Charles Mandela
JF-Expert Member
- Dec 9, 2011
- 2,752
- 2,282
Ndio! Hawa MWASHITA ni ASSOCIATES wa HAYATI MWALIMU na ndio maana wanafahamu mambo mengi ya HAYATI MWALIMU kuliko hata wale walio ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM โ๏ธ.Haiwezekani hao MWASHITA wakawa wametengenezwa na Nyerere?
Umenifanya nicheke kidogo ๐๐๐! Kwa sababu maswali mengine inaonekana kama unafahamu majibu yake.Vipi kuhusu umiliki wa Bakhresa Group?
Hii thread ni full coded.Mkuu Charles Mandela!
Tafadhari sana mkuu wangu,
Naomba hata utumie namba ya mtu mwingine au u-create barua pepe bandia ya muda ili unijibie swali langu.
Nilihitaji hata kabla ya July kama haujapoteza kumbukumbu unielekeze namna fulani ya kuwajua kwa sifa na tabia zao.
Natumia fumbo kwa kuwa wewe wajua (NAANZA NA KABILA LANGU NI "KIBOKO" na yale mengine MAWILI.
Naomba sana mkuu kwa email hata fake au kwa contact isiyo yako unitumie SIFA NA MAJINA ya Jamii zilizosalia maana yangu ni KIBOKO. (UMENIELEWA TAYARI HAPO).
Yaani nakwambia hivi - kwa upande wa AFRIKA hakuna kiongozi mwenye UKWASI kama HAYATI MWALIMU na SERENGETI ndio imejiimarisha kupitia HAYATI MWALIMU na SERENGETI ni imara kuliko hata taasisi za kiintelijensia. Na hii inatokana na wao kuwa ni wenye CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM โ๏ธ, hivyo wamefanyika kuwa ndio wenye DOLA YA TANZANIA ๐น๐ฟ.Je, Roman Abrahamovich, Florentino Perez, na Yule waziri mkuu wa Italy mmiliki wa AC Milan wanajua wao kama wao ni kivuli na wako under MR TIGER from TZ?
Mkuu Charles Mandela!
Hamna kitu cha kujificha! Mimi nilisema ya kwamba - nitakufuta mwezi wa nane [ 8 ] na mwezi wa nane [ 8 ] bado hujaisha.Mkuu Charles Mandela!
Tafadhari sana mkuu wangu,
Naomba hata utumie namba ya mtu mwingine au u-create barua pepe bandia ya muda ili unijibie swali langu.
Nilihitaji hata kabla ya July kama haujapoteza kumbukumbu unielekeze namna fulani ya kuwajua kwa sifa na tabia zao.
Natumia fumbo kwa kuwa wewe wajua (NAANZA NA KABILA LANGU NI "KIBOKO" na yale mengine MAWILI.
Naomba sana mkuu kwa email hata fake au kwa contact isiyo yako unitumie SIFA NA MAJINA ya Jamii zilizosalia maana yangu ni KIBOKO. (UMENIELEWA TAYARI HAPO).
Alikuwa dictotor hasa watanganyika wengi hawamjui Nyerere kama alikuwa mtu mbaya sana .Nyerere alikuwa ni cold blood dictator sema ni dictator aliyekung'ata anapuliza na sio pure dictator.
Hawa SERENGETI huwa wana kauli mbiu yao inayosema hivi - DUNIANI SOTE TUNAPITA LAKINI CCM ITABAKI au DUNIANI TUMEKUJA KUTEMBEA.Hawa SERENGETI wananikera sana kwa jambo hili hapa,
Kwa nini "FORWARD FOREVER BACKWARD NEVER" kwa muda mrefu wamekuwako taabani ICU?
Hata hii TIGER yaani SERENGETI yaani CHUI na wao wako chini ya UJERUMANI ๐ฉ๐ช na ITALIA ๐ฎ๐น, mambo wanayoyafanya ni makubwa mno!Wanakuwa kama hawako under MR TIGER.
Nilisema tangu mwanzo hawa SERENGETI yaani CHUI wanaiga mfumo wa maisha ya UINGEREZA ๐ฌ๐ง na hata hiyo familia ya HAYATI MWALIMU wanataka kuifanya kuwa kama FAMILIA YA KIFALME YA UINGEREZA ๐ฌ๐ง.Tembeza bakuli tembeza bakuli, Why?
Siwezi kuisemea FAMILIA yao lakini kwa upande wa MWASHITA yaani SIMBA ๐ฆ lazima wakibidhi hivyo vitu vyote walivyopewa kuvisimamia kulingana na makubaliano ili kuepuka usumbufu usiokuwa na lazima. Hakuna muda wa nyongeza! WAINGEREZA ๐ฌ๐ง wanasema - No extra time.Ina maana FAMILIA hailioni hilo na ikalitatua haraka iwezekanavyo?
Ndio! CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM โ๏ธ kimeanza FITINA tangu siku nyingi na sio kwa KAMBONA na HAYATI MWALIMU pekee yake!wabunge vichwa maji
fitina Ccm waliaza kitambo jamani kisa wamehoji chama kua kikubwa kuzidi bunge
Jinalikaja
Vichwa maji!!!
