Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Hizi picha unazitoa wapi mkuu?
Hizi picha zipo tu! Nyingine zinapatikana katika kurasa za INSTAGRAM na kuna kurasa rasmi kabisa za kuwapata wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA.


MKOA WA SHINYANGA upo juu sana! Hata huyu LAURYN HILL ni MTANZANIA mwenye asili ya MKOA WA SHINYANGA.


Huyu LAURYN HILL alizaa na mtoto wa BOB MARLEY na kufanikiwa kupata mtoto wa kike anayeitwa SELAH MARLEY. SELAH MARLEY ni mjukuu wa BOB MARLEY.


Ijapokuwa kuna stori nyingine zinasema kuwa ni mtoto wa NAS, lakini hatufanyii kazi uzushi.


LAURYN HILL ni MTANZANIA mwenye asili ya MKOA WA SHINYANGA na anafanya vizuri sana kwa upande wa TASNIA YA MUZIKI.

Yaani MKOA WA SHINYANGA una IDADI KUBWA YA DIASPORA kutokana na WASIMAMIZI WA SERIKALI kupatikana katika WILAYA YA KISHAPU.


Hata huyu FAITH EVANS ni MTANZANIA mwenye asili ya MKOA WA SHINYANGA, yaani wenyeji wengi wa asili wa WILAYA YA KISHAPU walihamia MAREKANI.


Subiri 2030's wataanza kurudi TANZANIA, kwa sababu hawawezi kuendelea kuishi kama "OUTSIDERS" kwa kipindi kirefu, ilhali na wao wana kwao.

Kwahiyo OSCAR KAMBONA alikuwa sahihi! Wale waliokuwa KUNDI LA G55 na KUNDI LA BOYZ II MEN walikuwa sahihi pia. HAYATI MWALIMU alikosea sana.

Lakini HAYATI MWALIMU watamlaumu bure, kwa sababu na yeye alikuwa kwenye harakati za kujijenga KIUCHUMI na KISIASA.
 
Wazanzibari wengi wanamchukia Nyerere kwa sababu ya Muungano na Sababu ya Azimio la Arusha.
Zanzibar kwa hulka yao wana ujamaa katika misingi ya kiislam. Wachache wanamiliki mali zote na kutoa zake kwa ajili ya maskini ili wapate mitaji wa ainuke . Huu ni mfumo unaofanana na ubepari lakini una ubinadamu tofauti Ubeperi na ushetani na unyama wa nchi za magharibi ambao unatajirika shida za kuwatengenezea wengine mpaka vifo. Huo ndio ubepari unaofanyika Tanganyika kwa sasa . Ndio maana mfumo wa Kibepari wa magharibi kwa nchi zenye rasilimali nyingi unagauka kusa laana kama ilivyo Kongo na nchi nyingi sana duniani.

Bila shaka Mwalimu Saisa za Mwalimu zilipingwa sana na Mataifa makuba ya magharibi ambayo yanainyona sana Afrika na kuacha vita na vifo vingi bila huruma.

Mwalimu ndiye Nabii wa kweli wa Tanganyika na sio hao mashetani na mawakala wa mashoga na wasagaji ndio wanaomtukana Baba wa Taifa .

Enzi za Mwalimu watanzania waliishi maisha yenye furaha sana. Hata Michezo kama mpira,mbio za ziara, Bondia, maigizo , ngoma za asili ,miziki na bendi live ,ngonjera ,michezo mashuleni n.k vyote vilifanyika kwa raha na amani na upendo mkubwa sana. Ujamaa wa mwalimu ukichukua na watu waovu walipoenda nchi isamabaratike ili wagawane rasilimali za umma .

Lazima tujiulize ni kwa nini Mabepari wanatumia nguvu kubwa sana kulazimisha mifumo yao duniani . Nini hasa kipo nyuma ya hao Mabepari .? Je, ni kweli kuwa wazungu waliovamia nchi zetu na kuiba kila kitu wana upendo wa kutaka tunufaike na mifumo ya ubepari?
Kama ubapari ni mzuri kwa nini wanatumia pesa nyingi na hata kuwaua wale wanaopinga mifumo yao?

Labda tuulizane ,je,ni nchi gani ya Afrika yenye Rasilimali nyingi kama Tanzania iko salama kwa mfumo wa Kibepari?

Karume alijenga mfumo unaofanana sana na ukomunist kwa kutoa huduma zote bure mpaka nyumba za kusihi na kuwalipa wazee pesa za kujikimu.
Wazungu walimchukia Karume na kuon kuwa Znzibar ni tishio kwenye ukanda wa la afrika Mashariki.
 
HAYATI MWALIMU hausiki na chochote! Sema kampuni inapopitia changamoto, wakulaumiwa huwa ni MENEJA. Lakini huwa kuna MKURUNGENZI pamoja na WAMILIKI HALALI wa kampuni.

