Tanzania ya sasa ni ile aliyoiona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Kizazi cha Kenyata! Wanawake wao huwa ni wazuri sanaa, sema hawajatulia na wakorofi. Shinyanga vijijn Ni watu wa matukio..

​
Unajua vizazi vya watawala huwa vina mambo mengi sana! Lakini wale waliofanikiwa kuwa WANAFUNZI BORA [TO's] pamoja na WANAFUNZI VINARA [OP's] huwa wanafundwisha namna ya kuishi nao.

Hata wale wanafunzi waliofanikiwa kuingia TANO [5] BORA kitaifa huwa wanafundwisha namna ya kuishi katika jamii, kwa sababu wanakuwa ni MAJENERALI kwa siku za mbeleni.
 
Ukiangalia hiyo orodha, DGI wakwanza hadi wasaba ni wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] na DGI wanane ndiyo alikuwa ni mwenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA MJINI. Kwahiyo wenzenu wanaifahamu nchi vizuri, siyo kuwabeza.
 
Wanafunzi wakishafanikiwa kuingia tano bora kitaifa wanakuwa na sifa ya kuwa majeneral wa kijesh! Huwa hawaruhusiwi kuoa au kuolewa na mtu yoyote kutoka katika zile familia zenye ushawishi katika jamii..

Hata kuoa binti katika familia ya mchungaji hawaruhusiwi, maana huwa kuna kani mvutano baina ya wanafunzi bora wanaochipukia na royal families!

Unaweza kupata matatizo ya akili au kuchanganyikiwa kabisaa ukijichanganya na royal families maana huwa wanawatengua akili wale watu ambao ni smart upstairs..

Haya maisha hawayajui wale watu wa Shinyanga vijijn, sababu hawajawai kuingia tano bora kitaifa! Wamebaki kupiga matukio, hata Mkapa hakufanikiwa kushika nafasi ya 5 na walifanya kumpachika namba 5 ili agombee nafasi ya urais..

Kwahiyo mara nyingi watu huwa wanashauriwa kuoa au kuolewa baada ya kuhitimu mafunzo ya kijeshi ili kujiweka sawa na changamoto zinazoikabiri Jamii.. 🙏
 
Wanamtandao wamefanya matukio mengi ya utapeli, walikula hadi hela za Muamar Gadafi baada ya kuondolewa madarakani na hela alizoweka bongo zikawa zimeyeyuka kwa namna hiyo.. 😂
 

​
Hata huyu ni mtoto wa mwanasiasa wa upinzani mashuhuri nchini TANZANIA, kwa upande wa ZANZIBARI na wamefanikiwa kuhamia mataifa ya magharibi.


​
Wapo wengi! Miongoni mwao ni huyu, sema wengi waliohamia mataifa ya magharibi walikuwa ni askari waliokuwa chini ya cheo cha LUTENI KANALI au SSP na walikuwa hawatambuliwi kwa upande wa serikali.


​
Vizazi vya watanzania wanaotambulika na serikali, hasa majenerali vinapatikana katika mataifa yanayounda JUMUIYA YA SADC na kidogo ECOWAS. Lakini kwa upande wa mataifa ya magharibi inakuwa ni hamna, hata kama wapo basi inakuwa ni maamuzi yao binafsi na siyo maamuzi ya serikali.
 
Wanamtandao wamefanya matukio mengi ya utapeli, walikula hadi hela za Muamar Gadafi baada ya kuondolewa madarakani na hela alizoweka bongo zikawa zimeyeyuka kwa namna hiyo.. 😂
Unajua SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] na SHINYANGA VIJIJINI [TINDE actually] wana tabia zinazofanana na kwa ujumla wao huwa wanaitwa TINDO.


​
Hata kwa upande wa TAIFA LA KENYA, wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [TINDE actually] walikuwa wanafanya hivyo hivyo tangu utawala wa HAYATI MZEE JOMO, sema wao walikuwa wanamiliki uchumi mkubwa na waliweza kuwatunza na kuwahudumia askari waliokuwa wakiwaamini wao.


​
Lakini kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA, wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually], hasa wanamtandao wameshindwa kuwahudumia na kuwatunza askari wanaowaamini wao. Unakuta askari amechafuka vyeo mabegani, lakini kiuhalisia ana ngao tu na analipwa mishahara na SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] na hawatambuliwi popote.


