili yake, namna zilivyo "COMMERCIAL ENTERPRISES" huwa zinaongeza ujuzi wa kiufundi, ukarani mahala pakazi na menejimenti iliyokuwa ikihitajika ndio hasa nguzo muhimu katika jamii zilizoendelea na jamii zinazochipukia kama jamii ya kitanzania. Hivyo, mchakato huu umekuwa na manufaa makubwa sana.

52f726dc4971506d38afe34520eac1de.jpg

Manufaa yake yanaonekana wazi zaidi katika maeneo ambako motisha ya kuwapa watanzania mafunzo imekuwepo. Vilevile, huwa hakuna pingamizi la kisiasa wala pingamizi la aina nyingine dhidi ya kuwapa watanzania mafunzo hayo kwa sababu wanakuwa ni watanzania wanaotambulika kutokana na mchango wa watangulizi wao katika taifa na hii huwa inafanyika duniani kote katika kila taifa mwanachama wa JUMUIYA YA UMOJA WA MATAIFA [UN CHARTER].
 
SHINYANGA MJINI wamenyooka sana! Lakini SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] pamoja na SHINYANGA VIJIJINI [TINDE actually] walifanikiwa kuwa na MAFARAKANO baina yao baada ya kuanza tabia ya kuwa kama WAHUTU ~ kuzaa na kusambaza watoto wao.

Baadae wenyeji wa asili wa WILAYA WA KISHAPU waliwaiga wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI, ile tabia ya kuzaa na kusambaza watoto. Matokeo yake wamekuwa ni watu ambao hawaeleweki ni kitu gani ambacho wanakihitaji maishani.

Tena wengine walikuwa wanazaa watoto wazuri halafu wanawasambaza na kuwagawa kwa watu baki! Baada ya hapo wanaondoka nchini na kwenda kuishi katika TAIFA LA SIERRA LEONE.

Ile staili yao ya kuondoka ilikuwa inawakosha wengi, maana walikuwa wanakufa na watu walikuwa wanaenda misibani kama kawaida! Kumbe unakuta mwenzenu kishafika SIERRA LEONE na alikuwa anawaangalia waombolezaji wakilia msibani..

Sasa hiyo tabia watu wengine huwa hawana! Unakuta wanazaa na kulea watoto wao kama kawaida na wanafanya jitihada za kutambulika serikalini, halafu mambo mengine kama ajira katika kampuni za kibiashara zinazomilikiwa na serikali zinapatikana kupitia utambulisho wa mzazi.
Mtoto wa Jeneral huyo, bint bado mbichi kabisaa 😄
 
Kipindi hicho watu walikuwa wana kufa, ndo inakua gia ya kuondokea hiyo! Baadae ukienda kufukua kaburini unakuta gogo au mgomba..

Kumbe mtu alishatembea Sierra Leone na ameacha watoto Tanzania! Anafika Sierra Leone anaambiwa huko wanaoajiriwa na kupata fursa za kiserikal ni watu wanaotambulika..

Wanaenda Burkina Faso hali inakua ni ileile, tena huko hata wanamichezo wanatakiwa kuwa wametoka kwenye familia inayotambulika na serikali..

Basi ndo inakua imeisha kwa namna hiyo! Wanakua wanaish maisha ya tabu na wanaona aibu kurudi nyumban sababu walishakufa na watu wakaenda msibani, wakazika na rambirambi wakatoa kwa familia na wanandugu.. 🙏
 
Wenzenu walikuwa wanapambana na kupigana kwa bidii ili kutambulika serikalini na walikuwa wanafanya hivyo kupitia matokeo ya mitihani ya taifa kwa upande wa elimu ya msingi na elimu ya sekondari.

Kwa upande wa serikali huwa kuna aina tatu za fursa za ajira zinazopatikana serikalini; Fursa ya kwanza ~ huwa ni kazi zinazopatikana taasisi za utumishi wa umma ambazo zinatangazwa na PSRS! Mfano VETA, EWURA, TPDC, STAMICO na kadhalika.

Hizi fursa za kwanza huwa ni muhimu kwa watanzania wote wenye sifa na vigezo vya kuweza kuajiriwa na kufanya kazi katika taasisi za umma.