TANZANIA ipo kama kampuni. Kuna MENEJA ambaye ndiye RAIS! Kuna MKURUNGENZI ambaye ndiye UCHIFU WA BUSIA na WAMILIKI HALALI ambao ndiyo UINGEREZA wenyewe.

WATANZANIA hawakupigania UHURU, hata machungu ya kupigania UHURU bado hatuyafahamu.

RWANDA ipo hivyo hivyo! Kwani WATUSI ndiyo waliokuwa RPA? WATUSI ndiyo waliokuwa RPF?

Wewe 1000 digits unaweza kumlaumu PK kwa yale yaliyotokea na yanayoendelea kutokea nchini RWANDA?

Absolutely not! That guy, even his family doesn't exist in reality. Kinachofanyika ni PROPAGANDA tu..😁


Ndiyo maana sasa hivi kuna kila haja ya kila MTANZANIA kupitia kwenye MAJESHI YA ULINZI na USALAMA, maana huko utakutana na vitu ambavyo havipo SHULENI.


WAINGEREZA huwa wanasema ~ "When you go to SCHOOL, you will be EDUCATED and when you go to MILITARY, you will be MATURED. So SCHOOL and MILITARY are parallel to each other, meaning that having the same distance continuously between them".
 
Hizi picha unazitoa wapi mkuu?
Kipindi kile cha miaka ya nyuma kidogo, ukiwa TANZANIA kwa upande wa VYUO VIKUU kuliibuka ule msemo unaosema ~ "Go Home or Go Big" ikiwa na maana ya "Nenda Nyumbani au Nenda Jeshi".

Sasa sikiliza ubeti wa pili wa hiyo NYIMBO, wale WASIMAMIZI WA SERIKALI ndiyo wahusika wa huo ubeti wa pili.


Lakini walifanikiwa kubeba watu wao! Hawa wote ni WATANZANIA wenye asili ya MKOA WA SHINYANGA kutoka katika WILAYA YA KISHAPU.


Ile kasi ya kuwahamisha wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA ilipungua baada ya UCHAGUZI MKUU WA 1995 kutokana na KUNDI LA G55 kuwa na madai ya msingi.


Lakini wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA, hasa wenyeji wa asili wa WILAYA YA KISHAPU walikuwa wamepiga hatua kubwa sana.


Kwahiyo haya mambo hauwezi kuyafahamu ukiwa uraiani hadi uende kwenye MAJESHI YA ULINZI na USALAMA, kwa sababu hawa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA huwa ni WATU WAKIMYA yaani "SILENT MAJORITY" na hauwezi kuwasikia wakijitapa.
 
Hizi picha unazitoa wapi mkuu?
"Go Home or Go Big" ikiwa na maana ya "Nenda Nyumbani au Nenda Jeshi".


Unapozungumzia DIASPORA kwa upande wa TANZANIA, unazungumzia wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA.



Hadi JA RULE ni wenyeji wa asili wa WILAYA YA KISHAPU! Ukiwa katika MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA ~ DIASPORA wengi wanatoka katika WILAYA YA KISHAPU ikifuatia na WILAYA YA BARIADI.


Hawa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA ndiyo waliofanikiwa katika TASNIA YA MUZIKI NA SANAA nchini MAREKANI.


Hadi MISS ELLIOT ni MTANZANIA mwenye asili ya MKOA WA SHINYANGA kutoka katika WILAYA YA KISHAPU.


Yaani asilimia themanini [80%] ya wenyeji wa asili wa WILAYA YA KISHAPU walihamia nje ya nchi na asilimia ishirini [20%] waliobaki TANZANIA walisambaa sehemu mbalimbali za nchi.


KISHAPU! KISHAPU! Wale waliokuwa KUNDI LA G55 na KUNDI BOYZ II MEN walikuwa sahihi na madai yao yalikuwa ya msingi sana.


Hadi DR DREE! MARRY J BRIDGE! Na METHOD MAN wote ni WATANZANIA wenye asili ya MKOA WA SHINYANGA.


Hawa wote waliofanikiwa kupata mafanikio wakiwa nje ya nchi, wanajijenga kuwa ROYAL FAMILY.


2030's wataanza kurudi TANZANIA! Hii imepangwa kabisa na kuna baadhi ya plani za mji zimeshaanza kuwekwa sawa kwa upande wa SHINYANGA MJINI na WILAYA ZA JIRANI.


Kwahiyo wale waliokuwa KUNDI LA G55 na baadae waliongezeka WABUNGE 10 wakawa KUNDI LA G65 walikuwa sahihi na ule ulikuwa unakwenda kuwa UPINZANI WA KWELI ukiongozwa na KUNDI LA BOYZ II MEN.
 
Hizi picha unazitoa wapi mkuu?
"Go Home or Go Big" ikiwa na maana ya "Nenda Nyumbani au Nenda Jeshi".


Hawa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA wamesambaa sana katika MATAIFA YA ULAYA pamoja na AMERIKA.


Hawa ni WASANII WA MAREKANI, ambao ni JADAKISS na NAS! Wote ni WATANZANIA ambao ni wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA.