​
Lakini kiuhalisia, kwa upande wa askari wanaotambulika na serikali vizazi vyao vimesambaa katika mataifa yanayounda JUMUIYA YA SADC na wapo chini ya usimamizi wa ofisi za kibalozi nje ya nchi.

​

Kwahiyo linapokuja suala la UTAWALA WA KISERIKALI, inakuwa ni vigumu kufanya POLITICAL CHANGES ikiwa nchi inakuwa na watumishi wa namna hiyo tena wameshika nyadhifa za juu serikalini. Lazima ifanyike NATIONAL AUDITING AND CLEARANCE..
 
Wanamtandao wamefanya matukio mengi ya utapeli, walikula hadi hela za Muamar Gadafi baada ya kuondolewa madarakani na hela alizoweka bongo zikawa zimeyeyuka kwa namna hiyo.. 😂
SPECIAL TASK FORCES zote zinatakiwa kujumuisha askari ambao ni SE FAIRE VALOIR. Hata makomandoo wanatakiwa kuwa ni miongoni mwa WANAFUNZI KUMI [10] BORA, iwe kwa ujumla au katika somo moja lililosajiliwa kama MTIHANI WA TAIFA.

​

Zamani, wenzenu walikuwa hawazingatii wala hawafuati sheria za UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS] ile kikamilifu na linapokuja suala la UTAWALA WA KISERIKALI, unatakiwa kufanya NATIONAL AUDITING AND CLEARANCE kabla ya kufikia maamuzi ya kufanya POLITICAL CHANGES.
 
Huyo ni Babu Duni wa act wazalendo! Majeneral na kanali wengi walihamia Zimbabwe, sehem moja inaitwa Bulawayo. Bulawayo imejengwa na watanzania kutoka majeshin. Mataifa mengine ni kama Zambia, Malawi, Msumbiji, Angola, Botswana, Namibia na afrika ya Kusin.. 🙏
 
Zamani Shinyanga vijijn ilikuwa inaenda had msalala na Kahama ilikuwa upande wa Tabora. Halafu Tinde ilikuwa inaenda had Igunga na Nzega ilikuwa upande wa Tabora. Kwahiyo shinyanga vijijn wapo wengi na kwenye kampuni zao wamejaa watu wao tu..

Wakina Kenyata na Nyerere walikuwa wanatoa vipaumbele kwa watu wao, sema Nyerere alisalitiwa na wakina Nyamka na baadae alihamia kwa watu wa Kishapu. Ila Kenyata anaendelea hivyo had leo..

Wanasiasa wengine waliohamia Kenya walipoteza mda wao, kwan Kenyata alikuwa anatoa nafasi za upendeleo kwa watu wa Shinyanga vijijn tu na wakina Ouma waliishia uwazir wa kawaida ijapokuwa walikuwa wana uwezo wa kushika nyadhifa za uwazir ukuu pamoja na urais..

Kwahiyo Kenya na Tanzania zilikuwa chin ya viongozi wote wenye asili ya shinyanga vijijn, kabla ya Tanzania kubadilika na kuwa jamhuri ya watanzania wote. Lakini Kenya had leo ni Shinyanga vijijn, hata viongozi wa vyama vya upinzani ni Shinyanga vijijn had leo.. 🙏
 
Majesh ya ulinz na usalama ndo yanayochelewesha mabadiliko ya kisiasa nchini. Huko kuna uozo mwingi sanaa, inafaa pasafishwe ndo tubadilishe vyama vya siasa kwenye kushika dola.. 🙏
 
Tindo hapo umegusa penyewe! Tanzania waliitoa hiyo tabia kwa watu wa Shinyanga vijijn. Tanzania ni mara chache kuajiri mfanyakaz kwenye nafasi ya juu ambae ana vigezo na aliesomea na kusotea fani yake!

Watanzania huwa wana wivu na chuki! Huwa wana ile tabia ya tukose wote, wakat mwingine unakuta mtu amepewa kitengo pamoja na cheo kikubwa, lakin mshahara ni mdogo na wakaacha mtu ambaye ana vigezo, mtaalamu, sifa zote anazo na analipwa mshahara stahiki na bado akawekwa pembeni..