Fursa ya pili ~ huwa ni kazi zinazopatikana serikalini kwa upande wa MDA's pamoja na LGA's. MDA's ikiwa na maana ya [Ministries, Departments & Agencies] na LDA's ikiwa na maana ya [Local Government Authorities].

Pia hizi fursa za pili huwa ni muhimu kwa watanzania wote wenye sifa na vigezo vya kuweza kuajiriwa na kufanya kazi ofisi za serikali.

Lakini fursa ya tatu ~ huwa ni kazi zinazopatikana katika kampuni za kibiashara zinazomilikiwa na serikali. WAINGEREZA huwa wanaita ni "COMMERCIAL ENTERPRISES". Mfano TIGO, AIRTEL, VODACOM, TTCL kwa upande wa kampuni za mawasiliano! ORYX, TOTAL, EXXONMOBIL, CHEVRON, PAMPA na MARATHON PETROLEUM kwa upande wa kampuni za mafuta ya petroli, dizeli na mafuta ya taa!

"COMMERCIAL ENTERPRISES" huwa wanaajiriwa watanzania wanaotambulika na serikali tu na mafunzo yanayotolewa na "COMMERCIAL ENTERPRISES" mara nyingi yanalenga kuongeza ufanisi na mchango wa mfanyakazi wa kampuni husika.

Hata hivyo kwa asili yake, namna zilivyo "COMMERCIAL ENTERPRISES" huwa zinaongeza ujuzi wa kiufundi, ukarani mahala pakazi na menejimenti iliyokuwa ikihitajika ndio hasa nguzo muhimu katika jamii zilizoendelea na jamii zinazochipukia kama jamii ya kitanzania. Hivyo, mchakato huu umekuwa na manufaa makubwa sana.

Manufaa yake yanaonekana wazi zaidi katika maeneo ambako motisha ya kuwapa watanzania mafunzo imekuwepo. Vilevile, huwa hakuna pingamizi la kisiasa wala pingamizi la aina nyingine dhidi ya kuwapa watanzania mafunzo hayo kwa sababu wanakuwa ni watanzania wanaotambulika kutokana na mchango wa watangulizi wao katika taifa na hii huwa inafanyika duniani kote katika kila taifa mwanachama wa JUMUIYA YA UMOJA WA MATAIFA [UN CHARTER].
Tanzania ni tajiri sanaaaaa! Kampuni za mafuta ni nyingi, hata hiyo kampuni ya PetroChina inamilikiwa na Tanzania!

Pia kampuni kama marathon petroleum ndo kampuni inayomiliki kiwanda cha sukari kinachopatikana nchini Kenya, Mara Sugar..

Huko kote wamejaa wafanyakazi wa Kitanzania wanaotambulika na serikal na zinahudumia mataifa mengi..

Watoto wa majeneral kutoka Rwanda, Burundi, Uganda, Kenya, Zambia, Malawi, Msumbiji, Sierra Leone, Burkina Faso, visiwa vya St Martin na Curaçao ndo wamejaa huko..

Unaweza kuapply kaz kampuni zote ukakosa, lakini akaingia Mtu mwingine akapata kiurahis kabisa na hii huwa inatokea mara nyingi ukiwa nje ya nchi. Makampuni ya nje huwa wanaajiri wafanyakazi wanaotambulika tu.. 🙏
 
Mbona china ni wajamaa lakini wameendelea? Tatizo la nchi yetu ni sheria zinazolinda mafisadi hasa marais na mawaziri kwamba lolote wantakalofanya hawatashtakiwa hivyo wakatuibia sana na kutothamini taifa
Tanzania inalisha na kuhudumia mataifa mengine mengi ndo maana haiendelei inavyotakiwa.. 🙏
 
Shinyanga vijijn wamekua ni talk of the town baada ya kufanikiwa kutoa mababa wa taifa wawili wa Tanzania na Kenya..

Lakini hakuna Jeneral wa Tanzania aliyewahi kuoa mwanamke wa kutoka Shinyanga vijijn! Kwanza Jeneral hatakiwi kuoa mwanamke aliyekwisha zaa au aliyepewa taraka..