Wengine ni kama LIL KIM ambaye kipindi fulani alitamba kwa kibao cha LIGHTERS UP.


Wengine ni kama KENDRICK LAMAR, ambao kwa kipindi fulani walitamba katika TASNIA YA HIP HOP nchi MAREKANI.


Wengine ni kama TREY SONGS ambao kipindi fulani na wao pia walitamba katika TASNIA YA MUZIKI nchini MAREKANI.

TREY SONGS pamoja na wazazi wake ni WATANZANIA wenye asili ya MKOA WA SHINYANGA.


Wapo WATANZANIA wengine wengi ambao kwa namna moja ama nyingine walichangia na wanatambulika katika TASNIA YA MUZIKI nchini MAREKANI.


METHOD MAN ametokea sehemu nyingi, inaonekana ni mtu wa watu! Kwenye picha ya pamoja yupo na DAVE CHAPPELLE, CHUCK D, GRANDMASTER CAZ na FLAVOR FLAV ~ wote ni wenyeji wa asili wa MKOA WA SHINYANGA. MKOA WA SHINYANGA upo juu sana..


Sasa hivi ukiwa pale HOSPITALI YA GOVERNMENT kuna ukarabati unaendelea na anayefanya huo ukarabati yupo MAREKANI na alizaliwa hapo, ni mtu maarufu sana! Yaani SUPASTAA.
 
Hizi picha unazitoa wapi mkuu?

PUFF DADDY ni MTANZANIA mwenye asili ya MKOA WA SHINYANGA kutoka katika WILAYA YA KISHAPU.

Wamiliki halali wa KUNDI LA BAD BOYS ENTERTAINMENT ni UCHIFU WA BUSIA kutoka WILAYA YA KISHAPU.


Yaani wale UCHIFU WA BUSIA ndiyo wamiliki halali wa FILAMU zote zinazoandaliwa na KUNDI LA BAD BOYS ENTERTAINMENT.


Wahusika wote wa KUNDI LA BAD BOYS ENTERTAINMENT ni WATANZANIA, kasoro wale watu wenye asili ya weupe.


KUNDI LA BAD BOYS ENTERTAINMENT wote ni wenyeji wa asili wa WILAYA YA KISHAPU.
 
Hizi picha unazitoa wapi mkuu?

Hawa KUNDI LA DRU HILL ni WATANZANIA wenye asili ya MKOA WA SHINYANGA kutoka katika WILAYA YA KISHAPU.

Hilo la KUNDI LA DRU HILL ndiyo lililotoa msanii maarufu anayeitwa SISQO! Hawa wenyeji wa asili wa WILAYA YA KISHAPU wapo juu sana na ndiyo waliokuwa wanufaika wakubwa wa NAFASI ZA KIDIPLOMASIA, halafu wanafuatia wale wengine ambao ni wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA.


Pia kuna KUNDI LA OUTKAST ambalo linafanya vizuri nchini MAREKANI.


Hawa KUNDI LA OUTKAST ni WATANZANIA wenye asili ya MKOA WA SHINYANGA na wanaishi nchini MAREKANI.

Hili KUNDI LA OUTKAST linajumuisha WASANII kama wakina ANTWAN PATTON maarufu kama "BIG BOI" na ANDRÉ BENJAMIN maarufu kama "ANDRÉ 3000". Hawa wote ni wenyeji wa asili wa WILAYA YA KISHAPU.


Pia VYONNE CHAKACHAKA ni MTANZANIA, tena yupo kwenye MAJESHI YA ULINZI na USALAMA kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA.


VYONNE CHAKACHAKA ni MTANZANIA mwenye asili ya MKOA WA SHINYANGA ambaye alihamia AFRIKA YA KUSINI kwa njia ya KIDIPLOMASIA, ni DIASPORA kutoka SHINYANGA MJINI.

Kwahiyo wale waliokuwa KUNDI LA G55 na KUNDI LA BOYZ II MEN walikuwa na madai ya msingi, na kuna sababu moja kubwa ya wale waliokuwa WANASIASA wakina WHITEY HAIR na KHALFANI kujiita KUNDI LA BOYZ II MEN.
 
Hizi picha unazitoa wapi mkuu?
"Go Home or Go Big" ikiwa na maana ya "Nenda Nyumbani au Nenda Jeshi".


Hadi hawa KUNDI LA SWV ni WATANZANIA wenye asili ya MKOA WA SHINYANGA na wanafanya vizuri sana katika MUZIKI WA R&B na SOUL. Wanaishi MAREKANI.

Pia kuna KUNDI LA TLC ambalo linajumuisha wasanii wa jinsia ya kike ambao ni TIONNE "T-BOZ" WATKINS, LISA "LEFT EYE" LOPES na CRYSTAL JONES.


Hawa KUNDI LA TLC ni WATANZANIA wenye asili ya MKOA WA SHINYANGA na wanafanya vizuri sana katika MUZIKI WA POP na R&B.


Hawa KUNDI LA TLC wanaishi MAREKANI.