Hiyo tabia ipo majeshin na wanayo watu wa Shinyanga vijijn, unakuta askari ana nyota tatu tu lakin ukiangalia alivyochafuka vyeo had kwenye kola kuna maua..

Shinyanga vijijn huwa wanatoa had ndogo kisa vyeo na madaraka! Wanapenda sana ujiko na kujikweza, lakini kiuhalisia hali huwa ni tofauti kabisa..

Kabla ya kufanya mabadiliko ya kisiasa inabidi kwanza wasafishe kwenye majesh ya ulinz, maana hao ndio walioshikilia wizara zote.. 🙏
 

​
Wao huwa wanasema "western culture is harmful to african society" na mara nyingi huwa hawapendelei kufanya na kutekeleza miradi ya kiserikali katika ulimwengu wa magharibi.


​
Lakini wale raia wengine ukijumuisha viongozi wa kijeshi ngazi ya chini ya ujenerali, viongozi wa kisiasa pamoja kiserikali wamekuwa wakiendelea kupendelea ulimwengu wa magharibi, kwa sababu binafsi.
 
Wao wanasema baada ya mwaka 1975, waliingia makubaliano na serikali katika ile namna ya ushirikishwaji wa majumukumu ya kisiasa, kiuchumi na kijeshi.


​
Laiti kama kungelikuwa na mfumo wa wazi katika ile namna ya kupata viongozi wa kitaifa kwa upande wa MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA, basi wenyeji wa asili wa WILAYA YA KISHAPU [BUBIKI actually] ndiyo wangetamalaki kutokana na kufanya vizuri zaidi katika mitihani ya taifa ya DARASA LA NNE, DARASA LA SABA, KIDATO CHA PILI, KIDATO CHA NNE au KIDATO CHA SITA.


​
Na sasa hivi wameongeza na upimaji wa kitaifa wa darasa la pili ngazi ya shule ya msingi [STNA]! Sasa sijajua kama na mtihani wa taifa wa DARASA LA PILI utakuwa unatoa SE FAIRE VALOIR kama ilivyo kwa upande mwingine wa mitihani ya taifa.

​

Lakini wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI wameendelea kushikilia nafasi mbalimbali ndani ya majeshi pasipo hata kukidhi vigezo vya kitaaluma.

​

Kwahiyo linapokuja suala la UTAWALA WA KISERIKALI, inakuwa ni vigumu kufanya POLITICAL CHANGES ikiwa nchi inakuwa na watumishi wa namna hiyo tena wameshika nyadhifa za juu katika majeshi na serikali kwa ujumla! Hivyo inatakiwa ifanyike NATIONAL AUDITING AND CLEARANCE kabla ya kufikia maamuzi ya kufanya mabadiliko ya kisiasa.
 
Shinyanga vijijn wanatumia gharama kubwa sanaa kulipia mishahara watu wao ndani ya serikali na tatizo kubwa linaanzia pale necta!

Shinyanga vijijn hawajawai kuingia tano bora kitaifa, hata huo mtihani wa taifa wa darasa la pili umewalenga wao maana huko kwingwine wameshindwa kuingia tano bora kitaifa..

Kwahiyo wanaendelea kutumia gharama kubwa had leo, labda huo mtihani wa taifa wa darasa la pili ndo utawaokoa! Lakin Mungu akupi vyote, Shinyanga vijijn wana hela ila akili za darasani hawana.. 🙏
 
Saivi askari wana akili nyingi, wanajenga na kukarabat majumban. Zamani unakuta mtu anaihama Tanzania lakini hata akirudi kusalimia nyumban anakuwa hana mabadiliko yoyote..

Hata usafiri wanaotumia ni kupaa na ungo! Unakuta mtu anatoka Ivory Coast lakin airport haifahamu na hajawahi hata kukanyaga, huwa wanaibukia vichakani..

Wakishaingia Tanzania, wanaishia majeshin hata majumbani kwao hawaendi maana hali ni mbaya kuliko jana.. 😂
 
Huu uzi nimeupenda sanaa, sikutegemea kama ungefika huku.. 😂 Jeradi Kikwete anajua.. 🙏
nishawahi kuja mara moja sema ni vile sielewi siasa ndo maana,, ila leo nimeona upo trending nikasema nichungulie kidogo😀😀, .. huyo Jeradi ndo nani mi simfaham
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…