Mzimu wa kambona unamtesa Ccm hadi kuutafta Ugaidi
Kwakweli dawa ni kuwa ondoa madarakaniNdio! CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM [emoji3537] kimeanza FITINA tangu siku nyingi na sio kwa KAMBONA na HAYATI MWALIMU pekee yake!
Bali hata kwa ADAM SAPI MKWAWA, alipigwa FITINA na VIONGOZI WA SERIKALI waliokuwepo hata baada ya HAYATI MWALIMU.
Maana kipindi cha BUNGE KILICHOONGOZWA NA SAMUEL SITTA walibadilisha mapendekezo ya SHERIA ZA KUWATUZA WASTAAFU WA SERIKALI. Sheria hii iliwagusa WASTAAFU wote kuanzia ngazi ya URAIS, UMAKAMU URAIS, UWAZIRI MKUU, SPIKA WA BUNGE na UNAIBU SPIKA WA BUNGE.
Lakini cha kushangaza - sheria hii ilianza kufanya kazi kuanzia kwa SPIKA WA BUNGE aliyejulikana kwa jina la PIUS MSEKWA na ADAM SAPI MKWAWA walimuacha ndio maana familia yake ilikuwa inalalamika kupitia vyombo vya habari vya TBC1 na SAFARI CHANNEL.
Kwahiyo FITINA zipo SERIKALINI tangu siku nyingi na zinaendelea kuwepo! FITINA zipo kila sekta, hata SEKTA YA ELIMU kuna FITINA. Angalia ORODHA YA WANAFUNZI BORA ndio utaelewa ninachokuambia.
Hawa wawakilishi wetu yaani WABUNGE wamelala FOFOFO hasa hawa WABUNGE wa hii MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA. Majimbo na mikoa yao ndio inafanya vizuri kwenye mitihani ya kitaifa lakini wanafunzi wao wanapewa madaraja tofauti kabisa na ufaulu wao, lakini wao wamekaa kimya tu.
Madhara yake wanafunzi wao ndio wanaambiwa wapambane ili wapewe matokeo yao, yaani hata ile ladha ya ELIMU inapotea kabisa. Ni mambo ya ajabu na yanasikitisha sana, lakini hiyo ndio SIASA inayofanywa na CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM [emoji3537] na hiyo ndio SERIKALI YA TANZANIA [emoji1241].
Hmmm! Hakuna cha kuwaondoa CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM โ๏ธ madarakani isipokuwa kwa njia ya MAPINDUZI, tena MAPINDUZI YA KIJESHI na sio MAPINDUZI YA KIRAIA kama ilivyo fanyika kule SUDANI ๐ธ๐ฉ.Kwakweli dawa ni kuwa ondoa madarakani
Yule KIBOKO wetu jirani na CHILUBA na marafiki zake walomzunguka ndani ya TwigaUhuruNaUmoja mbona wao hawaendelei au kuna kitu walimkosea MR CHEETAH?
Naona kama vile wanasahauliwa sana ktk mwaka wa Twiga kwa kila JULY 1.
Makadirio ya mapato na matumizi hayaendi vema kama yanavyo pushiwa kwa zones/regions zingine.
Mkuu, Charles Mandela , Unaonaje juu ya hilo?
Na kwa kuongezea hapa kwa upande wa VYAMA VYA KISIASA - kuna VYAMA VYA KISIASA vinavyomilikiwa na JESHI LA POLISI! Kuna VYAMA VYA KISIASA vinavyomilikiwa na USALAMA WA TAIFA! Na kuna baadhi ya VYAMA VYA KISIASA vinavyomilikiwa kwa msaada wa NCHI JIRANI.
Hii yote inatumika kama HUDUMA ZA KIJAMII NA MAHUSIANO YA WATU kwa upande wa VYAMA VYA KISIASA vinavyomilikiwa na JESHI LA POLISI na kwa upande wa VYAMA VYA KISIASA vinavyomilikiwa na USALAMA WA TAIFA.
Na kwa upande wa VYAMA VYA KISIASA vinavyomilikiwa kwa msaada wa NCHI JIRANI huwa inatokana na sababu za UKACHERO.
Kwahiyo kama MWANACHAMA wa CHAMA chochote kile cha KISIASA ni vyema kuchunguza kwanza kabla ya kufanya maamuzi, maana kuna VYAMA VYA KISIASA ukiingia na ukitoka salama ushukuru MUNGU!
Ndio maana kuna baadhi ya WANASIASA walishambuliwa kwa risasi na mwingine alifariki kwa sababu zisizojulikana, wengine wanasema ni COVID-19 lakini hali halisi ni POLITICAL ASSASSINATION.
Na kwa upande wa VYAMA VYA KISIASA vilivyo juu sasa hivi, yaani CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM โ๏ธ, CHADEMA โ๏ธ, CHAMA CHA WANANCHI - CUF โ๏ธ na ACT - WAZALENDO ๐๏ธ ni vyama viwili [ 2 ] tu ndio vyama vinavyomilikiwa na raia wa kawaida, vingine ni vyama vinavyomilikiwa na JESHI LA POLISI na USALAMA WA TAIFA.