Pia kuna KUNDI LA MIS TEEQ ambalo linajumuisha wasanii wa jinsia ya kike ambao ni SABRINA WASHINGTON, ALESHA DIXON, SU - ELISE NASH na ZENA MCNALLY.


Hawa KUNDI LA MIS TEEQ ni WATANZANIA wenye asili ya MKOA WA SHINYANGA kutoka katika WILAYA YA BARIADI na wanafanya vizuri sana katika MUZIKI WA R&B, HIP HOP na GEREJI. Wanaishi UINGEREZA.

Hawa KUNDI LA MIS TEEQ baada ya wale wenyeji wa asili wa WILAYA YA BARIADI kupata FEDHA kutoka katika CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA CHA MKOA WA SHINYANGA [SHIRECU], waliamua kurudi kwao na kuwa pamoja na kupunguza mahusiano na wale wenyeji wa asili wa WILAYA YA KISHAPU.


Kwahiyo wale waliokuwa KUNDI LA G55 na baadae waliongezeka WABUNGE 10 na kuwa KUNDI LA G65 pamoja na KUNDI LA BOYZ II MEN walikuwa sahihi na moja ya madai yao ya msingi ilikuwa ni DIASPORA, kwamba nafasi za KIDIPLOMASIA zilikuwa zinatolewa kwa upendeleo.
 
Hizi picha unazitoa wapi mkuu?
Hao UCHIFU WA BUSIA walikuwa na UCHUMI MKUBWA kuliko UCHIFU WA KIAMBU, unaopatikana nchini KENYA.

Ile nafasi waliyokuwa nayo UCHIFU WA BUSIA kwa upande wa TANZANIA walitakiwa kupewa UCHIFU WA MSOVERO [CHIFU MANGUNGO] tangu kipindi TANGANYIKA inapata UHURU wake kutoka kwa UINGEREZA.

Kwa bahati mbaya, CHIFU MANGUNGO alikuwa hana ELIMU, lakini alikuwa na nguvu ya kiushawishi kwa upande wa TANGANYIKA.

Kipindi TANGANYIKA inapata UHURU kutoka kwa UINGEREZA, yule UCHIFU WA BUSIA alikuwa na watoto kumi na moja [11] na baada ya kufanya makubaliano na kuanza kutumika na UINGEREZA.


UCHIFU WA BUSIA alifanikiwa kusambaza watoto wake wote, wale kumi na moja [11] katika sehemu mbalimbali za TANGANYIKA kwa kubadilisha majina, dini na makabila kwa msaada wa UINGEREZA.


Wale watoto kumi na moja [11], ndiyo waliokuja kuwa familia kumi na moja [11] ambazo zitaongoza CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM] na tayari wameshaanza kwa awamu ya sita.


Kwahiyo HAYATI OSCAR KAMBONA alikuwa sahihi na HAYATI MWALIMU alikosea sana! Pia KUNDI LA G55 na baadae KUNDI LA G65 walikuwa sahihi! Hata KUNDI LA BOYZ II MEN walikuwa sahihi, sema ndiyo hivyo NGOMA YA WATOTO HAIKESHI..😁
 
Hizi picha unazitoa wapi mkuu?
Hao UCHIFU WA BUSIA walikuwa na UCHUMI MKUBWA na CHIFU wao hadi anafariki [1997's] alikuwa na watoto wengine wengi, zaidi ya watoto ishirini [20].

Hiyo ndiyo SIASA YA UINGEREZA! Wao huwa wanaamini katika IDADI YA WATU, hivyo huwa wanahamasisha watu wao kuzaliana zaidi kupitia MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA.


UINGEREZA imefanikiwa kutawala MATAIFA mengi ikiwemo MATAIFA YA ULAYA, AMERIKA, AFRIKA, AUSTRALIA na ASIA ikiwemo IRANI yenyewe.

Sasa wale UCHIFU WA BUSIA walivyoingia makubaliano na kuanza kutumika na UINGEREZA, walihamasishwa kuzaliana na kusambaa sehemu mbalimbali za nchi na hata nje ya nchi.


Ule UCHIFU WA BUSIA wapo wengi na wanazaliana sana! Hata SPIKA WA BUNGE ni kizazi cha UCHIFU WA BUSIA.


Huyu pia ana nafasi ya kuwa MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM] na RAIS WA SABA WA TANZANIA.


Huyu pia ni miongoni mwa familia kumi na moja [11] ambazo zitaongoza CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM], kwa sababu wao ndiyo wasimamizi na wadhamini wakuu wa CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM].


Kwahiyo OSCAR KAMBONA alikuwa sahihi na HAYATI MWALIMU alikosea sana, kushuhudia haya mambo yakipangwa na kupangika bila ya kuchukua hatua zozote.


WATANZANIA waliofuata baada ya hayo mambo walikuwa ni wale KUNDI LA BOYZ II MEN na waliokuwa WAFANYAKAZI WA VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU].