Kitu cha pili, Jeneral aliyeivaa huwa haruhusiwi hata kuzaa na mwanamke mwenye mtoto na huwa wanapewa ruhusa ya kuoa kiserikali had wanawake watano na wote wakawa wanahudumiwa na serikali sababu mke wa Jeneral na yeye huwa anafanyika kuwa Jeneral baada ya kuendelea kumuhudumia Jeneral.. 🙏

WANAFUNZI TANO [5] BORA huwa hawaruhusiwi kujihusisha na yale makundi matano yenye ushawishi katika jamii kwa sababu wanakuwa na sifa ya kuwa JENERALI WA JESHI kwa siku za mbeleni.

_20260728_224111.JPG

​
Ikitokea mhusika amejichanganya na moja ya makundi yenye ushawishi katika jamii, ndiyo inakuwa kama huyo JENERALI na wasanii wawili wa muziki wa kizazi kipya wanaofanya shughuli zao za muziki nchini MAREKANI.

6fd227430f10235f7e8a016cfa177b7f.jpg

​
Jamaa amejichukulia pointi tatu [3] kutoka kwa JENERALI! Ukiwa JENERALI WA JESHI hupaswi kujihusisha na yale makundi matano [5] yenye ushawishi katika jamii. Hata ile jamii ya wanasiasa huwa hawapaswi kujihusisha nao..
 
Kipindi hicho watu walikuwa wana kufa, ndo inakua gia ya kuondokea hiyo! Baadae ukienda kufukua kaburini unakuta gogo au mgomba..
Walikuwa wanakosea sana!
Kumbe mtu alishatembea Sierra Leone na ameacha watoto Tanzania! Anafika Sierra Leone anaambiwa huko wanaoajiriwa na kupata fursa za kiserikal ni watu wanaotambulika..
Walikuwa hawaajiriwi, kwa sababu ukiwa TANZANIA inaonekana wameshaaga dunia na cheti cha kifo kinakuwa kimeshatoka. Hivyo hakuna mtu mwingine mwenye wasifu kama huo duniani.
Wanaenda Burkina Faso hali inakua ni ileile, tena huko hata wanamichezo wanatakiwa kuwa wametoka kwenye familia inayotambulika na serikali..
9e28c84e3ee139028381093bfb431067.jpg

Kule walipokuwa wanahamia katika mataifa ya magharibi walikuta wameshaendelea na kupiga hatua tangu siku nyingi na waliambiwa kuwa wenyeji wa asili wa BURKINA FASO wapo na wanaishi chini.

e3b32a24a146708877747b2cbe1f66cd.jpg

​
Hata wenyeji wa asili wa TAIFA LA SENEGAL na wao wapo hivyo hivyo, kama ilivyo kwa wenyeji wengine wa asili wa MATAIFA YA AFRIKA YA MAGHARIBI.
Basi ndo inakua imeisha kwa namna hiyo! Wanakua wanaish maisha ya tabu na wanaona aibu kurudi nyumban sababu walishakufa na watu wakaenda msibani, wakazika na rambirambi wakatoa kwa familia na wanandugu.. 🙏
af6635bc0648a4431d3b005f44090e39.jpg

​
Wale wenzao walioamua kubaki TANZANIA walifanikiwa kupiga hatua kubwa za kimaendeleo na wengine walifanikiwa kutambulika na serikali, hatimaye wanawafuata huko huko wakiwa wanatambulika katika ofisi za kibalozi.
 
Tanzania ni tajiri sanaaaaa! Kampuni za mafuta ni nyingi, hata hiyo kampuni ya PetroChina inamilikiwa na Tanzania!
a0dbd841c671f20b71a947976b4ddf6f.jpg

​
TANZANIA inamiliki kampuni nyingi, hata HALLIBURTON ni kampuni inayomilikiwa na TANZANIA. Sema kupitia ule utaratibu wa "COMMERCIAL ENTERPRISES" watanzania wanaoajiriwa ni wale wanaotambulika na serikali tu.