VYAMA VYA KISIASA vinavyomilikiwa na raia wa kawaida ni CHAMA CHA WANANCHI - CUF โ๏ธ na CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM โ๏ธ lakini kwa upande wa CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM โ๏ธ ni chama cha kisiasa ambacho kinajumuisha kila aina ya watu, yaani ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM โ๏ธ kuna kila aina ya sura na kila aina ya watu wanaopatikana TANZANIA ๐น๐ฟ.
Ndio maana maendeleo yanachelewa kwa upande mwingine, kwa sababu ya aina na malengo ya kisiasa ambayo CHAMA CHA KISIASA kinakuwa na mwakilishi katika sehemu fulani, sehemu hiyo inaweza kuwa ni KATA, JIMBO au hata NCHI.
Ndio maana sasa hivi WABUNGE wanaenda BUNGENI kama wanaenda SOKONI halafu wanachukua POSHO yaani "SITTING ALLOWANCES" kikao kinakuwa kimeisha. Hawafanyi shughuli yoyote ya kitaifa zaidi ya kufanya POROJO yaani LITERALLY POLITICS.
Hata WABUNGE wa hii mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA wapo hivyo hivyo, hakuna vitu wanavyofanya BUNGENI na MIKOA yao ndio WAHANGA WAKUBWA WA SERIKALI YA TANZANIA ๐น๐ฟ.
Kwa mfano, ukiangalia matokeo ya wanafunzi bora ya kidato cha nne kwa miaka kumi [ 10 ] iliyopita, MKOA WA SHINYANGA ulitoa wanafunzi bora mara tatu [ 3 ] - kwa mwaka 2005, mwaka 2007 na mwaka 2012! Lakini hawa wanafunzi wanapewa matokeo tofauti kabisa na ufaulu wao na SHULE zao zimekaa kimya! Na HALMASHAURI zao zimekaa kimya! Na WABUNGE wao wamekaa kimya! Ndio maana hawa MWASHITA yaani SIMBA ๐ฆ wameamua kuwasaidia WENYEJI WA HII MIKOA bila hata kuwa na mahusiano na WAWAKILISHI WA HII MIKOA. Yaani hawa MWASHITA yaani SIMBA ๐ฆ hawana mahusiano yoyote na VIONGOZI WA SERIKALI ZA MIKOA wala WABUNGE wa hii MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA.
Kwa sababu hawa WABUNGE wa hii MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA hawana msaada wowote kwa majimbo yao, na hiyo ndio SIASA. Lakini pamoja na hayo yote, WENYEJI WA HII MIKOA wanakuja juu kiuchumi kwa sababu ya MWASHITA yaani SIMBA ๐ฆ.
Kwahiyo hii ndio SIASA YA TANZANIA ๐น๐ฟ inayofanywa na CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM kwa msaada wa NCHI ZA UJERUMANI ๐ฉ๐ช na ITALIA ๐ฎ๐น.
Na hii ndio SIASA inayofanywa na CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM โ๏ธ inayolenga kubaki madarakani kwa muda wa kipindi kirefu sana.
Na hii ndio SIASA inayofanywa na CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM โ๏ธ ambayo itaacha baadhi ya jamii masikini sana ikiwemo MIKOA YA KIGOMA, RUKWA, SINGIDA, RUVUMA, LINDI, IRINGA, DODOMA na MTWARA.
Na hii ndio SIASA inayofanywa na CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM โ๏ธ ambayo itafanya jamii ya SERENGETI yaani CHUI kuwa na NGUVU YA KIUCHUMI NA KISIASA huku jamii nyingine zikibaki kuwa hoi na masikini wa kutupwa!
Kwahiyo mabadiliko ni lazima, hasa kwa mfumo wa elimu wa TANZANIA ๐น๐ฟ. Ni lazima kuwe na uwazi katika kuwasilisha matokeo ya wanafunzi kwa awamu zote yaani darasa la saba, kidato cha nne na kidato cha sita ndio maendeleo kwa jamii zote yatapatikana lakini tofauti na hapo, itakuwa ni shughuli ya kumpigia mbuzi gitaa.
SERIKALI YA TANZANIA ๐น๐ฟ INAYOONGOZWA NA CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM โ๏ธ tangu kuasisiwa kwake huwa ina utaratibu wake katika sekta ya maendeleo kwa nchi nzima.Yule KIBOKO wetu jirani na CHILUBA na marafiki zake walomzunguka ndani ya TwigaUhuruNaUmoja mbona wao hawaendelei au kuna kitu walimkosea MR CHEETAH?
Naona kama vile wanasahauliwa sana ktk mwaka wa Twiga kwa kila JULY 1.
Makadirio ya mapato na matumizi hayaendi vema kama yanavyo pushiwa kwa zones/regions zingine.
Mkuu, Charles Mandela , Unaonaje juu ya hilo?