Wale KUNDI LA BOYZ II MEN na waliokuwa WAFANYAKAZI WA VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] waliambiwa ukweli ~ kwamba hawawezi kutoboa, kwa sababu UCHIFU WA BUSIA umejengwa na unaendelea kujengwa na UINGEREZA. Hivyo wanatakiwa kutafuta namna nyingine ya kuweza kuwa kama wao.


KUNDI LA BOYZ II MEN na waliokuwa WAFANYAKAZI WA VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] ndiyo wakaelekea UJERUMANI! Walishauriwa kuwa na mafungamano na TAIFA LA UJERUMANI, kwa sababu TANGANYIKA ilishawahi kuwa KOLONI LA KIJERUMANI kabla ya UINGEREZA. Hivyo WAJERUMANI wanaifahamu vizuri TANZANIA.


Kipindi hicho cha miaka ya tisini [1990's] ndiyo ukawa mwanzo wa KUNDI LA BOYZ II MEN na waliokuwa WAFANYAKAZI WA VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] kuwatumia WAJERUMANI katika kufanya BIASHARA, UCHUMI na SIASA ZA TANZANIA.
 
Wacha kumpamba Kambona ambaye alishindwa kumaliza shule na kupata degree pale UK!
 
Hizi picha unazitoa wapi mkuu?
Kipindi kile cha miaka ya tisini [1990's] ~ ulikuwa ukiangalia UCHUMI waliokuwa wakimiliki wale KUNDI LA BOYZ II MEN pamoja na wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] walikuwa bado hawafiki kwa UCHIFU WA BUSIA.


Kwa sababu kipindi VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA vinaanza kwa upande wa TANZANIA, ilikuwa ni miaka ya themanini na nne [1984's] na aliyekuwa MWENYEKITI WA VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA TANZANIA kwa wakati huo, alikuwa UCHIFU WA BUSIA. Hivyo ule wizi na ubadilifu uliokuwa ukifanyika kwenye VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA hawezi kukosekana.


Sema madhaifu huwezi kuona, sababu UCHIFU WA BUSIA ulikuwa umeegemea sana katika kuwasaidia wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA. Hata DMX [the late] alikuwa ni MSANII WA HIP HOP kutoka MAREKANI mwenye asili ya TANZANIA kutoka katika MKOA WA SHINYANGA, WILAYA YA KISHAPU.


Kulikuwa kuna MSANII WA HIP HOP kutoka MAREKANI kama XZIBIT ambaye pia ni MTANZANIA mwenye asili ya MKOA WA SHINYANGA.


Hata hawa wakina WARREN G na DR DREE ambao ni mtu na kaka yake, wote ni WATANZANIA wenye asili ya MKOA WA SHINYANGA.

Kwahiyo wale UCHIFU WA BUSIA walikuwa tayari wamekwisha piga hatua kubwa ya KIUCHUMI, KISIASA na KIMAENDELEO na walijitahidi kuwekeza kupitia kwa watu wao. Hivyo ilikuwa ni ngumu kuvunja ile "PHYSICAL BOND" waliokwisha ijenga.

Sasa baada ya kuingia kwa WAJERUMANI katika SIASA ZA TANZANIA ~ wale waliokuwa KUNDI LA BOYZ II MEN pamoja na wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] walifundishwa na kuelekezwa mambo mengi sana yanayohusu SIASA ZA TANZANIA.


Jambo la msingi walielezwa kuwa hawawezi kutoboa katika SIASA ZA CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM], kwa sababu UCHIFU WA BUSIA walijengwa na wanaendelea kujengwa na UINGEREZA. Hivyo wanatakiwa kutafuta namna nyingine ya kuweza kujinasua.


Namna ya kuweza kujinasua ni kuwekeza kupitia watu wao katika SEKTA YA ELIMU YA MSINGI NA SEKONDARI ~ kwani mwanafunzi aliyefanikiwa kuongoza [mara tatu] kitaifa kuanzia DARASA LA SABA, KIDATO CHA NNE na KIDATO CHA SITA anakuwa na sifa ya kuwa MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM] bila ya pingamizi lolote. Aina hii ya SIASA inapatikana UINGEREZA katika kupata wajumbe au wawakilishi wa HOUSE OF LORDS.


Yaani kwa lugha nyepesi ~ BARAZA LA MITIHANI LA TANZANIA [Pages | NECTA] linatambulika rasmi katika mchakato wa kupata wa VIONGOZI WA TUME YA MAADILI YA TAIFA [MAADILI | JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA - Mwanzo] pamoja na nafasi ya UENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM] katika NGAZI YA TAIFA.


Sasa wale waliokuwa KUNDI LA BOYZ II MEN pamoja na wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] walivunjika moyo! Lakini waliambiwa ukweli na kujikita katika kujijenga KIUCHUMI na kuwekeza katika ELIMU kupitia watu wao.
 