9918e64d5112ca33558166ae81265c96.jpg

Wengine itawalazimu kutafuta na kupata ajira katika ofisi za serikali za mitaa pamoja na tawala za mikoa au kupitia serikali kuu.
Pia kampuni kama marathon petroleum ndo kampuni inayomiliki kiwanda cha sukari kinachopatikana nchini Kenya, Mara Sugar..
Ndiyo dunia inavyoenda hivyo, wafanyakazi wanaotambulika na serikali! Hicho kiwanda cha sukari ndiyo wamiliki halali wa timu ya mpira wa miguu ya MARA SUGAR inayoshiriki LIGI KUU YA KENYA.
Huko kote wamejaa wafanyakazi wa Kitanzania wanaotambulika na serikal na zinahudumia mataifa mengi..
Wamejaa familia za majenerali, kanali na wote kuanzia cheo cha LUTENI KANALI pamoja na SSP kutoka mataifa yote yanayofungamana na TANZANIA kama KENYA, UGANDA, RWANDA, BURUNDI, ZAMBIA, MALAWI na MSUMBIJI. Hata AFRIKA YA KUSINI ipo..
Watoto wa majeneral kutoka Rwanda, Burundi, Uganda, Kenya, Zambia, Malawi, Msumbiji, Sierra Leone, Burkina Faso, visiwa vya St Martin na Curaçao ndo wamejaa huko..
ST. MARTIN na CURAÇAO ni visiwa ambavyo kwenda kuishi na kufanya kazi katika hivyo visiwa ni lazima mhusika awe anatambulika na serikali.
Unaweza kuapply kaz kampuni zote ukakosa, lakini akaingia Mtu mwingine akapata kiurahis kabisa na hii huwa inatokea mara nyingi ukiwa nje ya nchi. Makampuni ya nje huwa wanaajiri wafanyakazi wanaotambulika tu.. 🙏
Huo utaratibu wa kutambulika ulianza kutumika tangu siku nyingi na walikuwa wanafundisha kwenye MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA ile namna ya serikali inavyofanya kazi.

be68b1d6d3f81d62cc29374df14c457e.jpg

​
Zamani, kipindi cha ukoloni walikuwa wana "Three sources of instructions: Missionaries for Christianity countries or Sultanates for Muslim countries | Commercial Enterprises | Government" na baada ya kipindi cha ukoloni kuisha na kuingia dunia ya utandawazi, mambo yalibadilika na kuwa "Three sources of instructions: Local Government Authorities | Commercial Enterprises | Government" ikiwa zote zina maelezo yake na vigezo vyake.
 
Tanzania ni tajiri sanaaaaa! Kampuni za mafuta ni nyingi, hata hiyo kampuni ya PetroChina inamilikiwa na Tanzania!

Pia kampuni kama marathon petroleum ndo kampuni inayomiliki kiwanda cha sukari kinachopatikana nchini Kenya, Mara Sugar..

Huko kote wamejaa wafanyakazi wa Kitanzania wanaotambulika na serikal na zinahudumia mataifa mengi..

Watoto wa majeneral kutoka Rwanda, Burundi, Uganda, Kenya, Zambia, Malawi, Msumbiji, Sierra Leone, Burkina Faso, visiwa vya St Martin na Curaçao ndo wamejaa huko..

Unaweza kuapply kaz kampuni zote ukakosa, lakini akaingia Mtu mwingine akapata kiurahis kabisa na hii huwa inatokea mara nyingi ukiwa nje ya nchi. Makampuni ya nje huwa wanaajiri wafanyakazi wanaotambulika tu.. 🙏
Mfano wa Local Government Authorities ni [New 494 Vacancies PSRS At Various Institutions, July 2026]! Mfano wa Commercial Enterprises ni [New Vacancies At Yas Tanzania, July 2026] na mfano wa Government ni [New 160 Vacancies At MDA's and LGA's, July 2026]!

_20260730_131626.JPG

​
Sema inatakiwa mhusika anapofanikiwa kujiunga na MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA, moja kwa moja anatakiwa kufahamu wasifu wake wa kitaaluma na kama hakufanikiwa kuingia katika ile ORODHA YA WANAFUNZI [10] KUMI BORA, iwe kwa ujumla au katika somo moja lililosajiliwa kama MTIHANI WA TAIFA basi mhusika anatakiwa kurisiti.