Hizi picha unazitoa wapi mkuu?
Hiki kipindi ambacho wale KUNDI LA BOYZ II MEN pamoja na wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] wanahangaika kutafuta suluhisho na mapatano ya KISIASA ~ wale UCHIFU WA BUSIA walikuwa wamewekeza hadi JAMAIKA.


Ukiwa pale JAMAIKA, kulikuwa na MSANII WA DANCEHALL aliyekuwa akiitwa SHABBA RANKS.


SHABBA RANKS ni MTANZANIA mwenye uraia wa JAMAIKA na ni mwenyeji wa asili wa MKOA WA SHINYANGA kutoka katika WILAYA YA KISHAPU.

Hawa wenyeji wa asili wa WILAYA YA KISHAPU walikuwa wamepiga hatua kubwa ya KISIASA na KIUCHUMI.


Kipindi fulani cha miaka ya elfu mbili na kumi [2010's], kwa upande wa TANZANIA ~ SHABBA RANKS alikuwa anamiliki kampuni ya usafirishaji ya abiria iliyokuwa inaitwa PRINCESS [...] na ilikuwa inafanya safari zake za MWANZA na DAR ES SALAAM.


Ile kampuni ya usafirishaji ya abiria ya PRINCESS [...] ilifanya kazi kwa kipindi cha muda wa miaka fulani, baadae ikawa imesitisha kutoa huduma za usafirishaji.


Hawa wakina RAJANI ndiyo marafiki wa SHABBA RANKS [Hii picha ilipigwa mwaka 1991] wakiwa JAMAIKA.


Kuna MSANII mwingine aliyekuwa anaitwa BOUNTY KILLER na yeye ni MTANZANIA mwenye asili ya MKOA WA SHINYANGA. Hawa wote wanaitwa ni DANCEHALL GOATS kwa upande wa TAIFA LA JAMAIKA.


Pia kuna MSANII mwingine anaitwa TAURUS RILEY, ni MTANZANIA mwenye asili ya MKOA WA SHINYANGA.


Yaani hawa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA walikuwa wanatumia nafasi za KIDIPLOMASIA ZA TANZANIA kusambaa katika MATAIFA mbalimbali.


Hata huyu YOLANDA WHITAKER, maarufu kama YOYO FEARLESS ni MTANZANIA mwenye asili ya MKOA WA SHINYANGA anayefanya vizuri katika TASNIA YA MUZIKI WA DANCEHALL, nchini JAMAIKA.


Kwahiyo HAYATI MWALIMU alikuwa hana cha kufanya, zaidi ya kuendelea kujijenga KISIASA! Wale waliokuwa KUNDI LA BOYZ II MEN walielezwa ukweli, ijapokuwa WHITEY HAIR hakutaka kukata tamaa mapema hadi sanduku la kura litakapoamua adhma yake ya kushinda KITI CHA URAIS na wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] waliendelea kujijenga KIUCHUMI na kuwekeza ELIMU katika watu wao kwa nia ya kupata WANAFUNZI BORA.
 
Kipindi sintofahamu inaendelea TANZANIA, wale KUNDI LA BOYZ II MEN pamoja na wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] waliendelea kujijenga KIUCHUMI na kuwekeza ELIMU katika watu wao kwa nia ya kupata WANAFUNZI BORA.


Wale wenyeji wa asili wa WILAYA YA KISHAPU walikuwa mbali sana na ndiyo wamiliki halali wa KUNDI LA DESTINY'S CHILD.

Wale KUNDI LA DESTINY'S CHILD wote ni WATANZANIA wenye asili ya MKOA WA SHINYANGA na walikuwa wanadhaminiwa na UCHIFU WA BUSIA.


Yaani ilikuwa ni simanzi kwa WANASIASA wa kipindi kile, kipindi ambacho ukizungumzia DIASPORA ilikuwa unazungumzia wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA.


Ilifikia hatua wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA walifananishwa na WAHUTU, kwa namna walivyokuwa wanatumia fursa za serikali.


Hadi NELLY pamoja na mama yake ni WATANZANIA wenye asili ya MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA.


GRAIG COOK ambaye ni baba mzazi wa ALICIA KEYS ni MTANZANIA mwenye asili ya MKOA WA SHINYANGA na ana uraia wa MAREKANI.


ALICIA KEYS ni CHOTARA na hana uzito wa kurudi TANZANIA kama DIASPORA wengine. Lakini ana jina lingine la KITANZANIA lenye asili ya KISUKUMA.


Kwahiyo moja ya kichocheo kikubwa cha mabadaliko ya KISIASA na shauku ya kumiliki UCHUMI MKUBWA, ilikuwa ni kuwaona WATANZANIA wengine katika MATAIFA mbalimbali wakionesha vipaji vyao na kuishi maisha mazuri.
 
Hizi picha unazitoa wapi mkuu?
Sasa kipindi kile cha miaka ya tisini [1990's] ambapo wale KUNDI LA BOYZ II MEN walikuwa tayari wamekwisha fanya mapatano ya kisiasa ~ WHITEY HAIR aliondoa mtoto wake pamoja na ile familia ya yule mtoto pale SHINYANGA MJINI na KHALFANI alimuacha mtoto wake pale SHINYANGA MJINI.


Baada ya hapo waliambiwa nafasi watakazoishia ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM] na SERIKALI ni NAFASI YA UWAZIRI UKUU.

Hivyo ile nafasi ya UWAZIRI UKUU alifanikiwa kupewa WHITEY HAIR [2005 - 2008] na KHALFANI nafasi yake ya UWAZIRI UKUU walifanya kumtunzia mwanae ambaye alikuwepo SHINYANGA MJINI. Kwani KHALFANI iliishia nafasi ya UWAZIRI WA MAMBO YA NJE.

Lakini walipewa angalizo, kwamba kizazi chao watapewa nafasi ya UENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM] endapo watafanya vizuri katika MITIHANI YA KITAIFA ya DARASA LA SABA, KIDATO CHA NNE na KIDATO CHA SITA.

Yaani waliambiwa wapitie BARAZA LA MITIHANI TANZANIA [NECTA], kwa sababu MTANZANIA yoyote atakayeongoza kitaifa mara tatu [3] atakuwa na fursa ya kuongoza CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM] na kufanya mambo mengine ndani ya SERIKALI YA TANZANIA. Hiyo ni SIASA YA UINGEREZA katika kupata wajumbe wa HOUSE OF LORDS.

Sasa kipindi kile cha miaka ya tisini [1990's], shule za msingi na sekondari zilikuwa chache kwa upande wa nchi nzima. Pale SHINYANGA MJINI kulikuwa hakuna SHULE YA SEKONDARI YA SERIKALI hata moja. Ndiyo pendekezo likaja la kufanya SHULE YA UHURU iwe SHULE YA SEKONDARI YA SERIKALI.

Pendekezo la kufanya SHULE YA UHURU iwe ni SHULE YA SEKONDARI inayomilikiwa na SERIKALI lilitoka kwa HAYATI RASHID MFAUME KAWAWA. Basi wanafunzi wakaanza kusoma pale, mwanzoni mwa miaka ya tisini [1990's].


Kipindi hicho walikuwa wanasikia tu ~ wakina NGOLO wamekuja kusalimia kwa BIBI yao pale MEATU na watakaa wiki mbili..😁

Kwahiyo wale waliokuwa KUNDI LA BOYZ II MEN walipeleka watoto wao katika SHULE ZA SERIKALI, hata waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] walifanya hivyo hivyo na WATANZANIA wengi macho yao walielekeza kwenye MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA.


Huku MIKOA mingine wakijikita katika kutafuta nafasi za kujiunga na MAJESHI YA ULINZI na USALAMA, halafu ndiyo wanapata fursa ya kuingia kwenye SEKTA nyingine za KISERIKALI.
 
Hizi picha unazitoa wapi mkuu?
Sasa baadae, wale KUNDI LA BOYZ II MEN katika harakati za kuwa UCHUMI walijikuta wameangukia kwa WAKONGO.

WAKONGOMANI waliwapatia pesa wale waliokuwa KUNDI LA BOYZ II MEN na walikuwa wana hela sana.

Hata wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] walikuwa wana hela sana. Walifanya kuhamisha MALI ZA VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA kwa matumizi binafsi.


Pale MAREKANI, kulikuwa kuna WATANZANIA kama wakina CAPONE na NORIEGA.


Hawa ndiyo walikuwa MASELA WA KITANZANIA waliowapokea WANYAMWEZI pale MAREKANI.

Huyo NORIEGA ndiye aliyetajwa kwenye shairi la kwanza la nyimbo ya RICK ROSS inayoitwa HUSTLING.


Pia kulikuwa kuna WATANZANIA wengine kama wakina CAM'RON, DAMON STOUDAMINE, ERICK SERMON, KEVIN GARNETT, METHOD MAN na REDMAN ambao walikuwa tayari wanaishi MAREKANI tangu kitambo sana. Hawa ndiyo walikuwa ALWATANI kwa WATANZANIA walioanza kuingia MAREKANI mwanzoni mwa miaka ya tisini [1990's].


Pia kulikuwa kuna wakina TYRESE ambao kipindi kile cha miaka ya tisini [1990's] walikuwa bado vijana wadogo, lakini walikuwa wanafuatilia kila kitu kinachojiri nyumbani, TANZANIA.


Pia kulikuwa kuna WATANZANIA kama wakina SPIKE LEE, DENZEL WASHINGTON, WESLEY SNIPES, GIANCARLO ESPOSITO, BILL NUNN na JEFF "TAIN" WATTS wakiwa kwenye picha ya pamoja iliyopigwa 1990 katika tamasha la MO'S BETTER BLUES. Hawa wote walikuwa wanafuatilia kinachojiri TANZANIA kwa nyakati hizo.


Pia kulikuwa kuna WATANZANIA wenye asili ya MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA NA TABORA ambao walikuwa wanaunda KUNDI LA MUZIKI WA R&B NA FUNK waliokuwa wanaitwa MIDNIGHT STAR. Hawa wote walikuwa wanafuatilia kinachojiri TANZANIA.