_20260730_131554.JPG

​
Mhusika anapofanikiwa kurisiti mtihani wa taifa na kuingia katika ile ORODHA YA WANAFUNZI [10] KUMI BORA inafanya kuwa SE FAIRE VALOIR na kuwa na nafasi ya kuendelea na vyeo vya kijeshi kama SSP au LUTENI KANALI na kuweza kutambulika serikalini.

_20260730_131515.JPG

​
Mhusika anapofanikiwa kutambulika serikalini, anafanyika wepesi kwake yeye na vizazi vyake vitakavyokuja! Pia anakuwa na uwanja mpana katika "Local Government Authorities", "Commercial Enterprises" pamoja na "Government".

IMG-20260730-WA0003.jpg

Kwahiyo serikali zinazotambulika na JUMUIYA YA UMOJA WA MATAIFA [UN CHARTER] ndiyo huwa zinaenda kwa namna hiyo.
 
Tanzania ni tajiri sanaaaaa! Kampuni za mafuta ni nyingi, hata hiyo kampuni ya PetroChina inamilikiwa na Tanzania!

Pia kampuni kama marathon petroleum ndo kampuni inayomiliki kiwanda cha sukari kinachopatikana nchini Kenya, Mara Sugar..

Huko kote wamejaa wafanyakazi wa Kitanzania wanaotambulika na serikal na zinahudumia mataifa mengi..

Watoto wa majeneral kutoka Rwanda, Burundi, Uganda, Kenya, Zambia, Malawi, Msumbiji, Sierra Leone, Burkina Faso, visiwa vya St Martin na Curaçao ndo wamejaa huko..

Unaweza kuapply kaz kampuni zote ukakosa, lakini akaingia Mtu mwingine akapata kiurahis kabisa na hii huwa inatokea mara nyingi ukiwa nje ya nchi. Makampuni ya nje huwa wanaajiri wafanyakazi wanaotambulika tu.. 🙏
Pia mwanafunzi aliyefanikiwa kuongoza mara tatu [3] katika MITIHANI YA TAIFA, huwa anatambulika kitaifa kupitia BARAZA LA MITIHANI TANZANIA [NECTA] pasipo hata kuvalishwa vyeo vya kijeshi.

cec04b1ca4c44dffa42cc94b87cbcd1c.jpg

​
Hii pia huwa ni sheria ya JUMUIYA YA UMOJA WA MATAIFA [UN CHARTER] kupitia SHIRIKA LA ELIMU DUNIANI [UNESCO].

_20260622_145726.JPG

​
Kwahiyo MWANAFUNZI BORA [TO's] wa kidato cha sita [2010] alianza kutambulika serikalini tangu mwaka 2007 na jina lake limeshaandikwa katika kampuni ya kibiashara inayoitwa PAMPA ENERGIA kama mtanzania anayetambulika serikalini na kuweza kufanya kazi katika hiyo kampuni ya kibiashara.

3b3459d2c284c75f41ed38cf2e9e5654.jpg

​
WANAFUNZI BORA [TO's], WANAFUNZI VINARA [OP's] pamoja na SE FAIRE VALOIR huwa wana fursa nyingi kwa upande wa serikali, sema WANAFUNZI BORA [TO's] pamoja na WANAFUNZI VINARA [OP's] huwa wanasubiri hadi wavikwe vyeo vya kijeshi.

280ebb8428faa008d156e3cd9b9b628a.jpg

​
WANAFUNZI BORA [TO's], WANAFUNZI VINARA [OP's] pamoja na SE FAIRE VALOIR ndiyo huwa raia wa kwanza kutambulika na serikali. Wengine ni raia waliofanya vizuri na kulipa heshima taifa katika ulimwengu wa kimataifa kwenye tasnia mbalimbali kama michezo, sanaa na burudani! Siasa, uchumi, mazingira na maendeleo ya kijamii.
 
Back
Top Bottom