Lakini kwa bahati mbaya au nzuri kwa upande mwingine, lile VUGUVUGU LA KISIASA lilizimwa na KUNDI LA G55 lilisambaratika kabla ya UCHAGUZI MKUU [1995] na KUNDI LA BOYZ II MEN likawa halipo tena, baada ya kubaki MWANASIASA mmoja kuelekea UCHAGUZI MKUU [1995].
 
Hizi picha unazitoa wapi mkuu?
Baada ya UCHAGUZI MKUU WA 1995, MISTER CLEAN alikuwa RAIS WA SERIKALI YA TANZANIA na vitu ambavyo alifanikiwa ni kuondoa KODI YA BAISKELI pamoja na kuwa na SERA YA UKWELI NA UWAZI.


Ile SERA YA UKWELI NA UWAZI iliambatana na KUBALANSI SEKTA ZOTE ZA AJIRA na mambo yote yaliyokuwa yanahusu SERIKALI YA TANZANIA.

Kipindi cha AWAMU YA TATU ndiyo kilikuwa kipindi ambacho ajira kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA zilianza kutolewa kwa KUBALANSI na kuangalia AGE [UMRI], GENDER [JINSIA], ABILITY [UWEZO WA KIUTENDAJI], DISABILITIES [WALEMAVU pia wana nafasi zao kwenye SEKTA YA AJIRA], RACES [MATABAKA YA RANGI], RELIGION [DINI] na TRIBES [MAKABILA]. Pia hata FOREIGNERS [RAIA WENYE ASILI YA KIGENI] wana nafasi zao kwenye SEKTA YA AJIRA ~ hasa ukiwa kwenye MAJESHI YA ULINZI na USALAMA.

Huwa hakuna kigezo cha UFAULU katika sekta zote za ajira! Ukiwa na ALAMA ZA D MBILI kwenye CHETI unakuwa tayari umeshaingia kwenye MFUMO WA AJIRA.


Hawa ni WATANZANIA wenye asili ya MKOA WA TABORA waliohamia nchini MAREKANI kipindi cha miaka ya tisini [1990's]. ANITA na wanae mapacha, hawa ndiyo WANYAMWEZI.. 😁

Yaani wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA ~ ule MFUMO WA KUBALANSI AJIRA ulikuwa hauwahusu sana, ukizingatia wao walikuwa wanayahama maeneo yao ya asili na kuhamia sehemu mbalimbali za nchi na hata nje ya nchi, kutokana na kuwa na UKWASI uliotakana na VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU].

Ile ilikuwa ni SIASA YA UJERUMANI, kukabiliana na mabadiliko ya kisiasa na tabia za nchi.. πŸ‡©πŸ‡ͺ


Pia kulikuwa kuna WATANZANIA kama wakina RICKEY SMILEY na familia yake ambao walikuwa wanafuatilia kwa ukaribu yale yaliyokuwa yakijiri TANZANIA. Hawa ni WAMAREKANI wenyeji wa asili wa MKOA WA SHINYANGA.


Pia kulikuwa kuna WATANZANIA kama wakina CIARA ambao walikuwa wanafuatilia kwa ukaribu ile SHULE YA SEKONDARI YA UHURU waliyopewa, waone kama adhma yao itatimia ya kuwa na WANAFUNZI BORA.


Pia kulikuwa kuna watu kama wakina BERNIE MAC na familia yake ~ hawa wote ni WAMAREKANI wenye asili ya TANZANIA kutoka katika MKOA WA SHINYANGA na kwenye miaka ya tisini [1990's] ile SHULE YA SEKONDARI YA UHURU ilianza kutoa WANAFUNZI BORA katika ile ORODHA YA KUMI BORA.


Pia kulikuwa kuna watu kama wakina RASHEEDA JONES na dada yake KIDADA JONES ambao wote ni WAMAREKANI wenye asili ya TANZANIA kutoka katika MKOA WA SHINYANGA.


Hiyo picha wakina RASHEEDA na KIDADA walipiga mwaka 1997 wakiwa na AALIYAH na GWEN STEFANI. RASHEEDA JONES ndiyo aliyeimba ile nyimbo ya BUBBLEGUM.

Kwahiyo wale waliokuwa KUNDI LA BOYZ II MEN pamoja na wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] walianza kusomesha watoto wao katika shule za serikali kwa nia ya kupata WANAFUNZI BORA.

WATANZANIA wengi waliona ni kitu ambacho hakiwezekani na ilikuwa ni kama kupoteza muda, maana MFUMO WA ELIMU YA TANZANIA unachukua miaka mingi kuanza SHULE YA MSINGI hadi umalize! KIDATO CHA NNE na hatimaye umalize na ujiunge na KIDATO CHA SITA na hatimaye umalize! Ilikuwa ni kama NDOTO, lakini ndiyo SIASA hiyo!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…